RIPOTI YA LEO ESSAU VOLUME 08

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 92

  • @BettyGeorge-el1gb
    @BettyGeorge-el1gb Рік тому +11

    Yaani salama ya esau angekimbilia kwa Yesu angekuwa salama💪

  • @ishaumar99
    @ishaumar99 Рік тому +8

    Mnaolalamika anachelewa mnakera kaskilizeni redioni 😏

  • @didahawadhi435
    @didahawadhi435 Рік тому +33

    Yan kuna watu hata neno la shukran linawashinda kama mna haraka si mngekua mnasikiliza radio? Kila siku malalamiko mnakeraa kuchelewa kuchelewa , muwe mnasikiliza radio punguzen makasiriko bhana

    • @maulidihaji4979
      @maulidihaji4979 Рік тому +2

      Kweri hawajitambui

    • @shaluuanthony1836
      @shaluuanthony1836 Рік тому +2

      😂😂😂😂kwakweli

    • @BettyGeorge-el1gb
      @BettyGeorge-el1gb Рік тому +1

      🎉🎉 chukuwa mauwa Yako mama tusaidiane kuwaakumbusha Hawa viumbe wasio na shukrani na kulalamika TU utasema wamemuajirii dada wawatu achenii bana haipendez

    • @Fatmarajab1175
      @Fatmarajab1175 Рік тому +1

      Wananikera miye 😏😏

    • @EunicePeter-u2e
      @EunicePeter-u2e Рік тому +1

      Kweli wanakela

  • @samiramhina4762
    @samiramhina4762 Рік тому +2

    Napenda Tuu Unavyohadithia Mpaka Ninaiga

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Рік тому +2

    Da vero asante kumbe uchawi upo huyo binti ndio wale wamagano sio binadamu huyo

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 Рік тому +5

    Ahsantee sana Da Veronica, Huuu mkasa ni mzuri sana! Pia naendelea kujifunza vingi mnoooooooo, Nakupenda sana dada yetu mpenz ❤

  • @christinajoseph1920
    @christinajoseph1920 Рік тому +1

    Daaa ama kweli dunia Ina mambo

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 Рік тому +3

    Mungu atusaidie ! Kwakwel maanaa kumbe kuna wazazi wabaya duniani huwasiamini ila kadri ninavyo skia mambo ya nayo yasibu watu ! Mungu tusaidie

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 Рік тому

      Wapo wazazi wabaya sana, nina wishnitoe simulizi yangu pia, inamafunzo mengi sana.

  • @reinakisakali9714
    @reinakisakali9714 Рік тому +2

    dah Mungu atulinde

  • @neemacharlesneemacharles
    @neemacharlesneemacharles Рік тому +1

    Daaah aisee MUNGU tusaidie sisi wamama jamaniii na utusamehe pia

  • @VeronikaJerome-wr8yz
    @VeronikaJerome-wr8yz Рік тому

    Pole sana kaka essau
    kwachanga moto uriyo pitia

  • @AgnessJabe
    @AgnessJabe Рік тому +2

    Leo mapema sana asanteh.

  • @NeemaKatoto-un6ic
    @NeemaKatoto-un6ic Рік тому

    Asante dada mungu aendelee kukupa uzima kila itwayo leo tunajifunza kupitia wewe🙏

  • @Sarah-v1v6p
    @Sarah-v1v6p Рік тому +1

    Habari da Veronica nakupenda sana nisome kama Sarah nipo Tabora manispaa

  • @subirajuma7443
    @subirajuma7443 Рік тому +2

    Nuru na giza hazichangamani. Hapo essau ndani yake kuna kitu cha kiMungu halafu mama yake alimkabidhisha kwenye uchawi yaani ni vitu kugongana tu, waganga wenyewe hawawezi kuelewa kilichopo ndani ya Essau maana wao ni wa gizani na kilichopo ndani ni cha Nuruni.

  • @kissnarmgeni4845
    @kissnarmgeni4845 Рік тому +1

    Dada v hakunanyingine simulizi nyingine ya essau❤❤❤❤

  • @satwanthoogan6429
    @satwanthoogan6429 Рік тому +4

    Kwa kwanza kabisa,❤ watu wote wamelala!😂tuko pamoja Dear!😍 👍🏻

    • @Rahma25474
      @Rahma25474 Рік тому

      Nimewasili wapili Tuko pamoja Kumekucha uku Qatar tukiskia Hii simuliz yakutisha😢

    • @satwanthoogan6429
      @satwanthoogan6429 Рік тому

      @@Rahma25474 sawa dear!😂 👍🏻

  • @monicambuva529
    @monicambuva529 Рік тому

    Essau ana nguvu ya Mungu mama yake alishindwa mtoa kafara...wakamla yeye kitu ndani ua Esau ni nguvu ya Roho mtakatifu

  • @magrethmanintveld5477
    @magrethmanintveld5477 Рік тому +1

    Asante Sana ni nakuanfalia kutoka Holland

  • @MerryLaini-wk1ut
    @MerryLaini-wk1ut Рік тому

    Ila mm huuu mkasa Jaman nasikiliza ila naogopa hatali

  • @Gracesamwel-w9w
    @Gracesamwel-w9w Рік тому +1

    Mungu amvushe essau

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 Рік тому +2

    Thanks for uploading

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 Рік тому +2

    OH WOW
    HASANTEE sana dada Veronica

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Рік тому +1

    😍😍I love this story,big up kwa da'vero

  • @winfridakaaya2758
    @winfridakaaya2758 Рік тому +3

    Asante daveroo

  • @evadotv9528
    @evadotv9528 Рік тому

    Mwendwlezo tunasubiri

  • @joycenyalandu-vt6qt
    @joycenyalandu-vt6qt Рік тому +2

    😭😭maisha Yana changamoto jaman

  • @erastonzogela1405
    @erastonzogela1405 Рік тому

    Aiseeeeeee

  • @GODFREY-je9xq
    @GODFREY-je9xq Рік тому +2

    Matangazo yabaki kwenye Radio tu,uku tuache

  • @aziza9093
    @aziza9093 Рік тому +2

    Kwelikabisa usimusikiliza baba yeye anaitaji msaada

  • @LailathSwedy-ul1hz
    @LailathSwedy-ul1hz Рік тому +2

    Huyo kama mm

    • @jacklineeverist8019
      @jacklineeverist8019 Рік тому

      Asante da vero simulizi nzuri na inatupatia mafunzo

    • @GodfreyNicholaus-c2z
      @GodfreyNicholaus-c2z Рік тому

      Usikubali kukaa na wadudu wabaya,nanda kwenye makanisa yayojua kweli na utakuwa Huru

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 Рік тому +1

    😂😂😂😂mganga anachanganyikiwa khaa hii dunia hi

  • @keithnicholas4667
    @keithnicholas4667 Рік тому +2

    mnachelewesha sana😢😢

  • @AzizaFirozi
    @AzizaFirozi Рік тому +1

    Leo Mapema kabisa 😅😅😅😅

  • @esternyabulilo4889
    @esternyabulilo4889 Рік тому

    Da Veronica simulizi ya Jana haipo UA-cam 7/9/ mpenzi

  • @drvidah7030
    @drvidah7030 Рік тому +1

    Aisee maisha ni safar ndefu😢😢😢Mungu tusaidie sisi

  • @elizamhina1105
    @elizamhina1105 Рік тому +1

    Balaa kubwa

  • @FranciscaMutua-m2k
    @FranciscaMutua-m2k Рік тому +3

    Sasa wakishindwa tafuta msaada kanisani

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 Рік тому

    Daaah pole sana esau😢ila naamini ilo tatizo linakwenda kuisha japo awo waliopoteza maisha awawez kurudi tena😢

    • @GodfreyNicholaus-c2z
      @GodfreyNicholaus-c2z Рік тому +1

      Tatizizo litaisha,kwa Yesu tu,kwengine anaenda kuongeza tatizo

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 Рік тому

      @@GodfreyNicholaus-c2z Mpaka sasa naamini lishakwisha

  • @shangwerobert5639
    @shangwerobert5639 Рік тому +1

    No 9 da vero 😢

  • @aysherkitoi5507
    @aysherkitoi5507 Рік тому

    Kwani huu mkasa umeshaisha

  • @AmosBukanu
    @AmosBukanu Рік тому

    Hujaiweka volume 9 jana sijapata nafasi ya kusikiliza iwekee

  • @jacklinegodifrey8607
    @jacklinegodifrey8607 Рік тому +1

    Asant da V❤

  • @rahmamohamedi7197
    @rahmamohamedi7197 Рік тому +1

    Jamani essau 😭😭

  • @happyyohana9881
    @happyyohana9881 Рік тому +1

    Waoo 🙏🙏

  • @HonorySamkyi-lw8ch
    @HonorySamkyi-lw8ch Рік тому +2

    Vero hututendei Haki.Huwezi kutuwekea matangazo ya Airtel wakati bando hutununulii,.siyo poa

    • @Fatmarajab1175
      @Fatmarajab1175 Рік тому +1

      Kasikilize radio 😏😏

    • @GODFREY-je9xq
      @GODFREY-je9xq Рік тому +1

      Ameanza kuweka matangazo huku,kwakweli anatukwaza sana

  • @rainadecompas5211
    @rainadecompas5211 Рік тому +1

    Mhh watu hamlali?😂😂 sa12 tayari mshamalizana na Vero

  • @ceciliaurban5612
    @ceciliaurban5612 Рік тому

    @veronica simulizi volume 9 mbona haipo UA-cam? 😊

  • @winfridakaaya2758
    @winfridakaaya2758 Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @OscarjacksonOscar
    @OscarjacksonOscar Рік тому +1

    Dada Vero mnachelewa kupost sisi tunao fatilia kupitia UA-cam channel, adi inaboa unatamani kujua lakin unakosa muendelezo, simulizi nzur sana hilo🙏🙏

  • @veronicamassala562
    @veronicamassala562 Рік тому +1

    Maisha haya 😂😂Nakumbuka wakati nipo kidato cha 2 rafiki angu mkubwa akaniita mchawi serious kabisa ila yote kwa yote Mungu ni mwema sana

  • @IsdorySongoma
    @IsdorySongoma Рік тому

    Habari!Huu mwendelezo me sijaupata au sim yangu itakuwa na matatizo??

  • @collinstemba6040
    @collinstemba6040 Рік тому +6

    Mkiona anachelewa mtafute essau mwenyewe awasimulie mjitu mingine sijui ipoje ina maana yeye asifanye kazi nyingine awa postie tu 😏😏

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 Рік тому

    Ya jana iko wapi vero??