ONDOA nguvu MBAYA Ndani ya Nyumba kwa GLASS MOJA tu yenye MAJI ya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 183

  • @MussaSendama-l5l
    @MussaSendama-l5l 7 місяців тому +7

    upo vizuri sana katika ushauri wako mama swari sasa iyo nguvu ya ulimwengu nimtandao gani au nikitugani samahani kama nitakuwa nimekukwaza naomba kunua

  • @janethshayo9063
    @janethshayo9063 3 місяці тому +1

    Ahsante Sana aunt kw mafundisho yako ya nguvu za universe,Mimi nimeona matokeo makubwaa kupitia maji na chumvi,barikiwa Sana kw jina la Yesu

  • @rehemamasanja8875
    @rehemamasanja8875 8 місяців тому

    Asante sana dada kwa mafundisho mazuri. Niko tayari kuamini nguvu za universe, amen

  • @JesusIradukunda-vu5fg
    @JesusIradukunda-vu5fg 10 місяців тому +1

    Asante sana.namimi nintahakikisha nintahakikisha namjua mbaya wangu,maishs yangu yanabadilika.kwanguvu za univas

  • @PatricKinyili-vy1kj
    @PatricKinyili-vy1kj 5 місяців тому

    Asante sana Mimi ni mgeni kwa wiki mbili sasa,nimeanza kushudia vizuri nguvu za universe zina uwezo kabisa,mungu akupe nguvu za kutuelimisha,asante

  • @mallemaOg
    @mallemaOg 11 місяців тому +1

    Dada ahsante mnoooo kwa maajabu tu ninayoyaona kabla hata cjaanza kufanikiwa kwangu inatosha kusema ahsante dada nitafata hatua zote mpaka nifanikiwe na kwenye pesa

  • @jamesmagwiza8388
    @jamesmagwiza8388 5 місяців тому

    Uko vizuri sana mpendwa nimekuellewa, unadar

  • @RufinaMbunda
    @RufinaMbunda Рік тому +2

    Asante kwa maelezo yakoje naweza kuweka limao nagrasi ya maji kwa siku moja

  • @melkiadakadende444
    @melkiadakadende444 3 місяці тому +1

    Asante mama Mungu akubariki

  • @ShakilaAlly-c4d
    @ShakilaAlly-c4d 11 місяців тому +1

    Ahsante kwa somo zuri

  • @VailethVedastus
    @VailethVedastus Місяць тому

    Asante dada yakibaki maji meupe nayaoga

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 8 місяців тому +1

    Ahsante dada

  • @jacklinemutayoba2132
    @jacklinemutayoba2132 9 місяців тому +1

    Asante sana

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 8 місяців тому

    Shukran sana

  • @AbaAbaa-t6h
    @AbaAbaa-t6h 8 місяців тому

    Asante nikotayari kwanini nguvu za yunevercity😊

  • @YohanaDominic-r1o
    @YohanaDominic-r1o 8 місяців тому +1

    Asante dada tupe ya kushinda tunaobeti sasa

    • @marymushi5938
      @marymushi5938 7 місяців тому

      Kbsa team 20 unakuta 2 zinachana au moja

  • @SebaBesson
    @SebaBesson Місяць тому

    Asante saaana kweri kutuj7lisha ilo

  • @DanteAhmad
    @DanteAhmad 9 місяців тому +3

    Dada mm ndani kwng kuna ndege wamejenga viota vya nyas je ni ishara nzuri au niwatimue

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  8 місяців тому +1

      Ishara nzuri sana,usiwatoe

    • @ImaniAlly-n6i
      @ImaniAlly-n6i День тому

      @@NGUVUZAUNIVERSE utanuwia maneno gani wakati wa kuoga hizo dawa?

  • @dalilahothman-z3x
    @dalilahothman-z3x 6 місяців тому +2

    Chumvi hii haitakiei kukaa wazi kwani inavuta vituhasi sasa maduka i utakuta iko wazi .Je tunapoinunua ktk hali hiyo inakuwaje? Itafaa?

  • @HumphreyKarua
    @HumphreyKarua 11 місяців тому +1

    Hi dada nina tatizo hilo nitatumia tiba hii asante sana h

  • @HassanNyandwi-dk7tv
    @HassanNyandwi-dk7tv 10 місяців тому +1

    Asante dada ninashukuru kupata mafunzo mazuri

  • @SaimonMatika
    @SaimonMatika 4 місяці тому

    Tajiri mwenye baraka na mafanikio makubwa ni mimi 🙏🙏

  • @ZubedaKilenza
    @ZubedaKilenza 3 місяці тому +2

    Yani nimeona.matokeo❤

  • @Gracekato-i8l
    @Gracekato-i8l 7 місяців тому +3

    Napokeamuujiza WA kuondoa nguvu mbaya ndani mwangu

  • @gakinjaveronica-cl3lx
    @gakinjaveronica-cl3lx 11 місяців тому +1

    Asante dada

  • @biheheamani6217
    @biheheamani6217 5 місяців тому

    Napokeya muhujiza wakuondoa nguvu mbaya ndani mwangu

  • @LeodgardMmassy
    @LeodgardMmassy 19 днів тому

    Ok habar za Leo? Je unaweza kutumia glad ya maji pamoja na kuwasha mshumaa kwa pamoja kuondoa hizo nguvu mbaya ? Yan kutumia vyote kwa pamoja?

  • @annielike3848
    @annielike3848 9 місяців тому +1

    Thanks so much

  • @pascalbeda7415
    @pascalbeda7415 Рік тому +1

    Ahsante kwa mambo mazuri

  • @mashaurifoundation
    @mashaurifoundation 4 місяці тому +1

    Napokea Nguvu Mpya Kutoka Kwa Universe

  • @RizikiTesha
    @RizikiTesha 10 місяців тому +2

    Sawa dada ngoja nijaribu

  • @JosephMatagaro-v6t
    @JosephMatagaro-v6t 11 місяців тому +1

    Nipo karibu kupokea muujiza

  • @RamadhanishabaniMseswa-qy9xj
    @RamadhanishabaniMseswa-qy9xj 11 місяців тому +1

    Dadá kwanza nikushukuru Kwa somo lako mungu Akupe zaidi ya unacho kitoa asante pili swali nifanyeje ili kudhibiti ninacho kipata kiweze tulia

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  11 місяців тому

      Karibu Sana,, hakikisha nyota yako ipo vzr kila kitu kitakaa sawa

    • @RamadhanishabaniMseswa-qy9xj
      @RamadhanishabaniMseswa-qy9xj 11 місяців тому

      @@NGUVUZAUNIVERSE madam samahani ili kujua kama Nyota iko sawa nifanyeje pia nimetamani kujua zaidi ni vitu gani au Chakula gani tunapaswa kutumia ili kukaa sawa tusisumbuliwe na matokeo mabaya kwenye maombi

  • @IbrahimKidaa
    @IbrahimKidaa 11 місяців тому +1

    asante

  • @RoselineNangila-n8p
    @RoselineNangila-n8p 8 місяців тому

    Nashukuru sana lakini ikiwa huna choo cha kuflash unafanje

  • @subiramustapha6125
    @subiramustapha6125 5 місяців тому

    Napokea muujiza wakuondoa nguvu mbaya katika maisha yangu yote

  • @mathewrashid-i2n
    @mathewrashid-i2n Місяць тому +2

    INAWEKWA VYUMBA VYUMBA VYOTE AU KIMOJA TU?

  • @TawosiTawosi
    @TawosiTawosi 3 місяці тому

    Ahsante sana

  • @AnnaShonga
    @AnnaShonga 7 місяців тому

    Nataman sana niisome elimu hii nitaipataje?

  • @eliciamkama7315
    @eliciamkama7315 9 місяців тому +1

    Asaante

  • @khadijasudy9859
    @khadijasudy9859 Рік тому +1

    Asatee kwa somoo

  • @ShabanTamla
    @ShabanTamla 11 місяців тому +2

    Nimekubari nitafanya

  • @MapendoMoshi-fs6km
    @MapendoMoshi-fs6km 11 місяців тому +1

    Uko vzr dada

  • @RizikiGalibwa
    @RizikiGalibwa 10 днів тому

    🎉dada nitumiye numero zako mafudisho haya ni mazuri saana

  • @WemaeliWarema
    @WemaeliWarema 4 місяці тому

    Napokea nguvu moya kotoka kwa universe

  • @rtrw708
    @rtrw708 11 місяців тому +1

    Assant saana dada yangu

  • @MagesaChacha-n4o
    @MagesaChacha-n4o 4 місяці тому +2

    Dada mimi ni muumini mzuri sana wa nguvu za ulimwengu na zimeniletea matokeo chanya kifedha,sasa nauliza kila nilalapo huwa huwa nastuka usiku wa manane kwa ajili ya kenda haja na wakati huo huo huangalia saa yangu katika simu kuna muda nakuta 2:02 au3:03 au4:04 na siku zote nikiona hivyo huwa silali tena hutafakali na kuanza kumwomba mungu mpaka alfajir je nimakosa?

  • @SecretariatZanzibar
    @SecretariatZanzibar 11 місяців тому +1

    Haya maji ya chumvi, limau na mshumaq unaweka siku moja au siku tofauti?

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  11 місяців тому

      Sikiliza video,, utapata jibu la swali lako

  • @GeorgetteNzeyimana
    @GeorgetteNzeyimana Рік тому +1

    Nimekosa mteja wakuuza nyumba wakitizama wanapenda hata pesa tunakubaliana ila wakiondo tu awarudi tena nifanyeje ???

  • @marianamichael5406
    @marianamichael5406 8 місяців тому +1

    Samahan hiyo karafuu na mdalasini sio lazima iwe ya unga hata magome yanafaa

  • @Warda-o7e
    @Warda-o7e 2 місяці тому +2

    Yani apo umenisema mm kabisa

  • @MahutaAyeba
    @MahutaAyeba 20 днів тому

    Jambo je!ku flash Ndio uni?

  • @DoreenMichael-t2p
    @DoreenMichael-t2p Місяць тому

    Kuoga hiyo ni maji ya aina gani yaani ya moto au ya baridi?

  • @monicamonica1511
    @monicamonica1511 8 місяців тому

    Kama je nikiweka sebule i??

  • @marianamichael5406
    @marianamichael5406 8 місяців тому +2

    Ma ukitaka kuogea chumvi na hiyo mdarasin pamoja na karafuu unaweza kuogea hata choon au bafuni

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  8 місяців тому

      Bafuni

    • @marianamichael5406
      @marianamichael5406 8 місяців тому

      @@NGUVUZAUNIVERSE sasa la guns Bafi unaogea choon utafanya je kwenye nyumba za kupanga

  • @AshaAdam-o6y
    @AshaAdam-o6y 11 місяців тому +1

    Asate dd

  • @Jammie626
    @Jammie626 2 місяці тому

    Amina

  • @HamduMaulid
    @HamduMaulid 11 місяців тому +1

    Nitumie ujumbe wa Kinga yenye2e

  • @ibrahimkumrwa5768
    @ibrahimkumrwa5768 7 місяців тому

    natamani kujuakuondoa nguvu mbaya ndan mwangu

  • @PaulineMputhia
    @PaulineMputhia 2 місяці тому

    Akikuja Na kusimama Kwa ukuta tu afanyi kitu chochote inamaisha aje?

  • @maasnyinyigwa9330
    @maasnyinyigwa9330 Рік тому +2

    Ninaweza ogea chumv na mdarasi pamoja kwaajili ya pesa

  • @TinaAchieng-t4t
    @TinaAchieng-t4t 2 місяці тому

    Amin

  • @HafiidhBaraba
    @HafiidhBaraba Рік тому +1

    Kama unaixhi kwenye nyumba za udongo

  • @EVERLINEMoraa-zo2vi
    @EVERLINEMoraa-zo2vi 28 днів тому

    Nina watito wangu walikua waerefu but wamefika hawapiti vuzuri masimo yao nifanyeje dada

  • @Juster-d4g
    @Juster-d4g 8 місяців тому

    Nikotayali kujiunga nanguvu za yunivas

  • @BarakajumaJumamadirisha
    @BarakajumaJumamadirisha Рік тому +2

    dada mambo

  • @JunesAtilio-sr9fl
    @JunesAtilio-sr9fl 8 місяців тому

    Asante sana dada

  • @DoreenMichael-t2p
    @DoreenMichael-t2p Місяць тому

    Pia unaoga kwa muda gani?

  • @Jeopar_dize
    @Jeopar_dize 4 місяці тому

    Je, baada ya kufanya Hilo zoezi hazita nizuru yaani kuleta madhara

  • @jamesmagwiza8388
    @jamesmagwiza8388 5 місяців тому +3

    Mimi choo limeungana na bafu nafanyaje niweze kuoga bafuni?

    • @MaryOmbay-nx4ci
      @MaryOmbay-nx4ci 3 місяці тому

      Mi pia choo kimeungana na bafu nimehamia bafu la nje ili niwe nimefuata mashariti hadi hapo ntakapjenga bafu zuri lililojitenga na choo😅

  • @MilliaPaschal
    @MilliaPaschal Рік тому +1

    Naomba urudie pale kwenye mdalasini

  • @AllyLuambano
    @AllyLuambano 11 місяців тому +1

    Hiyo venegi inapatikana dukani au wapi

  • @InostmagoyoMagoyo
    @InostmagoyoMagoyo 8 місяців тому

    Nimelima shamba la mpunga lilikuwa vizuri lakin nahsi limeharbiw kichaw mpunga unaharbika tu nifanyaje

  • @EtaparElizabeth
    @EtaparElizabeth 2 місяці тому +2

    Asante dada number yako

  • @anniajames6678
    @anniajames6678 4 місяці тому

    Napokea muujiza wa kuondoa nguvu mbaya ndani mwangu

  • @veronicaaugust1793
    @veronicaaugust1793 2 місяці тому

    AMINA

  • @nazarypound
    @nazarypound 11 місяців тому +1

    Au ni lazima utumie njia ya kwanza ya glass

  • @ntezimanalambert8233
    @ntezimanalambert8233 6 місяців тому +2

    Dada naomba Unieleze Namna Ya Kutumia Olive Oil

  • @antonlwila8143
    @antonlwila8143 Рік тому +1

    Mimi napenda kujua inapatikana wapi nionane na wewe live.

  • @ZeddyZeddy-o7v
    @ZeddyZeddy-o7v Рік тому +1

    Mdalasini na karafuu za unga za faa?

  • @SaidRashidi-q9e
    @SaidRashidi-q9e 11 місяців тому +1

    utupemae lekezo ya kuondosha nguvumbaya ndani namwilini

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  11 місяців тому

      Tazama video yangu mpya nimetoa Jana tu

  • @monicamonica1511
    @monicamonica1511 8 місяців тому

    Pia nyumbani kwangu kwenye veranda wamejenga mmbu wengi juu ukutani. Nimeshindwa kuwafukuza kwani ni wakali kweli.Nazo hizo ni isshara gani.

  • @nurdinibrahimu7312
    @nurdinibrahimu7312 10 місяців тому +1

    He ukimwaga maji unamwaga pamoja na hiyo chumvi au

  • @AnnaMgala-n6g
    @AnnaMgala-n6g Рік тому +1

    Mbona uaneshagi sura Yako Jaman

  • @fredrickkitende8439
    @fredrickkitende8439 6 місяців тому +1

    Limao na chumvi ya kwenye maji unaweza tumia vyote kwa pamoja

  • @LevinaRichard-nz3yn
    @LevinaRichard-nz3yn Рік тому +1

    Iyo limao unaweka siku ngap?

  • @marianamichael5406
    @marianamichael5406 8 місяців тому +2

    Na unaoga wakati gan au mda wowote tu

  • @kalulumango-ql5sg
    @kalulumango-ql5sg 11 місяців тому +1

    Jambo dada na weza Pata namba ya kwako ya upeke ?nataka maogezi

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 8 місяців тому

    Nauliza paka ana madhara gani ikimfuga nyumbani ?

  • @frankdaudi7394
    @frankdaudi7394 4 місяці тому

    Kwa nguvu ya ulimwengu napata ushindi wa mafanikio kwa kila jambo

  • @RoseOdilo
    @RoseOdilo 4 місяці тому

    Naweza ogea chooni?

  • @MuliSammy-rd3fs
    @MuliSammy-rd3fs 5 місяців тому

    Unaweza funikia ukiweka maji na chubi

  • @AnithaRiwa
    @AnithaRiwa Рік тому +2

    Nitumie number yako Kama hauna hela kabisa utaweza

  • @hadijachedy7725
    @hadijachedy7725 11 місяців тому +1

    Mamy nimeweka maji nachumvi kwenye glas baada yamuda glass ikavunjika itakuwa ni nn mpk ivunjike

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  11 місяців тому

      Imevunjika yenyewe au ww umeivunja

    • @hadijachedy7725
      @hadijachedy7725 11 місяців тому

      Hapani sijaivunja bali imevunjika niliweka sehemu pembeni yakitanda muda huo nilikuwa ndio namalizia kifanya maombi ya mshumaa nakaratasi ikadondoka kutoka hapo juu yakitanda mpk chini nakupasuka vipande

    • @hadijachedy7725
      @hadijachedy7725 11 місяців тому

      Km nishida nijulishe mamy

  • @NdayisengaRamadhani-hs3yw
    @NdayisengaRamadhani-hs3yw 11 місяців тому +1

    Naitwa rama swali nihili sasa nangumvu mboya ziko muwilini zenyewe zinaondoka kupiya hiyi tiba ya chumvi ao limao

  • @PriscaKimario-s2i
    @PriscaKimario-s2i 2 місяці тому

    Naomba namba yako mm ninashida ninaitaji uni saidie

  • @dingadinga6674
    @dingadinga6674 Рік тому +2

    Hvi vitu mdarasin na chunvi haukosi pesa

  • @ClyementinarNgumbao
    @ClyementinarNgumbao 2 місяці тому

    Nikipata number Yako itakuwa mbora.

  • @nazarypound
    @nazarypound 11 місяців тому +1

    Huo mshumaa unaweza kuuwasha usiku

  • @felisterjoshuamollel3930
    @felisterjoshuamollel3930 10 місяців тому +1

    Dada mimi nlieka maji ya chumv kwa cku saba lkn hayajachafuka