@sabrizamilalmendhry ntashkuru sana Ni wanafunzi wa markazi Imamu Shafy kwa sheikh Abdallah Humeid Allaah amuhifadhi Mpaka Abdulrahmaan anasoma surat Huud
@sabrizamilalmendhry Maana jana nilijaribu kuingia kwenye inbox yako kuitafuta lakini sikubahatika kuopata Na ilivotoka tu niliwahi kusave Lkn nashaangaa ikapotea hata katika sehemu niliyoisave Nikasema labda utakuwa umeifuta
Ma shaa Allah Allah ibark
Amin Wafiyk baarak Allah
Tabaarakallah
Amin Wafiyk baarak Allah
Allahumma baarik
Amin Wafiyk baarak Allah
@sabrizamilalmendhry nilikuwa naomba ile video ile uliepost muda kdg tofauti ya watoto wa kisufi na watoto wa kisalafy
Maana kila nikiitafuta siipati
@@saydsultan9499mbona siikumbuki hiyo akhiy, naitafuta Inshaa Allah, nikiipata ntakuekea link hapa
@sabrizamilalmendhry ntashkuru sana
Ni wanafunzi wa markazi Imamu Shafy kwa sheikh Abdallah Humeid Allaah amuhifadhi
Mpaka Abdulrahmaan anasoma surat Huud
@sabrizamilalmendhry Maana jana nilijaribu kuingia kwenye inbox yako kuitafuta lakini sikubahatika kuopata
Na ilivotoka tu niliwahi kusave
Lkn nashaangaa ikapotea hata katika sehemu niliyoisave
Nikasema labda utakuwa umeifuta
Ni qaarii gani
اللهم بارك
Amin Wafiyk baarak Allah, amekujibu akhiy kwenye comment
anaitwa othmaan al hadaad
Baarak Allah fiyk