Vijana mnaojiita "wachokozi" mtakufa mmekenua meno kama panya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 8

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 4 місяці тому

    Mtakuafa mmekenua meno😂😂😂😂 kila mtu atakufa bwana

  • @ConfusedBlockGame-nw3lb
    @ConfusedBlockGame-nw3lb 4 місяці тому

    👍👍👍👍👍👍👍👍💯💯

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 4 місяці тому

    Ameeeeeeeni kila goti litapigwa.

  • @user-bw3pz6vf2n
    @user-bw3pz6vf2n 4 місяці тому

    Baba mutumishi wa Mungu, kua Na kiasi. Waache Wale vijana wanafanana Na wa vuta bangi, wahuni,

    • @shuhudazakikosikazichainji928
      @shuhudazakikosikazichainji928  4 місяці тому

      Kwangu kuhubiri ni kuwaambia wavuta bangi na wahuni kama hao kuwa iko hatari na hasara ya kuwa hivyo. Unataka kiasi gani?

    • @user-bw3pz6vf2n
      @user-bw3pz6vf2n 4 місяці тому

      @@shuhudazakikosikazichainji928
      Samaani. Mimi Niko inchini DRC mujini Bunia. Nakufwatilia kila mara, nyimbo Na ibada. Hata Wakati uliondoka gerezani ilikua furaha kwetu sote. Nilitaka kusema kiasi ya neno: kukufa kama panya. Labda nilisikia vibaya. MUNGU akubariki

    • @UAMSHOTV
      @UAMSHOTV 4 місяці тому

      Hii ni SAUTI YA HAKI DUNIANI

    • @yamungumbarikiwamwakipesil401
      @yamungumbarikiwamwakipesil401 4 місяці тому

      Ni vizuri kujua kiasi kipi ? au unamaanisha aache kuwajuza nakuwafungua akili zao mbovu ili zisiwe mbovu nakufikilia toba nakuwa upande wa Mungu?? Au aje ila kama unamaanisha aache kuongea kweli na kufungua watu mfano wa huo basi nikujulishe ni kama unatafta kufanya kazi ya shetani, shituka uwe na upeo uelewe haya yanenwayo na Mungu kupitia watu wake