Hongera sana Mwgalashi. Mimi ni shabiki yako nguli toka Tabora Tanzania. Huwa napenda sana kusikiliza mashairi yako hasa lile shairi la harusi aliloghani mtoto Hassan
MashaaAllah mashairi yako yana mafunzo sana kaka mkubwa Mungu azidi kukubariki wewe na familia yako ya Mwagatashi ili muendeleze mafunzo haya kwa njia ya ushairi
Ndugu Hamisi, kongole kwa kazi nzuri sana ya mashairi unayoifanya. Hakika hakiko Kenya tu bali imevuka mipaja na kutufikia wengine huku kisiwa cha amani Tanzania. Nakutakia kheri na fanaka uendelee kufanya kazi yako ikiwa imejas burudani, hekima, elimu pasi na lugha mbaya.
Kaka nipo Tanzania nakupa kongole shairi lako limenipa maarifa makubwa ikumbukwe watu wengi husikiliza ughani wa shairi na hatuna mda wa kufuatilia tafsir,hongera Hamiss
Brother Khamis Salaaaaaam from Sultan of Oman - Muscat. Mashairi yako nime ya download mpaka nikiwa nadrive basi kuyasikiliza, God bless you brother keep it up..
Heko ndugu Mwangarashi kwa shairi,hilo . kangeta na asili pia ni aina ya miraa. Binti mmeru ana sifa chungu nzima ukkmpata unapewa guarantee ya miaka therathini ya kuishi naye bila kukosana.twangoja sehemu ya pili
Utunzi unaoliwaza wenye utamu wa kipekee mbele Iko salama ... Inshallah...
Hongera sana Mwgalashi.
Mimi ni shabiki yako nguli toka Tabora Tanzania. Huwa napenda sana kusikiliza mashairi yako hasa lile shairi la harusi aliloghani mtoto Hassan
Shukran sana rafikiangu
Mashallah tabarakallah mwagarashi mi pia nataka unifunze
@@aishabuwa1390 Karibu nyumbani uje uchukue elimu....
MashaaAllah mashairi yako yana mafunzo sana kaka mkubwa
Mungu azidi kukubariki wewe na familia yako ya Mwagatashi ili muendeleze mafunzo haya kwa njia ya ushairi
Aamin Aamin. Shukran sana kakaangu nawe mungu akufungulie milango ya rizki
Waw congrats kwa kazi nzuri
Looh ,Very perfect Aki how I wish pia ningekuwa najua kiswahili hivi.
Hahahaha....sinaona wakijua kaka,sindio hiki umeandika.karibu kaka
I need your number please
Sauti ,kiimbo,vina na ujumbe vyanifika kaka,Mungu akuneemishe sana
Ndugu Hamisi, kongole kwa kazi nzuri sana ya mashairi unayoifanya. Hakika hakiko Kenya tu bali imevuka mipaja na kutufikia wengine huku kisiwa cha amani Tanzania. Nakutakia kheri na fanaka uendelee kufanya kazi yako ikiwa imejas burudani, hekima, elimu pasi na lugha mbaya.
Kaka mwankunga Mungu akulinde na akulipe kila la kheri kwakuweza Ku support katika hii safari yangu ya ushairi.
Shairi tamu Sana. Athumani kutoka Manyara Tanzania
MashaAllah... shukran Sana Athumani sumaye Kwa support yako Mungu atufanyie wepesi utafutaji wako
Mwalimu napenda sana shairi lako... Allah akuzidishie
Aamiin Aamiin yaarabil.Mungu atuzidishie sote rafikiangu
A big fan 🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤ mashallah ameen ila my kwakukula muguka apana
Sawasawa
Upo vizuri pia Mimi ni mwenzio katika ugani wa mashairi
Shukran Sana rafikiangu Makongo.
Karibu Sana mghani mwenzangu
Safi sana.Nataka unifundishe kuimba mashair mwalimu.
inshaAllah.
0714741371
Shairi nzuri sana Bw. Mwagarashi
Alhamdulillah.
Shairi la kusisimua mwalimu.. nalipenda😊😊
Shukran sana mpendwa
Hongera ndugu. Ubunifu na mtirirko wako unanata zaidi ya gundi. Nimeburudika vilivyo. Akuzidishie Rabana.
Shukran sana mpendwa wangu linet atuzidishie sote Allah.
Kaka nipo Tanzania nakupa kongole shairi lako limenipa maarifa makubwa ikumbukwe watu wengi husikiliza ughani wa shairi na hatuna mda wa kufuatilia tafsir,hongera Hamiss
Shukran sana kaka masoud Rashid.mungu akubariki inshaAllah
Mashaallah😘sijawahi kukinai na mashairi yako wallah!!!Allah akuzidishie kila la kheir Inshaallah
Alhamdulillah.
Shukran sister Fathma Shakur.nawe pia Allah akufungulie milango ya rizki za halali zilo baraka ndani yake.
This is what we call a talent. I can't stop listening and smiling😊😊😊
Shukran Sana Kaka jacobs
Nzuli sana mm ni mtanzania nimeipenda
Of course not too long now 🙄 but I have a couple
@@hamisimwagarashi9501 tikvfj
Hapo penyewe sana na longer iyo baabu kubwa
mashallah safi sana kaka .ni nyundo kutoka Makadara.
Shukran sana brother
Aiseeeeee naomba nifunzwe kughani
MTI👌🤣🤣🤸TUSEME KANDO. MASHALLAH!
Mashaallah....Allah akuzidishie mwalimu wangu....mtu wa watu......umeinua wengi hadi kufikia sasa nikiwa mmoja wapo....Allah baarik
Aamiin Aamiin Aamiin... Allah atuzidishie sote InshaAllah.
Shekhe naomba unicheki ktk no 0629491186
@@hamisimwagarashi9501 nipigiie au nicheki whatsap 0629114911 hongereni kazi nzuri
@@allyhamisi4457 shukran babaa Kwa support yako Allah akulipe
Twakupenda Kwa kututumbuiza wallahi jabaaa
Nawapenda pia
Niko Tz Mwagarashi hongera sana siku hizi huku twasema kongole sana bro
Shukran sana brother
Hii kali kabisa.
Nimeipenda sana.
Pamoja saana
Kutoka +255 Tanzania,
Napenda sana Mashairi, Hongera Mwagarashi
Nimepokea pongezi zako ndugu Tambwe.hujambo
@@hamisimwagarashi9501 , Sijambo kabisa, Lile Shairi la Mugoka nalisikiliza mara 2 kwa siku🤣🤣
From bagamoyo pwani tanzania nainjoy sana na maishairi yako
Alhamdulillah.shukran kwako pia Kaka SHARIFU MKAMBALA kwa support yako Mungu atufanyie wepesi utafutaji wako
Kazi nzuri mwalimu Mwagarashi
Assante Sana kakaangu Moses chasire Kwa support yako
Nakubali hamisi,mmeru unamtaka
Kaka Moyo... shukran kwa support yako ndugu yangu Allah akulipe.
Brother Khamis Salaaaaaam from Sultan of Oman - Muscat.
Mashairi yako nime ya download mpaka nikiwa nadrive basi kuyasikiliza, God bless you brother keep it up..
Aamiin Aamiin Aamiin yaarabil aalamin.
Kaka Harib Toba Mungu akubariki pia
God 🙏 bless you big bro
Amiin
Nimependa, kazi safi sana ndugu. Swadakta
Shukran Sana rafikiangu
Napenda mashairi sana, asante kaka mwagarashi.
Shukran Sana rafikiangu samuel
Napenda jinsi ulivyobuni shairi hilo uliloombwa
Assante kipenzi Lydia
@@hamisimwagarashi9501 hata hapa Ni shairi la Harusi tu... Unataka mke
Iko poa Sana mwenyezi mungu akujalie heri na baraka nyingi
Shukran Sana rafikiangu Matty tech Kwa kuni support.
Mungu atujaazie site Baraka Na rehma zake ndugu yangu assante Sana haki.
Mwagarashi you are a talent i never knew you till last night you are a Talent
Thanks my brother masoud
Kazi aula kaketu 💪💪
Assante Sana rafikiangu
Allah azid kukujuza mengi ufikishe kwa hadhira
Aaamiin inshaAllah
Aaamiin inshaAllah
Nimeipenda sana
Yaa salaaaaaaam
Sheikh wangu unanikosha Sana coz napenda Sana Mambo aya
Kaka Rahim Ally nashukuru Sana Kwa kunitia moyo ndugu yangu angalau niweze kutia juhudi,Allah akulipe inshaAllah
InshaAllah kaka
Nnayo mashair yako mengi tu kweny cm yangu
Asante sana ndugu kwa ufasaha wako wa utunzi na uimbaji wa mashairi bora
Shukran Sana ndugu yangu Edward morara Kwa support yako.
TUNAKIKUBALI KIPAJI CHAKO MWAGARASHI... KAZI NZURI SANA
Kaka zinga Hassan.
Shukran Sana Kwa kunipa Moyo wakufanya vyema zaidi.mungu akulipe kakaangu
Asante. Mad Love. From Malindi
Karibu kaka
Kazi nzuri KAKA
Shukran Sana rafikiangu Benjamin koffi
Ma shaa Allah 💯👌.. Barakallahu
Safii Kabisa brother
Shukran Sana rafikiangu Joseph
Hongera mwagarashi
Alhamdulillah.
Asante Kaka mwidini.
Mungu akulipe Kwa kunipa Moyo inshaAllah
Ubunifu wa hali ya juu kaka
Shukran sana brother
Garashi wetu hoyeeee!
MashaAllah. Hoyeeeeee.....
Kazi safi Mwagarashi
Kazi nzuri kwenu pia swahili online
Mwagarash uko juu
Kweli rafikiangu?
Mwagarashi nakupenda haki
Nakupenda Virgia ngugi.
Masha Allah buu Hamisi unajua tungo
Shukran Sana Kwa support yako Kaka Allah akulipe
Unaweza sana. Big up brother 👍
Shukran Sana Kaka
Mashallah brother mungu akuzidishie na kipaji chako
Aamin Aamin Aamin inshaAllah
@@hamisimwagarashi9501 naomba unifunze kaka
Unatisha kaka
Dah assante Sana Kaka
Muguka mmekataa 😢 ..
Bado waliwa mno
Kweeeeeliii.. Yapendeza
Assanteeeeee
Hongera sana kk
Shukran sana kakaangu Ali arkam
Unanifuraisha sana kaka nikiwa hapa Luanda Angola.
Karibu sana kakaangu Onesmus.
Naomba ujue nami nafurahi ukifurahi kaka.
@@hamisimwagarashi9501 Naupenda sana ushahiri wako kaka, na napania kukuona uso kwa macho ifikapo siku.
I can't stop listening to this💞
Sikiza Kwa Raha ZAKO Dadaangu Sharon Ondolo....vitu vyako hivyo hutaulizwa Na mtuuuu.
@@hamisimwagarashi9501 sante kakangu,, napenda mashairi kwa sana
Safi sana brother
Afwan
Cangrats
Wooow what a talent
Dada ummukulthum sema sasa
@@hamisimwagarashi9501 🤗🤗🤗😅😄sina la kusema.i just wish I had that talent
Upo vizuri shekhe
Shukran Sana shekhe
Nimependa hili sana
Assante kaka petero Kimani...ubarikiwe
Safii kabisa, nimefurahi kwelikweli
Nami kadhaalika nafurahi kusikia umefurahi rafikiangu.
Karibu sana
Mashaallah nimependa sana
Karibu rafikiangu tuogelee pamoja
Karibu rafikiangu tuogelee pamoja
@@hamisimwagarashi9501 Natakanijifunze mashairi lkn nipo zanzibar
@@jumayahya2661 0714741371,0714710491.zangu
Unatisha mzee
Kivipi ndugu yangu jaziru habibu
Mashallah mashairi yako mazuri
Shukran Sana Kakaangu mambo suleiman
Goodiiiiiii
Alhamdulillah.
Shukran Sana Kaka ibrahim
Safi sana
Karibu Kaka michael
mashalla
Upo vizur kaka
Shukran Sana rafikiangu.
Bwana jenjewa
kazi nzry
Mashallah 🥰
Mwanana gharashi napenda Sana kazi Yako..je, naukicopy pia maneno wajua wakati mwingine siyaelewi maneno unayosema Jameni.
Shukran sister Monica.
Ila ujumbe wako sijaulewa kidogo
@@hamisimwagarashi9501 naomba tu Kama kunauwezekano shairi lenyewe kuliandika mwa Yu-tube.
Hii ni talanta ya hakika. Heko sana bwanawe
Kaka wangila shukran Sana Kakaangu Kwa support yako.Mungu akulipe malipo mema
Sauti tamu ,kiswahili kitukuzwe
Shukran Kaka Oscah
Hamisi Meru tuko
Mbona siwaoni?
Wacha tufke mjini tukutafte
@@hildamukiri7557 Nitafurahi sana.karibu
Weldon bro
Assante Sana Kaka Wangu Kwa support yako Mungu akulinde akupe afya uzidi kututia Moyo Mimi Na wano nifwata nyuma InshaAllah.
Mashaallah
Shukran Sana Dada Fatima Baruti Kwa support yako
Kazi nzuri😘😘
Shukran Da BINT Suleiman
Ahsanta.. MashaAllah
Shukran brother mohamed Omar
Vzuri Sana mwagarashi....
You are great and talented bro
Assnte Sana Kaka kwa support yako Mungu akulinde akupe afya uzidi kututia Moyo Mimi Na wano nifwata nyuma InshaAllah.
@@SimbaNiMojaTv shukran Sana Kakaangu Kwa kunipa Moyo..Mungu akulipe.
Masha Allah 🔥🔥
Naburudika sana nkisikiza mashair
MashaAllah....Karibu Dadaangu mzuri.unaweza kujua mashairi
Ameen lnshallah mungu akupe muangaza wendapo wan'gaa
Ameen
IKO POA MAN
😄😄😄😄Kangeta ndio ya meru🙏🙏🙏
Ni jokes tuh dadaa
@@hamisimwagarashi9501 naelewa ndugu, aki shairi lako unigusa roho sana.
@@hamisimwagarashi9501 tunga la wafanya kazi weko uku saudia tafathali.
@@zaynabali6109 Sawa.ila nawaponeza,masaibu niyepi,ya wafaidi vipi,ujumbe Kwa nchiyetu ya Kenya iawaangalia vipi?
@@hamisimwagarashi9501 waambie wasiogope kuja kufanya kazi, NA wasidanganywe bora wawe NA imani🙏🙏
Heko ndugu Mwangarashi kwa shairi,hilo . kangeta na asili pia ni aina ya miraa. Binti mmeru ana sifa chungu nzima ukkmpata unapewa guarantee ya miaka therathini ya kuishi naye bila kukosana.twangoja sehemu ya pili
Shukran sna Rafikiangu
Hi..... Masha Allah, (Kidato apa😅)
MashaAllah ....nakuona zawadi yako yaja InshaAllah
@@hamisimwagarashi9501 In Sha Allah
Kazi saaafi Sana Kuli mwenzangu
Assante Sana Kaka Doller..Kwa support yako Mungu akulinde akupe afya uzidi kututia Moyo Mimi Na wano nifwata nyuma InshaAllah.
You have a great talent
Shukran sana mwalimu
@@hamisimwagarashi9501 How are you Hamisi
I'm doing good
Maa shaa Allah
Shukran
Mwagarashi heko kwako,
Shukran Sana rafikiangu
Mashallah
Alhamdulillah.
Shukran Sana Dadaangu Fatema Kwa support yako
@@hamisimwagarashi9501 afuan