Hi ngoma nimeitafuta zaidi ya mwaka hii chorus yake ilikua kichwani kwangu ila sikujua wameimba kina Nan finally nmeupata my best chorus melody ever 🎉🎉🎉
Exactly. The melody, the sweet beautiful voices, especially the guys who starts the singing, is a master piece from Tanzania. Oyo eza Muzik Rhumba ya solo tro, ya sika, kitoko lokola sukali. Elengi
2024 na bado haijatoka nyimbo bora zaidi ya dansi ya kuipita hii…
Nimeutafuta sana huu wimbo asante shazam
kazi nzuli
Nami ni miongoni mwa watu waliousaka huu wimbo kwa muda mrefu,utunzi na sauti vilipangiliwa kwa ustadi mno....Kunta...Kinte.
Ngoma kali sana...kila kitu sawa ila hapo kwa mixing and mastering the studio failed.....but kali sana
I wish wanaeza irudia
Miongoni mwa vitu vya nguvu vya miaka ile ya 2009 na 2010.
Katika mziki wa rumba naishi nao mpaka leo ni huu wimbo the big songs
2021 ngoma haijapoteza ladha
Atari sana hii ngoma
Daaaah sijawah kujuta kupenda muziki wa dansi,mko wap vibration sound ...???
Hatimaye nimeupata , a very nice song , kamwe sauti hizi haziwez sahaurika Kwa muziki wa dance
Hi ngoma nimeitafuta zaidi ya mwaka hii chorus yake ilikua kichwani kwangu ila sikujua wameimba kina Nan finally nmeupata my best chorus melody ever 🎉🎉🎉
Mashairi saaaafi. Hizi ngoma adimu zitarudi kweli jaman
Yani hizi wengine tulikuaga wadogo basi kuzitafuta Mpaka uandike mstar unaoukumbuka by the way nimefurahi sana kuupata😍🥰
huu wimbo niliutafuta sana duu mkono shavuni
Sure
Hunizid mimi😂
Ni hatari! Ogopa hii ni ngoma kali
Best Rhumba ever! Excellent vocals.. Daah Hawa jamaa sijui waliishia wapi! Nimeutafuta Sana huu wimbo asee thanks for uploading!!
Sure
Exactly. The melody, the sweet beautiful voices, especially the guys who starts the singing, is a master piece from Tanzania. Oyo eza Muzik Rhumba ya solo tro, ya sika, kitoko lokola sukali. Elengi
Mobali kitokoo I like 👍
Ahsant shazam
huu ni wimbo ambao hautakuja kuchuja hata siku moja mkali sijapata kuona
niliutafuta sana huu wimbo tena Kwa muda mrefu, Thnx sana Miranda nyeusi
2019 bado nausikiliza... Best rhumba forever
Wow. Sometimes I normally wonder why I was not Born in tz. Tz imebarikiwa.🙏🙏🙏
Very nice
Hii rhumba ya moto sana
Umetulia sana.
a best rhumba everseen in this century!!and till i wonder why did u splitted away??n' where u been now days???rill we missed your show!!
2022 bado hii nyimbo ni kali like zenu kama tuko pamoja...
Nmeitafuta sana hii nyimbo aise
Bado na einjoy
My all- time favourite rhumba🙏😍😍
Hii raha imepotea wp aise, hizi bendi zingekuwa zidumu tungekuwa mbali sana katika mziki wa dance.
Hii ngoma wakubwa tu ndo wanaelewaa😅 balaaa
Wimbo mzuri sana
Jaman ata mimi niliutafutaa sana thankx dj Makay earadio
hardly looking for this..... BEST SONG EVER
huu wimbo nihatari sana
Huu wmbo nlikuwa nautafta alaf jna ckuw naljua
Jamen nmetafuta huu wimbo dah asante
I do love this song.......
usirukeruke kama mwewe
awa ndo waliimba nery
Hii ndiyo dansi orijino .heshima kubwa kwa mtunzi Elisto Nangay .kwa kweli solo imekita mahali pake
Mh atalisana uyujamaa anaye malizia apo atlia
Finally aisee
Hatari sana starring
Jamain naomba wimbo wa Nelly
Vibration Sound.. Jamani kama nawaona
Vibration sound mko wapi huu ulikuwa wimbo,imeisha hiyo.
🔥🔥🔥
Soo lovely
Dah c mchezo binge ya limbs awapo Ila utamu upo
Ok nmeupata
Jamani huu wimbo hua nikiusikia mpk chozi linanitoka dah hakika naupenda xn jamani ila sijui wameishiliaga wapi hawa watu,
Walitoa album inaitwa Homework baadae sijawasikia tena
Jambo lee
Dah nimeanza nayo 2020
vibration sound mkono shavuni
Nishida siyo kwa sebene hilo
Hahahahaa!Raha sana...
Kazi nzuri
Hii kabla ya Christian bella😹
Kuna jamaa wanaitwa mashujaa wana nyimbo yao inaitwa nery naitafuta sana anaeijua whatapp no yng 0621458733
Bonge la wimbo naukubali sana mkono shavuni vibration sounds
Wimbo bola
Hatari hii kitu
hakunaga kama hii tena ,
Hernandez Jeffrey Harris Sarah Jackson William
🔥🔥🔥
Nishida siyo kwa sebene hilo
Hahahaaa!Balaa
Yn lzma utingixhe kichwa
Siyo sebene ni rhumba