- 257
- 76 520
Haidar Abdulwaheed Ali
Приєднався 18 тра 2020
Fadhla za kujenga msikiti-ustadh Ali Alhaidary,msikiti mpya Masjid Buraaq Ganda Malindi
Fadhla za kujenga msikiti-ustadh Ali Alhaidary,msikiti mpya Masjid Buraaq Ganda Malindi
Переглядів: 97
Відео
Darsa ya Ramadhani tafsiri suratul Baqarah Ust Ali Alhaidary /kiswa cha nabii Nuh ust salim Mujahid
Переглядів 3510 місяців тому
Darsa ya Ramadhani tafsiri suratul Baqarah Ust Ali Alhaidary /kiswa cha nabii Nuh ust salim Mujahid
Qasida twakupenda kwa ajabu mtume wetu jammil- ustadh Ali Alhaidary
Переглядів 100Рік тому
Qasida twakupenda kwa ajabu mtume wetu jammil- ustadh Ali Alhaidary
ndani ya chumba alichozikwa mtume Muhammad S.A.W
Переглядів 53Рік тому
ndani ya chumba alichozikwa mtume Muhammad S.A.W
historia kuhusu mji wa Madinah.. Al-mufattish ustadh Ali Alhaidary
Переглядів 54Рік тому
historia kuhusu mji wa Madinah.. Al-mufattish ustadh Ali Alhaidary
biir khatam.. Qubaa- sheikh Mubarak Awes
Переглядів 472Рік тому
biir khatam.. Qubaa- sheikh Mubarak Awes
biir shifaa(kisima cha maji ya shifaa -Madina) - Sheikh Mbarak Awes
Переглядів 152Рік тому
biir shifaa(kisima cha maji ya shifaa -Madina) - Sheikh Mbarak Awes
Hii ndio saayi- kwenda Swafaa na marwah
Переглядів 296Рік тому
Hii ndio saayi- kwenda Swafaa na marwah
Taif... Bustani ya Addaas... Mahala alipopewa zabibu mtume Muhammad (S.A.W)
Переглядів 277Рік тому
Taif... Bustani ya Addaas... Mahala alipopewa zabibu mtume Muhammad (S.A.W)
masomo ambayo ustadh Muhammad Albeidh alijifundisha mwenyewe -ustadh Ali Alhaidary
Переглядів 13Рік тому
masomo ambayo ustadh Muhammad Albeidh alijifundisha mwenyewe -ustadh Ali Alhaidary
ujana wa ustadh Muhammad Albeidh - ustadh Ali Alhaidary
Переглядів 27Рік тому
ujana wa ustadh Muhammad Albeidh - ustadh Ali Alhaidary
Ustadh Muhammad Albeidh akitambuliwa kuwa ni mwanachuoni - ustadh Ali Alhaidary
Переглядів 29Рік тому
Ustadh Muhammad Albeidh akitambuliwa kuwa ni mwanachuoni - ustadh Ali Alhaidary
mamake ustadh Muhammad Albeidh -ustadh Ali Alhaidary
Переглядів 30Рік тому
mamake ustadh Muhammad Albeidh -ustadh Ali Alhaidary
ustadh Muhammad Albeidh -akitambuliwa na kupokelewa Yemen
Переглядів 139Рік тому
ustadh Muhammad Albeidh -akitambuliwa na kupokelewa Yemen
Nahj ya Al-ghannai - Kazi kubwa ya ustadh Muhammad Albeidh
Переглядів 32Рік тому
Nahj ya Al-ghannai - Kazi kubwa ya ustadh Muhammad Albeidh
Historia ya Ustadh Muhammad Albeidh - ustadh Ali Alhaidary
Переглядів 2,7 тис.Рік тому
Historia ya Ustadh Muhammad Albeidh - ustadh Ali Alhaidary
ustadh Ali Alhaidary -fadhla za Mwenyezimungu
Переглядів 34Рік тому
ustadh Ali Alhaidary -fadhla za Mwenyezimungu
Kabila la wabajuni ni kabila la waarabu wa madina asili yao ni maswahaba
Переглядів 328Рік тому
Kabila la wabajuni ni kabila la waarabu wa madina asili yao ni maswahaba
Alamudy ,ma saggaf ,Albusaidy waarabu wa zamani waliokuja afrika mashariki
Переглядів 36Рік тому
Alamudy ,ma saggaf ,Albusaidy waarabu wa zamani waliokuja afrika mashariki
Historia ya Al Habib Swaleh Jamalulleyl...Al Ustadh Ali Alhaidary
Переглядів 619Рік тому
Historia ya Al Habib Swaleh Jamalulleyl...Al Ustadh Ali Alhaidary
ustadh Ali Alhaidary - Ni mani Sayyidna Ali Bin Abitwalib (R.A)
Переглядів 16Рік тому
ustadh Ali Alhaidary - Ni mani Sayyidna Ali Bin Abitwalib (R.A)
tabaraka dhil ulaa wal kibriyau.... ustadh Ali Alhaidary -Masjid Riyadha Malindi
Переглядів 15Рік тому
tabaraka dhil ulaa wal kibriyau.... ustadh Ali Alhaidary -Masjid Riyadha Malindi
Ustadh Ali Alhaidary -Darsa Ya Tafseer masjid Qubaa - ramadhani 17
Переглядів 3Рік тому
Ustadh Ali Alhaidary -Darsa Ya Tafseer masjid Qubaa - ramadhani 17
holiday camp from 24 Dec 2022 to 3 Jan 2023...
Переглядів 132 роки тому
holiday camp from 24 Dec 2022 to 3 Jan 2023...
Wabajuni ni ma sultani ❤
Asalam aleikum, sheikh. Watokea sehemu gani ya Kenya? Naomba namba yako ya simu. Shukran.
Mashallahu Alhadulilahi unayo sema yote nikweli mtupu ibada Zinaongezeka maradufu.
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu alipokuja London September 2013 nilimwalika nyumbani kwangu na hakunidharawu ALIKUJA tukasoma Maulidi ya Alhabshy
Mashallah Tabarakallah Ustadh Muhammad Albeidh Lau utamtaja ndani ya Yaman basi hakuna asiemjua Ustadh Muhammad Al'beidh ni miongoni wa wanachuoni wakubwa katika Hii Dunia Allah amtilie Nuru katika Qabri Lake. Kazi alizofanya za Da'awah ni kubwa,Allah Atupe Barka zake DUA NA shukrani zimwendee Ustadh Ali Al-haidary wa jazakallahu Kheir
🤲🤲🤲
Mashaallah
Swalu alal nabii🤍
MashAllah MashAllah Allah akubariki kwa historia hii na Allah amrahamu Mwanazuoni huyu na amlipe malipo makubwa
Nin mana yaruhani
Naomba
ALLAH AKUZIDISHIE .SHKH NAOMBA NAMBA
Marshallah
Sijaota ata siku mmoja
Unapatikana wapi
Tupe faida Vito vingine maulaya
Sheikh sasa nilitaka nikuulize inaonesha Ishara ipi izo ndoto pale mtu aliezoea kuota halafu zikaja kukata kabisa.
Na pia huwa sipendi makundi na pia sinaga kijiwe chochote, pia huwa yapanda pindi kunapo kuwa na mtu mbya, nahuwa napenda sana zikri ila na udi nikifika kuna uzwa dawa za asili nina tamani nilale humohumo,ila inapo simwa kuruani machozi unitoka sana tatizo nini hapo ni wa zurri aw ni wabaya?
Asalam aleykum,tuna shkuru kwa elimu hii,shekhe mm pia kuna dalili huwa zina nitokea baazi ya seven za mwili huwa zina cheza, nayo ni maruhani
😂😂😂😅 unafikiri ni cha sifa kujumuiyika na waarabu.. bajuni, bajuni islands, kama unapinga nenda kapime DNA ya asili
MBONA HUTOI NYENGINE SHEIKH WANGU UMEGANDA NA RUBI TU TUPE TENA FAIDA YA MADINI MENGINE
Wewe unaongea aya na hausemi sura gani
umenifurahisha sana sheikheh
mashallah mashallah mana ilikua najiuliza mbona mtu abanunua pete samani yake kubwa sana kwa7bu gani kumbe ni km ivyo
Mashaa Allah nimefurah Sana nimeelimik Allah akuweke shekhe
MashaAllah shukran baraka Allah fii
Bismillah Rahman Rahim sijawahi kuskia maneno mazito yaloniathir kama manenohaya.
Habib swale amefariki mwaka 1935 na hakuna picha yake,na Habib Ahmad Bin sumeit amefariki mwaka 1925 na ipo picha yake
al Habshi alipewa na mzazi wake sio eti kapewa na Watu Wa yemen
Iko wapi historia ya sayyid Alii kiyemba ?
طييب
mn kwaka 2010 nirikuwa kira jambo baya rinarotaka kutokea naota usiku nanikifanya biasha ra naambia chakufanya usiku tea kwa kutaja jina sasa siswari na na mambo yameaharibika naishi na jini mahaba mana nimekuwa mzinifu mp3nda mahasi hatari mpaka naria je uyu arie kuwa ananiambia kira jambo usiku ninani na amekwenda wapi
Jitafute
Mashaallah allah akupe kheri na elimu ya juu kwa mafundisho yako
Ameen
NI DARASA MUHIMU SANA KWANGU MWENYEZI MUNGU AKULIPE KHERI NYINGI
Ma Sha Allah😅
New subscribe from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ❤❤
Na SIM card unaweka wapi
Sub hana Allah kisa kuzuri sana na chenye mazingatiwa
MashaAllah
Jinn mahaba are they abe to cause health problems... please respond to my question
Afwan.... Kuna swali umeuliza ? Sijaona hio swali
ما شاء الله تبارك الرحمن
Mashaallah my bro Allah akuzidishie
Masha Allah
Asalaam aleykum, sheikh nitajuaje kama nina rohani
Shekhe vipi kumwingiza jini ndani ya tupa?
Allah atuepushe na mtihani wa dunia na atuongoze kwa njia iliyonyooka na atuzidishie tawhid, aqidah so we may not go against Islam. Allah atume ilmu nzuri na ufahamu na atuhifadhi na fitnaa za shaitani.
Maalim,kuna point umekosea hao ni viumbe usiseme ni watu
Asalam aleykum shekh je wale wanaoagiza pete marashi kitambaa na anataka uswali
Thank you
Asalm alekum mm n kweli nmeota niko n mtume twaenda kuswali
Mtume Muhammad (s w )alisema hakika atakae niota ndotoni basi ni kweri ameniona maana shetwani hawezi kumjia mtu kwa sura yangu
Alikwambia kua yeye ni mtume sw au ulihisi ww tu
Mimi nilimuona akapitishwa na hewani amekalia kiti kila ubavu wake kuna malaika