Dah Bwana Yesu atusidie katika hizi nyakati za mwisho. Tutashuhudia vituko vingi sana. Hizi Imani zinazoibuka siku hizi za mwisho kwa kisingizio cha mafunuo au upako au maono ambayo yapo kinyume Neno la Mungu ni shida sana. Watu wkiambiw ukweli wanakimbikia kusema wnonewa wivu. Dah hii ni hatari sana. Bwana Yesu tusaidie
MUNGU atuhurumie sana na kutupa hekima, busara na moyo wa unyenyekevu katika kumtumikia na azidi kukaa nasi ili katika kuhudumu tuwavute watu wake wamjue yeye MUNGU wa kweli na YESU Mwanaye aliyemtuma, na tutapoimaliza kazi tuingie katika ufalme wake na si kutufungia nje akisema siwajui mtokako wala sikuwajua nyie🙏🏾
Mwamongi kumbuka mungu alimpa musa fimbo akampa daudi kombeo ,lakini sisi tumepewa jina la yesu tu ,ndo mana neno LA mungu linasema na ishara hizi zitaonekana na wote waaminio ,kwa jina langu watatoa pepo, wataweka mikono juu ya wagonjwa na watapata afya ,watakula vitu vya kufisha na havita wadhuru ,kaka wahubiri wa aina hizi za injili wameshatubu fatilia Benny hinn
@@happychonde3451 sijatetea hao,na ninajua "hulituma Neno lake(yani kristo) huwaponya na kuwatoa kwenye maangamizo yao". Huyo Mtumishi amesema Juu ya umuhimu WA miujiza sio namna yakufanya miujiza. Sasa nimeuliza mfano Mtu akiwa kichaaa, Au kiziwi, Au taahira Yuko mbele Yako,bila muujiza WA uponyaji kwanza,atalisikiaje na kulipokea hilo Neno?
Kila mtu na wito wake na Mungu anaendelea mbele harudi nyuma. Alianza na agano la kale akaja na agano jipya, syllabus ya somo ikakamilika. Katika utendaji jipya linatumika na la kale hakulifunga. Yesu kama mwalimu, kutumia nyenzo alionyesha(demonstrate) na sasa watumishi wanalitendea kazi, matokeo yanaonekana shida ni nini? Maarifa yataongezeka. Roho humgawia MTU kama apendavyo yeye. Naamini manabii feki kupitia muunganiko huu watadhihirishwa na kudhibitiwa. Kuzimu haitalishinda kanisa kamwe. HUDUMA tano zinakamilika katika utendaji kumdhibiti adui. Itaneni, eleweshaneni msipingane Kama mitume juu ya tohara nk Roho ni yeye yule!!!
Tafuta kumjua mungu kupitia neno lake maana , huu ni wakati wa mwisho sasa,ogopa wafundishao habari za mafanikio kuliko kuhubiri injili watu waokolewe na kutubu dhambi zao
Meza ya Bwana vifaa vyake wewe binafisi unajua vinatoka wapi? Ebu km tunajadili mambo tukae katika nia ya kujua KWELI. Kuhukumiana kwa msingi wa makundi eti mitume na manabii na kundi jingine sijui la wachungaji, walimu na wainjilisti NI kujidhofisha wenyewe. Hii ni sawa na kutaka kulazimisha katika serikali fulani, wizara zifanye kazi kwa muundo mmoja yaani madini wafanye shughuli zao sawa na wizara ya afya, haiwezekani. Sikatai kuwa manabii na mitume feki wapo. Je, wachungaji feki hawapo?
Dah Bwana Yesu atusidie katika hizi nyakati za mwisho.
Tutashuhudia vituko vingi sana.
Hizi Imani zinazoibuka siku hizi za mwisho kwa kisingizio cha mafunuo au upako au maono ambayo yapo kinyume Neno la Mungu ni shida sana.
Watu wkiambiw ukweli wanakimbikia kusema wnonewa wivu.
Dah hii ni hatari sana.
Bwana Yesu tusaidie
Amen barikiwa sana mtumishi wa Bwana yesu
ROHO WA HEKIMA AMEMJAA SANA SUGUYE
Chief Prophèt Suguye umenena vema kabisaa
Ameen baba najiungamanisha naneno
MUNGU atuhurumie sana na kutupa hekima, busara na moyo wa unyenyekevu katika kumtumikia na azidi kukaa nasi ili katika kuhudumu tuwavute watu wake wamjue yeye MUNGU wa kweli na YESU Mwanaye aliyemtuma, na tutapoimaliza kazi tuingie katika ufalme wake na si kutufungia nje akisema siwajui mtokako wala sikuwajua nyie🙏🏾
Ayuwa Mparazo anaglia usije ukawa una mpigia debe shetani ukawa unajiita mtoto wa mungu kumbe ni mtoto wa shetani angalia kesho yako
Elia Richard mpendwa nadhani haujaelewa nilichoandika, jaribu kurudia tena kusoma inawezekama ukaelewa na MUNGU akubariki 🙏🏾
Ameen ubalikiwe baba
powerful God.
Blessed daddy 🙏
Glory be to God.
Amen baba Nabii Nicolas Suguye HAHAHA pasuwa Ngoma Nabii WA MUNGU
Tubuni YESU mwenye kanisa anarudi kila mtu atatoa hesabu ya kondoo wa MUNGU wanaopotea
Huduma zote tano zilikuwa ndan ya Yesu .kama mna tabia ya Yesu ndan yenu hakuna tatizo .
Yes maneno ya hekima hayo
Yaani muujiza ndiyo unao waleta watu kwa Kristo kweli! Au neno ! Suguye rudi kwenye misingi upya !
oscar Sanga kuna watu vichwa vidogo humu
Watu hawaelewi wanaangamia kwa kukosa maarifa , hawatafuti kumjua mungu personally
ili kichaa/zezeta/kiziwi asikie Neno anahitaji nini? ...
Mwamongi kumbuka mungu alimpa musa fimbo akampa daudi kombeo ,lakini sisi tumepewa jina la yesu tu ,ndo mana neno LA mungu linasema na ishara hizi zitaonekana na wote waaminio ,kwa jina langu watatoa pepo, wataweka mikono juu ya wagonjwa na watapata afya ,watakula vitu vya kufisha na havita wadhuru ,kaka wahubiri wa aina hizi za injili wameshatubu fatilia Benny hinn
@@happychonde3451 sijatetea hao,na ninajua "hulituma Neno lake(yani kristo) huwaponya na kuwatoa kwenye maangamizo yao". Huyo Mtumishi amesema Juu ya umuhimu WA miujiza sio namna yakufanya miujiza. Sasa nimeuliza mfano Mtu akiwa kichaaa, Au kiziwi, Au taahira Yuko mbele Yako,bila muujiza WA uponyaji kwanza,atalisikiaje na kulipokea hilo Neno?
Tanzania, Mungu atusaidie,.
Man of God
Ameen
Matayo 24:1-50 samajani anarudi mwenye kanisana hawezi mwaga damu ikapotea ovyo mtatoa hesabu
WATUMISHI wa kweli tusimame na maombi Yesu anarudi matayo 24:-50 yote yaliotabiriwa yametimia mwapotea kwa sababu hamsomi Biblia mngesoma msingepotea
Hatujaitwa kupiga watu chali wapigeni watu chali.mtakutana nae mwenye watu ninyi wapigeni watu tu
Hyo ni yko
Safi suguye
Kila mtu na wito wake na Mungu anaendelea mbele harudi nyuma. Alianza na agano la kale akaja na agano jipya, syllabus ya somo ikakamilika. Katika utendaji jipya linatumika na la kale hakulifunga. Yesu kama mwalimu, kutumia nyenzo alionyesha(demonstrate) na sasa watumishi wanalitendea kazi, matokeo yanaonekana shida ni nini? Maarifa yataongezeka. Roho humgawia MTU kama apendavyo yeye. Naamini manabii feki kupitia muunganiko huu watadhihirishwa na kudhibitiwa. Kuzimu haitalishinda kanisa kamwe. HUDUMA tano zinakamilika katika utendaji kumdhibiti adui. Itaneni, eleweshaneni msipingane Kama mitume juu ya tohara nk
Roho ni yeye yule!!!
Power, revelation revelation
Ya Rasouli Suguye. Sema tupone
Shida ni kuhuza city tens kwa bei
CHOMOZA NAWASIHI TENA KWA MARA NYINGINE KATIKA JINA LA YESU NITAJIENI JINA LA HUO WIMBO NIMEUPENDA JAMNI AU NISEMEJE NDO MUELEWE JAMANI???
@ega son ukiupata tafadhali namm nimeupenda
Acha tuyakanyage mafuta. Kule moshi mafuta yalikanyaga watu. Tuchukue tahadhari tunapokanyaga
Tatizo hayo mafuta hatujui yanatoka wapi , na si vinginevyo
Happy chonde tafta kwenye biblia mafuta waliyo kuwa wanatumia manabii was zamani na agano jipya walitoa wapi hayo mafuta
Tafuta kumjua mungu kupitia neno lake maana , huu ni wakati wa mwisho sasa,ogopa wafundishao habari za mafanikio kuliko kuhubiri injili watu waokolewe na kutubu dhambi zao
@@happychonde3451 kwn mafuta ni neno la nn?
Meza ya Bwana vifaa vyake wewe binafisi unajua vinatoka wapi? Ebu km tunajadili mambo tukae katika nia ya kujua KWELI. Kuhukumiana kwa msingi wa makundi eti mitume na manabii na kundi jingine sijui la wachungaji, walimu na wainjilisti NI kujidhofisha wenyewe. Hii ni sawa na kutaka kulazimisha katika serikali fulani, wizara zifanye kazi kwa muundo mmoja yaani madini wafanye shughuli zao sawa na wizara ya afya, haiwezekani. Sikatai kuwa manabii na mitume feki wapo. Je, wachungaji feki hawapo?
@@epafrangweshemi4014 kbsa watu wa Mungu sijui wamepatwa na nn hawa, yn ni km wamechngnyikiwa. Neno la Mungu na hili ni nn?
Mema ni mema tu.
Ni wivu tu
Tanzania, Mungu atusaidie,.
Mema ni mema tu.