HUMEID Kuamia Sana kwa kuonekana Picha Za swahib Yake ,na Kudai kuwa Amefanyiwa Dhulum ,Wakti kiuhalisia Ile ni Hakii Yake kufanyiwa vile kwa Sabab 1. Uwongo Waliooneza vijana Wa Kasim Mafuta na yeye mwenywe ni Mkubwa Zaid ya Hio Picha ,Masheikh Wakisunna Wangpi Mumewadhulum kwa Mdomo Yenu michafu 2. Hakuna Picha Ya Passport saiz Inayopigwa Upande upnde ,Alaf Kasim Mafuta Yeye mwenywe anasema alipigwa hajui ,lkn Vijana wake munsema kuwa Ni Passport Size Nani Mkweli Kati yenu ,Mban Munababaika 3. Maneno Machafu Anayotumia Kasim Mafuta ,na Dilele ,Pamoja na Watu wake , Pindi wanapowsema Masheikh Wengine wa kisuunn. hicho Ndio kilicho pelekea watu Kufurahi kwa kuumbuliwa hyu Kasim Mafuta , mafno wa maneno Mabovu ya Kasim "Yule islam hanifiiikii Yule Dr yake ya Mifugo Hana Usomi Yule ,ni Hizbi kwli kwli" sound of Mafuta 4. Ubabe Wa Kasim Mafuta na Majigambo Yaake Dhidi ya Watu Wa Sunna ambao yey Kawakuta Tayr Washaivusha Tanzania kutoka katika Bidaa ,lkn Alipo dhihiri yeye na Genge Lake Wale wote waliokataaa kufta msismamo wake Bas Akampchika Uhizbi Na kunadi kila Mahala .mfano " Yuleee Barahiyan ni Rais wa Mahizb ,Yuleee Mzee Mwizi Sna, Ulee mzee tapeli" Je ni hya maneno anayotumia Kasim Mafuta ni Mazuri Kisheria ? 5 . Maneno Machafu Anayo tumia Kasim Mafuta Na Genge Lake ,Dhidi ya Watu Sunna ,Wallah sijapta kuona Watu Wenye Hulka mbovu Kwa Masheikh Wengine Kama hawa Vijana wa ksimu Mafuta , ila ikitokea Mtu akiwafanyia kama Yale ambao wao huyafaanya Basii Huumia San , Mfano " Ylee Barahiyan Haosheki Kajiharia ,Hata Ichukuliwe Bahri Nzima " Soud of Mafuta . Jamniii hizi ni Baadhi Tu ya Kashfa Ambazo hyo Munaseema kadhalilshwa ndio Kawaida Yake kuwafanyia Maduwate Wenziwe SWALI LANGU JE HAYO MAMBO ANAYOYAFANYA YEYE KWA MASHEIKH WENZIWE JE NI SAHIHI JE HIIZI SI DHULMA ?
haya usiwe na akili mimi nakuongezea maarifa ili uzinduke itizame hiyo passport size na picha vizuri bega la kulia utagundua kuwa passport size ni ndogo kuliko picha sasa kama ingekua asili ni passport size ingekua zipo sawa au passport size ingukea kubwa hiyo passport size ndio editor muache ujinga mawahaabiii
Hapa ata iweje uharamu wa picha utabakia pale pale tu haijalishi ni picha ya aina gani Huwezi ukamuona mtu anakataza kuiba halafu ukamuona anaiba ukachukua ushahidi na kuupeleka kwa watu halaf ikaonekana alie leta ushahidi ana dhambi sana kuliko mwizi Maana ukisema ilipigwa kwa dharury inamaana ya kwamba hata makosa mengine yalio haram km kuiba, zinaa, shirki, kuua na mengine yanaweza kuhalalika kwa kisingizio cha udharura.
Wewe kasome kwanza maana nahisi mlango wa dharura hujauelewa bado. Kwani mbona Quran imeharamisha nguruwe n.k. ila vikaruhusiwa kwa dharura? Kaisome dharura na vidhibiti vyake kisha ndo uzungumze.
@shazilumnalima9708 udhuru wa kula nguruwe na kusema uongo hivyo vinajulikana Swali lipo hapa usizunguke sana picha zimeharamishwa kwa mujibu wa hadithi zinazotolewa sasa je udhuru wa picha umeletwa maeneo gani quran au hadithi jibu ni rahisi usilifanye likawa gumu kuzunguka sana kama huna jibu basi tulia
@shazilumnalima9708 tatizo lenu mumekalia kiushabiki tu mtu kama kafanya kosa bs kakosea isiwe kosa hilo likifanywa na watu fulani munalitakasa lkn kinyume chake likifanywa na wengine munaliona ni kosa na mnalipinga hamlitakasi
Wakati mnaendeleacna mzozo wa kijinga wa picha....wenzenu wanasonga mbele kwenye fikra za maendeleo... Hivi dunia ya Leo uwe na msimamo wa kutokupigwa picha itakuwaje.. Passport inajitaji picha. Vitambulisho NIDA picha lazima. Mwanafunzi shuleni picha inahitajika. Usajili wa Taasisi picha lazima. Sasa we endelea
@@Nassorseif-y7oSasa wewe hata waelimishwa wapi uachwe wapi ikiwa hujui kuwa Kuna mlango wa dharura umefunguliwa katika picha?? Minakuona wwe ndo huyo shaykh anaesema squared wwe hata hujibiki...na hapo ulipo una kitambulisho...we mwenyewe huoni kuwa umtuupu
We mjinga kweli tujaaliye ni kweli huu upuuzi wanaomzulia Shaykh Allaah amhifadhi...sasa ndo tupige picha kwa sababu amepiga?? Hivi salafy akinyoa ndevu sasa ndo tunyoe ama mwamaanisha nni?? Hamuoni hamkusudii ispokuwa fitnah TU kutaka kumdogosha Shaykh Abul Fadhl?? Hamuezi bana na Allaah atalifungua jambo hili kwa uwazi kabisa na atamdhalilisha aliyefanya kitendo hiki ikiwa sio hapa bila shaka kesho ataekwa wazi.
@ Akhui , sawa mimi mjinga . Hakuna anaejua ukwel wa hilo ispokua shekh mwenyewe na Mwenyez mungu, mm nmeuliza kikawaida tu . Yaezekana kwel kuna mtu kampiga yeye bila kujua. Wale wanaosema hii ni passport size mm nmeuliza kwan passport size mtu anaruhusiwa kuvaa kofia au kilemba. Kama anaruhusiwa bas hamna haja ya kubisha kua ni passport size hata mm ntakubal
Sisi TUNAJUA MAHIZBI NA MASUFI SIFA YAO NI UONGO....NA NYAMBU MFANO BARAHIYANE.......KWA HY HATUSHTUKI TUNAJUA NI UONGO.........NA PIA TWAJUA WANAVOUMIA MASUFI NA MAHIZBI WAPENDA UBWABWA.......HATUSHANGAI
Wewe ni chizi kwelikweli😂nyinyi hata muwachukie answaarusuna ambao ndio masalafi wa haki hamuwezi kuiyangusha da'wa Yao hata kidogo imejengwa kwa misingi ya tawheed,mnajisumbua tu😂nyinyi mmeshakubali kumtumikia binadamu mwenzenu kassim mafuta😢 ndomana hamkubali kuwa anakosea😮 na hii ni dalili lau kassim mafuta atawapeni mavi awambieni hii ni futari mtakula😂😂 wajinganyie,
@@SameerMdumbemalongo Ni Jinsi Gani Hwa Mazezeta Ya Kasim Mafuta Na mdomo Yao Michafu ,Kwa Masheikh Wa kisunna vp Unawita Sheikh Salim Kuwa Ni Nyumbu ,wakti Hata Babako Alo kuzaa Huwezi kumtusi Tusi Hilo ,Je Unaweza kumwita Baba ako Nyumbu ,au Je Unaweza Kumwita Kasim Mafuta Kuwa Ni Nyumbu ?
Allah aku hifadhi hakuna alie salimika na makosa ila tukio lililo tokea ni la kuzuliwa halina ukweli wowote ndani yake ni dhulma na uadui wa baadhi ya watu mtu hawezi tetewa kwa batili Allah aku baarik@@HassanIddy-v1b
Kwer WEW TAIRA kabs Kwa manene yko yasio kuwa na busar usarf gan huo ZAID ya chuki Kwa answar SUNNA Kwa juhud zao mpka Leo SUNNA IPO hai Kwa ajir ya Allah nambie nyinyi mnaojita masarafu nini impact yenu kwenye jamii soon Mtapotea nyote inshallah
Haya maelezo mazuri kweli ila angekosea mwengine si katka nyinyi angekipata kweli kikubwa haikumtoa kwenye uislamu amekosea kama binadamu sio mkamilifu akikose na mwengine aelekezwe asitole kwenye uislamu Ili tufikie lengo
Allah aku hifadhi hakuna alie salimika na makosa ila tukio lililo tokea ni la kuzuliwa halina ukweli wowote ndani yake ni dhulma na uadui wa baadhi ya watu mtu hawezi tetewa kwa batili Allah aku baarik
Abdallah Humeid ana Elmu wewe Mashaallah na vile wewe bwege mkubwa maneno ya Allah na Mtume wake Muhammad Rehma za Allah ziwe juu yake ukiyafikisha ukweli wa kuyafikisha mnaona anakosea mlinganizi kumbe Daawa Salafiyya ni Daawa ya haki hizbi mkubwa wewe
Mtoto hata uchafu washingo hajatoka awasema wakubwa zake adabu ndogo mno wallah Mtu hata unachuki nae basi usipende kumvunjia heshima yake. Heshima nikitu muhimu mno kukichunga na kimezungumzwa ktk dini yetu. Jambo sio picha kama mzungumzaji anavyo ongea laa. Jambo nikiasi gani shekh atavunjiwa heshima na wengine kumtukana n. K lkn sababu niwewe dhambi zakubunjiwa heshima hazibakii kwaane mvunjia Bali aliesababisha anafungu. Allah atuthibitishe Katka haki
Mi niseme tu MAKHURAFI mmeona kufanya ivi ndio mutauwa daawatu salafiyah na badoo mi naon niwambie bora muunge chama cha siasa tu mugombanie udiwani saw
Mahzb twawajua waongo mimi pia nilishtuka sana ila sikua nasubiri ispokua maneno kama haya au kutoka kwake Ila wamezid sasa kam huku wako hivi kwenye dini watakua wakweli ---0
HUMEID Kuamia Sana kwa kuonekana Picha Za swahib Yake ,na Kudai kuwa Amefanyiwa Dhulum ,Wakti kiuhalisia Ile ni Hakii Yake kufanyiwa vile kwa Sabab 1. Uwongo Waliooneza vijana Wa Kasim Mafuta na yeye mwenywe ni Mkubwa Zaid ya Hio Picha ,Masheikh Wakisunna Wangpi Mumewadhulum kwa Mdomo Yenu michafu 2. Hakuna Picha Ya Passport saiz Inayopigwa Upande upnde ,Alaf Kasim Mafuta Yeye mwenywe anasema alipigwa hajui ,lkn Vijana wake munsema kuwa Ni Passport Size Nani Mkweli Kati yenu ,Mban Munababaika 3. Maneno Machafu Anayotumia Kasim Mafuta ,na Dilele ,Pamoja na Watu wake , Pindi wanapowsema Masheikh Wengine wa kisuunn. hicho Ndio kilicho pelekea watu Kufurahi kwa kuumbuliwa hyu Kasim Mafuta , mafno wa maneno Mabovu ya Kasim "Yule islam hanifiiikii Yule Dr yake ya Mifugo Hana Usomi Yule ,ni Hizbi kwli kwli" sound of Mafuta 4. Ubabe Wa Kasim Mafuta na Majigambo Yaake Dhidi ya Watu Wa Sunna ambao yey Kawakuta Tayr Washaivusha Tanzania kutoka katika Bidaa ,lkn Alipo dhihiri yeye na Genge Lake Wale wote waliokataaa kufta msismamo wake Bas Akampchika Uhizbi Na kunadi kila Mahala .mfano " Yuleee Barahiyan ni Rais wa Mahizb ,Yuleee Mzee Mwizi Sna, Ulee mzee tapeli" Je ni hya maneno anayotumia Kasim Mafuta ni Mazuri Kisheria ? 5 . Maneno Machafu Anayo tumia Kasim Mafuta Na Genge Lake ,Dhidi ya Watu Sunna ,Wallah sijapta kuona Watu Wenye Hulka mbovu Kwa Masheikh Wengine Kama hawa Vijana wa ksimu Mafuta , ila ikitokea Mtu akiwafanyia kama Yale ambao wao huyafaanya Basii Huumia San , Mfano " Ylee Barahiyan Haosheki Kajiharia ,Hata Ichukuliwe Bahri Nzima " Soud of Mafuta . Jamniii hizi ni Baadhi Tu ya Kashfa Ambazo hyo Munaseema kadhalilshwa ndio Kawaida Yake kuwafanyia Maduwate Wenziwe SWALI LANGU JE HAYO MAMBO ANAYOYAFANYA YEYE KWA MASHEIKH WENZIWE JE NI SAHIHI JE HIIZI SI DHULMA ?
Je kunawatu waongo kuliko nyinyi majadida? Watu wa furka na ta'assub msiokubali mashekhe wenu wanakosea😮nyinyi mnasehemu ktk ushia na usufi majaahili kwelikweli na Bado povu litawatoka kwa kumnusuru binadamu ktkt kumtetea kwenye makosa badala ya kuinusuru dini ya allaah😢
Ssa wey muhusika anasema wamefanya edit wey nani wakusema kama wanamtetea kwenye makosa...hakuna aliye kataa kama sheikh anaweza kosea kama binaadam...ila kwanin wamzuliye uongo kama jins anavyo Dai...hiy n dhulma na ikiwa unaendelea kutetea hiy dhulma na wey utakua miongoni mwao...yani mtu unataka tu ionekane sheikh kafanza SubhanaAllah
Wewe Mbumbumbu kweli yani mlango wa dharura huulewi unaropoka tu ,kwa hiyo unataka watu wakaishi mbinguni? WEWE TETEA TU UJINGA NA UZUZU ULOKUWA NAO UTAINGIA KWENYE SIFA YA YULE KAHABA@@hemedahmed3094
Mnajitahidi kumsafisha lakin tatizo Watu wanaakili Hata ukisema hizbi, nani Sisi.twajiwa picha yake Na kama si yake Ale kiapo.mbele ya allah s.w Na laana iwe juu yake Apo.ndo tutaamini
yuasema kuna picha zingine amekustiri manake mazingira uliyopiga nazo sio mazuri 😅,hiyo inayosambaa kwa sisi wataalamu wa picha twajua ni edited lakini hizo zingine zenye hatujaziona sasa ndio itakua balaa
Kama hii imeeditiwa itashindikana vipi kwa hizo zingine?! Jaahili kweli wewe! Watu wanaeditiwa wakiwa wafanya zinaa, sembuse mtu akiwa ndani mgongo wazi?! Halafu kama kajipiga Abul Fadhwil... Wamezipataje?! Mana wanadai kazisambaza Abul Fadhwil mwenyewe! How is it possible????!!! Huyo ambaye katumiwa hizo picha na Abul Fadhwil ndo aje hadharani abainishe😢😢😢
Sasa wakishatuma hizo ndo itakuaje yaani??😁😁halafu kma mtu mgongo waonekana mwanaume anampiga picha itakua ana tabia za kike mwanaume sawasawa huwez mpiga picha mwanaume mwenzako kama hizo.
Tunaamini kwa dalili za kisheria za qurani na suna wanadamu ni watu w kukosea tu,aijalishi msomi au jaahili,kitu cha kushangaza hapa hawa majadida wamemfanya kassim mafuta hawezi kosea!!😮,
Shekh Qassim ana kosea sababu ni binadamu na hakuna binadamu asie kosea ila katika hilo ambalo ana tuhumiwa kua ame kosea jee ni kweli ame fanya hilo kosa ama haja fanya !?? hapa ndipo mahala kwenye mzozo hivyo bas kama ni kweli tuta sema Shekh ame kosea na kama si kweli tuta sema Shekh ame tuhumiwa kwa tuhma za uongo. Allah aku hifadhi
Allah awahifadhi Maduat wa kisalafi na family zao,awape thabat juu ya hii Da3wa,awalinde kutokamana na vitimbi vya wenye vitimbi.
Aamyn
Amiin
Wote ndiyo wao wao wakuwatukana Masheghe wengine Huna jipya
ALLAH AWAHIFADHI MASHEYKH ZETU NA AWAANGAMIZE MAADUI WA DAAWAT SSALAFY ALLAH AWAPE AFYA MASHEYKH ZETU SSALAFIYYIIN
Allah amuhifadh Sheikh wetu mpendwa Qassim mafuta na amkinge na fitna na mpe subra
Ameen
Amiin
Allah awahifadhi Maduat wote wa kiislam...aamin
ALLAAH ATAWAVUNJA MIGONGO KILA MWENYE KUIPIGA VITA DAAWAH SALAFIIYUN
Mnalipwa mlitembea afrika mashariki mkifedhehesha masheikh na waislam saiv kineumana nabado mtawaka tu
سُبْحَانَكَ هَٰذَا بُهْتَانٌ عَظِيمٌ😢
Mfano wa ukweli litadhihiri siku ya kisimamo .
Ilaa wengi tupo tuno fuata misimamo kabla ya elimu.
Wallahi hawa niwabaya sana, wanatumia nguvu kubwa kuchafua madaaii
Hio kukata maneno si limefanya lile li Arafati Barmaky dhidi ya shekh Yahya alhajuuri na nyinyi mkabeba kama ilivyo, we mwenyewe
Mtihani hawa mahizbi , masufi
HUMEID Kuamia Sana kwa kuonekana Picha Za swahib Yake ,na Kudai kuwa Amefanyiwa Dhulum ,Wakti kiuhalisia Ile ni Hakii Yake kufanyiwa vile kwa Sabab
1. Uwongo Waliooneza vijana Wa Kasim Mafuta na yeye mwenywe ni Mkubwa Zaid ya Hio Picha ,Masheikh Wakisunna Wangpi Mumewadhulum kwa Mdomo Yenu michafu
2. Hakuna Picha Ya Passport saiz Inayopigwa Upande upnde ,Alaf Kasim Mafuta Yeye mwenywe anasema alipigwa hajui ,lkn Vijana wake munsema kuwa Ni Passport Size Nani Mkweli Kati yenu ,Mban Munababaika
3. Maneno Machafu Anayotumia Kasim Mafuta ,na Dilele ,Pamoja na Watu wake , Pindi wanapowsema Masheikh Wengine wa kisuunn. hicho Ndio kilicho pelekea watu Kufurahi kwa kuumbuliwa hyu Kasim Mafuta , mafno wa maneno Mabovu ya Kasim
"Yule islam hanifiiikii Yule Dr yake ya Mifugo Hana Usomi Yule ,ni Hizbi kwli kwli" sound of Mafuta
4. Ubabe Wa Kasim Mafuta na Majigambo Yaake Dhidi ya Watu Wa Sunna ambao yey Kawakuta Tayr Washaivusha Tanzania kutoka katika Bidaa ,lkn Alipo dhihiri yeye na Genge Lake Wale wote waliokataaa kufta msismamo wake Bas Akampchika Uhizbi Na kunadi kila Mahala .mfano
" Yuleee Barahiyan ni Rais wa Mahizb ,Yuleee Mzee Mwizi Sna, Ulee mzee tapeli"
Je ni hya maneno anayotumia Kasim Mafuta ni Mazuri Kisheria ?
5 . Maneno Machafu Anayo tumia Kasim Mafuta Na Genge Lake ,Dhidi ya Watu Sunna ,Wallah sijapta kuona Watu Wenye Hulka mbovu Kwa Masheikh Wengine Kama hawa Vijana wa ksimu Mafuta ,
ila ikitokea Mtu akiwafanyia kama Yale ambao wao huyafaanya Basii Huumia San ,
Mfano
" Ylee Barahiyan Haosheki Kajiharia ,Hata Ichukuliwe Bahri Nzima "
Soud of Mafuta .
Jamniii hizi ni Baadhi Tu ya Kashfa Ambazo hyo Munaseema kadhalilshwa ndio Kawaida Yake kuwafanyia Maduwate Wenziwe
SWALI LANGU JE HAYO MAMBO ANAYOYAFANYA YEYE KWA MASHEIKH WENZIWE JE NI SAHIHI JE HIIZI SI DHULMA ?
mashallah
Weye dilele ulokuwa wa kuropoka tu na mjadala hutaki 😂 mpaka umsemee wewe yeye hana mdomo?
Maizbi na masufi ndivo walivo.
سبحان الله
Mahizbi
Sasa ninyi Hijja mnaendaje maana lazima mpige picha
haya usiwe na akili mimi nakuongezea maarifa ili uzinduke
itizame hiyo passport size na picha vizuri bega la kulia utagundua kuwa passport size ni ndogo kuliko picha sasa kama ingekua asili ni passport size ingekua zipo sawa au passport size ingukea kubwa
hiyo passport size ndio editor muache ujinga mawahaabiii
PASPOTI MPTYA ZA KUPINDA HATARI
Hapa ata iweje uharamu wa picha utabakia pale pale tu haijalishi ni picha ya aina gani
Huwezi ukamuona mtu anakataza kuiba halafu ukamuona anaiba ukachukua ushahidi na kuupeleka kwa watu halaf ikaonekana alie leta ushahidi ana dhambi sana kuliko mwizi
Maana ukisema ilipigwa kwa dharury inamaana ya kwamba hata makosa mengine yalio haram km kuiba, zinaa, shirki, kuua na mengine yanaweza kuhalalika kwa kisingizio cha udharura.
Wewe kasome kwanza maana nahisi mlango wa dharura hujauelewa bado. Kwani mbona Quran imeharamisha nguruwe n.k. ila vikaruhusiwa kwa dharura?
Kaisome dharura na vidhibiti vyake kisha ndo uzungumze.
@shazilumnalima9708 udhuru wa kula nguruwe na kusema uongo hivyo vinajulikana
Swali lipo hapa usizunguke sana picha zimeharamishwa kwa mujibu wa hadithi zinazotolewa sasa je udhuru wa picha umeletwa maeneo gani quran au hadithi jibu ni rahisi usilifanye likawa gumu kuzunguka sana kama huna jibu basi tulia
@shazilumnalima9708 tatizo lenu mumekalia kiushabiki tu mtu kama kafanya kosa bs kakosea isiwe kosa hilo likifanywa na watu fulani munalitakasa lkn kinyume chake likifanywa na wengine munaliona ni kosa na mnalipinga hamlitakasi
Wakati mnaendeleacna mzozo wa kijinga wa picha....wenzenu wanasonga mbele kwenye fikra za maendeleo...
Hivi dunia ya Leo uwe na msimamo wa kutokupigwa picha itakuwaje..
Passport inajitaji picha.
Vitambulisho NIDA picha lazima.
Mwanafunzi shuleni picha inahitajika.
Usajili wa Taasisi picha lazima.
Sasa we endelea
@@Nassorseif-y7oSasa wewe hata waelimishwa wapi uachwe wapi ikiwa hujui kuwa Kuna mlango wa dharura umefunguliwa katika picha?? Minakuona wwe ndo huyo shaykh anaesema squared wwe hata hujibiki...na hapo ulipo una kitambulisho...we mwenyewe huoni kuwa umtuupu
Ni kweli mm naeza kukubal kweli wame edit lkn naomba kuuliza hv kwel passport size mtu anavaa kofia au kilemba ?
We mjinga kweli tujaaliye ni kweli huu upuuzi wanaomzulia Shaykh Allaah amhifadhi...sasa ndo tupige picha kwa sababu amepiga?? Hivi salafy akinyoa ndevu sasa ndo tunyoe ama mwamaanisha nni?? Hamuoni hamkusudii ispokuwa fitnah TU kutaka kumdogosha Shaykh Abul Fadhl?? Hamuezi bana na Allaah atalifungua jambo hili kwa uwazi kabisa na atamdhalilisha aliyefanya kitendo hiki ikiwa sio hapa bila shaka kesho ataekwa wazi.
@ Akhui , sawa mimi mjinga . Hakuna anaejua ukwel wa hilo ispokua shekh mwenyewe na Mwenyez mungu, mm nmeuliza kikawaida tu . Yaezekana kwel kuna mtu kampiga yeye bila kujua. Wale wanaosema hii ni passport size mm nmeuliza kwan passport size mtu anaruhusiwa kuvaa kofia au kilemba. Kama anaruhusiwa bas hamna haja ya kubisha kua ni passport size hata mm ntakubal
Sisi TUNAJUA MAHIZBI NA MASUFI SIFA YAO NI UONGO....NA NYAMBU MFANO BARAHIYANE.......KWA HY HATUSHTUKI TUNAJUA NI UONGO.........NA PIA TWAJUA WANAVOUMIA MASUFI NA MAHIZBI WAPENDA UBWABWA.......HATUSHANGAI
Wewe ni chizi kwelikweli😂nyinyi hata muwachukie answaarusuna ambao ndio masalafi wa haki hamuwezi kuiyangusha da'wa Yao hata kidogo imejengwa kwa misingi ya tawheed,mnajisumbua tu😂nyinyi mmeshakubali kumtumikia binadamu mwenzenu kassim mafuta😢 ndomana hamkubali kuwa anakosea😮 na hii ni dalili lau kassim mafuta atawapeni mavi awambieni hii ni futari mtakula😂😂 wajinganyie,
Unamwita sheikh saalim barahiyani ni nyumbu!!kwakweli utakuja juta kwa hayo uliosema juu yake,
@@SameerMdumbemalongo Ni Jinsi Gani Hwa Mazezeta Ya Kasim Mafuta Na mdomo Yao Michafu ,Kwa Masheikh Wa kisunna vp Unawita Sheikh Salim Kuwa Ni Nyumbu ,wakti Hata Babako Alo kuzaa Huwezi kumtusi Tusi Hilo ,Je Unaweza kumwita Baba ako Nyumbu ,au Je Unaweza Kumwita Kasim Mafuta Kuwa Ni Nyumbu ?
Allah aku hifadhi
hakuna alie salimika na makosa ila tukio lililo tokea ni la kuzuliwa halina ukweli wowote ndani yake ni dhulma na uadui wa baadhi ya watu
mtu hawezi tetewa kwa batili Allah aku baarik@@HassanIddy-v1b
Kwer WEW TAIRA kabs Kwa manene yko yasio kuwa na busar usarf gan huo ZAID ya chuki Kwa answar SUNNA Kwa juhud zao mpka Leo SUNNA IPO hai Kwa ajir ya Allah nambie nyinyi mnaojita masarafu nini impact yenu kwenye jamii soon
Mtapotea nyote inshallah
HAKUNA WATUKANAJI WASENGANYAJI NA WATOVU WA NIDHAMU NA ADABU KULIKO NYNIYI WEWE DILELE NA MAFUTA TAA ZENU
Hakuna mjina na bwege na Allah amekuoiga muhuri wa ujahili kama wewe Hizbi mkubwa wewe
Eti albabib ndio nini sasa tena wewe ni al hizbi mkubwa sufi usiyejitambuwa
Musisingizia taaluma za kisasa zimeeditiwa laaaa kukosea ni kama kawaida.
Acheni ujinga na kusema uongo.Kwani picha za passport size anapozi anatabasamu anakaa upnde na kukenyua meno.
Haya maelezo mazuri kweli ila angekosea mwengine si katka nyinyi angekipata kweli kikubwa haikumtoa kwenye uislamu amekosea kama binadamu sio mkamilifu akikose na mwengine aelekezwe asitole kwenye uislamu Ili tufikie lengo
Aliyekosea ni nan na kosa Lake ni lip?
Hebu nyamaza maana hujaelewa atakilichozungumza
Wewe ni kipofu huwoni au ni ujadida umekuzidi?
Ameelewa vizuri sana❤ ila ulichokasirika ameguswa hizbu mwenzako kaasim mafuta😂vumilia tu,makosa ni yakilabinadam,
Namimi sikwamba nawatetea ahlulbida'a la,akina haji upepo na mfano wake,ila tusimfanye mwanadamu mwenzetu kama kama malaika wasiokosea,
Allah aku hifadhi
hakuna alie salimika na makosa ila tukio lililo tokea ni la kuzuliwa halina ukweli wowote ndani yake ni dhulma na uadui wa baadhi ya watu
mtu hawezi tetewa kwa batili Allah aku baarik
DILELE LEO UNAJUA KUHUSU ADABU? LEO UNAJUA HADITHI YA MTUME واذا خاصم فجر؟
Abdallah Humeid ana Elmu wewe Mashaallah na vile wewe bwege mkubwa maneno ya Allah na Mtume wake Muhammad Rehma za Allah ziwe juu yake ukiyafikisha ukweli wa kuyafikisha mnaona anakosea mlinganizi kumbe Daawa Salafiyya ni Daawa ya haki hizbi mkubwa wewe
Mtoto hata uchafu washingo hajatoka awasema wakubwa zake adabu ndogo mno wallah
Mtu hata unachuki nae basi usipende kumvunjia heshima yake. Heshima nikitu muhimu mno kukichunga na kimezungumzwa ktk dini yetu.
Jambo sio picha kama mzungumzaji anavyo ongea laa. Jambo nikiasi gani shekh atavunjiwa heshima na wengine kumtukana n. K lkn sababu niwewe dhambi zakubunjiwa heshima hazibakii kwaane mvunjia Bali aliesababisha anafungu.
Allah atuthibitishe Katka haki
heee nyny hasa mambumbu kweli ndo picha ya paspot size ile ndo imeeditiw ile achen ujing
Wape somo hao majadida mbumbumbu😂😂
Haji upepo nakundi lake la bidaa wameumbuka kwa uongo hii ni dalili kuwa wa ni watu wa shari
Mi niseme tu MAKHURAFI mmeona kufanya ivi ndio mutauwa daawatu salafiyah na badoo mi naon niwambie bora muunge chama cha siasa tu mugombanie udiwani saw
Mahzb twawajua waongo mimi pia nilishtuka sana ila sikua nasubiri ispokua maneno kama haya au kutoka kwake
Ila wamezid sasa kam huku wako hivi kwenye dini watakua wakweli ---0
HUMEID Kuamia Sana kwa kuonekana Picha Za swahib Yake ,na Kudai kuwa Amefanyiwa Dhulum ,Wakti kiuhalisia Ile ni Hakii Yake kufanyiwa vile kwa Sabab
1. Uwongo Waliooneza vijana Wa Kasim Mafuta na yeye mwenywe ni Mkubwa Zaid ya Hio Picha ,Masheikh Wakisunna Wangpi Mumewadhulum kwa Mdomo Yenu michafu
2. Hakuna Picha Ya Passport saiz Inayopigwa Upande upnde ,Alaf Kasim Mafuta Yeye mwenywe anasema alipigwa hajui ,lkn Vijana wake munsema kuwa Ni Passport Size Nani Mkweli Kati yenu ,Mban Munababaika
3. Maneno Machafu Anayotumia Kasim Mafuta ,na Dilele ,Pamoja na Watu wake , Pindi wanapowsema Masheikh Wengine wa kisuunn. hicho Ndio kilicho pelekea watu Kufurahi kwa kuumbuliwa hyu Kasim Mafuta , mafno wa maneno Mabovu ya Kasim
"Yule islam hanifiiikii Yule Dr yake ya Mifugo Hana Usomi Yule ,ni Hizbi kwli kwli" sound of Mafuta
4. Ubabe Wa Kasim Mafuta na Majigambo Yaake Dhidi ya Watu Wa Sunna ambao yey Kawakuta Tayr Washaivusha Tanzania kutoka katika Bidaa ,lkn Alipo dhihiri yeye na Genge Lake Wale wote waliokataaa kufta msismamo wake Bas Akampchika Uhizbi Na kunadi kila Mahala .mfano
" Yuleee Barahiyan ni Rais wa Mahizb ,Yuleee Mzee Mwizi Sna, Ulee mzee tapeli"
Je ni hya maneno anayotumia Kasim Mafuta ni Mazuri Kisheria ?
5 . Maneno Machafu Anayo tumia Kasim Mafuta Na Genge Lake ,Dhidi ya Watu Sunna ,Wallah sijapta kuona Watu Wenye Hulka mbovu Kwa Masheikh Wengine Kama hawa Vijana wa ksimu Mafuta ,
ila ikitokea Mtu akiwafanyia kama Yale ambao wao huyafaanya Basii Huumia San ,
Mfano
" Ylee Barahiyan Haosheki Kajiharia ,Hata Ichukuliwe Bahri Nzima "
Soud of Mafuta .
Jamniii hizi ni Baadhi Tu ya Kashfa Ambazo hyo Munaseema kadhalilshwa ndio Kawaida Yake kuwafanyia Maduwate Wenziwe
SWALI LANGU JE HAYO MAMBO ANAYOYAFANYA YEYE KWA MASHEIKH WENZIWE JE NI SAHIHI JE HIIZI SI DHULMA ?
Je kunawatu waongo kuliko nyinyi majadida? Watu wa furka na ta'assub msiokubali mashekhe wenu wanakosea😮nyinyi mnasehemu ktk ushia na usufi majaahili kwelikweli na Bado povu litawatoka kwa kumnusuru binadamu ktkt kumtetea kwenye makosa badala ya kuinusuru dini ya allaah😢
Ssa wey muhusika anasema wamefanya edit wey nani wakusema kama wanamtetea kwenye makosa...hakuna aliye kataa kama sheikh anaweza kosea kama binaadam...ila kwanin wamzuliye uongo kama jins anavyo Dai...hiy n dhulma na ikiwa unaendelea kutetea hiy dhulma na wey utakua miongoni mwao...yani mtu unataka tu ionekane sheikh kafanza SubhanaAllah
Nyie ni mbwa msiojielewa passport size iwe halal alaf picha ya kawaida iwe haram iyo sheria ya wap
Wewe Mbumbumbu kweli yani mlango wa dharura huulewi unaropoka tu ,kwa hiyo unataka watu wakaishi mbinguni? WEWE TETEA TU UJINGA NA UZUZU ULOKUWA NAO UTAINGIA KWENYE SIFA YA YULE KAHABA@@hemedahmed3094
Mnajitahidi kumsafisha lakin tatizo
Watu wanaakili
Hata ukisema hizbi, nani
Sisi.twajiwa picha yake
Na kama si yake
Ale kiapo.mbele ya allah s.w
Na laana iwe juu yake
Apo.ndo tutaamini
picha ni yake.
na kama kweli ni passport size hicho kiapo na hizo laana una weza uka zirejesha kwako?? tafadhali
@@chande-f3cpazito hapo asubutu kufanya
Nawe wawez kuapa na kujilani sio kutuhum watu tu
yuasema kuna picha zingine amekustiri manake mazingira uliyopiga nazo sio mazuri 😅,hiyo inayosambaa kwa sisi wataalamu wa picha twajua ni edited lakini hizo zingine zenye hatujaziona sasa ndio itakua balaa
Kama hii imeeditiwa itashindikana vipi kwa hizo zingine?! Jaahili kweli wewe!
Watu wanaeditiwa wakiwa wafanya zinaa, sembuse mtu akiwa ndani mgongo wazi?!
Halafu kama kajipiga Abul Fadhwil... Wamezipataje?! Mana wanadai kazisambaza Abul Fadhwil mwenyewe! How is it possible????!!!
Huyo ambaye katumiwa hizo picha na Abul Fadhwil ndo aje hadharani abainishe😢😢😢
Mnafulaia uongo.ata haya amna?
Sasa wakishatuma hizo ndo itakuaje yaani??😁😁halafu kma mtu mgongo waonekana mwanaume anampiga picha itakua ana tabia za kike mwanaume sawasawa huwez mpiga picha mwanaume mwenzako kama hizo.
Acha nyambu wewe acha ngonjera ....ziweke kama zipo.....kama kweli alipiga picha mlienda kumnasihi
@@SameerMdumbemalongojujamelewa akhy anamaani mahizbi wanadai wanazo zingine ndo akhy anasema zileteni
Tunaamini kwa dalili za kisheria za qurani na suna wanadamu ni watu w kukosea tu,aijalishi msomi au jaahili,kitu cha kushangaza hapa hawa majadida wamemfanya kassim mafuta hawezi kosea!!😮,
Shekh Qassim ana kosea sababu ni binadamu na hakuna binadamu asie kosea ila
katika hilo ambalo ana tuhumiwa kua ame kosea jee ni kweli ame fanya hilo kosa ama haja fanya !?? hapa ndipo mahala kwenye mzozo
hivyo bas kama ni kweli tuta sema Shekh ame kosea na kama si kweli tuta sema Shekh ame tuhumiwa kwa tuhma za uongo.
Allah aku hifadhi
Mabwege nyie mnacoment chuki.zenu hamna tafauti na makafiri Allah amewapiga muhuri nyie mahizbi wakubwa