Nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye hizi simulizi mwisho wa siku Mungu ni Mungu tu na atabaki kuwa Mungu. Haijalishi unapita kwenye mapito gani usiabudu miungu mingine bali mkabidhi Mungu wako yaliyo yote mazuri na magumu nae atakupigania na utashinda. Yatupasa kuwa na Imani kubwa na Mungu wetu na tuwe wavumilivu kusubiri Mungu wetu atende.
Daaah Muhamed bora angemsikiliza tuu huyoo kaka coz huwezi jua Mungu haji kama alivyo bali anakuja kama binadamu na huyo kaka ni mmoja wapo alie tumwa na Mungu kwako but kw sasa huwezi amini coz nguvu za giza zimewakamata😢
Ahsante Veronica,nimejifunza kitu kwa Mohamed,nimesibitisha kuwa Waganga na wachawi ni walewale,nawanawasiliana,Naviongozi wa dini mitume na manabii wa nawasiliana na Mungu na Malaika, ila vyote vinahitaji kusimama mwenyewe kwa miguu miwili,ukijiegemeza kwa Mungu siokua utabweteka nakokunakazi, itatakiwa usalikilamara,usimame,upigane uwe msafi wa mwili na roho,utoe sadaka,nk,kilasehem ningumu,hayo ya Mohamed yanaitwa maagano na mikataba.

Ukweli
Amina,Ubalikiwe hili
Hakika Mungu Ni Mungu tu
Amina❤
Kabxa mungu atabaki kuwa mungu daima siku zote ❤
Mungu atusaidie sana kwenye mapito ya njia zetu
Simulizi imejaa mafunzo mengi sana na kubwa ya yote nikumuamini mungu mmoja tu na kukubali kua hana mshirika
Mungu ni mwema mtengemee sana mungu kila kitu
Wa kwanza Asante kwa mafundisho
Mungu atabaki kuwa Mungu hakika
Dada Asante Kwa story nzuri zenyekufunza dah saut yako mpaka naiga usemaji wako unajuaa❤
Duu Kweli mungu ni mungu wa wote wenye mwili tumtegemee yeye
Unaposema mungu unamanisha miungu unapaswa kusema MUNGU au Mungu
Nisome kama Sarah nipo Tabora manispaa nakupenda sana da Veronica simulizi hakika simulizi zako zinenitoa hatua moja kwenda nyingine
Na mm nimewahi❤
wa kwanza
Nahuyo Mgonjwa akipona huyo Mganga atakufa,naakifa mgonjwa mganga atapona.ndiyo maagano yalivyo.
Nakusikiliza kutoka Nottingham 🇬🇧… Endelea kutuelimisha, Ila sikuhizi unazirusha kWa wakat sana hadi Raha.
Nakupata uzuri da vero nikiwa zng UGHAIBUNI MASCAT OMAN nisome kama SAYUNI MWAVIKA ❤
waoo krb mabellah
@@billaaljabri9205Atakalibia mwez wa lamadhani kuja kukusaidia kz
@@billaaljabri9205tupo pamoja nipo nizwa
Sayuni unogage
Daaah Muhamed bora angemsikiliza tuu huyoo kaka coz huwezi jua Mungu haji kama alivyo bali anakuja kama binadamu na huyo kaka ni mmoja wapo alie tumwa na Mungu kwako but kw sasa huwezi amini coz nguvu za giza zimewakamata😢
Asante mdogo wangu Vero simulizi inafundisha sana,
Tunaomb namb z mohamedi
Dada tuko pamoja Saidi ndope mpiga picha wa yombo kilakala
Asantee da vero❤❤❤❤
Ahsante Veronica,nimejifunza kitu kwa Mohamed,nimesibitisha kuwa Waganga na wachawi ni walewale,nawanawasiliana,Naviongozi wa dini mitume na manabii wa nawasiliana na Mungu na Malaika, ila vyote vinahitaji kusimama mwenyewe kwa miguu miwili,ukijiegemeza kwa Mungu siokua utabweteka nakokunakazi, itatakiwa usalikilamara,usimame,upigane uwe msafi wa mwili na roho,utoe sadaka,nk,kilasehem ningumu,hayo ya Mohamed yanaitwa maagano na mikataba.
Ivi mnaosemaga wa kwanza kuna nn mnapata?
😂😂
Like
😂😂😂😂
Labda da vero anawapaga pipi 😂
😂😂😂😂😂
Tunaomba namba za Mohamed
Waende wakaombewe
Tuko pamoja saana
Cjachelewa
Mmmh wapi
Minaamini utakuwa tu umekosea masherti 😢
Second
🙏🙏
Waende Kwa mamposa wataisha
Jmn mbona unauwelewa mdogo ivo hayo ni matukio yaliyopita, Sijui umeelewa? Ww sikiliza tukio la miaka 6 imepita ila leo ndo unasimuliwa
Wataenda mwaya, wamesoma Ujumbe wako
Kwaniwamposa ndo mungu?