Sheikh Hassan Bin Ameir alibainisha kuwa Mawahabi si katika Ahlusunna Waljamaa // Sh Juma Mohammed

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 39

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 3 місяці тому

    Haji Upapa na wapumbavu wenzako wa kisufi mnajisumbua, sisi tunaungana na imaam Shafy kuwa masufi ni wapumbavu.

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 3 місяці тому

    Huku ndio kuunyaunya na kubabaisha maneno, na maneno yakikuingia ni kama kisu utapata maumivu, hawa mawahabi wanaosema eti maimamu wanne hawakufanya haya, kwani hao maimam wanne unaowajua katika maisha yao yote waliwahi kuanzisha tauhid 3 wanazoleta mawahabi leo, waliwahi kukufurisha waislamu, waliwahi kuwashusha masheikhe wakubwa wakubwa, waliwahi kumpa mwili M. Mungu kusema ana miguu mikono na kichwa, waliwahi kusema M. Mungu anakivuli, waliwahi kusema Allah anachoka, waliwahi kusema Allah anabebwa na malaika wanne, waliwahi kusema kwamba siku ya malipo Allahatauuliza moto umejaa, eti M. Mungu ataingiza mguu wake kuangalia kama moto umejaa au nafas imo, subhannallah enyi mawahabi acheni kufru, pia munasema siku ya kisimamo Allaha atawafunika kwa kivuli chake mwenyewe munamaanisha Allah ana kivuli, jee kwa kufru hizi na bidaa hizi unakuaje Ahlul sunna waljamaa, Mawahabi ni pote ovu lililokuja kuanzisha uadui kati ya waislamu na waislam kati ya masheikh na masheikh hizi zote ni fitna ambazo hatukuzishuhudia enzi ya mtume wakati wa maswahaba, zimeanza miaka karibu 300 iliyopita na muasisi wake ni muhammad Abdulwahab aliezaliwa katika mji wa Najid huko saud arabia, Allah tunusuru na fitna hizi waja wako

    • @mohammedmataucar66
      @mohammedmataucar66 3 місяці тому

      Hivi kwenu wanajuwa kuwa huku mitandaoni ni mwendawazimu ? Mjinga kabisa

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 3 місяці тому

    mzur san

  • @MansourAbubakar-l2b
    @MansourAbubakar-l2b 3 місяці тому

    Tapelimkubwawe

  • @GoldenBoy-xm5gn
    @GoldenBoy-xm5gn 3 місяці тому +1

    imam ahmad hakuwa ashaira wala imamu shafii na wanafunzi wake imamu bukhari na wanafunzi wake imamu maliki na abuu khanifa wote hawakuwa ashaira wala maturidia na hawa wote niliowataja walikuwa na itiqadi hiyo mnaoiita ya kiwahabi hivi apo ahlu suunnah mtakuwa nyinyi mnao jiita ashaira au hao mnaowaita mawahabi

    • @abuidifundi2016
      @abuidifundi2016 3 місяці тому

      Mtume hakuwa muwahabi

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 3 місяці тому

      Mzee ww n mwongo tena umepitiliza uongo wako

    • @GoldenBoy-xm5gn
      @GoldenBoy-xm5gn 3 місяці тому

      @@abuidifundi2016 lete hoja kuwa alikuwa ashaira ambayo ilianza karne ya nne

    • @darajanida
      @darajanida 3 місяці тому

      soma historia ya ftina zilizo tokea katika akida baada ya krne tatu kupita ndo utawajuwa ashaaira na maturidia usiangalie jina
      tu ndugu yangu allah akuongoze katika kundi la haki ashaira na akutoe kwenye upetevu wa kiwahabi insha allah

    • @GoldenBoy-xm5gn
      @GoldenBoy-xm5gn 3 місяці тому +1

      @@JabirBakar-ys8dw anasema imam audhai sisi tulikuwa tunasema Allah yupo juu ya arshi yake na maswahaba bado wapo wengi akasema imamu maliki alipoulizwa na yule mzushi vp amestawi Allah juu ya arshi yake akasema kustawi kwajulikana na namna haijulikani pia aliulizwa imamu abuu hanifa vp kuhusu yule atakae sema kinyume cha kuwa allah amestawi juu ya arshi yake akasema kakufuru pia akaulizwa vp kuhusu yule ataesema sawa Allah kastawi juu ya arshi yake je iyo arshi sijuw ipo ardhini au mbinguni akasema amekufuru vile vile nenda pia kasome kitabu usuli sunnah cha imamu ahmad vp anasema kuhusu kustawi Allah juu ya arsh na mwanawe pia asemaje na huyo abul hassan ashary pia anasema ivo kwenye kitabu al ibana na imamu ibn asakir katika kitabu tabiin qadhib muftar pia asema hivo kuwa maneno ni yake abul hasan ashari na kitabu ni kitabu chake hata abdul qadir jailani asema Allah yupo juu ya arshi yake na kuthibitisha yote mnaouita uwahabi leo

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 3 місяці тому

    Mawahabi kweli mtihani hata itikadi zao za tauhid 3 na kumtia Allah viungo ni kufru, hata wao wenyewe mawahabi ni wajufurishaji wakubwa jambo ambalo ni kinyume na mafunzo ya mtume Muhammad s, a, w

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 3 місяці тому

    Mtajeni na Saleh Abdallah Farsi aliwakataa masufi hadi wapumbavu wa kisu wakataka kumuua

  • @YahyaAli-o9z
    @YahyaAli-o9z 3 місяці тому

    Jama yangu emu soma kwanz hauna lako jambo hivi unazan unapata faida gn unapozozan na mashekh hivyo ndo mtume alivoelekez na wanachuoni tena ww unajifanya shekhe mkubwa unasubiri mtu akosee ndo utowe aibu za makosa yake hii ndo dimi imeagiza ukiona aibu ya mwenzak uitowe au emu soma jamaa yangu huna lako jambo unalolijuwa

  • @ThaniaMohd
    @ThaniaMohd 3 місяці тому

    Haji upepo wapepea? Hujitambui kikweli.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 місяці тому

      Huyu ni Haji Upapa, ni kipumbavu kinachotafuta umaarufu kupitia masheikh wakubwa wa ahlusunnah,

  • @drmahwa8166
    @drmahwa8166 3 місяці тому

    Wewe ni jahili wa Afrika mashariki

  • @sama-_8368
    @sama-_8368 3 місяці тому

    Ustadh haji naomba umjibu huyo Ibrahiym.

    • @hajiupepo3146
      @hajiupepo3146  3 місяці тому

      Kesho Insha Allah saa kumi jioni tutaweka hapa katika channel yetu

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 3 місяці тому

      @@hajiupepo3146 Inshaallah

    • @YahyaAli-o9z
      @YahyaAli-o9z 3 місяці тому

      Huna jambo hao wanaokuon ww shekhe bad wanatakiw wasome ww haupaswi kusapotiwa ww na Muhammad bachu mnalet Farka kwa waislamu

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 3 місяці тому

      @@YahyaAli-o9z wenda uko sawa kwa mtazamo wako
      Ila kwangu huyo ni sheikh maana anafanya kazi ya kusafisha mazingira
      Hao akina bachu na genge lake wameanza muda kudanganya watu na kukufurisha waislam na kwavile walikuwa hawajibiwi watu tuliona wanaongea ya kweli
      Sasa mashekh wanawajibu wanatufungua sisi ambao ni wanafunzi
      Waliniteka hao mawahabi mimi lakin saizi naona uongo wao kutokana na kazi za hao akina Sheikh haji na wengine
      Ukiniambia nimshauri Sheikh nitamshauri tu APUNGUZE UKALI WA MANENO baaasiiiiii ila kazi anayofanya ni kubwa sana KUOKOA WAISLAM NA KUNDI HILI LA KUKUFURISHA KILA ASIYEKUWA WAO.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 місяці тому

      Kwa elimu gani aliyonayo huyo Haji Upapa, ni kipumbavu tu cha kisufi, tena kimekaa kama kibaradhuli baradhuli tu

  • @IbnKhamis745
    @IbnKhamis745 3 місяці тому

    Hahahahahahahahahahahaha
    Mitandaoni kuna vituko vingi ni Bora ungetulia wewe hamna kitu
    Sisi twataja MASWAHABA wanafuzi wa mtumeﷺ na MaImamu wewewatutajia Sheikh Hassan baada ya Uhuru

    • @abuidifundi2016
      @abuidifundi2016 3 місяці тому

      @@IbnKhamis745
      Kwani mawahabi walikuepo wakati wa mtume s.a.w?

    • @IbnKhamis745
      @IbnKhamis745 3 місяці тому

      @@abuidifundi2016 hatujazungumza uwahabi tumezungumzu sisi twataja MASWAHABA na MaImamu nyinyi mwataja Sheikh ibn AMEIR
      Sheikh sisi hatujaamrishwa kufuata nyaoooo za Hassan bn AMEIR tumeamrishwa KUWAFUTA MASWAHABA ikiwa bin AMEIR amewafuata MASWAHABA Katika itiqadi na ikiwa hajawafuata Basi twamuachaaaaaaa
      Jamaa hapo juu hajasema kitu ambacho kinazingatiwa ni hoja kaika Dinni
      Ni Bora akae kimya

    • @abuidifundi2016
      @abuidifundi2016 3 місяці тому

      @@IbnKhamis745
      Kwani shekhe IBN ameyri yeye amewanukuu kina nani

    • @IbnKhamis745
      @IbnKhamis745 3 місяці тому

      @@abuidifundi2016 NA SHEIKH MUHAMMAD BIN ABDULWAHAB رحمه اللّه AMEWANUKUU WAKINA NANI????
      NA NYINYI MBONA MWAZUSHA MAMBO AMBAYO MASWAHABA ALLĀH AWARIDHIE HAWAJAYAFANYA SABABU MTUME HAJA YA FUNDISHA SASA UKITUAMBIA MWAWAFATA MASWAHABA NIAJABU SANA MNABIDAÀ KIBAO MAPOLU KWA MAPOLU
      NA SHEIKH MUHAMMAD BIN ABDULWAHAB APINGA SHIRIKI ZENU NA BIDAÀH ZENU MUWAFUATE MASWAHABA LAKINI HAMUTAKI HILO AMEBAKI KUWA ADUWI WENU MAKUBWA
      LAKINI SISI TWAMPENDA SHEIKH KWANI AMEPITA NJIA YA SAWA KATIKA KULINGANIA TAWHID NA KUMFUATA MTUME ﷺ NA MASWAHABA WAKE
      @ABUIDFUNDI TV 📺 UKIANDIKA NNAANDIKA MPAKA UKAESAWA

    • @IbnKhamis745
      @IbnKhamis745 3 місяці тому +1

      @@abuidifundi2016 kwani Muna Sunna ipi Mpaka Munajiita Ahlusunna???????????
      Au kupigwa Madufu wanaume na kucheza na mauld na na na uzushi mwingine.......