NABII SUGUYE ATABIRI KARIAKOO DERBY l YANGA NA SIMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 23

  • @FREBUFootballClub
    @FREBUFootballClub 9 місяців тому +2

    Uwe Hai Yesu Yu Hai Mpenja umetisha sana

  • @k.k9366
    @k.k9366 9 місяців тому

    Amen Baba, thank you 🙏

  • @blues4life633
    @blues4life633 9 місяців тому

    Huyu ni nabii!🙄👀 mamae Mungu anakaz😢

  • @MathayoRajabu
    @MathayoRajabu 9 місяців тому

    Nabii wa leo

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 9 місяців тому +1

    😂😂😂 Iyo ilikua inajulikana 😂😂

  • @SophyDeamo-ru2oi
    @SophyDeamo-ru2oi 8 місяців тому

    Mtumishi mm ni mama nimepotelewa na mwanangu katka mazingira ya kutatanisha naomba maombi yako juu ya kijana wangu ni mwanafunzi form iv

  • @eliaspaul9028
    @eliaspaul9028 9 місяців тому

    Atali

  • @paulkomba2366
    @paulkomba2366 9 місяців тому

    Duh

  • @Klvn_Chriss
    @Klvn_Chriss 9 місяців тому +1

    Mmh nabii wa mpira 😂😂😂

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 8 місяців тому

    Huu sio unabii bali ni utapeli na ujanja ujanja tu wa maneno!

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 8 місяців тому

    Kanisani si mahali pa kufanya mizaha ila bahati mbaya ugonjwa huu upo pia kwa viongozi wa dini.

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 9 місяців тому +1

    Kanisa la mashetani watakokota wengi kuzimu.

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 9 місяців тому +1

    Sasa hapo alitabiri nn?

  • @Josephmakokha-nn5dh
    @Josephmakokha-nn5dh 9 місяців тому

    Emen baba

  • @GreysonMdee-wm8tn
    @GreysonMdee-wm8tn 9 місяців тому +7

    Hivi kumbe bado Kuna watu wanaamini ukristo ni dini? 🤣🤣🤣🤣Watu wanabet kanisani halafu mtu anakwambia hyo ni dini, ALLAH awanusuru maana baada ya kufa ni majuto.

  • @maliyatabuibrahimu6051
    @maliyatabuibrahimu6051 8 місяців тому

    Yaani kama vile watu hawana akili yaani.Huyu wa kumwaminikweli?

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 9 місяців тому +1

    upumbavu sana sasa huu ni utabiri gani!?

  • @sweetbertrwiza5982
    @sweetbertrwiza5982 8 місяців тому

    Mzamiru anaokolewa na kipigo kikubwa yeye anataka aongezewe muda!!

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 9 місяців тому

    Mambo ya mpira mnaleta kwenye dini hii haifai

  • @santebnassary7411
    @santebnassary7411 8 місяців тому

    Kuna mzani unalemea hahahaha

  • @BARAKA888
    @BARAKA888 9 місяців тому

    Huyu ni mhuni tu

  • @FREBUFootballClub
    @FREBUFootballClub 9 місяців тому

    Hahaha

  • @hiltonEliakim
    @hiltonEliakim 9 місяців тому

    Jamani watu tumefungwa kiasi hiki ,ukiona mtu anatabiri mambo ya timu kushinda huyo ni nabii wa uongo Moja kwa Moja Mungu hawezi kumfunulia mtu vitu vya kijinga kama hivo