Nakumbuka DJ Ommy wa radio one kila siku ya jumamosi saa 12 jioni na cheko lake kubwa anapopiga hii nyimbo. Surely time is flying so faster and can't be rewinded
Aisee ngoma hii inanikumbusha wakati nasubulia kuingia form v, nilikuwa nimetengana na mpenzi wangu baada ya kumaliza olevel ambaye sasa ndiye mkewangu, hii nyimbo ilikuwa inaniumiza sana, siku moja niliptiliza kwenye daladala baada ya kushuka Tabata Reli nilienda mpaka Ubungo, nilikuwa naumia pale panapo sema njoo mpenzi, njoo mpenzi machozi yalikuwa yananitoka
Kaka omary mkali wanikumbusha mbali sana sinza kijiweni ilikua balaa nakumbuka ile siku ya harusi ya mzaire wa fm akademia na rukia yule mcheza shoo 2001 kama sijasahau
Nakumbuka nikiwa kidato cha pili, miaka hyo.., Mungu amrehem yusuph chuchu ,kpnd hch kuliibuka bendi nyingi zilizokuwa zikipga style ya mduara Hata Omar mkali walivyoenda kuanzisha pamo sound, kuliongeza chachu ya mzk wa mduara
Pumzika kwa Amani Yusuf Chuchu, Mau Santiago, nyinyi mmekufa lkn muziki wenu mzuri unaishi, ahsanteni Sana kwa kazi mulioifanya
Amiin Asante kwa niba yao members wenzangu wapumzike kwa amani
Wewe Mau Santiago yupo hai yupo Fm academia 😂
Umerogwa ww@@joetheone3354
Nakumbuka DJ Ommy wa radio one kila siku ya jumamosi saa 12 jioni na cheko lake kubwa anapopiga hii nyimbo. Surely time is flying so faster and can't be rewinded
Kweli bro
@@israelmwakapala2913 muda unakimbia sana kaka
Hakika ilikuwa Record time
Yaani kama Juzi tuu hapa eti miaka 24 imekata
Baba mlitisha sana
My favorite music band from back then...
Missing them so very much🙁
Aisee ngoma hii inanikumbusha wakati nasubulia kuingia form v, nilikuwa nimetengana na mpenzi wangu baada ya kumaliza olevel ambaye sasa ndiye mkewangu, hii nyimbo ilikuwa inaniumiza sana, siku moja niliptiliza kwenye daladala baada ya kushuka Tabata Reli nilienda mpaka Ubungo, nilikuwa naumia pale panapo sema njoo mpenzi, njoo mpenzi machozi yalikuwa yananitoka
Ongera kk
Haaaaaah ulipenda sio
w OK ete eye are t n charged then the disappearing ynninidt
Nipo
.duty duty Teddy Daddy e drags stiff tozysi
Duh kumbe Mkangala tukiwa Docebit vosa omnia tayari ulikua ushapigwa kibuti
Wapi Hababuu mwana zanzibar
Huyu jamaa hababu ni mshikaji wangu
Amefariki kitambo sana alizikwa znz
Ikweta grill Mtoni ilikua ni balaa jamani muda unaenda kasi sanaa
Haya maisha kweli dunia sio yetu yani kuna jamaa mmoja tulikuwa tunamuita babu chuchu enzi huu wimbo unatambaa balaa daah
Kaka omary mkali wanikumbusha mbali sana sinza kijiweni ilikua balaa nakumbuka ile siku ya harusi ya mzaire wa fm akademia na rukia yule mcheza shoo 2001 kama sijasahau
king jovannnn hatari sana hakuna bendi yyote iliyokuwa inaingia mziki huu
kwaher chuchu sound kwang hii ni bendi bora zaidi kuwahi kutokea tza!
wapi omari mkali wapi maon santiago wapi waziri sonyo wapi mzee yusuph wapi gabby katanga dah mmenikumbusha mbali kwel
Hao watu umewataja umenikumbusha mbali sana mi nipo fom 2 enzi hiyooo tunacheza mduara kipind cha michezo
Mzee yusuf ayupo hapoo
safi sana kaka omary mkali....umeturudisha enzi kaka....
music mzuri sana
Mm ndio kwanz nipo Darasa 2
Hongera sasa umekuwa
Mi nilikuwa la 3...niamkie
RIP yusuf chuchu daaaahh fire brigade time goes so fast.................
inavyoanza bana kama filamu za kutisha za bongo movie
daaaa godbless tz
duh time fly so much they used to play this band on bilicans way back 2001
Vr nice👌🔥🔥🔥
Wana chuchu mmeingia tena, 2001,ilikuwa ni shida 2019
Hizi nyimbo ndonamaliza shule
Nilikuwa darasa la 3 huu wimbo
Dah kama unakumbuka hii ngoma kitambo 2001mpka Sasa 2023 gonga like twende pamoja
Nakumbuka nikiwa kidato cha pili, miaka hyo.., Mungu amrehem yusuph chuchu ,kpnd hch kuliibuka bendi nyingi zilizokuwa zikipga style ya mduara Hata Omar mkali walivyoenda kuanzisha pamo sound, kuliongeza chachu ya mzk wa mduara
Mziki sijui unakitu gani! Nimekumbuka mbali sana haloo 😢😢😢
Kweli
Hii band ingerudi kipindi hiki ingebamba sana
🇹🇿🇹🇿💪💪
Old is gold
Live longer chuchu sound
jamaa walikuwa na sebene lililo shiba!
dah nyie acheni tu hizi nyimbo zina nikimbusha mbali sana
Nitalicheza Ngoma please
Omari omari
Ki ukweli hua nikisikiliza izi nyimbo natamani dunia irudi nyuma lakini ndio aiwezekani tena,tulipeana majina tukawa tunaitana wanachuchu
2021
Twenty years ago
chuchu sound ilikuwa balaa hakuna sasa na wala haitatokea bendi nzur kama hii
Ni kweli kabisa sisi wa enzi hizo broo bendi hii ilikuwa inanikuna sana. yaani nikisikia hizi nyimbo walahi machozi hunitoka mie
nmekubali
Chuchu Sound 2001: Leo ni 14.11.2024, Muziki unaishi
1. Yusufu Chuchu
2. Mao Santiago
3. Jonico Flower Maua
4. Gabi Katanga
5. King Giovaniii
6. Omari Mkali
7. Abu MwanaZanzibar
8.Mbwana Mponda
9. Mohamed Kachumbari
10. Mudi Terminator
11. Marlone Linje
12. Waziri Sonyo
Hatariii kaka awa watuu
hatuta sahau
TIMELESS CLASSIC ALBUM 2001🔥🔥🔥👏🏽👏🏽
Nakumbuka mbali jomon
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nice music, no hate no stress
2024
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Omari mkali yuko wp jamani?? Mao Santiago?
Omar yupo ila mao alifaliki kitambo kidg
Nakumbuka fees cona EZI hizo
chuchu saund iyoooooo
Hivi waziri sonyo yupo
Waziri sonyo ni marehem sasahivi
Alifariki
marehemu kafia kibaha
kweri
Duu.ninekumbuka mbali sana enzi hzo 4m 2 lwandai sec mlalo lushoto.mao santiago kavunja sana
watu wenye akiri nyingi hawa siku hz tunaona makalio na machupi yasiyo fuliwa
Namkumbuka mjomba angu asee Gabby Katanga hivi hizi nyimbo hazinaga video
I like this song 2 murch
Eva Masinde
Eeee kwaheri
2001
dah ilikuwa hatari sana chuchu sound homa ya jiji mao Santiago dah sijui yuko wapi miaka hii hatari sana
@@rashidisalum8793 Mao Santiago kafariki mwezi ulopita January 2021