Hawa wachungaji ndiyo wanawapa wakati mgumu walimu wetu hasa mnapo kuwa mmnakutana na walimu wa Kiislamu. Yaani wanacho fundisha hata mtoto mdogo hawezi kumuelewa😮 ni mafundisho ya kiwangobcha mwisho kabisa na wanaliaibisha na kulitukana kanisa.
Hawa ni wapotoshaji na wanamdhalilisha Mungu. Usemi wao INA maana Mungu alikua akipata hedhi na kwenda msalani. Yaani hua mjadala ni vichekesho tu wakiwemo na manabii wa uongo
Mungu si binadamu hana jinsia hakuwahi kuonekana hana mshirika na hafananishwi. Mungu ni Mungu tu aachwe hivyo hivyo mijadala hiyo ni dhambi na kumdhihaki Mungu
Huko tunakoelekea kubaya tumefanya vituko vyote tumefanya jeuri zote ujahiri wote hatujaridhika tunaanza kujadili maumbile ya Mungu?!! Hatari Sana heri tungesema kuwa Mungu Ni Baba maana Sala ya Bwana inaanza hivi "Baba yetu uliye mbinguni" Yesu akasema "Mimi na Baba tu Umoja" Tena akasema "Naenda kwa Baba ambaye pia ni Baba yenu" kwa Maelezo hayo yatosha kujua Mwenyezi Mungu Ni Nani.
Kama tunakubaliana kuwa Mungu Hana maumbile si mke Wala si mume je basi twaweza kukubaliana kuwa Yesu si Mungu maana sote tunajua kuwa Yesu alikuwa Mwanaume?!!
@@samsonhamery3809 hapo ndo mnachanganyikiwa kwa ukosefu wa maarifa,Yesu kachukua mwili ilifanane nasi aweze kukaa kwetu.ndo maana unakumbuka malaika waliomtokea Ibrahimu walikuwa katika fomu ya mwanadam mpaka kule sodoma walitaka wawaingilie kimapenzi,je walikuwa wanaume au wanawake?je liliwaondolea umalaka wao?shida ni wewe hujui maandiko
@@odilomwemeziernest646 Maoni yako Ni mazuri ila hekima ndo unapungukiwa kidogo wewe unajuwaje sijui maandiko?! Wewe unafikiri kuhitirafiana katika jambo ni kutojua maandiko?! Kuhitirafuana uelewa ndiko chanzo Cha madhehebu Mengi na wengi waliohitirafiana Maoni walikuwa wasomi wazuri Sana wa,DINI na Imani mojawapo Ni Martini Luther, Meno Simon's, John Zwingli Hellen G White, Nk kutokana na tofauti ya maoni na uelewa wao walifanya matengenezo ya Kanisa.Kwa taarifa yako Mimi Ni,Mwana zuoni huu Ni uchokozi wangu katika mjadala huu.
@@BAYYINATDMTVmwalimu Hawa niwajinga tu, we wanyime mdomo tu kwenye comment,. Muislam mwenzao kasema huenda Mungu akawa mwanamke wakataruka juu,ww umesem Mungu kuwa ni baba kulingan na maandiko Wana kuita mpinga kristo😂😂😂 aloooh sas wasem Mungu ninani kulingan namaandik😂😂 Hawana mshiko Hawa jamaaa
MUNGU AKISEMA NA TUMFANYE MTU KWA SURA YETU NA MFANO WETU...MUNGU ALIYE BABA ANASEMA NA MWANAE COL1:15 1COR4:4 JE MWL DANIEL WEWE WAAMINI KUNA BABA NA MWANAE AMBAYE AMETUSHIRIKISHA ROHO WAKE 1COR2:11
Sema ewe MTUME muhmad kuwaambia Mungu ni mmoja muabudiwa na watu hakuzaa wala hakuzaliwa wala hafanani na yeyete. Mwanzo Mungu akasema na tumfanye MTU KWA mfano wake ??? Ayubu Mungu akasema mtanifanananisha na NANI na kunilinganisha na NANI???
@@HamisAbdallah-cj2sc ushahidi huu hapa mungu wenu anao unyayo na kama anao unyayo hakosi kuwa na mguu.Katika kitabu cha Tawhiid cha Ibn Khuzaimah, hadithi mbalimbali zinazohusiana na ‘mguu’ na ‘nyayo’ za Mwenyezi Mungu zimetajwa humo, aghalabu zikisimuliwa na Abu Huraira. Na zinaweza kupatikana vilevile katika Sahih Bukhari, Sahih Muslim, Sunan Tirmidhi, Musnad Ahmad Hanbal na Tafsiir za akina Tabari, Ibn Kathiir na Suyuti. Abu Huraira anasimulia kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.): “Pepo na Jahannam zilikuwa na mzozo, kila kimoja kikijaribu kuonyesha ule ubora wake juu ya kingine.” Basi Jahannam ikazungumza: “Mimi nimependelewa kwa kuwepo kwa wale watu wenye kiburi na nguvu ndani yangu.” Pepo ikajibu: “Mimi sijui ni kwa nini hakuna mtu isipokuwa wale dhaifu na wanyenyekevu ndio walioingizwa ndani yangu!” Hivyo Mwenyezi Mungu akaiambia Pepo: “Wewe ndiye Msamaha Wangu, na kupitia kwako ninatoa msamaha kwa yeyote kati ya waja Wangu.” Halafu Yeye akazungumza na Jahannam: “Wewe ndio ghadhabu Yangu, na kupitia kwako wewe ninamuadhibu yeyote nitakaye kumuadhibu. Kila mmoja wenu atajaa.” “Bali Jahannam haitajaa, hivyo Mwenyezi Mungu ataingiza mguu Wake ndani yake.” Kisha Jahannam itagutia: “Tosha! Inatosha!”
Ndicho hata mimi nilichotaka kukisikia ili niamini kuhusiana na madai yake. Lakini kwa sababu hakutoa anabaki kuwa nabii wa uongo na ndicho nilichotaka yeye akijue na jamii ya Kikristo ijue.@@partsonchundwa2287
Yaani wewe daniel unajiona msomi na una maono sana kumbe ni mshamba.na ushamba wako ni kutokana na njaa na kutafuta umaarufu kwa nguvu.huwezi kuwa maarufu kwa kumtukana mungu zaidi utakuwa mpumbavu.nenda kasome uelimike acha ushamba
@@BAYYINATDMTV hujanielewa mwalimu nilikuwa na mjibu huyu mwislam kuwa yeye anapo kupinga wewe kuhusu kauli Yako ya kusema Mungu si mwanamke na KUDAI umemtukana Mungu Ina maana yeye anaamini kuwa Allah wao ni mwanamke kulingana na kauli ya harmonize? Kwa hiyo hili swali lilikuwa si lako mwalimu Daniel.
Asante sana Mtumishi..Hii mada ni kama ya leo kumbe mjadala huu umeanza zamani tu
Mwalimu wetu Mungu akubariki Sana, ❤
Hawa wachungaji ndiyo wanawapa wakati mgumu walimu wetu hasa mnapo kuwa mmnakutana na walimu wa Kiislamu. Yaani wanacho fundisha hata mtoto mdogo hawezi kumuelewa😮 ni mafundisho ya kiwangobcha mwisho kabisa na wanaliaibisha na kulitukana kanisa.
Hawa ni wapotoshaji na wanamdhalilisha Mungu. Usemi wao INA maana Mungu alikua akipata hedhi na kwenda msalani. Yaani hua mjadala ni vichekesho tu wakiwemo na manabii wa uongo
Mungu si binadamu hana jinsia hakuwahi kuonekana hana mshirika na hafananishwi. Mungu ni Mungu tu aachwe hivyo hivyo mijadala hiyo ni dhambi na kumdhihaki Mungu
Ukiona mungu unakufa uyu sio mungu ni majini setani anaomba na anatemeka
Elimu gani hii jameni? Mwlm Daniel Ahsante sana sababu maelezo yako inaendana na maandiko.
Kaka zake na harmonize
Labda alitokewa na munguu zumaridi
DANIEL WW NI AZINA KUBWA SANA KATK KRISTO.
Amen kwa utukufu wa Mungu
@@BAYYINATDMTV safi Niko zanzibar
Huko tunakoelekea kubaya tumefanya vituko vyote tumefanya jeuri zote ujahiri wote hatujaridhika tunaanza kujadili maumbile ya Mungu?!! Hatari Sana heri tungesema kuwa Mungu Ni Baba maana Sala ya Bwana inaanza hivi "Baba yetu uliye mbinguni" Yesu akasema "Mimi na Baba tu Umoja" Tena akasema "Naenda kwa Baba ambaye pia ni Baba yenu" kwa Maelezo hayo yatosha kujua Mwenyezi Mungu Ni Nani.
Lakini pia lazima uweke vizuri kuwa Baba hakumanishi kuwa Mungu ana jinsia ya kiume,bali anapewa UBABA kwa sababu ye uweza wake wa kubwa juu ya yote.
Lakini pia lazima uweke vizuri kuwa Baba hakumanishi kuwa Mungu ana jinsia ya kiume,bali anapewa UBABA kwa sababu ye uweza wake wa kubwa juu ya yote.
Kama tunakubaliana kuwa Mungu Hana maumbile si mke Wala si mume je basi twaweza kukubaliana kuwa Yesu si Mungu maana sote tunajua kuwa Yesu alikuwa Mwanaume?!!
@@samsonhamery3809 hapo ndo mnachanganyikiwa kwa ukosefu wa maarifa,Yesu kachukua mwili ilifanane nasi aweze kukaa kwetu.ndo maana unakumbuka malaika waliomtokea Ibrahimu walikuwa katika fomu ya mwanadam mpaka kule sodoma walitaka wawaingilie kimapenzi,je walikuwa wanaume au wanawake?je liliwaondolea umalaka wao?shida ni wewe hujui maandiko
@@odilomwemeziernest646 Maoni yako Ni mazuri ila hekima ndo unapungukiwa kidogo wewe unajuwaje sijui maandiko?! Wewe unafikiri kuhitirafiana katika jambo ni kutojua maandiko?! Kuhitirafuana uelewa ndiko chanzo Cha madhehebu Mengi na wengi waliohitirafiana Maoni walikuwa wasomi wazuri Sana wa,DINI na Imani mojawapo Ni Martini Luther, Meno Simon's, John Zwingli Hellen G White, Nk kutokana na tofauti ya maoni na uelewa wao walifanya matengenezo ya Kanisa.Kwa taarifa yako Mimi Ni,Mwana zuoni huu Ni uchokozi wangu katika mjadala huu.
Hapo kulikuwa yesu malaika na mungu ?
Choni peke die kuna. Majini?
Uko bazimu
Daniel tofauti yako na mpinga kristo ni majina tu ila na wewe ni miongoni mwake
Mimi siyo mpinga Jristo. Thibitisha kauli yako nimesema kitu gani kinachokupa wazo hilo hata unifikirie mimi ni mpinga Kristo?
@@BAYYINATDMTVmwalimu Hawa niwajinga tu, we wanyime mdomo tu kwenye comment,.
Muislam mwenzao kasema huenda Mungu akawa mwanamke wakataruka juu,ww umesem Mungu kuwa ni baba kulingan na maandiko Wana kuita mpinga kristo😂😂😂 aloooh sas wasem Mungu ninani kulingan namaandik😂😂
Hawana mshiko Hawa jamaaa
MUNGU AKISEMA NA TUMFANYE MTU KWA SURA YETU NA MFANO WETU...MUNGU ALIYE BABA ANASEMA NA MWANAE COL1:15 1COR4:4 JE MWL DANIEL WEWE WAAMINI KUNA BABA NA MWANAE AMBAYE AMETUSHIRIKISHA ROHO WAKE 1COR2:11
Huyo mchungaji atakuwa katokewa na yule aliye mtokea Muhammad kule mapangoni 😂😂😂
Hahaaa
Shams vwai nahodha raisi wa 2015 sosipita wetu hapa Kigoma ni tapeli kama si tapeli roho hiyo niya kuzimu
Swali langu anauhakika gani aliyemtokea kuwa ni Mungu? Wanadamu akifilisika akili ana vituko.
Mwalimu Daniel hawa waha wanashida sana😂😂😂
Sema ewe MTUME muhmad kuwaambia Mungu ni mmoja muabudiwa na watu hakuzaa wala hakuzaliwa wala hafanani na yeyete. Mwanzo Mungu akasema na tumfanye MTU KWA mfano wake ??? Ayubu Mungu akasema mtanifanananisha na NANI na kunilinganisha na NANI???
@@HamisAbdallah-cj2sc ushahidi huu hapa mungu wenu anao unyayo na kama anao unyayo hakosi kuwa na mguu.Katika kitabu cha Tawhiid cha Ibn Khuzaimah, hadithi mbalimbali zinazohusiana na ‘mguu’ na ‘nyayo’ za Mwenyezi Mungu zimetajwa humo, aghalabu zikisimuliwa na Abu Huraira. Na zinaweza kupatikana vilevile katika Sahih Bukhari, Sahih Muslim, Sunan Tirmidhi, Musnad Ahmad Hanbal na Tafsiir za akina Tabari, Ibn Kathiir na Suyuti.
Abu Huraira anasimulia kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.):
“Pepo na Jahannam zilikuwa na mzozo, kila kimoja kikijaribu kuonyesha ule ubora wake juu ya kingine.” Basi Jahannam ikazungumza: “Mimi nimependelewa kwa kuwepo kwa wale watu wenye kiburi na nguvu ndani yangu.” Pepo ikajibu: “Mimi sijui ni kwa nini hakuna mtu isipokuwa wale dhaifu na wanyenyekevu ndio walioingizwa ndani yangu!”
Hivyo Mwenyezi Mungu akaiambia Pepo:
“Wewe ndiye Msamaha Wangu, na kupitia kwako ninatoa msamaha kwa yeyote kati ya waja Wangu.”
Halafu Yeye akazungumza na Jahannam:
“Wewe ndio ghadhabu Yangu, na kupitia kwako wewe ninamuadhibu yeyote nitakaye kumuadhibu. Kila mmoja wenu atajaa.”
“Bali Jahannam haitajaa, hivyo Mwenyezi Mungu ataingiza mguu Wake ndani yake.”
Kisha Jahannam itagutia:
“Tosha! Inatosha!”
Myimyi makafiri music uhusishe ikafiri na uwislam
Uyu apelekwe usipitali apimwe akili
Alishapata Ubunge Kaka Sospiter?
Hakuupata hadi leo
Sospitaaaa hajatoa andiko hata moja
Ndicho hata mimi nilichotaka kukisikia ili niamini kuhusiana na madai yake. Lakini kwa sababu hakutoa anabaki kuwa nabii wa uongo na ndicho nilichotaka yeye akijue na jamii ya Kikristo ijue.@@partsonchundwa2287
Yaani wewe daniel unajiona msomi na una maono sana kumbe ni mshamba.na ushamba wako ni kutokana na njaa na kutafuta umaarufu kwa nguvu.huwezi kuwa maarufu kwa kumtukana mungu zaidi utakuwa mpumbavu.nenda kasome uelimike acha ushamba
Kufundisha kwamba Mungu ni Baba na wala si mama, nikumtukana Mungu?
Kwahiyo kumbe mwislam mwenzio harmonize alipo sema Allah ni mwanamke alikuwa sawa😂😂😂😂
Mbona unaongea kinyume na ninachokiongea? Hunisikii nikipinga dhana hiyo potofu ambayo hata wasikilizaji wananisaidia?@@georgekimasaofficial1629
@@BAYYINATDMTV hujanielewa mwalimu nilikuwa na mjibu huyu mwislam kuwa yeye anapo kupinga wewe kuhusu kauli Yako ya kusema Mungu si mwanamke na KUDAI umemtukana Mungu Ina maana yeye anaamini kuwa Allah wao ni mwanamke kulingana na kauli ya harmonize? Kwa hiyo hili swali lilikuwa si lako mwalimu Daniel.
@@georgekimasaofficial1629 sawa ahsante. Hukutaja jina lake.