MAJIBU KWA ISAYA MWAKILEMBE: WAISRAEL HALISI WAKO KWAO ISRAEL LICHA YA KUKATALIWA NA ANT SEMITISM
Вставка
- Опубліковано 29 лис 2024
- Siku zote Ukweli Nusu ni hatari kuliko ujinga kamili. Mafundisho na mtazamo wa Mwalimu Isaya Benson Mwakilembe kuhusu uhalali wa Waisrael kuwepo kwenye nchi yao, mbali na kuwa na uwalakini, lakini pia hauna msingi wake katika Biblia. Je tunapoweka mawazo yetu kinyume na Neno la Mungu, tunakusudia kuukana Ukweli unaothibitishwa na Maandiko Matakatifu ya Biblia. Ndivyo inavyoonekana kutokea kwa Mwalimu Isaya Benson Mwakilembe. Karibu tujifunze Ukweli.
Asante sana mwalimu Daniel mwankemwa kwa ufafanuzi mzuri uliokolea munyuuu
Mwl Benson Mwakilembe Anaungana na Mwaipopo ambaye alibadili dini na kuwa muislamu kawa mganga wa kienyeji naye anataka kuwa mganga? Mnatudhalilisha wanyakyusa , Asante Mwl daniel kwa elimu yako huyu Mwl
Mwenzako hajitambui kabisa
swala ni ufahamu embu soma maelezo yangu katika comment alafu u judge kuwa ?yuko sawa kabisa Mwakilembe
Mwakilembe amechemka hongera baba kwa ufafanuzi mzuli Safi sana
Safi sana mwalim ukipata muda ukutane naye maana mwaklembe sijawahi mwelewa kabisa anapotosha nazani yupo kwa ajili ya kula mb za baadhi ya waislam maana kawashika kweli waislam
Hongera mwalim kwa kumwelewesha huyo mpotoshaj mwakilembe
Uko vizuri sana isaya ni mwongo anachuki tu na wayahudi.
Isaya yuko sawa kaka soma maelezo marefu katika comment yangu utamuelewa sema tuna tofautiana uwezo wa kuelewesha
Asante mwalimu daniel , kwa elimu unafundisha kweli, uyu besoni ni mutumishi wa shetani tena na neno la Mungu hajuwi hata kidogo , tena unaona alianza kualani taifa la Mungu ,huyu anatumikia shetani kutakujua.
sio mtumishi wa shetani kaka,swala watu hawana uelewa wa biblia na dunia,soma comments yangu nimeeleza kwa kirefu hapo ukweli wa haya
Asante Sana kwa majibu Mazuri mwalimu ❤
Hata Bwana Yesu Kristo Ameeleza hapa Luka 21:20-24 Hiki ni kipindi cha Jemedari Titus wa Rumi. Mwaka 70
Mwalimu Daniel Isaya mwakilembe anasema eti taifa teule ni Urusi hapa nilimwona Isaya nimongo sana
Isaya mwakilembe,Anatafuta kiki kwa waislamu na warabu, Nimeona anawadharau sana walimu wa neno la Mungu, Pamoja na chuki kwa wayahudi na taifa lote kwa ujumla,
Asante sana Kwa kukifsiri taifa la Israeli kiusahihi. Mungu hatakufuta kamwe taifa ambalo chimbuko lake Ibrahimu rafiki wa Mungu ambalo yeye Mungu aliweka Agano naye lisilofutika hata katika uovu wako lakini Mungu itafika wakati wa kutakaswa kwao Ili kuurithi ufalme wa Mungu.
*kulitafsiri neno
Mayahudi wana penda ushoga kuliko dini
@@ZariaAbdullah-r5t walioanzisha ushoga niwaarabu
Hongera sana Mwalimu Daniel kwa kuliweka sawa Neno la Mungu. Ubarikiwe na Bwana.
Mwankemwa amenukuu vifungu vya zamaani kuhalalisha manyangau wa sasa.mwakilembe anachambua Dunia ya Sasa yenye unyangau na vita vya uonevu.sio ya kiroho km unavyozani wewe na wafuasi wako waislaeli wa kinyakyusa
Kwahiyo torat haitumiki Tena kwasababu ya zaman au wewe huamin katika torat?
Papa mwenyewe nishoga tena kwa ushahidi
Waisraeli hapo Israeli ndio kwao na ushoga Ni mfumo wa dunia wa kishetani, hata watanzania baadhi Ni mashoga, kila nchi hapa dunian Kuna mashoga,hata mkoani kwako Kuna mashoga,kw hiyo usiseme tu ati waisraeli Ni mashoga,siku zote mwlm Danieli hueleza ukweli wengine wote Ni porojo na ushabiki
Ushoga umeenezwa na waisraeli wanauweneza kwakutumia pesanyingi na kwa kilazimisha wakisaidiana na wamarekani
Kwani hujui kule ndio gwaride la mashoga wote duniani hupigwa kule Israel? Au hujui ushoga na Israel ni vitu vimoja? Tazama sera zao na viongozi wao wengi ni mashoga
Alafu pia Israel sio nchi ya kikristo na wao wayahudi hawamtambui Yesu Kama nabii bali kama mwanaharamu yaani mtoto wa nje ya ndoa. Alafu kinacho shangaza nyie mnawaombea wao wanampinga Yesu na hawamfuati au hujui hilo au huelewi kuwa wayahudi sio wakristo? Hakuna myahudi ambae ni mkristo maana uyahudi ni imani tofauti na ukristo. Someni muache kufuata watu badala ya kufuata maandiko na muwe na tabia ya kujisomea wenyewe sio kusubiri kusomewa wakati akili mnazo na masikio mnayo na macho mnayo na kusoma pia mnaweza. Muwe mnahoji na kufuatilia uhalisia sio kufuata mkumbo tu.
Mwakilembe ni mwalimu wa kweli
Pata macho ya rohoni Utaelewa na kumwelewa sio kwamba Nina chuki nae Iła anapoteza watu kwa maslahi yake na waliomtuma
Ni kweli lkn ni mwalimu wa Allah sio jihova
@@boscomwangosi1042 nakweli ni mwalimu wa Alah wa mapangoni
Wakristo wengi ni Wajinga na hawasomi maandiko wao wanasubiri kusomewa ndio wafuate. Yaani kifupi ni bendera fuata upepo. Mfano niwaulize swali dogo ninani anae weza nipa ushahidi nani alie mbatiza Yesu ?Maandiko ya biblia yanasema Yesu na Yohana mbatizaji hawakuwai kukutana pamoja na kuhubiri pamoja .Wakati YESU anaanza kuhubiri injili Yohana mbatizaji alikuwa gerezani. Mathayo 11:1,Kisha soma na Mathayo 14:1.Mtuambie Yohana yupi alie mbatiza maana maandiko ndio hayo na yako wazi na Yohana mbatizaji alikatwa kichwa akiwa gerezani jee alitoka gerezani ndio akaja kumbatiza Yesu? Kisha akarudi? Yesu alifanya dhambi gani au alikuwa na dhambi gani hadi abatizwe na Yohana mbatizaji? Yohana mbatizaji alikuwa anabatiza ubatizo Wa toba wa kuungama dhambi jee YESU alikuwa na dhambi ipi?
mwakilembe ndio nani!!? mbona kama mtumishi wa dagoni huyo??
Isaya Ako sawa tunamwelewa sana wewe peyana ya kwako wachana na isaya benson
Nimepeyana ya kwenye scripture. Je na yeye amepeyana hayo?
Wewe ni bendera fwata upepo hujui hata kesho yako
@@robertphilip385 Wewe kesho yako unaijua? Tuambie kesho yako ikoje ili tukuamini na tukufuate.
@@abdullahmasakata170 kesho j 4
@@robertphilip385 Hapo ndio umeonyesha sura yenu mlivyo. Someni muache kufuata watu na itikadi zao.Hata yesu hajui kesho yake ikoje na ndio maana mpaka leo sio Yesu wala mama yake YESU hakuna anae jua kiama itakuwa lini na saa ngapi. Kama YESU ni MUNGU Kweli tuambie kiama ni lini au Muulize akupe majibu kama unaroho mtakatifu kweli.
Asante mwalimu kwa kumjulisha mwalimu asiyejua maandiko, ajiulize yeye mwenyewe ana haki ipi?
Isaya Mwakilembe ana shida watu ambao hajui Neno la Mungu ndio wana muita Mwalimu, lakini siyo Mwalimu ila Mwana siasa ambaye amejificha nyuma ya Neno huyu. Tafuta watu wanamuunga mkono wanavyotukana matusi. huyu amekalili Maandiko ila alijui Neno.
Uzayuni unatokana na neno Sayuni, ni sawa na Utanzania unatokana na neno Tanzania. Isaya haelewi hilo.
Kuna watu wanaushabiki wa kidini, waisraeli kwao Ni Israeli ,hata wabena na wangoni waliotokea Afrika ya kusini na kuingia Tz nap Ni wa tz,mwalimu Danieli Yuko vizuri kwa maana anatumia maandiko, huyu isaya so mwlim wa neno la Mungu Bali Ni mshabiki anayepinga utaifa wa waisraeli,Sasa atuambie wabena na wangoni chimbuko Ni wapi
While the debate on gay rights heats up in the Knesset, 70 percent of Israelis say they support “equal rights” for homosexual couples, according to a poll released Sunday. This may not include the right to marry, though.
Support for equality was relatively high across the spectrum, with 89% of secular respondents, 72% of traditional respondents and 46% of those who identified themselves as religious or Arab coming out in favor, according to the survey by the daily Haaretz. The lowest levels of support were registered in the ultra-Orthodox community, with just 8% saying they were in favor of expanded recognition for gay rights.
Does this deprive the rights of the Israelites to re-possess their ancentral land? It is obvious No! The guy says they are fake Jews.
ISAYA MWAKILEMBE HAIAMINI BIBLIA KAMA ILIVYO...ANASEMA ILISHA CHAKACHULIWA HUKO RUMI. HIVYO NENO LA MUNGU ANALOFUNDISHA NI KWA NJIA YA FIKRA ZAKE.
miungu ni mingi na Ina waalimu wengi MIONGONI mwao ndiyo Hawa akina Mwakilembe, shida miungu yao Haina vitabu vinavyoweza kueleweka na kuaminika ndipo sa WANATUMIA BIBLIA TAKATIFU wanalazimika kupinda pinda maandiko Kwa manufaa ya miungu yao.ASANTE MWALIMU MWANKEMWA Ikiwezekana tukutane na huyu Mwakilembe
Sioni kama ni halali isaya benson kukujibu baadaye kama ulivyodai maana wewe ni mlalamikaji dhidi ya isaya
Mungu amesema amelipanda kalipanda lini nimaandiko yakwenye makaratasi lakijj uhalisia nimashoga na ili uwe kiongozi wangazi zajuu mpaka uwe shoga kama vile papa
Haya ni malalamiko yasiyo na ushahidi wa maandiko. Haya ni mawazo yako.
Mwakilembe ana chuki na taifa la Mungu,shenzi
Mtumishi wa Mungu Daniel, huyo Mwalimu Mwakilembe ni Mtumishi wa Mungu aliyekengeuka na amekuwa kipofu asiyeweza kuliona Neno la Mungu na kulifundisha lilivyo. Mara utasikia akisema kuoa mke mmoja ni dhambi ati tunatakiwa kuoa wake wengi tuzae sana na kuijaza dunia. Huyu ni Mtumishi wa JoDavy ambaye ni kipofu wa Neno la Mungu anayeitukana Biblia. Na kipofu huwaongoza watu wake shimoni pamoja na Mwakilembe.
Taifa la mungu aliwezi kusapot ushoga/ sasa israel ni moja ya mataifa ambayo hayapingi ushoga apo imekaaje
Hapa tatizo sio uislam wala ukristo hao mnaowaita waisraeli ni washenzi hawamtambui yesu kristo wala Muhammad wao ni wapinga kristo full. Ile vita ya Israel ni vita ya utawala wa waisraeli wanapigana na ukristo+uislamu hivyo acheni malumbano ya kidini hapa hizi mmetengenezewa tu muwe hivi na wakoloni sisi sote ni wamoja aduwi yetu ni mzayuni anaedumiaha utawala w kishetani
Akili za kukariri siasa za dunia. Waisrael wapo wakristo na waliotuletea injili ni wayahudi. Acha kufuata siasa soma maandiko acha mazoea. Hata mie mwanzo niliungana na wajinga baadae Mungu akaniondoa na kunipa kufikiri.
Kumbe na wewe ni wale wale. Adui yako ni Uzayuni ambao harakati zake kwa Waisrael zilianzia Babeli? Ungetamani Waisrael waendelee kuwa mateka kwenye nchi za watu mpaka leo? Wewe binafsi hujaliona neno Sayuni ndani ya Biblia kabla ya Ukristo na Uislamu? Tafuta historia sahihi utapona!
Hata hai wakoloni kwao huko walikotoka kuna dini ya kikristo vizuri, tofautisha dini na matendo ya watu..dini ipo Duniani kote usifikiri ipo Africa tu.
Na je hakuna Waisrael ambao ni Wakristo? Vipi akina Petro, Paulo, Yohana nk? Hawa hawakuwa Wakristo huku wakiwa Wayahudi kwa asili? Vp useme Waisrael wanampinga Yesu Kristo full?
Bora Wewe ulie elewa hilo mtego Wa wayahudi sio rahisi kuwaelewa na propaganda zao. Kweli Kabisa myahudi na YESU ni watu mbali na hawa sasa ndio wanao mpinga Yesu wazi wazi lakini maajabu wakristo kila Siku wanawaombea makanisani.
Mungu alisema atakayeilaani Israel atalaaniwa, jimani tuwe makini tusichume laana kwa kufulahisha watu.
Wewe na wew ujui kwani baada ya kuombea Tanzania tuwaombe mashoga sisi
@@WadySaidi kwani Tanzania hakuna mashoga?
Acheni vita vya neno la Mungu .kwa njia nyingine munaweza kupata pesa,sio tu kupigana vita vya imani ninyi kwa ninyi.Huku kwetu hakutakuwa mtu wa maendeleo ao mabadiliko na asipigwe vita. Isaya hajakutukana lakini wewe unaanza kumtukana mtandaoni kwamba anapungukiwa nk.labda wewe ni mmojawapo wa waisraeli ndio maana una kereka?
Ni mwanafunzi wa Hamza aka ILYASA
Isaya asikie hoja hizi za maana izi ni hoja za kimaandiko
@sns inabidi ukafundishe na vita hivi vinavyo endelea
Wakati Tunawatetea Waislael Lakni Huko Wanawauwa Wakrito Na Wanapiga Mpaka Makanisa Na Hata Wakikutana Na Wakristo Wanawatema Mate Mimi Bado Nina Mashaka Juu Hao Waislael
Israeli mpaka sasa walipofushwa kwa Injili ili mataifa tupate wokovu, Walimkataa Kristo hawawezi mpaka Kanisa la Mungu linyakuliwe ndipo wanatumiwa Eliya na Musa Ufunuo 11 :3-13.Hao ndio watawahubiria Kristo. Israeli ni Israel kama hujui Biblia utajikwaa kwa Waisrael. Hata kama nikienda huko nikapigwa sitawashangaa. Nitasema kama Stephan Matendo 7:59-60.
@@DatiusExavelydugu yangu hapo kwa unyakuo,anaelewa aje watu waende mawinguni ana wapi,juu nkama tlichezwa agano jipya ukilisoma changanya na la kale ukiona adiko kwa ago jpya na hakuna kwa ago la kale,kubuka walioandika agno jipya waliuwawa na baada ya miaka 600 hao wauaji wakaleta biblia,old n new pamoja,
angalia; agno la kale Mungu ni mmoja; baada ya agno jipya tunaabiwa ni watatu mmoja,
niabie Isai 9:6; na Luka 1:31-32!?
Biblia Agano la Kale na Jipya hakuna linakoseme Mungu ni Watatu Bali ni Mungu Mmoja na Nafsi moja siyo Tatu, Alitenda ktk Ofisi Tatu Agano la Kale alikuwa Baba Mungu juu yetu, Akafanyika Mwili Isaya 9:6 na akaondoka ktk Mwili akarudi kama Roho Mtakatifu Kutimizwa Yohana 14:16-19 Mathayo28:20.Biblia haijawahi kutaja Nafsi zaidi ya Mungu ya Mungu Soma Isaya 42:2 Waebrania 6:13. 1TIMETHEO 3:16. Sababu ya Wayahudi kumkataa Kristo, walisema wewe uliye Mwanadamu Unajifanya Mungu ila alikuwa Mungu. Mungu alimuumba mtu kwa sura yake kwa jinsi ya Roho mwanadamu akapotea ktk mwili, Mungu Akaja ktk Mwili akiwa ni Yesu Yeye alisema Mimi na Baba ni mmoja siyo wawili. Fundisho la Mungu la Mwenyewe Nafsi Tatu ilitoka Kuzimu kupitia kanisa Katoliki. Ufunuo wa Yohana 16:13-14 ndio maana Biblia ilisema aliwadanganya wakubwa kwa wadogo. Penye Nafsi Tatu pana watu watatu hiyo utakuwa Muabudu mzimu Ya Kirumi.
Huyo ni mwalim. Wa. Neno l a mungu yule. Mwingine. Hata. Wa. Filist walimwabu dagon kama mungu wao
Hao Waisrael halisi kabisa Angalia Ufunuo 6:9-11hao ni Wayahudi waliouwawa kwenye vita ya pili ya dunia kulingana Ufunuo 9:14-20 waliambiwa wasubili hesabu ya Ndugu zao Ambao ni Ufunuo 7:4-8 vita ya pili ya dunia ilizuliwa na Mungu Israeli walikuwa hawarudi kwao Israeli wamekuja kupokea Masihi wao, maana Maandiko yanasema watatumiwa Eliya na Musa Ufunuo 11:3-13 Hao ndio watakao wahubiria Kristo hao ndio watapiga dunia kwa dhiki kuu. Maana mataifa wamemkataa Kristo Neno la kweli wanafundisha maagizo ya wanadamu..Kama vile Israeli walimkataa Kristo wakaondolewa pale Israeli ili mataifa upate wokovu ndo maana Yesu alisema baba wasamehe hawajui watendalo wao walipata Neema ya kuokolewa tena. Sasa mataifa wameikataa kweli halisi ni vipofu Ufunuo 3:17 hili ni kanisa la mwisho. Anzia mstari wa 14 hii ndio sababu Israeli kurudishwa. Neema kwa mataifa inamalizika, wamejifunga sana na mafundisho sana ya kidhehebu kama mafarisayo na Masadukayo.
Wewe anglia ufunuo lakini nawao wana funuwana kwana
Isaya anajinadi kwa waislam ana roho ya ajabu sana eti putin ni mtakatifu aache unafiki wake huyu ni mwislam
sio mnafaiki swala ni uelewa me nakushauri soma hapo ufafanuzi nilio utoa kwenye comments utakusaidia
Isaya benson haungi mkono mashoga km ww pumbav na Mungu kalaani ushoga af ww unawatete ,
Hujaelewa, hata kama ni mashoga haiwaondolei uisrael wao, kwani Lile lishoga la Zanzibar liaskari polisi liislam, ushoga wake uliliondolea haki ya uzanzibar?
Hahahaaa Kweli ukiondolewa ufahamu. Ni shida, hata Kama ni mashoga haiwaondolei uisrael wao ,watakutana na mkono was Mungu na adhabu ya mungu,pia kumbuka mitume na manabiii wanatoka humo so vema kuleta chuki binafsi
Mwabie! Waisraeli walipewa tolati na hua wanaifuata ikiwemo Sheria huyu n wale wachungaji hawataki Sheria,eti yesu alibeba Dhabi;na jera zimejaa;nkimuabia anipe mke wake hataki,unfiki tu;
@@daudimichael7338 haa haaa nakweli Tena waarabu ndo masho wakubwa isaya mwakilembe atakua na pepo mkuu beltezebuli
Ezekiel alikua mbele ya Daniel,so huo unabii ulitimia siku walitekwa na nebukdzer,baadaye roma iliwavamia wakatawanyika tena,tuabie amosi 9:14
Sefania 3:9-17
MUNGU aliahindi atawakusanya,waliite jina lake;hao wako Israel Leo Mungu gani aliwakusanya!? zingatia (safania 3:13)naoba jibu!
Mwalimu Daniel uishi miaka Mingi!
Ww isaya ni mwalimu kamili
Marko 13:28-29 ni unabii wa Israeli kuwa taifa tena huyo Mwakilembe anafuta laana kama anataka kufundishwa afundishwe kama hataki huyo hata kuwa Balamu.
Mwalim , huyo mwaklembe ni mpinga kristo tu.
Je unajua maana ya mpinga kristo? jua Leo, dini zote duniani ni wapinga kristo,hata ww kama uko kwa dini uko mmoja wao;
Yashua alisema mkinipeda mtazishika Sheri zangu,Leo dini wanasema Sheria zliisha,hapo vipi!?
tena,yashua alikua ni neno la Mungu la kweli,dini gani Leo inafundisha NENO la kweli!?
So ni wewe ujitafute ujue ukweli ufwate pamoja na sheria; yashua wa kweli ni neno la Mungu la kweli:
@@johnmwangi9231mmmmmm😊
Someni maandiko haya vizuri. Yohana 4:21,na Waebrania 7:26.Mkikuta maandiko hayo yanasena Israel hii ya Benjamin Netanyahu ni taifa la MUNGU njoo mnibatize ubatizo Wa moto na roho mtakatifu. Tuambieni Yesu alikuwa na dhambi gani hadi abatizwe? Alafu tuambie Yohana yupi alie mbatiza Yesu maana maandiko yanasema Yesu na Yohana hawakuwai kukutana wala kuonana. Wakati Yohana mbatizaji yuko gerezani alishangaa kusikia habari za Yesu na alikatwa kichwa akiwa gerezani. Jee Yohana alitoka gerezani akaja kumbatiza Yesu kisha akarudi? Tupeni ushahidi Wa ubatizo Wa YESU na dhambi ipi alifanya ili abatizwe na Yohana mbatizaji?
Ubatizo wa Yesu ndiyo mada yetu hapa?
@@BAYYINATDMTV Bila ubatizo huo ukristo utakuwepo? Au Yesu aliposema ufalme wa MUNGU kuhamishiwa taifa jingine tofauti na Israel alikuwa na maana gani kusema hivyo? Kwani hujui taifa la MUNGU lazima lifanya mapenzi ya MUNGU? Jee Israel inatenda sawa na MUNGU atakavyo au Kinyume na MUNGU? Jee Israel ya sasa inamtangaza MUNGU yupi Kati ya MUNGU alie mtuma Yesu na MUNGU wa Ibrahim na Issaka na Yakobo? Taifa la MUNGU linakuwa na sifa gani? Jee Israel ya sasa inazo sifa za kuwa taifa la MUNGU?
soma comment yangu nimeeleza kwa kirefu wale sio wayahud wayahudi wa kweli walikuwa waafrika
@@jeanmusamba8448unajua chanzo cha neno Yahudi?
@@BAYYINATDMTV Kwani wewe unajua asili ya neno Israel ni nini? Jee Israel ni uyahudi! Au uyahudi ni uisrael? Tuambie myahudi ni yupi na mwisrael ni yupi au yote ni sawa na maana ni moja? Tuambie ndugu.
Mwalim Daniel yule isaya sio wa kujib hoja zake bwanaaa, we mtu mwenyew babake wa kirono ni yule anayejiita nabii mkuu asa utasema huyo isaya ni mzima kweli ikiwa huyo babaake wa kiroho tu akil yake haiko sawasawa na tena ni nabii wa uwongo aliye dhahiri kabisa asa unamjibuje sasa mtu kama huyo
Tunamsaidia kuelewa asiyoyajua.
Mwalimu Daniel wewe ni kiboko ya watu wote wenye hila na chuki dhidi ya Ukweli wa neno la Mungu.
Anayejiita mwalimu Isaya ni kibaraka wa kiislam asiyejitambua maana hana sifa yoyote ya kuitwa mwalimu,labda mwalimu wa tumbo.
Hata kanisa lako watakua hawajui kama wewe isaya piga kazi wewe pamoja na ilyasa
Mi mwenyewe nimemsikia mala ohh yesu alikuwa mweusi Ila ww ni mchungaji kwelikweli unajua bible
Yesu kua mweusi ni kusema yesu alikua muafrika na ukifuatilia ni kwamba mfalme suleman mama yake alikua kutoka Ethiopia ambae alikua ni mweusi tii na pia huyo suleimani aliowa Tena mwanamke kutoka Ethiopia betsheba Kwa hiyo waisrael huwezi watenganisha na Africa na yesu kakulia Africa
MWALIMU kwanini papa anaizinisha ushoga na yeye nimtu kubwa wataifa lile nawala hakuna kiongozi wataifa lile alie kewea awe wakidini au kisisa niwazi kwamba ushoga ndi milazao
Hao sio uzao wa Yakobo wala nchi ya Kanaani haikuwa Palestine,
Mwanzo 13:1
[1]Abramu 👉akapanda kutoka Misri, 👈yeye, na mkewe, na kila alichokuwa nacho, na Lutu pamoja naye, 👉mpaka kusini.
Ukipanda kutoka Misri kuelekea Kusini itakuwaje unajipata Palestine?????
Malizia basi maana umeishia tu kusini. Sioni ukiisema ile miaka 10 ambayo Abram alikaa Kaanani baada ya kutoka huko Misri (Mwanzo 16:1-3)
@@BAYYINATDMTV
Miaka kumi inahusiana vipi na mahali nchi ya Kanaani ilipo?
Mwanzo 12:9
[9]Naye Abramu akasafiri, akazidi kwenda pande za kusini.👈
Mwanzo 13:1
[1]Abramu👉 akapanda kutoka Misri, yeye, na mkewe, na kila alichokuwa nacho, na Lutu pamoja naye, mpaka kusini.👈
Mwanzo 13:3
[3]Akaendelea kusafiri kutoka 👉kusini 👈mpaka Betheli, mahali pale palipokuwapo hema yake kwanza kati ya Betheli na Ai;
Mwanzo 20:1
[1]Ibrahimu akaondoka huko kwenda nchi ya kusini, 👈akakaa kati ya Kadeshi na Shuri, naye akatembea katika Gerari.
Mwalimu tufafanulie kuhusu rangi za waisrael ,asili yao ni wazungu au waafrika
Ukilinganisha hoja ya mwl Benson juu ya original ya Israel rangi zao maana waliopo hapo ni wazungu
@@AnnoyedBigWaterfall-hy5mtWaisraeli sio wazungu na sio waafrica….
Hawa nwale wanasema Sheria zliisha; utakuaje muuaji wa watoto, shoga na wewe ni taifa la Mungu; waisraeli halisi ni weusi kwa ushahidi
sefania alikua mwafrika,sef1:1
Ezekieli 8:3 alikua na Rasta
Samson alikua na Rasta
Solomon; wibo ulio bora1:5-6
Dunia nzima Rasta n mwafrika
(Atoe mzungu kwa biblia)
@@johnmwangi9231 kufuatana na hiki ulichokiandika, unamaanisha kwamba wale Waisraeli wataondolewa kisha watu weusi ndio wakae katika eneo lile? Maana Yesu atakapokuja Mara ya pili, atafikia pale Israeli. Na Wayahudi watakaokuwepo wakati huo, wote watamwamini na wote wataokolewa.
@@johnmwangi9231 kuna Kushi kwa maana ya jina la mtu, na kuna Kushi kwa maana ya nchi, yaani Ethiopia.. halafu hapo kwenye Wimbo uliyo Bora, huyo mwanamke anasema uweusi wake umetokana na jua. Endelea kusoma. Hapo kwenye Ezekieli, anasema alishika nywele zake. Sasa hapo UTASEMA zilikuwa ni rasta?
Wote mnaopinga israeri mnapata laana halaka sana
Ww baba umetumwa acha ujinga elimika. Kawambie wamefeli hao mashoha hawana nafasi
Kwani mnabishania nini? Je? Nani aliwaambia kuwa Israel ni pale palestina? Mbona mnabishana kuhusu mambo ambayo hamna elimu nayo? Afrika tumefungwa ubongo hasa nyinyi mnaojiita walimu.
WENYE-NCHI NI WANA-NCHI
KAMA
KENYA YA WAKENYA
Kama Israeli ni ya Waisrail na Zanzibar ni ya Wazanzibari.
Wakati mwingine unatoa maoni bila ushabiki, kama haya. Bravo!
Zanzibar Niya wanyamwezi hata Bara wapo achakutafuta chokochoko
TANGANYIKA NI YA WAMASAI
@@robertphilip385Tanganyika ni ya Wamasai hata Kenya wapo. Wamekuja Zanzibar baada ya Karume kuuliwa na Kadi ya Uraia kuondoshwa.
Waisrael wapi wale walio zaliwa na baba alie shindana na MUNGU wake akamshinda au Waisrael wapi ndugu unao zungumzia?
Wew mbuz ndio ujif ananishe na mwakilembe yule amesoma wew una ulka
Kwa sababu mimi siyo mbuzi bali ni mtu umeshindwa hoja.
zee limejaa gesi linatetea mashoga hatari sana
Hapo ndipo akili zako zilipoishia
@@BAYYINATDMTV WW akili n ipi ulonayo y maana
Komwee tu mi ndio nalishangaa hili kwani ni mwalimu la wapi nalo litakuwa lishogaa nahili
Ndiyo umemaliza kujibu hivyo? Basi kalale
Kalale wewe ujui chochote
Kwa nini waumini wa kiafrika munapigana vita katika suala nzima neno la Mungu?kwani isaya kusema kwamba taifa la israeli lilipitisha ushoga na wanataka ushoga huo uenee afrika,je na wewe unaunga mkono au kusupoti ushoga?alifanya nini kuonyesha amechukia taifa la israeli?ameonya kuhusu ujio wa ushoga kwetu kama vile tulivyoletewa dini kwa malengo yao binafsi.
Kumbe wewe ni muyahudi wa kiroho ndio maana nimeziona purukushani zako dhidi ya mchungaji nfacha kwa ajili ya utatu mtakatifu.wewe nikati ya zili roho Bwana Yesu alisema zichunguzwe.unatetea mapokeo uliopokea kwa wayaudi.
Nadio mana unatetea maandiko hutetei kile kinacho endelea pale ni ukatili na ushonga ndio unao endelea pala kwasababu mwakilembe hapendi ushoga kama wewe anapenda ukristo wake ndipo alipo sema kama wale waliopo pale si waiziraeli halisi nomashoga kama unajibu jibu uweleweke
Mbona hata Zanzibar wapo
Mashoga na wasagaji wamejaa kila kona yaulimwengu ila hawaonekani wanao onekana niwaisrael tu coz yavita inayoendelea pale gaza mashoga wanchi nyingine hamuwaon au mashoga nawasagaji wa Tz hamuwaon au mnajitia upofu msiokua nao?
@@joycedimoso8648 Zanzibar mpaka askari nishoga
Amos 1:6:7 inasema, Nitapeleka moto juu yaukuta wagaza nao utayateketeza majumba yake. Kinachoendelea pale gaza niutimiaji waunabii wabiblia wewe ninani hatauzuie neno la mungu lisitimie je unataka mungu aonekane muongo juu ya neno lake? Kwamba mungu alisema lakin halikutimia mungu alipoiteketeza sodoma na gomora aliteketeza wanyama au watu? Mungu aliposhusha gharika la maji kipindi cha nuhu walio teketea walikua wanyama au watu? Hizi nabii zimeaanza kutimia siku nyingi kabla hata hatujazaliwa nabadozinaendelea kutimia tena ndan ya israel hiyohiyo kikubwa lia nanafsi yako mungu akupe mwisho mwema maana dunia inaemda zake hii mtawaita sana watu mashoga maana hizo zinazokuja tukijaaliwa kuwepo ndio mbaya zaidi sisi kama wanadamu lazima tuumie tunapoyaona haya mauaji lakin mungu azuiliwi namwanadamu kutimiza neno lake kikubwa tuombe huo mwisho mwema hicho ndio cha msingi
@@joycedimoso8648 hakika Kila kichonenewa na manabii lazima kitimie
Isaya mwakilembe ni mtafuta maslahi kwa namna fulani anayeujua ukweli na kaamua kuupindisha so mie naona tusimfuatilie maana makala zake utata mtupu
Hakika umenena vema tuachane nae tusimpe mileage
Hili ukute lenyewe ni lishoga shenz
Huyu Isaya ni mlevi tu, ni muongo asiye na haya. Anajiita Mwalimu wa neno la Mungu, sijui ni Mungu yupi? Hela za GeoDavie zinamlevya.
Kumbe alienda kutembeza bakuli Kwa Ngurumo ya upako!!!!
Muache mwalim wetu isaya ww.achakumchafua
Mi ndio maana nasemaga hili tuwe tunalipinga lishogaa hili halina lolote
Lipinge kwa hoja siyo kwa mihemko ya kishoga
Wewe ujui hata kusoma uelewi ivi unajua maana ya uchambuzi kwanza
Benson hanaakili za kijinga kama zako
@@BAYYINATDMTVmtumishi wengine usiwajib ili wao wabaki na hatia hasa kwa wakutukanao
Mwakilemba pia alikuwa shoga huko Israel na ndio maana anaelewa hivyo
Mtafute iyaya uongee nae wewe ndio kichwa box kabisa waisraeli waliotawanywa na mungu hawakuwa wazungu wale kutoka ulaya waliopo israeli ya sasa. Na ukumbike ile inaitwa Israel ya kisiasa
Huyu ISAYA Huwa ni mpumbavu sana anajifanyaga mjuwaji wakati anatakiwa akae darasani afu anajiita kuwa et ni mwalimu wa neno la Mungu nadhani atakuwa na chuki binafsi pia Hana anacho kijuwa kabisa.
Isaya anasema kweli
@@badruseif1318hata harmonize alisema kweli et
@@georgekimasaofficial1629 uzuri wake homonize hakumaanisha Mungu gani mana hata ngo'mbe Kwa baadhi wa jamii ni Mungu wao
@@badruseif1318Harmonize alisema yeye ni Muislam, na aksema Mungu wake ni mwanamke. Kwahiyo Mungu wa Waislamu ni mwanamke.
Atakuwa ni mungu wake YEYE, sio wa waislamu. Na ndio maana ameshaomba msamaha kwa Mungu na waislamu.
Sasa ndo warudi kwa kuua watoto
Mwakilembe ni kibaraka wa waislam, dio maana ulenga kuwafurahisha .
Mwakolembe sio muislam wala kibaraka anakuzinduweni mayahudi(manyangau) sio watu wazuri mutaolewa
MUNGU anakuona wew kafiri mpotoshaji, Israel ni mtu sio taifa wala musa haja watoa waisrael misri ni uongo mtupu, hiyo ni habar ilio pachikwa kwenye biblia ukitaka jua ukweli kawaulize wamisri au soma historia vzr hao watu wa ahadi ni kutoka afrika sio hao wazungu toka ujerumani
Tunaomba andiko labiblia au Quran linalothibitisha maneno Yako sio kwaubaya Bali kwakujifunza nakupata faida sote
Haujui kitu ninani anayetangaza ushoga dunian? Utakufa mdomo wazi huna lolote
Mwakilembe njoo kuna mtu wako huku
Unatetea mashoga vp Tena mchungaji.taifa la Mungu linaua watu ?. Haya muda Sasa wa wachungaji wa kweli tunawaona,muislaeli anaitwa Mwankemwa?
Umenisikia ninawatetea mashoga? Unajifanya huijui mada? Je hao mashoga Israel siyo kwao na ushoga wao?
Yes taifa la Mungu linaua mashetani na wafuasi wote wa shetani. Waislam wote imewapasa kufa kama hawamwamini Kristo
Waarabu ndio mashoga wakubwa
Acheni kuzuga huyo papa wenu amesha ambiwa mundane 😂😂😂😂😂😂
Yani akili yako haifikii ata nusu akili ya isaya benson mwakilembe ,labda urudi shule na uwezi kugundua mpk uwe ginius ndo utagundua iyo bibria wameandika hao hao waisrael kwa wewe ujui hilo,
Wameandika kwamba kwao ni wapi?
Bila Shaka wewe uliyekomenti hapa ni mwislamu.. Ulichokiandika kinapingana na mawazo yenu. Unadai kwamba waisreali ndio waliondika Biblia, halafu unawapinga tena. Come man!!
@@roggerasili3089 hujapasikia niliposoma kwamba watarudishwa kwao? Tena nimetaja kabisa kwamba isipokuwa Kitabu cha Ufunuo.
@@roggerasili3089 wewe ni mkristo halafu hujui Biblia iliandikiwa wapi!!
Yaani hao waalimu siwaelewagi maanake Wana ushabiki wa kijinga yaani ni huyo IBM na hamza
Je kuna taifa duniani hakuna ushoga ????
Ushoga upo dunia nzima hata hapa Tanzania
Hahaha mbona unateseka we mbaba na sura yako ya ajabu unashindwa kuhangaikia ya nyumbni kwako unatolea macho vity vya israel huko, Paul ana utume gani yani nyie wakristo sijui mna shida gani, waisrael wamewandikia biblia yenu mtawafuata mpaka basi
Hatuna shida yoyote na Ukristo wetu. Shida yetu ni kuona mtu anawaondolea uhalali wa watu kuishi kwao jwa sababu zisizo za kusheria wala kidini.
Isaya yuko sawa wewe ndiyo mpuuzi kabisaa hujui kitu
Yuko sawa kuwa ushoga unawaondolea uisrael wao? Kwani Lile lishoga la Zanzibar liaskari polisi liislam, ushoga wake uliliondolea haki ya uzanzibar?
Mayahudi nomashoga wamiaka mingi
Wewe babu wacha kuwatetea wayahudi, hicho ni kizazi kilicholaaniwa hata uwasafishe vipi
Nilijua tu waislam lazima wakomenti katika hasi
Walilaaniwa kwa mujibu wa nabii wenu wa uongo Muhammad
Hivi wewe muislam unajua kizazi kilicholaaniwa?? Ngoja nikwambie maana naona umekuwa maamuma wa neno La MUNGU.nchi zilizolaaniwa kwa mujibu wa maandiko ni Lebanoni, Syria,Gaza,na ndugu zako Iran,na ukitaka ushahidi nenda kasome kitabu cha Amosi 1-6, mwanzo 9-1-0,zekaria n.k utaelewa.kwa mfano GAZA waliambiwa watapigwa sababu ya kiburi chao na makosa yao,Syria waliambiwa miji yao itakuwa chungu ya magofu.wote hawa ni wajukuu wa HAMU ambaye alikuwa mtoto wa NUHU ambaye alichungulua uchi wa baba yake mzazi akalaaniwa na kuambiwa Maisha yao watatawaliwa,ndio maana unaona wanapigwa sana hiyo ndio laana we usiojua
Halafu mjue nyie ni watoto wa nyumba ndogo babu yenu Ismail.ila mtoto wa ahadi ni isaka hivi mnaelewa hilo
MAYAHUDI WALIANZA KUWAUWA MITUME YA ALLAH KWA KIBRI CHAO
@@EnosiAndulile Allah anasema kwenye Qur'an Mayahudi waliwauwa Mitume ya Allah ambao wote ni Waislam. Haikutajwa idadi na majina yao.
Kadhalika Mayahudi walitaka kumsulubu na kumuuwa Mtume Yesu (pbuh) aliyebashiri kuja kwa Mtume Muhammad (pbuh) baada ya kuondoka.
Mwakilembe ni mfanyakazi wa kundi filani.sio mwalim. Kila kitu anapindishia kwa kundi fulan. Hasa kupendelea uislam
Asante Sana kwa majibu Mazuri mwalimu ❤