Afwan nna swali..Yule mke nae atakae achwa nyumbani mume akiwa yuko safari akipata matamanio nae ni nani atakaemtimizia haja zake. Ikiwa mume yuko safari mwaka mzima na mke mwengine.
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatu. Lakini si kila mwanaume anauwezo wa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja wengine ata kimaumbile hawawezi huyo mmoja tu ni mtihan
Amin
Baarak Allah fiyk

Mwanaume kama hyo hawezi oa wake wengi maana itakua mtihani lkini ambao wapo vizuri kiafya hawawez kaa na mke mmoja.
Sawa kher
Jazakallahu khairan