HEE KUMBE NAYE HUYU ALIOLEWA AKIWA NA MIAKA 18 NA AMEDUMU KWENYE NDOA PAMOJA NA UMAARUFU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @SantianEnock
    @SantianEnock 5 місяців тому

    Nikwer bibilia hailuhusu kuachana, lkn Kuna sababu Mimi pia niliolea namiaka 16 nimeza watiti wanna n huo baba lkn nimeachana nae baada miaka 22 kwenye ndio ila akaja kutembea na mtoto wetu wa tatu akia na miaka 12 siwez kuishi nae tena usiombe likukute hii dada

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 5 місяців тому

    Nakwambia ivi tulienda kwenye mafundisho ya mausiano kwa Dr chriss ila akuna kilicho badilika yeye anaamini yake tu ndoa kama tupo jera duuuu?basi tu nimegundua shetani wa pili ni mwanamke yani akijua kuvaa suruali tu akawa anatomgonzwa ovyo anakuwa ibilisi anakwambia anataka aishi peke yake mungu tusaidie 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 5 місяців тому

    Inauma sana jamani shetani yupo tena anazunguka kwenye ndoa za watu ili waachane fanyeni uchunguzi sana mwanamke wa sasa ni tofauti sana na miaka ya nyuma shetani yupo kwa wanawake jamani tuwe makini sana

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 5 місяців тому

    Tunaomba wanawake kama nyie muwe wengi jamani awa wadada wa siku izi ni pasua kichwa ukiwachunguza vizur tayali wengi wamezalishwa wamekuwa malaya ovyo ovyo wanaishi kisingo Mather sio wakalimu na awana woga hata kidogo jamani napendekeza kutengenezwe magroup ya kutetea ndoa zidumu jamani jamiiii inangamia

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 5 місяців тому

    Mpo sawa jamani nyie ndio wanawake wa kuijenga taifa la mungu wa kweli

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 5 місяців тому

    Ila pia nalia na wasanii wa sasa wamekuwa chanzo cha kuimba upumbavu kila siku ni chocheo kubwaa sana wanawake kuto olewa na wanaume kuto kuoa watoto wa kike wanatoa mimba sana jamani chunguzeni ilo

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 5 місяців тому

    Wanawake wa sasa wamejawa wa mashetani wanasema wanaitaji kuwa huru ili wadange marafiki sio watu jamani