HARMONIZE AJIBIWA: MWENYEZI MUNGU NI BABA, SI MWANAMKE!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 7 місяців тому +1

    The great Daniel, hekima ya kiwango cha juu sana, ya Mbinguni. Hekima inayojenga siyo kubomoa, inayobariki siyo kulaani. Asante sana

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 7 місяців тому +1

      Mungu si baba wala si mama.x Kama utasema ni baba basi mama yupo ndio mana MPANGO uliopo kuibadilisha bibilia kutoa neno baba nakuweka neno lisilosema baba.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  7 місяців тому +1

      Nani atakayelitoa neno Baba halafu akaweka la kwake lisilo kuwa Baba halafu akaachwa tu? Umeanza kuleta istihizai kwenye suala nyeti kama hili? Kwa hiyo una maana Harmonize yuko sawa kwa mujibu wa imani yenu ya Kiislamu kwamba sasa imebadilishwa?

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 4 місяці тому

    Waislamu hawana mchungaji mwema Yesu ni kama kondoo asie na mchungaji

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 7 місяців тому

    Barikiwa sana mtumishi. Umeongea vyema.syo hao wanao hukumu. Wakati nawao wanayao mioyoni mwao❤

  • @StephanoSonyo
    @StephanoSonyo 7 місяців тому

    Baba mungu amekupa hekima ya kujibu hii mada mungu akubariki sana siyo kama wengine wanakimbilia kumulaani tu bila hata kuongea nae wajue nini kimemufanya kutamka ivo

  • @kasimkassam9565
    @kasimkassam9565 7 місяців тому

    uko sawa bwana D

  • @AkonkwaProductions
    @AkonkwaProductions 7 місяців тому

    Mungu akubariki Sana, mwalimu Daniel ❤❤

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 4 місяці тому

    Nasikitika kuona watu hawajui kuwa hawa vijana wanaojiita wasanii huwa wana imani yao iliyojificha sio kuwa hajui alichosema bali anaitumikia imani yake,
    Wapo waliohama dini hii harafu naile waliohamia wakaiacha pia kumbe ujumbe ilikuwa ni kusema hatambui dini zinazomtaja MUNGU wa mbinguni

  • @stefanyemygdio9014
    @stefanyemygdio9014 7 місяців тому

    Harmonize wewe ni mtu mkubwa sana huna trendi dunia nzima

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 7 місяців тому

    Jamani Mimi naona huyu alimetumwa na baba yake shetani wanayemtumikia hapa duniani maana kule ni amri tu kwahiyo hawa nikuwaombea MUNGU awaokoe huko waliko.

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 4 місяці тому

    Kweli wachristo ni taa ya dunia ni kioo cha waislamu pst daniel wafundishe wawe na moyo wa kiasi

  • @SimonBaraka-yv2cx
    @SimonBaraka-yv2cx 7 місяців тому

    Harmonize analaana ndio maana anajiita Mzee Popo 🦇😭😭🇹🇿

  • @nestarnestar4520
    @nestarnestar4520 7 місяців тому

    Kila anaeitwa mwanadamu hapa duniani ni mkosefu, kwahyo mtu akikosea ww binadamu usiwe mstari wa mbele kwa nguvu nyingi mpk unatokwa na povu kumsema mtu ana zambi ka vile ww huna zambi, MUNGU ndio anaehukum sio binadam unamuhuku binadam mwenzio

  • @JosmanSwila-qq6gs
    @JosmanSwila-qq6gs 6 місяців тому

    Usimuhukumu kwaasilolijua msaidie

  • @peterk2714
    @peterk2714 7 місяців тому

    Isaiah 40:25