Mjadala baina ya Ustadh Haji Upepo na Shafii Basalim: Je Muawiya ni muovu?

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 109

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 2 місяці тому

    Allah akuhifadhi sheikh ustadh Haji Upepo

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 3 місяці тому +4

    Shida kubwa ni kutotumia elimu kwa jambo la kielimu. Ustadh nakupongeza kwa jitihada ya kuelimisha japo wapingwa na Hao wasiyo elimu wakiungwa mkono na mafisadi

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 3 місяці тому +3

    Haji upepo hata mm sikuungi mkono lakoni kwa hapa nakuunga mkono na nakusapoti

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 3 місяці тому +1

    Allah akupe umri mreji sheikh letu

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 3 місяці тому +4

    Haji unajibu hoja kielimu unajibiwa pasipo hoja yoyote zaidi ya kubezwa hata hivyo kama ni elimu umetowa mwenye kutaka atachukua.

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 3 місяці тому +3

    DUUUUH
    ETI UNAMPENDA
    NDIO MAANA TUNAAMBIWA MASHIA NA MASUFI KITU KIMOJA
    LEO NIMEAMINI

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 3 місяці тому +1

    MASHA ALLAH 💚

  • @MuhammedHamadav
    @MuhammedHamadav 3 місяці тому +2

    Asante sheh hajji

  • @RashidiKipitu
    @RashidiKipitu 3 місяці тому +1

    Asante alhabib Allah akulipe kheri

  • @mohamedswalehe4442
    @mohamedswalehe4442 3 місяці тому +2

    Hakika huyu Sheikh Hajji Upepo ndio pigo kila kihere here Allah akujaze hekma na elimu juu zaidi

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 3 місяці тому +2

    Sheikh nnachokuoenda kila unachoongea unakijibu kwa dalili
    Sheikh wangu Haji Upepo ALLAH akulipe kwa jitihada zako unazotoa kwenye kutupa elimu
    NA USICHOKE KUWAEKA SAWA WENYE KUTUPOTEZA

  • @nusayyirushiraaziy
    @nusayyirushiraaziy 3 місяці тому

    Ww kz yk haji upepo ni kukosea watu hkn elimu hiyo boss

  • @saidimtoni1148
    @saidimtoni1148 3 місяці тому +1

    Allah akupe afya

  • @sama-_8368
    @sama-_8368 3 місяці тому +2

    Nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 3 місяці тому +1

    Mashaallah unajua sana

  • @Sheikhmadaba-cm2hw
    @Sheikhmadaba-cm2hw 3 місяці тому +1

    Hongera USTADH uko sahihi na huna wenge kama shafi jamnnñ shafi amefika mbali yey mwenyew ni Mal un

  • @SalehLofy
    @SalehLofy 3 місяці тому +2

    Sayyidna Aly kabashiriwa pepo na Muawiyah hajabashiriwa pepo kwaio hawawezi kuwa sawa lakn hutakiwi kumlaani haya mambo yanahitaji uchambuzi wa hali ya juu kwasababu watu wa kawaida ni vigumu kuelewa

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 місяці тому

      Je Muwaiya hayumo katika wale masahaba walioridhiwa na Allah waliotajwa katika Quran?

    • @SalehLofy
      @SalehLofy 3 місяці тому

      @@mohdkhatib223 hakuna Aya hata Moja iliyomtaja Muawiyah katka Quran hio ni jitihada wazuoni wamezikubali na wengine wamezikataa

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 3 місяці тому +1

    SHAFII SHAFII SHAFII 😢😢😢 SUB-HAANALLAAAAAAAAH 😢😢😢 DAH! NASRUN MINALLAAHI!

  • @KudraTimbako
    @KudraTimbako 3 місяці тому

    Shkh kumbe ww huna akili

  • @abdallahmtula9467
    @abdallahmtula9467 3 місяці тому +2

    Mimi binafsi si msomi.
    Lakini najengea Kwa akili yangu kwamba je inawezekana muuwaji na muuliwa wote watakuwa kwenye haki?
    Je kauli ya mtume inasema haki Iko pamoja na Ali na Ali Yuko pamoja na haki,je Muawiya atakuwa sehem ya haki kutokana na kauli hii ya mtume?
    Hiii n bahari kubwa sana sheikh haji upepo na ukilinganisha uzito wa uzitoa wa kilo Moja na kilo 100 haviwezi kuwa sawa

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 місяці тому

      Wapi mtume saw alisema hayo, lete hadithi sahihi wewe mfuasi wa kishia

  • @Omarimakame
    @Omarimakame 3 місяці тому +2

    kwahyo ust haji kinfi lilo muua ammar ni kundi ovu au ni jema na kati ya ally na muawiya yupi alikuwa katika kheri ebu tujib

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 3 місяці тому

    Huyo shia Basalim na Haji Upapa wote jora moja, wote ni vituko ni majahili, wapo katika itikadi moja tofauti zao ni ndogo sana.

  • @Alakhyasirabuammar
    @Alakhyasirabuammar 3 місяці тому +1

    Wapotishaji wawili wakosoana. Allah awaongoze

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 3 місяці тому

      Pengine wakwanza ni Mzee WAKO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    • @Alakhyasirabuammar
      @Alakhyasirabuammar 3 місяці тому

      @@MuhidiniNassor alhamdulillah .mtume صلى الله عليه وسلم alitusiwa zaidi ya vile ulivonitusi. Alhamdulillah babangu angu kwenye safu za maamuma katika ahlul athari na kwa hilo naregesha shukrani kwa Allah kwa kumjalia kusikiza,kutekeleza, na Kuiga WALE wema walotutangulia. Tusi utakavyo lakini fahamu kuwa barabara ya Haqi ni moja . Hata hawa wapotoshaji wawili wapondane hayatuhusu bila shaka hao ni mandugu na vita vya mandugu usiingilie

    • @abuhsanono4392
      @abuhsanono4392 3 місяці тому

      ​@Alakhyasirabuammar soma uwache mambo ayatuhusu kawuli gani ktk wisilam wendo mopotoshaji usio taka kujua ukweli na ukweli unawutafuta mpaka kaburini kwani unawatoto wakikuliza Nani awajibie wewe wnapashwa njifunza uislimu kwako kwanza

  • @ausatmwangi6464
    @ausatmwangi6464 3 місяці тому +1

    Usimuite ustadh kwa kuwa huyu ni mpotoshaji mtu muovu lazima atake istighfar kwa Allah

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 3 місяці тому +1

    Haji upepo nakukubali lakin katika hili ckuungi hayo maneno yamtume yapo wazi hayahitaji kuyafnyia taawili

  • @nganasilimavuai9944
    @nganasilimavuai9944 3 місяці тому

    Njooni kwenye man-haj Salaf
    Mstarehe mioyo yenu
    (Qala llah, Qala Rasuul alaa fah-mi salaf)

  • @saidyussuf2291
    @saidyussuf2291 3 місяці тому +1

    ASSALAAM ALYKUM WARAHMATULLAH
    SHEIKH HAJI TUNAOMBA SIRA YAKO BINAFSI TAFADHALI

    • @alybinmana6197
      @alybinmana6197 3 місяці тому

      Itakuwa vizur akitupa sira yake ya kusoma

  • @AbulFadhilQummy
    @AbulFadhilQummy 3 місяці тому +1

    E bwana kwa hili hapa hap uko pongo

  • @baarutmazrui5186
    @baarutmazrui5186 3 місяці тому

    تلك أمة قد خلت لها ما كسبت ولكم ما كسبتم ولا تسالون عما كانوا يعملون

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 3 місяці тому

    Kwanini Shafii unaenda mbali sana Kwa ouvu wa Muuawiyah.Hebu tueleze uovuuu wa Babayako Mzazi.

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 3 місяці тому +3

    Mimi ni mfuasi mkubwa wa Haji upepo lkn kwa hili la kumtetea baradhuli muawiya hapo umechemka. Yani nilipokuwa nakusikiliza nilikuwa nacheka sana jinsi unavyojigonga. Yani mtume mtu kamwita muovu lkn wewe unamtetea ? Kwa hoja gani. Yani muawiya alitaka kumuua Imam Ali alafu unasema alikuwa hamchukii? Na hadith ya mtume ikowazi inasema yeyote anaye mchukia Imam Ali ni mnafiki na unafiki ni zaidi ya ukafiri .sasa hapo alichokosea sheikh shafii ni nini? Alafu hiyo nafasi ya muawiya kuwa mujtahidi kapewa na na nanini .Hivi muawiya anaweza kuwa mujitahidi mbele ya Imama Ali. Mtume anasema Ali yuko pamoja na na haki siku zote ipo pamoja na Imam Ali. Muawiya kafanya makosa kutaka kumpa masharti Imam Ali. Mbona wale walokataa kumpa Abubakari zaka hawakuambiwa nao wamefanya ijtihadi ,kwani wao hawakuwa maswahaba? Huu ni unafiki katika kuelezea ishu ya mnafiki muawiya

    • @MohamedSalim-cm9ih
      @MohamedSalim-cm9ih 3 місяці тому

      Ww pia ni Shia wacha kujipendekeza Kwa masufi ...ww ni mshia golo kama kma uyo shafii

    • @abuhsanono4392
      @abuhsanono4392 3 місяці тому

      ​@@MohamedSalim-cm9ihjibu uonesha ilimu wacha propagand

    • @MohammedSaid-zk7yg
      @MohammedSaid-zk7yg 3 місяці тому

      ​@@MohamedSalim-cm9ih wahabi 😂😂😂😂 Sasa wewe unaangalia achokiandika au unarukia ushia tu maana mimi naona umebaki kubweka tu wewe shia wewe shia wewe shia mawahabi very zero unfortunately

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 місяці тому

      Baradhuli ni wewe na mashia wenzako.

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 3 місяці тому

      Tuache kugombana atakae tuhukumu Kwa tunayoyatenda ni Allah s.w pekeee ,alafu tukijua kama muawiya alikuwa ni mnafiki au alikuwa mchamungu tutapata faida gani ? Maana yeye alikuwa si katika makhalifa waongofu ambao wanajuulikana ni wa nne ! Alafu anaemjua muawiya ni Allah s.w pekee sisi tumemsikiaa tu kwahiyoo Allah ndie atakae muhukumu

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 3 місяці тому

    ما جر بين الصحابة نسكت عنه؟

  • @KudraTimbako
    @KudraTimbako 3 місяці тому +1

    Kwa hoja zako hizo za kipuuzi usisubutu kuweka mjadala na mashia watakugalagaza vibaya mno

    • @mahadhikawia3610
      @mahadhikawia3610 2 місяці тому

      Anadhani kama ni masufi Fulani hv

    • @mahadhikawia3610
      @mahadhikawia3610 2 місяці тому

      Huyu kama mtu aliyeamka usingizini akaona muawia anatukanwa na mashia , ndio anatoa somo geeni kwa waislamu ! Vipi kuhusu maswahaba wengine kama sydn. Abuubakri, Omar na Othman r. a, je wanawapenda ?

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 3 місяці тому

    رضي الله عنهم

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 3 місяці тому

    Maswahaba hakika walifanya kazi kubwa sisi hata tufanye juhudi gani hutuwezi kuwafikia hata kidogo.

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 3 місяці тому

    WEWE HAJI HAMNA KITU
    UNAKUWA MPOLE KWA MASHIA
    NA UNADAI UNAWAPENDA

  • @NassibuShakiri
    @NassibuShakiri 3 місяці тому

    Akhu kitendo cha kukiri alii radhwialahu anhu, kuwa alistahki uongozi kuliko muawiya yatosha kuwa hoja mana kumhalifu kiongozi nikosa.

  • @Najdi358
    @Najdi358 3 місяці тому +1

    Yaan mie hua napata mashaka hivi unaanzaje kumuua muislam mwenzio kisa madaraka tu, bila shaka hapa kuna mmoja kapatia zaid

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 місяці тому

      Wote wameuwana na kwasababu kila kundi walikuwa na hoja

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi 3 місяці тому

    Muawiya alimteua mwanae Yazid ambae kulikuwa na ithbati ya ulevi

  • @abuhsanono4392
    @abuhsanono4392 3 місяці тому +1

    Asalam alaikum nakuomba ukisoma msg yangu ujibe plse nauliza ivi imam mahdi akija wende kinyume naye utakua upande gani haki wala batwir je unafikri ukipinga mahdi utakua na misimamo gani

  • @AbuurabiuJuma-wn5il
    @AbuurabiuJuma-wn5il 3 місяці тому

    Shafii kakosea ila akina nani wanawaita maswaba khawarj je hili sio kuwatukana maswahaba

  • @anyeresa928
    @anyeresa928 3 місяці тому

    Uache kunyoa ndevu basi

  • @AbdulkareemNyongoro
    @AbdulkareemNyongoro 3 місяці тому

    Unampenda kwa lipi we nimpuuzi

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 3 місяці тому

      Kwa uislamu wake maana mawahabi ni watu wa utatu mtakatifu ndo maana HUJUI kwa lipi

  • @JumbiSecondary
    @JumbiSecondary 3 місяці тому

    Kwa nini ulamaa wa ahli Sunna wa ljamaa hawasemi kuwa Muawiyah ni katika khulafau rashidiina licha ya kuwa alikuwa sahaba wa mtume?

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 3 місяці тому

    Kuna hadith ya mtume iko wazi naumeitowa Alla anahiyari yake kuwasamehe ila Maneno ya Mtume yako wazi Haji unaanguka

  • @ausatmwangi6464
    @ausatmwangi6464 3 місяці тому

    Ustadh usiamiliane na mtu kama huyu tafadhali

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 3 місяці тому +2

    Kwenye hili haji upepo utaanguka huna hoja madhubuti

  • @abuuzahra-fc2jg
    @abuuzahra-fc2jg 3 місяці тому

    Khabith huyu muhuni

  • @MartinRadjabuusseni
    @MartinRadjabuusseni 3 місяці тому

    Badohudjakuwanailimusoma

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 3 місяці тому

    ust haji mara nyingi video zako hazina sauti hasa unapoongea wewe rekebisha hilo al..akhy

  • @AbulFadhilQummy
    @AbulFadhilQummy 3 місяці тому

    Hapo maalm tafsir riwaya kwa uzuur

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 3 місяці тому

      Tokea lini mawahabi mkajua tafsiri?

  • @baarutmazrui5186
    @baarutmazrui5186 3 місяці тому

    معاوية بغي بقول النبي صلى الله عليه وسلم أنت تقول مجتهد كيف

  • @AbuurabiuJuma-wn5il
    @AbuurabiuJuma-wn5il 3 місяці тому

    Haj Kuna aya za sulhu hebu tuambie zinasemaje

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 3 місяці тому

    HUYU KIJANA NI MSHIA BILA SHAKA

  • @Abuu-lr5bz
    @Abuu-lr5bz 3 місяці тому

    Wewe upepo kumpenda mshia na kutangaza kua unampenda wala sishangai kwa mtu muovu kama wewe na mzushi

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 3 місяці тому +1

      We MUHABI umeshaanza kuleta fitna kama kawaida yenu!

    • @abdallahsiraji9919
      @abdallahsiraji9919 3 місяці тому

      Mche Allah kwakuacha kuwatukana watu.Huyu haji hajawahi kukukosea wala kukutukana ila wewe unamtusi..
      Kama kawa Muovu na Mzushi sio kwako bali ni kwa Allah hivyo acha ugomvi huo kati yake na Allah mwwnyewe..
      Wewe zidisha kheri na komba msamaha tu kwa faida yako binafsi.Pia Omba Allah akupe Ilmu na Hekma...

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 3 місяці тому +2

    Swahaba anatukanwa? Utomvu wa adabu.ukimuita swahaba kafiri jua wewe ndio kafiri namba moja

    • @abuhsanono4392
      @abuhsanono4392 3 місяці тому

      Ukisema ivo unanekana hijab soma dini uyo muhawiya ndo kanzisha kulani ally ktk miskiti mbona hajj hajaongelea ayo mambo soma uwache kufata upepo

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 3 місяці тому

      @@abuhsanono43926:06

    • @MohammedSaid-zk7yg
      @MohammedSaid-zk7yg 3 місяці тому

      ​@@abuhsanono4392achana Naomi hao huwawezi kwa justification

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 3 місяці тому

    Yani haji upepo unafanyia taawili hadi maneno ya mtume hali yakuwa ni maneno yawazi kabisa hilo linaonesha uchache wa elmu au khiyana ya ilmu

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 3 місяці тому

      Wewe na Mimi sawa sawa ulikua unyamaze tu maana inaonesha hata neno ta.awili hatulijui

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 3 місяці тому

    Shia na sufi

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 3 місяці тому

    Hoyo golo ni kafiri tu.. Na hana kitu alimkimbia bachu

    • @thuweinmassoud9062
      @thuweinmassoud9062 3 місяці тому +1

      kafiri ni yule asie amini uwepo wa mola 1 Allah ,
      kafiri ni yule asie amini kuwa muhammad ni mtume wa mwisho

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd Місяць тому

    hoyo kijan so shia bali mote yumo mpuziru

  • @nasirdinmohammed8741
    @nasirdinmohammed8741 3 місяці тому

    😂😂😂😂haji upepo mpole kwa mashia nasah njema ila kwa wanachuoni wa ahlu sunna kama sheikh fawzan utaskia mpuuzi mjinga hana adabu nao kabisa subhanallah تلك إذا قسمة ضيزى huyu mpuuzi wa kisuf uongee maneno lain kias hichi ambae hana athar yoyote kwenye dini na wanachuoni kwako wawe ndio hawana heshina ya kupewa

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 3 місяці тому

      الجزاء من جنس العمل Leo mawahabi mmekua watu wa nasaha كما تدين تدان mlikua mnajiona mna elimu zaidi kuliko watu wooooote موتوا بغيظكم

    • @nasirdinmohammed8741
      @nasirdinmohammed8741 3 місяці тому

      @@MuhidiniNassor sikui ata kama unfaham au na ww unataka kuongea Tu kwaiyo mnaamanisha mashia kwenu NI watu wamaana kuliko mawahab

  • @JailaniRamadhan-it3kp
    @JailaniRamadhan-it3kp 3 місяці тому +1

    Haji mi ni mfuasi wako Ila kwa Muawiyya laanatullah mmmh sikuungi mkono wallah

    • @kitwanashem3272
      @kitwanashem3272 3 місяці тому

      Ittaqllah mche mola wako hayawani wewe laanatullah ni wewe siyo sahabu muwaiya

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 3 місяці тому

    Nyinyi nyote shia wa kisufi musitubabaishe

  • @AbuurabiuJuma-wn5il
    @AbuurabiuJuma-wn5il 3 місяці тому

    Upepo bado na ww unashida

  • @AbuuRayyan-j8x
    @AbuuRayyan-j8x 3 місяці тому

    Ety ni mshia lkn nampenda dah ! Mpaka nashanga yani shekh Maelem umemwita mtovu wa Adabu tena kwa uslubu ulio mmbaya sana kisa tu kawasema mashekhe zako wa kisufi lkn lkn hapa huyu mpuuzi anawatukana maswahaba eti Mambo mengi mie nampenda dah ! Kisa tu anakuwa Anakuwa anawatukuna ao anao waita mawahabi baas yy apo tu ndo anapo mpenda Dah ! Acha upuuzi uwoo .

    • @AbdulkareemNyongoro
      @AbdulkareemNyongoro 3 місяці тому

      Hawa watu hawako kwa ajili ya kaslahi ya dini ya kiilsaam. Mtu wa bida'aa hawezi inusuru dini ya Allah muone akiongea kwa unyenyekevu kwakua vibaraka wao wamesemw

  • @MuhammedHamadav
    @MuhammedHamadav 3 місяці тому +1

    Asante sheh hajii

  • @MuhammedHamadav
    @MuhammedHamadav 3 місяці тому +1

    Asante sheh hajii

  • @MuhammedHamadav
    @MuhammedHamadav 3 місяці тому +1

    Asante sheh hajii

  • @MuhammedHamadav
    @MuhammedHamadav 3 місяці тому

    Asante sheh hajii