Ohooo jamani hii simulizi mwishoni mbona kama ni Mimi kabisa 🤔 Nilikuwa naota ndoto za kutisha nikapewa Rosary na maji ya Baraka na Padre na Kila kitu kiliishia hapo Mungu ni mwema
Mara nyingi watu hufikir mapadri hawaombei lkn ukiwa ndani ya imani ndo unaujua ukweli, hakika Mungu ni mkuu kwa kila gumu unalolipitia hapa duniani, Bwana ufanya mlango wa kutokea.
❤🎉 Tunajifunza mengi da vero, mengine yanatokea katika maisha yetu, japo hatujakufikishia lakini wanaoleta story hapo wanatuwakilisha kabisa 😢😢 Mungu ni mwema 🙏
Yaaaan na mm nmeanz kuota ndot kam za esau za shule mara nmechelew mtiihan nikachwekwa teeen baad ya sku kadhaaa hap sjajua ni kwakua hii story nilihiweka kichwan au
Ni kweli kabisa, hakuna uganga wala uchawi juu ya Israel.❤❤❤
Nilijua mwisho wa mateso ya Esau ni pale tu atakapopata nafasi ya kumjua Mungu, Glory To God 🙏🙏🙏Tuwe na imani tumjue Mungu wetu 🙏🙏🙏💝Amina
Ohooo jamani hii simulizi mwishoni mbona kama ni Mimi kabisa 🤔
Nilikuwa naota ndoto za kutisha nikapewa Rosary na maji ya Baraka na Padre na Kila kitu kiliishia hapo Mungu ni mwema
Angalia ,Nenda kanisani,mda unaluhusu, Ni MUNGU TU
Nasadiki kwa Kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume 🙏 Hongera sana Essau kwa kuwa na mwisho mwema.
Asante Dada Vero, sifa na utukufu ni kwa Mungu.
Imani yako iweke kwa Mungu sio kanisa, ubarikiwe
Watu hawaamin Catholic but this testimony ikawabadilishe dhehebu lolote ukimwamini Mungu wa kweli unapona , Nguvu ya Mama Maria mpaka nmelia
hakika hakuna kinacho shindikan mbele zake mungu dada vero simulizi zako zimenitoa sehem nyingine mungu akubariki sana
Ndio maana nampenda sana Huyu MUNGU, Ana mambo makuu sana
🙏🙏ila uwe unawahi kutupostia dada etu, tunasubiri kwa ham kweli❤❤❤Mungu akutunze
Kabisa
Mungu ndo kila kitu kwenye maisha yetu alisema tu muombe lolote kupitia jina lake nae atatupa amen
Pole sana essau pia hongera sana kwa kupambana dada Vero Asante kwa elimu mungu akubariki sana
Mungu atanaki kua Mungu milele YOTE💪💪💪
Amen Amen! Mungu nimwema atuokoe nakila maovu, Ahsantee sana Da Veronica amanii ya Bwana Yesu iwe nawe kila wakati 😊😊!!! Pia msalimie ESSAU
Mungu wetu ni mwema kila wakti
Wow!ameyashinda Mungu ni mwema kila wakati
Mara nyingi watu hufikir mapadri hawaombei lkn ukiwa ndani ya imani ndo unaujua ukweli, hakika Mungu ni mkuu kwa kila gumu unalolipitia hapa duniani, Bwana ufanya mlango wa kutokea.
Kweli Ile nguvu wanganga walikuwa wakizunguzis Iko ndani Yako ilikuwa ya mungu
Jamani da Vero umejua kututeka khaa😂😂😂. Asante dada Wakwanza
Daah! Kumbe wanaosikiliza Moja kwa Moja radioni wanapata sinulizi kamili!! Maana hapa imekatishwakatishwa sana!!
Ahsante uwezo wa Mungu ni mkuu kuliko binadamu
Asante sana dada veronika mungu akutunze love from kenya
Mungu yupo mahali popote, inategemea unamtazama nani. Ukiimtazama Mungu ktk uhitaji wako kwa imani atakujibu
Woooh Hatimaye Tumemtafuta Padre 🙏🙏🙏
Yees da veronika pamoja sana ni wakwanza kwa leo
❤🎉 Tunajifunza mengi da vero, mengine yanatokea katika maisha yetu, japo hatujakufikishia lakini wanaoleta story hapo wanatuwakilisha kabisa 😢😢 Mungu ni mwema 🙏
Sis vero Asante kwakuakilisha story hii...Hakika wakati wa Mungu ndo wakati sahii tumuani yeye akuna kinacho mshida Essau ubarikiwe
Asante Mungu kwa Matendo Makuu
Asante dada tunajifunza mengi sana 🙏mungu akupatie siku njema tukutane juma tatu
Ubarikiwe Sana dada Vero kwa kweli tunajifunza sana
Natamani nami nipate hivyo vitabu
Glory to God,big up kwako Vero❤
Hakika stori ya Essau mm nimejifunza kumtegemea Mungu
YA RABBY ALIHAMNDULILLAH ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sikutegemea kuish friday I thought next week 😅😅😅 Our God is able ohoo😊
True victory is from God. Bwana apewe sifa
🙏🙏🙏🙏
Yaaaan na mm nmeanz kuota ndot kam za esau za shule mara nmechelew mtiihan nikachwekwa teeen baad ya sku kadhaaa hap sjajua ni kwakua hii story nilihiweka kichwan au
❤dada imenivusha sana hii simulizi jaman ,mungu akubariki sana
Aiyeeeeee 😊😊😊barikiwa da vero
Mkasa mzuri sana,
Asanteeee sana.
Pole sana esau na pole kwa yote huyu padri atakuwa ni mwamposa 😅davero ubarikiwe sana dada
Mwamposa anakuwaje padri sasa ?
Mwamposa sio padri
Ndio nini kimetokea? Apostle kuna muujiza hapa 🤔🤗
😢😢😢daaah hakika tunajifunza mengi sana
Asante Vero wng napenda saut yako💞💞
Jamani Veronica Kuna mda nasikiliza Hadi nahisi tupo live😅😅
Asante dada Vero, may God bless you
Dah sister vero hii dunia ni mtihani from Belgium
Mungu ni mwema na yuko karibu kuliko damu yetu
Love you mungu ❤❤❤❤❤ Allah ndokila kitu
Ndio maana wake waganga walisema kuna nguvu ndani yake maskini duuu Mungu mkubwa saana
Mungu wetu ni mwema sana
Amina nimejifunza sana nitamtumikia Mungu siku zote hapa duniani
🙏🙏🙏🙏
GLORY BE TO ALMIGHTY GOD 🙏🙏
Jamanii kama kuna siku nimehaha kama kuku anaetaka kutaga jinsi navochungulia
Glory be to God 🙏🤲
Mungu ni mwema
Thank you da Verooo
👊💯💯💯💯👊👊
Finally mweeh
Mm mwenyewe ndoto zinatesa kwelikweli
Asantee dada da vero
Da Vero hili tatizo la kututumia hadithi siku ya 365 litaisha lini??😢😢😢.nilijua lamuda tu kumbe limekuwa la kudumu🤔
👏
Hatimaee jaman
Thank you GOD
Shetani ana mikwara hana msaada bora alikataa angemtoa baba yake ingekuja zamu ya watoto wake
Simulizi nimsuri sana
Ewaaah essau karejea 😂
Hakuna mganga wakweli wote ni giza tu
Ameen 🙏🙏
Nakupnd 🥰
Mungu ana nguvu sana🙏🏿
🙏🙏🙏🙏
😘😘😘😘
😢mmh
❤❤❤🎉🎉🎉
Ila sijaelewa maana ulisema amefika shuleni Sasa ilikuwaje ikarudia tena
Imekatishwa hapo kati, nilisikuliza mojamoja alhamisi na ijumaa, hapa imekatishwa sana!
Jaman na mimi sasa nipo kama essau kwani nina tabia za ndoto nanikiota ndoto huwa zinakuwa za ukweli pia nakosa amani sio utani ninajifunza kitu hapa
Mtafute YESU atakuppnya ...Amen
Hakuna jambo linalo mshinda Mungu
AMINA KUBWA KABISA❤
Simulizi nimsuri sana
Sema simulizi nzuri sio msuri 😮