Uislam unapigwa vita kifikra na tumepigika na tunapigika kwelikweli. Siku akipatikana mtu wa kuwazindua Waislam na fikra potofu juu ya uislam na waislam ndo itakuwa ukombozi wetu lakin hali ni taaban kwelikweli
😂😂kuna mahizbi huku chini maneno yanawatoka, si mlikuwa mnakataza shule ninyi, salafi haijakataza shule sema ilmu ya dini ndo wameipa kipau mbele, ilmu ya dunia ni faradhi kifaya, lakin mahizbi na makhurafi walitunukuu vibaya kabisa
Kazi yenu kubadilisha misamiati tu mlitusumbua sana na neno makhawarij sa ii mmeamia kwenye uhizb YAAN kila aliye against na fikra zenu ni hizb ila tafuteni wa kuwafanya wajinga weng wameacha mashule na vyuo kwa fikra zenu potofu na uchache wa ELIMU eti mlitunukuu vibaya Heb muogopeni Allah acheni kunificha kwenye kivuli Cha usalaf
BAADA YA KUTIMIZA MALENGO MLIYOKUWA MMEYAKUSUDIA EEH VP KUHUSIANA NA WALE VIJANA MLIOWADHULUM WAKAACHA SHULR NA VYUO KWA SABABU YA FIKRA YENU KUWA NI HARAM? KWA HIYO KWENU MMEJIPA UDHURU KWA WENGINE NI HARAM AU ELIMU NA JAMBO HILO MLIKUWA HAMNALO ?
Nyi majamaa waongo xana salafi hawakujataza ilmu dunia, sema ni kwamba wanachosema ilmu ya dini ni kipaumbele ilmu ya dunia ni farazi kifaya watu mkanukuu et wanakataza shule😂😂
@@aboubakarmakha4194 Hakuna aliyekalifishwa kuacha shule au chuo. Laiti km angekuwepo serikali isingewafumbia macho wenye kulaghai watu kuacha masomo. Jiulize ni nani ktk walinganizi wa kisalafi aliyewahi kushtakiwa kwa kesi ya kurubuni wanafunz kuacha masomo kisa masomo ya dini? Nitajie, alifunguliwa kesi mahakama gani. Kama mtu alilinganiwa kuhusu umuhimu wa kusoma dini akaona ni bora aache elimu dunia hilo ni jambo binafsi huwezi kuwasingizia watu kuwa wamemlazimisha. Binafsi mm nimegraduate Mzumbe na da'awa salafiyya nilianza kuisoma pale na hakuna aliyekuwa ameacha masomo wote tuligraduate. Tembea UDSM na vyuo vikuu upate historia ya vijana wa kisalafi waliograduate. Usilishwe matango pori
@@AbdulIssa-o7e Wengi wao wanapotoshwa na wanaharakati na masheikh zao lakini kwa bahati mbaya wanashindwa kutumia akili zao kuchuja wanayoambiwa. Na hizi tuhuma dhidi ya masalafi nimefanys uchunguzi nikagundua zinatoka kwa mashia. Fuatilia clip za Sheikh wa kishia anaejulikana km Sheikh Jalala wa hapa Tz au fuatilia vipindi vya radio ya kishia inayoitwa Redio Maarifa iliyopo Tanga utathibitisha ninachokisema. Masufi, Hizbi Tahrir n.k wanalishwa sumu na mashia ambao si waislamu kwa mujibu wa kauli ya maulamaa na wao wanaipokea kisha wanatemea waislamu wenzao masalafi bila wao wenyewe kujua.
@aboubakarmakha4194 Hakuna mlinganizi wa kisalafi aliyesema kusoma elmu dunia ni haramu. Km unao ushahidi wa clip itume watu wathibitishe kauli yako. Pia hakuna mlinganizi wa kisalafi aliyelazimisha watu kuacha kusoma elimu dunia, na km wapo serikali ingekuwa imeshawachukulia hatua za kisheria. Km una ushahidi ni sheikh fulani alimlazimisha fulani tuletee ushahidi. Aidha, km suala la mtu kuacha kusoma elimu dunia kwenda kusoma elimu ya dini baada ya kulinganiwa hilo ni jambo binafsi ambalo hata Allah hakuikalifisha nafsi ya yeyote baada ya kuteremsha ubainifu (QURAN) bali akasema tu "Mtu akitaka ataufuata (kushukuru) ama atakufuru (kuacha)"
kilichokuwa kinasemwa ni kuwa elimu ambayo ni ya lazima (faradh a'in) ni elmu ya dini siyo elmu ya Dunia. Hivyo Watu wapupie kusoma elmu ya dini kuliko elimu ya Dunia coz makusudio ya kuumbwa kwa mwanadamu ni kuja kumuabudu Allah na huwezi kumuabudu Allah kwa elimu ya secondary au college Bali elmu ya dini. Ama km Kuna aliyesema ni kusoma elmu ya Dunia pekee ni uhizbi wallahu a'alam binafsi naona ni kweli kwa mifano ya wazi. Chunguza wasomi wabobezi Tanzania hapa (professors, Doctors n.k aliye kwenye itikadi ya sawa ktk dini wako wa ngapi? Wengi wametumbukia kwenye uhizbi (siasa, taasisi zenye mlengo wa kidunia) na wengine wameenda mbali zaidi mpaka kuquestion Aya za Quran na hadithi za Mtume. Lakini hii haiondoshi kuwa elmu ya dini ni faradhi kifaya na inakuwa Bora ikitanguliwa na elmu ya dini.
Hakuna anaekuchanganya, search clip zao za miaka ya nyuma utaona wanachokisema ni kile kile siku zote. Sema Kuna Watu wanaamua kupotosha wanachokisema nakumbuka siku Moja nilikuwa kwenye semina DSM iliyokuwa inaendeshwa na Taasisi ya kiislamu walikuwa wanasema "masalafi hawataki Watu wa some elimu ya Dunia" kuanzia hapo nikaanza kuwachukia masalafi lakini baadae nilipofuatilia clip na darasa zao nikaona ni uongo wanasingiziwa. Wao hawakatazi Watu kusoma elmu Dunia Bali wanasistiza zaidi Watu wasome elmu ya dini ukilinganisha na elmu ya Dunia.
@@abdulshaban5428 msiwe wasahaulifu sisi mwanzo hatujasoma mambo yote tunasikia nanyinyi darsa zenu mnatufundishaga moja wapo ni hiyo mlikataaga elim dunia mkasema ni uhizbi. Tafta darsa za abuu hashim utaona
MAASHALLAH ALLAH ABARIKI❤❤❤
Mbona Abuu Hasheem Abdulqadir anapinga shule
Amiiiiiiin Amiiiiiiin Amiiiiiiin
Uislam unapigwa vita kifikra na tumepigika na tunapigika kwelikweli.
Siku akipatikana mtu wa kuwazindua Waislam na fikra potofu juu ya uislam na waislam ndo itakuwa ukombozi wetu lakin hali ni taaban kwelikweli
😂😂kuna mahizbi huku chini maneno yanawatoka, si mlikuwa mnakataza shule ninyi, salafi haijakataza shule sema ilmu ya dini ndo wameipa kipau mbele, ilmu ya dunia ni faradhi kifaya, lakin mahizbi na makhurafi walitunukuu vibaya kabisa
Kazi yenu kubadilisha misamiati tu mlitusumbua sana na neno makhawarij sa ii mmeamia kwenye uhizb YAAN kila aliye against na fikra zenu ni hizb ila tafuteni wa kuwafanya wajinga weng wameacha mashule na vyuo kwa fikra zenu potofu na uchache wa ELIMU eti mlitunukuu vibaya
Heb muogopeni Allah acheni kunificha kwenye kivuli Cha usalaf
BAADA YA KUTIMIZA MALENGO MLIYOKUWA MMEYAKUSUDIA EEH
VP KUHUSIANA NA WALE VIJANA MLIOWADHULUM WAKAACHA SHULR NA VYUO KWA SABABU YA FIKRA YENU KUWA NI HARAM?
KWA HIYO KWENU MMEJIPA UDHURU KWA WENGINE NI HARAM AU ELIMU NA JAMBO HILO MLIKUWA HAMNALO ?
Nyi majamaa waongo xana salafi hawakujataza ilmu dunia, sema ni kwamba wanachosema ilmu ya dini ni kipaumbele ilmu ya dunia ni farazi kifaya watu mkanukuu et wanakataza shule😂😂
@@aboubakarmakha4194 Hakuna aliyekalifishwa kuacha shule au chuo. Laiti km angekuwepo serikali isingewafumbia macho wenye kulaghai watu kuacha masomo. Jiulize ni nani ktk walinganizi wa kisalafi aliyewahi kushtakiwa kwa kesi ya kurubuni wanafunz kuacha masomo kisa masomo ya dini? Nitajie, alifunguliwa kesi mahakama gani. Kama mtu alilinganiwa kuhusu umuhimu wa kusoma dini akaona ni bora aache elimu dunia hilo ni jambo binafsi huwezi kuwasingizia watu kuwa wamemlazimisha. Binafsi mm nimegraduate Mzumbe na da'awa salafiyya nilianza kuisoma pale na hakuna aliyekuwa ameacha masomo wote tuligraduate. Tembea UDSM na vyuo vikuu upate historia ya vijana wa kisalafi waliograduate. Usilishwe matango pori
@@AbdulIssa-o7e Wengi wao wanapotoshwa na wanaharakati na masheikh zao lakini kwa bahati mbaya wanashindwa kutumia akili zao kuchuja wanayoambiwa. Na hizi tuhuma dhidi ya masalafi nimefanys uchunguzi nikagundua zinatoka kwa mashia. Fuatilia clip za Sheikh wa kishia anaejulikana km Sheikh Jalala wa hapa Tz au fuatilia vipindi vya radio ya kishia inayoitwa Redio Maarifa iliyopo Tanga utathibitisha ninachokisema. Masufi, Hizbi Tahrir n.k wanalishwa sumu na mashia ambao si waislamu kwa mujibu wa kauli ya maulamaa na wao wanaipokea kisha wanatemea waislamu wenzao masalafi bila wao wenyewe kujua.
@aboubakarmakha4194 Hakuna mlinganizi wa kisalafi aliyesema kusoma elmu dunia ni haramu. Km unao ushahidi wa clip itume watu wathibitishe kauli yako.
Pia hakuna mlinganizi wa kisalafi aliyelazimisha watu kuacha kusoma elimu dunia, na km wapo serikali ingekuwa imeshawachukulia hatua za kisheria. Km una ushahidi ni sheikh fulani alimlazimisha fulani tuletee ushahidi. Aidha, km suala la mtu kuacha kusoma elimu dunia kwenda kusoma elimu ya dini baada ya kulinganiwa hilo ni jambo binafsi ambalo hata Allah hakuikalifisha nafsi ya yeyote baada ya kuteremsha ubainifu (QURAN) bali akasema tu "Mtu akitaka ataufuata (kushukuru) ama atakufuru (kuacha)"
Usitetee usichokijua watu wako na malengo yao wanajua ni nin wanachokifanya kwa hiyo unataka kusema wanasingiziwa eeh
Kwan jamani mbona masheikh mnatuchanganya sana nyinyi mwanzo wenyewe ndo mlikuwa mkitwambia kwamba elim ya sekula ni uhizbi sasa leo imekuaje tena
kilichokuwa kinasemwa ni kuwa elimu ambayo ni ya lazima (faradh a'in) ni elmu ya dini siyo elmu ya Dunia. Hivyo Watu wapupie kusoma elmu ya dini kuliko elimu ya Dunia coz makusudio ya kuumbwa kwa mwanadamu ni kuja kumuabudu Allah na huwezi kumuabudu Allah kwa elimu ya secondary au college Bali elmu ya dini. Ama km Kuna aliyesema ni kusoma elmu ya Dunia pekee ni uhizbi wallahu a'alam binafsi naona ni kweli kwa mifano ya wazi. Chunguza wasomi wabobezi Tanzania hapa (professors, Doctors n.k aliye kwenye itikadi ya sawa ktk dini wako wa ngapi? Wengi wametumbukia kwenye uhizbi (siasa, taasisi zenye mlengo wa kidunia) na wengine wameenda mbali zaidi mpaka kuquestion Aya za Quran na hadithi za Mtume. Lakini hii haiondoshi kuwa elmu ya dini ni faradhi kifaya na inakuwa Bora ikitanguliwa na elmu ya dini.
Hakuna anaekuchanganya, search clip zao za miaka ya nyuma utaona wanachokisema ni kile kile siku zote. Sema Kuna Watu wanaamua kupotosha wanachokisema nakumbuka siku Moja nilikuwa kwenye semina DSM iliyokuwa inaendeshwa na Taasisi ya kiislamu walikuwa wanasema "masalafi hawataki Watu wa some elimu ya Dunia" kuanzia hapo nikaanza kuwachukia masalafi lakini baadae nilipofuatilia clip na darasa zao nikaona ni uongo wanasingiziwa. Wao hawakatazi Watu kusoma elmu Dunia Bali wanasistiza zaidi Watu wasome elmu ya dini ukilinganisha na elmu ya Dunia.
Una ushahidi katika madai haya?Lete ushahidi wako ukiwa wewe ni mkweli
Hujaelewa...