Tangu nimuone huyu kijana Siku ya kimataifa ya vijana kaunti ya Kwale namfuatilia sana Mashairi ni kipaji na lugha imetulia kongole sana kaka Mungu amueke mahali pazuri mwendazake Prof.Ken Walibora
Swadakta ndugu! Kweli ni shairi ya aina yake ewe mola akuzidishie yako talanta. Na kwa mwendazake Ndugu Ken Twakupenda zaidi na kweli kidagaa na vingi vitabu vitabaki kama kumbukizi daima! KWAHERI PROF KEN WALIBORA
Naanza nazo salamu loreto habari zenu ....lovely intro........just subscribed ...hamisi wa mwagarashi rshi ndio la asili hamisi Ni la wakilishi...na hapa nime asili...likoni ndio naishi ....woow
Karibu Sana Kerubo Janice. Naomba kujua Jambo kutoka kwako. Nilitunga SHAIRI lilo husu kifo cha Mama Pamela Kerubo NTABO. Je una uhusiano na familia hii Dada.
Daima duniani si kwetu, walokuua Ken wasipate amani maishani. Zidi kupumzika bingwa. Kwako Mwagarashi kongole za dhati
Kaka nahashon ken Omumia.
Shukran Sana Kwa pongezi zako Mungu akulipe kheiri
Hamisi umebobea ndugu yangu!
Mungu mrehemu mswahili wetu mkuu, Profesa Ken 'Walibora' Waliaula na kuweka roho yake mahali pema peponi, amina.
Mwanangu ameomba kusikiliza Mashairi, nikajikuta nimefika hapa.
Asante Hamisi Gerashi.
Naangalia kutoka Dar es salaam
Nice
miaka mitano ijayo here I am
seeing this right now......ufanisi hapa jameni daaaa
Tangu nimuone huyu kijana Siku ya kimataifa ya vijana kaunti ya Kwale namfuatilia sana Mashairi ni kipaji na lugha imetulia kongole sana kaka Mungu amueke mahali pazuri mwendazake Prof.Ken Walibora
Assante Sana kakaangu.
Endelea kufwatilia nakuniongoza pia inshaAllah.
Assante Sana kakaangu.
Endelea kufwatilia nakuniongoza pia inshaAllah.
@Rashid mwamkondo ni wewe uliekua redio Rahma sio? Au nmefananisha jina
Swadakta ndugu! Kweli ni shairi ya aina yake ewe mola akuzidishie yako talanta.
Na kwa mwendazake Ndugu Ken Twakupenda zaidi na kweli kidagaa na vingi vitabu vitabaki kama kumbukizi daima!
KWAHERI PROF KEN WALIBORA
Aaamiin Aamiin inshaAllah
Pamoja kaka
Nafarijika kuona kiswahili kinaenziwa hasa na vijana kama Mwagarashe hongera sana
Wow 😘🥰 marvelous 💞 Hamisi. RIP Walibora I've always loved your books.
Me 3
Kazi murua ,shairi la mfanowe.kweli kidagaa kilituozea.R.I.P mtoto wa mwalimu
Shukran Sana Dadaangu
@@hamisimwagarashi9501 hujambo hamisi.... Nauliza hiki chuo Cha wasta Kiko eneo gani , juu na kinaeza kuwa na jina lingine .Asante
Naanza nazo salamu loreto habari zenu ....lovely intro........just subscribed ...hamisi wa mwagarashi rshi ndio la asili hamisi
Ni la wakilishi...na hapa nime asili...likoni ndio naishi ....woow
Swadakta...kazi nzuri kaka. Kiswahili kitukuzwe.
Mashaa Allah nice that khamisi naona akiwa mrithi wake Ken.. R. I. P
Shukran Sana Dadaangu Mariam Gitau.
Mungu akulipe.
@@hamisimwagarashi9501 Ameeeen yaarab sote
Dah fundi sana
Allah akudhidishie
hongera Hamisi, Ken lala pema panye wema
Mashallah,shairi la mfanowe.Lala salama Walibora.Tutakukosa kwa sana.
Aamiin Aamiin Aamiin
Mashallah Malenga Mwagarashi... Allah akurehemu Prof Ken
Nakufwatilia sana kakaa nmesoma na hamadi mwagarashi
Mola Airehemu Nafsi Yako Ken Waliaula Walibora🙏🏾🙏🏾
Rip Prof Ken Walibora. Kweli kifo chako kiliniumiza sana kama mpenzi Wa Kiswahili.
Hongera Sana Kwanzaa shake Zur nahitaji kuwasiliana naw nipo Kahama Tanzania
Hongera mwalimu mwagarashi
Enyewe kiswahili ni lugha tamu. Rest in peace Prof Walibora
Aamiin Aamiin Aamiin
Kwa kweli hamis mwagarash unakuna vilivyo
Naomba namba yako Mimi nipo njombe makete tanzania
Shukran kaka....namba yangu...0714741371.
@@godfreysanga1021 Assante Sana kakaangu Godfrey sanga Kwa support yako..Mungu akulipe
Hongera sana Hamisi.For the first time amenifanya nipende kiswahili.I will pursue it.
Ubunifu wako uko juu kaka.
Shukran
Shukran Sana rafikiangu
0714741371.
UA-cam.Hamisi mwagarashi.
Shukran
Napenda Kenya yetu sana
Congratulations my Brother Hamisi Mungu Akubariki sana kwa kipach chako
Aamin
pumzika kwa amani Ken mtoto wa nyumbani tutakukosa ila Mungu aiweke roho pema
Aamiin Aaamiin Aamiin
Hongera
Fumarisoni jitahidi kujifunza kutoka Kwa Hamisi Kwa mashairi
Nzuri ii
Mungu ailaze roho ya Ken Walibora mahala pema peponi 🙏
Aamiin Aaamiin Aamiin inshaAllah
Sauti kinanda sauti murua......kaz nzuri xana Hamisi.
Shukran Sana Kaka
Congratulations my village guy...
Mshalah brother good job
Shabash!!!!!!
Lala salama professor of Kiswahili Ken Walibora. Kwa kifo chako nimependa mashairi zaidi
Karibu Sana Kaka
Hamis ni kiboko
Karibu Tz
Hongera hamisi
big up Kaka, upo vizuri
Shukran Kaka Kwa support yako Mungu akulinde akupe afya uzidi kututia Moyo Mimi Na wano nifwata nyuma InshaAllah
Mashallah Somu❤️❤️ You are the Best
Shukran som som
Sadakta .....kazi njenja hamisi
Endelea kulala pema penye wema kaka Ken.
Hongera sana Hamisi Mwagarashi..
Hongera sana kaka
Kazi nzuri sana Hamisi😍
Karibu Sana Kerubo Janice.
Naomba kujua Jambo kutoka kwako.
Nilitunga SHAIRI lilo husu kifo cha Mama Pamela Kerubo NTABO.
Je una uhusiano na familia hii Dada.
Shairi nzuri
Ma sha allah nakusikiliza nikiwa uae
Pamoja Sana kakaangu
I still can't believe Walibora is no longer 😥😥😥
😪😪😪
Shairi jema
Kazi nzuri Hamisi
Shukran Sana Kaka
Mashallah shairi zuri
Shairi la kipekee
Shairi la kipekee. Kitukuzwe kiswahili
Shukran Rafikiangu Kwa support yako.
Hamisi top
mashallah
MashaAllah 🔥😍
Jamani kama kunamtu anayo namba ya huyu aliye soma shairi hili naomba anipatie
Amepatiana kwenye shairi
0714741371
0714741371..HAMISI MWAGARASHI
Sauti ya dhahabu ! Sina ziada la kusema.
Buriani Ken Kazi yako Murwaa tutaiendeleza
Nitafurahi Sana kakaangu
congratulation
Nimependa
Karibu Rafikiangu
Ma shaa Allah 💯👌
Naipenda sana
Hongera😭😭😭
Safiri salama Ken.Walibora
Aamiin Aamiin Aamiin
Mashallah kaka
Kongole
swadakta
Wow!!!❤❤❤
Shukran Dadaangu Lilian salano
Hewala shujaa!
Shukran Rafikiangu
National music mashairi 2010
No
Congrats
Shukran Sana
Asanta kaka
Shukran Sana Ayusha chidau
RIP Prof
Dah
Hadi raha
Shukran Sana
RIP prof😭
RIP Ken walibora😭😭😭
Hamisi mwagarashi
Mansha Allah
Pamoja Kaka Abdikadir
Wa hahaha 😂🤣😭😂😂🤣😆🥰😍♥️🤍😂
Rest in peace prof
Continue to rest in peace Ken Walibora
Mashallah
Alhamdulillah
😍😍😍😍😍😍
Masha Allah
Shukran Sana Dadaangu Naomi Lyoto
Mashaallah
Rest easy prof
Aaamiin Aamiin inshaAllah
Rip walibora
Aamiin Aamiin Aamiin
Congratulations
Hamisi Mungu akuzidishie kipaji chako mimi nimpenda mashairi sana nasikiza sana Nuhu Bakari kila ijumaa ctz tv
Mashallah