Katika shuhuda toze mwisho wa yote ni MUNGU ndiyo msaada wetu.. kumjua MUNGU NI NEEMA. Kuna wengine hawana neema ya hiyo hivyo wanaangamia. Mungu wetu sote. Asante Yesu kwa neema hii. 🙏
Amina amina simulizi nzuri nimejifunza kumtumikia Mungu siku zote za maisha yangu ukizingatia mery alivozubguka kwa waganga nae kasema huyo mama alimpata kwa kuchelewa ila m niseme lilikuwa kusudi la Mungubuenda km usingepitia hayo usingefindisha wengine akina sisi bigup da vero nakupenda da cc😊
Mi pia nilikuwa naitwa Tabu kutokana na nilivyoishi😮 nilipobatizwa nikaitwa Selina ,,,,namshukuru Mungu japo kijijini nilikokulia bado wananiita Tabu nalichukia sana hili jina😢
@veronicasimulizi angalau ungekua hata ungekua pia unatoa maelekezo ni wap wenzetu walipoweza kwenda kuabudu wakasaidiwa kuliko kuishia tu kusikia kua alisaidiwa baada ya kuacha njia hii akafuata hii wengi tunataman nasi kufunguliwa tunatamani nasi kusaidiwa ila muongozo hatuna tusaidie da Veronica❤
Katika shuhuda toze mwisho wa yote ni MUNGU ndiyo msaada wetu.. kumjua MUNGU NI NEEMA. Kuna wengine hawana neema ya hiyo hivyo wanaangamia. Mungu wetu sote. Asante Yesu kwa neema hii. 🙏
Mungu ni mwema sana hakika tumtumikie yeye siku zote za maisha yetu
ehh Bwana Yesu hakuna kama Wewe asante sana. sifa na utukufu ni Kwako Mwana wa Mungu wtu
Amina amina simulizi nzuri nimejifunza kumtumikia Mungu siku zote za maisha yangu ukizingatia mery alivozubguka kwa waganga nae kasema huyo mama alimpata kwa kuchelewa ila m niseme lilikuwa kusudi la Mungubuenda km usingepitia hayo usingefindisha wengine akina sisi bigup da vero nakupenda da cc😊
Nazidi kuimarika kiimani kupitia simulizi hizi hakika mungu ni muweza wa yote mubarikiwe wote munao tuletea simuliz ili tujifunze
Dada Vero ...nasikiliza kutokea Kenya... nakupenda sana sana
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa,
AMINA
Kweli hii ni yangu kabisa Ee Mungu naomba na mimi unibadilishe
Kwanzia leo hiii naishi maisha yako tabu 🙏🙏🙏😭
Mungu nimwema siku zote ukimwamini
Kweli Mungu ni Mkuu kuliko chochote duniani bwana yesu asifiwe
Vero mimi tofauti yangu na tabu vimepishana kidogo sana sina tofauti sana Mungu wetu ni mwaminifu.
YESU NI BWANA WA BWANA,MUNGU WA MIUNGU NA MFALME WA WAFALME...SIFA NA UTUKUFU NI KWAKE.
AMINA
Amina
Amina
Kweli da vero hicho kitu ndio kinakula familia yetu hakuna hata mmoja aneweza kumwambia mweznzie sogea hapa yaani wote ni choka mbaya
Mimi na Nyumba Yangu Tutamtumikia Bwana!
Ameen
Mungu ni wa wote wenye mwili
Mungu ndo Kila kitu katka maisha
Lukeni mnavyoweza, kwa MUNGU NI MPANGO MZIMA NA UWAKIKA
Da Vero wiki hii hamna simulizi kimya sana😮
Hakuna nguvu yoyote inayozid nguvu za Mungu🙏
Shukran da vero pole da tabu mungu ni wetu sote
Naskia furah kw niab ya tabuu
Mungu wetuu wew mkuu kuliko yote
Da vero naomba unisaidie number ya Tabu Nina masumbuko naamin kupitia yeye naweza kutoka huk niliko nikaenda sehem nyingin nakuomba da vero
Simulizi nzuri sana
Hakika mungu ndo muweza wa yote
Mungu Akubariki
Asante Yesu
Kwel Mungu ni mwema sana🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Yaaan haya mambo ya mizimu ni shida
Yaani ni shida sana! Suluhisho ni kujikabidhi kwa Mungu kikamilifu kwelikweli bila kujibakiza
Mungu ni wetu sote🙏🏽🙏🏽😭
Wakwanza leo
Kwaiyo akutakuwa na simulizi huku zaidi ya efm ndio sitasikiliza tena huko efm matangazo kibao😢
Kukupata redioni n shida sana
Allahu Akbar kweli mungu ni mkumbwa
Yesu ndiyo njia
Hakika yesu ni njia ya maisha yetu
Hakika Mungu ni mwaminifu
Mi pia nilikuwa naitwa Tabu kutokana na nilivyoishi😮 nilipobatizwa nikaitwa Selina ,,,,namshukuru Mungu japo kijijini nilikokulia bado wananiita Tabu nalichukia sana hili jina😢
😅😅😅 bahati yako maangaiko yangekuwa juu yako,TUMSIFU YESU KRISTO
Nimecheka walahi😂😂😂 hulipendi jina
Sifa na utukufu ni kwake tuuu
Mashallah
Dada vero husikiki Arusha
Hakika nimetambua MUNGU wetu ni mwaminifu na nimwenye wivu na hataki michanganyo
Amina 🤲
🎉🎉
2
HASANTEE
@veronicasimulizi angalau ungekua hata ungekua pia unatoa maelekezo ni wap wenzetu walipoweza kwenda kuabudu wakasaidiwa kuliko kuishia tu kusikia kua alisaidiwa baada ya kuacha njia hii akafuata hii wengi tunataman nasi kufunguliwa tunatamani nasi kusaidiwa ila muongozo hatuna tusaidie da Veronica❤
Nikweli kbs wengi tupo na magumu
Wa 5
Nakupenda sana kwa simuli zako jamani