Mbarikiwa na Isaya wazozana vikali kimaandiko. Mbarikiwa utauawa kijinga kama YOHANA MBATIZAJI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 5 місяців тому

    Neno la MUNGU litajithibitisha Na kuthibitishwa kwa Neno lake huyu MUNGU, Muumba wa vyote. Amina.

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 5 місяців тому

    Mbalikiwa sasa ndo nimeanza kukuelewa

  • @willygwaikana
    @willygwaikana 5 місяців тому

    Kusema Yohana alikurupuka ni kukosa ufahamu wa rohoni. Ni kutafakari mambo ya Mungu kwa akili za kimwili. Na kuwatetea wazee eti wamefanya kazi ya Mungu kwa muda mrefu sana nao huo ni kukosa ufahamu. Muda mrefu kazini au umri mkubwa si kigezo cha mtu kukubalika mbinguni au aonekane kuwa ni mtumishi wa kweli wa Mungu. Kwani manabii wa uongo na wachungaji wa uongo waliotabiriwa kuwepo watakuwa ni wale ambao wamefanya kazi kwa muda mfupi au sio wazee????!!!!. Huyu Isaya jicho lake la rohoni halioni. Walimu na manabii wa uongo hutambulikana na mafundisho yao yaliyo kinyume na neno la Bwana.

    • @ugalidona-cs2yn
      @ugalidona-cs2yn 5 місяців тому

      Isaya Benson Mwakilembe anapinga mafundisho ya Yesu Kristo wazi wazi.