AKAA JELA MIAKA 4 KWA KUSINGIZIWA, AJIFUNZA SHERIA AKIWA NDANI, AKATA RUFAA NA KUSHINDA | MSWAHILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 106

  • @ramadhanmido3679
    @ramadhanmido3679 Рік тому +8

    Jamaa Yuko very smart aisee pole sana brother

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 Рік тому

    Pole ndugu.
    Dunia tumegeuza ni uwanja wa fujo.
    Hakuna kinachopotea mbele ya Mungu wetu. Dhuluma ina malipo yake nayo ya uchungu wa hali ya juu.
    Pambana na maisha iko siku Dunia itatambuua ukweli ambao ulifichwa kwa maslahi ya watu wabaya.

  • @kakilijuma363
    @kakilijuma363 Рік тому +6

    Pole sana best ,,umetupa somo ambalo hatukuwa tunalijua,,mungu akupe nguvu mpya ya utafutaji,,kipindi bombaaa,,tunasbr season 2 akiwepo aneth

  • @keitatv9219
    @keitatv9219 Рік тому +28

    Sema mapolice kuja kuona Pepo n kazi sanaa awajawai lizika na mishahlaa yao

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 Рік тому

      Kwani aliyetoa hukumu hapo ni polisi?

    • @Bless-b.DL-babyofficial8769
      @Bless-b.DL-babyofficial8769 Рік тому

      Aisee kweli kabisa

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 Рік тому +1

      Yani hi kz lait ningesoma sizani km ningekuja kusahin,hi kz ngum Sanaa,nakuiyona Pepo mungu mwenyewe ndoanajuwa, Police, traffic,Hakimu,mhhh changamoto🔥

    • @mdta8161
      @mdta8161 Рік тому +1

      Mie mwenyewe nipo nje nasugua vyoo na siridhiki na mshahara wangu 🤣🤣kwenye pesa sijuhi kama Kuna mtu anatendea haki

    • @suleimanmwahesa4655
      @suleimanmwahesa4655 Рік тому

      Miaka 30 ni sawa kutokana na kosa , mtu kabaka mtoto wa miaka 2/3 /4

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 Рік тому +4

    Daaaa 🙆 pole sanaa 😭😭hila Mungu Ataenderea kukupigania😱

  • @edinabenedictorlukonjebene9335

    Mungu akubariki umeongea vyema kuhusu aneti... ufanikiwe na kutoka kwenye minyororo ulienda ukajue mengi ututee tusio jua shelia pole sana miaka 4 n mingi sana

  • @nancyandrew9273
    @nancyandrew9273 Рік тому +2

    Nimeanza kufatilia kipindi chako this is what people need to hear and learning.big up brother

    • @tonytony29
      @tonytony29 Рік тому

      Kujifunza kuhusu sheria,kanuni na adhabu kwa lugha nyepesi jiunge na @antrafo_tz

  • @Jacklinebwanji
    @Jacklinebwanji 4 місяці тому

    Wanangu mungu awasaidie,pia nawaombea watoto wangu wote wa kiume,akina kaka zangu na wadogo zangu,mungu 2 tete;.

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 Рік тому +5

    Mpelelezi Zimbwela" kazi hiyo inakufaa kabisa na Sura yako yaki CID kabisa Unaweza 😂😂😂😂

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +5

    Pole sana ndugu yangu, dunia ina mengi sana.

  • @yusufuyusufu3434
    @yusufuyusufu3434 Рік тому

    Subhanallah pole sana home boy. Simama Tena na utembee kwenye njia Yako. Mengine tumuachie hadha wa jallah

  • @mohamedomary7983
    @mohamedomary7983 Рік тому +3

    Pole sana Sadiq Allah atakulipia hii dhulma uliyofanyiwa

  • @mohamedsalum9465
    @mohamedsalum9465 Рік тому +1

    hapo dk ya 13:43 - 14:35 kaeleza kwa umakini duh

  • @mohamedsalum9465
    @mohamedsalum9465 Рік тому

    @zembwela background sauti ipungue kidogo

  • @Marjeby
    @Marjeby Рік тому +2

    Pole sana home boy ulipo pelekwa kabla ya kituo cha polisi Flamigo jirani na shekhe Yahya ndio home kwetu kabisa bro by profession mie lawyer so nakushauri kitu kimoja ingia shule anza hata certificate mdogo mdogo utoboe mpaka LLb huku unakimbiza NGO yako utakuwa mkali sana cz utakuwa umesoma kwa vitendo mwanzo mwisho sasa hivi achana na hayo mambo kuwa unajua sheria

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy Рік тому

      Yeye amesoma sheria kwa vitendo. Wewe umekariri madesa

    • @Marjeby
      @Marjeby Рік тому +1

      @@abdallahdataguy Acha ufala wewe huwezi kukaa gerezani na ukatosha kupractiz sheria hata kama utakaa Gerezania miaka mia labda kwa tarifa yako hapo AME deal kwa vitendo na somo moja kati ya masomo almost 53 ya sheria yeye amedeal na CRIMINAL LAW AND PROCEDURES tena kwenye ishu yake tu acha kuongea kama mtoto.
      Nakubali jamaa ana kitu amepata kwenye sehemu hiyo ya sheria but nikosa kumuaminisha kuwa now anaweza kupractice sheria NO!ataweza kuendesha hiyo NGO cz inadeal na hicho alicho jifunza akiwa huko gerezani pia si sawa kumuaminisha kuwa anaweza kuwa anajua sheria kuliko lawyers waliyokaa miaka minne darasani na mwaka mmoja wakifanya sheria kwa vitendo law school acha kuyangalia mambo kama umebadili matumizi ya viungo vyako vya mwili

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 Рік тому +1

    Pole sana uko vizuri

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 Рік тому +1

    Kila kitu kinatokea kwasababu maalumu huwez kuelewa mwanzo likikukuta lakin badae utaelewa angalia umekaa gerezani lakini umejifunza mengi na sheria umeijua vizur kama ulienda chuo tu ila hicho ulichonacho utakuja kusaidia mtu au watu usiotarajia ulituliza akili yako sana mungu akubariki

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Рік тому

    Pole sana ndugu Allah atakulipa insha allah

  • @vailetadam3366
    @vailetadam3366 Рік тому

    Polee Sanaa kaka

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 Рік тому +3

    Uko vizuri kwenye kuhoji ila jitahidi sauti iwe kwaliti

  • @sirajbakari104
    @sirajbakari104 Рік тому

    Hya maisha hay unaweza kusema yanaupendeleo san ila acha tuone

  • @samirysharifu8649
    @samirysharifu8649 Рік тому +6

    Umeboreshaaaa sana kipindi hiki duuu

  • @petermshali5157
    @petermshali5157 Рік тому +4

    Ingekua USA 🇺🇸 Jamaa angelipwa hela ndefu

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 Рік тому

    kwa kweli hiii nchi pana ujinga sana yanimtu ana fungwa miaka 30 kirahisi hivi so sad wapo wengine kibao jela wasio na hatia

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 Рік тому

    Pole sana kaka

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому

    Mtihani pole kaka mwenyezi mungu atakulipia kila aliye kusingizia kesi iso na uhakika iko siku yatamkuta hiii duniya tulio nayo bora ukutane na simba uimuogope kuliko binaadamu mwezKo

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 Рік тому

    Pole sanaaa

  • @tonytony29
    @tonytony29 Рік тому

    Zembwela... KUNA NDUGU ZETU WENGI WAMEPOTEZWA KWA KESI ZA KUBAMBIKIZWA HUKO...1. REMMY SIPUKA 2. GABRIEL KARIUKI 3. JIMMY MAINA 4.ABDUL NSEMBO NA MKEWE ,NA WENGINE WENGI...

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 Рік тому

    Dah pole kaka Mungu atakupa nuru

  • @franaelisumari5108
    @franaelisumari5108 Рік тому

    Pole sana ndugu.

  • @sophiemsuya6507
    @sophiemsuya6507 Рік тому

    Pole broo. Kwa wenye akili, mahalo popote anapokuwepo pawe pazuri au pabaya kwao no fursa tupu.

  • @richardburundi3090
    @richardburundi3090 Рік тому +2

    Eeeh mutangaziji anatosha bwana kisura kisauti utafikiri ni comando😀😀😀😀

  • @sylvestersamwel8210
    @sylvestersamwel8210 Рік тому +2

    Ninamuomba Millard ayo amtafute huyu jamaa inaonekana ana madini mengi sana ya sheria.

  • @danniedannie4476
    @danniedannie4476 Рік тому +3

    Brother kwanza nikupe pole sana kwa janga hilo umepitia mengi wanda kuna mengi ujasema kutokana anaekuhoji
    Interview hii ingempata milldayo tungejifunza mengi kutoka kwako
    Zembwera umenibowa.

    • @mwalamimlanzi5031
      @mwalamimlanzi5031 Рік тому +2

      Pole sana,,, kila kwenye Shari kuna heri ndani yake,,,, pole home boy

    • @hatujuanisalum9354
      @hatujuanisalum9354 Рік тому

      Pole Sana mwanangu Hadi machozi yanatoka.looo!!! Allah atakulipa hee unajua kwele kukieleza .Mimi Mama ake Sinahila Zahoro aliepo Uturuki

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 2 місяці тому

    Unae hoji hujui kuhoji ungemwacha aelezee story yote.

  • @januaryjoseph4383
    @januaryjoseph4383 Рік тому

    Pole kaka

  • @neematesha5679
    @neematesha5679 Рік тому

    Kaka unaakili nyingii haswaa kujitetea mwenyewe si mchezo

  • @kimingowameno4068
    @kimingowameno4068 Рік тому +9

    Hiki siyo kipindi cha mswahili tena tunataka mtaa kwa mtaa

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Рік тому +2

    JONIJO WA E FM USHAIBIWA AIDIA YAKO YA GEREZANI HUKU BABU MSWAHILI LEO YUPO OFICN HAPANA BABU ZEMBWELA RUDI MTAANI TU HUKU WAACHIE WENYEWE KINA MILLARD AYO, LIL OMMY, VIDO VIDOX🤣🤣🤣
    Pole kaka kwa yaliyokukuta

    • @zebedayobiswalo1924
      @zebedayobiswalo1924 Рік тому

      But jonij haoji wa fungwa

    • @zebedayobiswalo1924
      @zebedayobiswalo1924 Рік тому

      This is real life story

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 Рік тому

      @@zebedayobiswalo1924 Lkn unaonaje interview zake zinavyonoga sasa ona hii story ni nzuri na ya kweli mno angeipata Millard Ayo hii aah mbona ingesimama lkn babu hajaitendea haki kabisa kapoa km yupo kwenye lavidavi ya Diva

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 Рік тому

      @@zebedayobiswalo1924 Anae hojiwa ndy km anae hoji vile maana kwa sauti yake tu Zembwela anaweka madoido lkn bd kaiharibu interview

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 Рік тому

    Pole sana

  • @ilderleer9720
    @ilderleer9720 Рік тому

    pole broo

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 Рік тому

    uko sahihi

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    Mtangazaji unakwenda mbere sana ktk kuoji sio kwanza kielelezo kufundisha vijana wengine kwanza Anza nae mwanzo tuelewe

    • @rm9756
      @rm9756 Рік тому +3

      Tatizo ni mda ni mchache

    • @jonathanjohnsonshinji4645
      @jonathanjohnsonshinji4645 Рік тому

      Tunahitaji sheria zibadilishwe , ingekuwa watu walioonewa baada ya kushinda wangekuwa wanalipwa fidia kama nchi zilizoendelea wasinge kuwa wanasingizia watu

  • @gaxman8575
    @gaxman8575 Рік тому +4

    Siwapendi polisi Leo atakesho

  • @pastorheri715
    @pastorheri715 Рік тому

    Polo ndugu yangu. Mungu awe nawe

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 Рік тому +1

    Pole kaka dah wanaume jaman wanapitia magumu

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 Рік тому

    Pole tuwe na ubinadam hata kido jamani yp pesa inatumika sana na tabia mbaya uko ndiko zilipo watu hawaplay kwenye nafc zao kabisa

  • @ibraimoselemane17ibraimo29
    @ibraimoselemane17ibraimo29 Рік тому

    Nikweli bro mana duniani ili upande cheo nabidi uwe unawa kandamiza weziho, kwa kireno tuna sema, para você ser um chefe ou seja, para subir um cargo devem ser um lambe bota

  • @robertmgogosi8448
    @robertmgogosi8448 Рік тому +1

    Tanzania tumekuwa kituko asee kuoneana

  • @joelsaganya4077
    @joelsaganya4077 Рік тому +4

    Natamani siku moja utatuletea Aneth atuambie yake ya moyoni ili tuweke kwenye mizani

  • @xl6941
    @xl6941 Рік тому +1

    Interviewer anaboa ile mbaya ! Production sijaifurahia pia. Kwahiyo hapo ana*act kama interrogator ? Hii millard angekaa naye tu kwenye bustani na ingekuwa poa zaidi ya hichi mlichofanya 😏

  • @faridmwinyi9462
    @faridmwinyi9462 Рік тому

    Maisha yana mengi sana ya kutufunza aisee😑

  • @sungdinatale5286
    @sungdinatale5286 Рік тому +1

    Raiti Ningekuwa Rais ningeasi TAIFA langu na kuwapa wazungu kumiliki nchi

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 Рік тому

    😭😭😭😭😭

  • @dottohami
    @dottohami Рік тому

    Pole sana kaka ila polce mbinguni watapasikia tu😭

    • @rosemilingi7860
      @rosemilingi7860 Рік тому

      Nikweli kbs watapasikia tu, police Wana roho mbaya Sana

  • @keitatv9219
    @keitatv9219 Рік тому

    Pole mkuu

    • @fatumakatala
      @fatumakatala Рік тому

      Pole Sana Mungu atakulipa. Ila gereza si sehemu nzuri kabisa

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    Pole sana ndugu yangu mchi za shelia Inabidi hulipwe 🇹🇿🇬🇷👊

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Рік тому

    Mtangazaji bana...... Haya bana 😅😅😅😅

  • @franklite4700
    @franklite4700 Рік тому

    Wanaume tunapitia mengi.

  • @godymobiletech3328
    @godymobiletech3328 Рік тому

    Zembwela wewe ni fundi sana man

  • @Eliaaroni
    @Eliaaroni Рік тому

    😭😭

  • @amosjapan8717
    @amosjapan8717 Рік тому

    Namba zake wahanga sisi wengi

  • @kiri5807
    @kiri5807 Рік тому +1

    kesi ya mchongo

  • @quavohuncho6475
    @quavohuncho6475 Рік тому

    Kusimamia haki ni sisi wala sio taasisi

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 Рік тому

    ❤️😞

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    🙄😢

  • @witneyjerry2587
    @witneyjerry2587 Рік тому

    Hii interview ingemkuta Millard Ayo bhanaa

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 Рік тому

    Nimetamani kulia.

  • @allybulushi624
    @allybulushi624 Рік тому

    Munamuiga jonijo