Assalam alaikum sheikh ndo nimeona channel yako ila changamoto tunazo uku rwand awafaham kiswail sijui majani yamtend ntayapat aje alafu kingine nauliza ulisema tunapashwa kuita jini sal sal mara elfu3000 kwa siku tatu au kama una uwezo wakumuita kuanziya saa sita hadi saa kumi nambili hasubui ukamaliza ile idadi inawezekana ama sharti ni siku tatu
Pole sana kwa changamoto unazopitia, Ingawa jambo moja la kushangaza. Unaonekana kuchukia content hizi lakini katika kila video una comment.! Ajabu. Asante kwa kushiriki nasi
Mwalimu hii kuzibara ya aina ya giligilani kwa jina lingine inaitwaje mana nilipo nimeuliza wakaniambia hakuna kuzbara nyingine zaidi ya ile ya punje za mchele tusaidie kwa ilo tafathali
Asante kwa kurudi tena ni kama ulitutupa kutotoa darasa huku. Ulitufundisha kuita jini aina ya sita ambae unamuita jin mainuna abanuhu kama nitakuwa nimekosea utanisahihisha nini nataka kuuliza hapa? Ukisikiliza kwa makini kile ulichokifundisha unasema ni tendo la maramoja na ukitaka kurudia tena kuna namna nyingine ya kumuita, lakini hana sharti lolote na ukiona anakupa sharti basi sio ama unauwezo wa kukutaa. Katika kujifunza na kupata maarifa zaidi nilimsikiliza shekhe ama mtaalamu mmoja anaitwa Sir binladen 786 alisema huyu kiumbe unamuita ukiwa umevaa nguo nyeusi siku sawa na yakwako ijumaa kuamkia jumamosi ila akasema yeye watu wengi wanamtumia kwakuwa anamasharti mepesi.
Swali ni kweli unatakiwa kuvaaa nguo nyeus wakati wa kumuita, na kweli anamasharti yoyote pindi anapotaka kukutekelezea jambo lako? Au kuna namna mbalimbali ya kumuita kulingana na maarifa ambayo unayo na kumtumia kwani wewe ulielekeza tutamke ZAJ BISHAHATI, MASHAHATI, SHAHYAT. Mara 100 isipungue wala kuzidi kisha unasema ulichomuitia unaenda kupumzika na atakupa majibu kwa njia ya ndoto.
Haina ulazima wa kuvaa mavazi ya rangi hiyo kwa maana kama Rangi moja hutawala zaidi ya majini elfu sasa haitaleta maana chenye kulazimisha zaidi ni wito husika. Pia watu wengi mitandaoni huongeza vitu ambavyo havipo mradi tu kuonyesha ujuzi hali ya kuwa hayo ni mambo hayatakiwi katika masomo haya.
Mwalimu mm nashindwa kuelewa kwa sababu nilipata kila kitu ulichosema ili uweze kumwita salsal na nikatimiza mara 3000 kwa zaid ya siku 4 ila hatokei nn shida inakua hapo
Ww ukimwita huyo jini akaja kisha ukamtuma kwenda kumdhuru mtu, hii unayofundusha sindio huo uchawi? Allah akulaani mwanga mkubwa ww, wacha kufundisha watu wanga, acha kupotoa watu utaenda kuchomwa
Ongera kaka kwakazi yako mzuri mimi niko Rwanda Kigali nahitaji mazungumzo kwako unifunze mwenyezi mungu akurinde
shukrani kwa hili somo mala ya pili ntalifanya kwa thati sasa
Tupe mrejesho boss
Dah asante mwalimu
Asante Shekh kwa msaadha wa somo...
Nilimisi sana
Ahsante kwa mafundisho...,kiukweli hata mm Nina shauku yakuita hicho kiumbe...,
Ukiamua kufanya fanya na usisite
Asante
Shukran mwalim Allah akuzidishie.
Atuzidishe sote
Shukrani naomba ututolee video ya kuita jini wa Nyota ya Simba au Leo
Sawa,
asantee sana
Tunaomba utoe Tena video nyingine
Shukran kaka
Afuan
Shekh assalam Aleykum Ikitokea amekuja Na nikamwambia ahida yangu akiniuliza nini utanifanyia namjibu nini shekhe?
Nimetokea kuipenda chaneli
asante mwalim
Ahsante
Niunganishe mwalimu tondoke pamoja
Nami nahitaji kuungwa katika ayo magroup 🙏
0783930601
Shukuran sana mwalimu
Afuan
Ahmed salum🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Duhh aya masomo yalikua yame nipita wiki 2
Asante
mashaallah
Wapi leo nipe like zangu ❤❤❤
Shukurani
Tunakusubili
Allah awalaani washirikina wakubwa nyinyi
Rejea hapo utapata faida
ua-cam.com/video/g0BvXj1y8-c/v-deo.html
Daah we sheh unajuaa sanaaaah daah hatereee
Asante mwenyezi Mungu akujalie na wewe maarifa zaidi
Wapi leo nipe like zangu😀😀
Nitarudi na majubu j3 nafanya ii kazii
Karibu
Kumbe naweza kuwasha taa🤔
Sahihi
Kaka mm namtaka jini shadiya nita mpataje
Assalam alaikum sheikh ndo nimeona channel yako ila changamoto tunazo uku rwand awafaham kiswail sijui majani yamtend ntayapat aje alafu kingine nauliza ulisema tunapashwa kuita jini sal sal mara elfu3000 kwa siku tatu au kama una uwezo wakumuita kuanziya saa sita hadi saa kumi nambili hasubui ukamaliza ile idadi inawezekana ama sharti ni siku tatu
Shukurani kwa maelekezo yako kaka
Asante mwenyezi Mungu awajalie mafanikio
Kampala hatuna miti ya mtende sheikh ,tufanye jee ,ile ya muchikicha hai fai ?. Plz
Uta niunge kwenye grop
Umesema kuchora unachora nn ni duara la sako au!??
Napenda lkn naogopa
Mwalim kwa kariakoo majani ya mtende yana patikana??
Ndio yanapatikana
Nataka kujifunza zaidi kwenye grou@@rakimsspiritual
Ninawezaje kujoin Hilo group
0783930601
Shekhe unaishi wapi nije?
Fanyeni kazi achaneni na shotcut ukiona mtu anacoment anasema anaitaji kuungwa kwenye grop nimvivu wa kufnya kazi fanyen kazi jamn
Pole sana kwa changamoto unazopitia, Ingawa jambo moja la kushangaza. Unaonekana kuchukia content hizi lakini katika kila video una comment.! Ajabu. Asante kwa kushiriki nasi
Hata kuita mara 3000 Kwa mtu mvivu hawezi na huwezi kuita mara moja tu akaja ni kuwa na subra na juhudi
Naomba namba yako shekh
0783930601
Namba yako tafadhali
0783930601
Naomben mtu ambae alimuit jin anip mrejesho
Ukisikia uchawi ndio huu, wanga ndio nyinyi msitafute wanga
Ukiona kitu akikufai achana nacho sio unakoment upuuzi
Unafanya nini Kwa wachawi kama na wewe sio mchawi
Mwalimu jinn sal sal anawezwa kuitwa ukiita jina moja ya sal sal akaja bila kutaja Akmash laash ama atatokezea ukiita jina zote please naomba jibu???
0783930601
Naomba namba zako ndugu
0783930601
Me nauliza swali shehe unamuita jini mara 3000 utapataje majibu sahihi?
Ndio
Kwa mafundisho ya mwanzo umefundishe mtu asimwiti hudamu mwezi wa rajab,shaaban, Ramadhan jee mtu anaweza kumwita huu mwezi jumamosi hii??
Inawezekana
Alafu kingine kwa anae ishi na mwanamke ndani inawezekana
Natak kuwa mwanafunzi wako naomba namb
na weza kutumia majani ya mchikichi
Sio mazuri sana katika matokeo hata wenye kupata matokeo kwa kutumia hayo nimepata feedback chache za mafanikio
Mwalimu hii kuzibara ya aina ya giligilani kwa jina lingine inaitwaje mana nilipo nimeuliza wakaniambia hakuna kuzbara nyingine zaidi ya ile ya punje za mchele tusaidie kwa ilo tafathali
tafuta sokoni mbegu za giligilani
@@rakimsspiritual asante sana mwalimu Mungu akujaalie kheri katika haya maisha marefu pia inshallah
Assalamualaikum tafazali nambayako mwalimu
Vipi
Niunge kweny group lak la mafunzo kak
0783930601
@@rakimsspiritualAsante sana kaka nitakucheki.niko msumbiji mimi
Mimi nataka wewe unihiteye uyo jini
BWANA MIMI NIMESHINDWA
Pole jaribu Angalia ni kitu gani kimekushinda
Naomba Nampa yako please my bru
0783930601
Kaka naomba namba yako uniunge kwenye group
0783930601
Aslm alyk shekh naomba namba yako
0783930601
namba zako mwalimu mm ndo naanza elimu hii niunge kwa group
0783930601
Hiyo gilgilani ni mbegu ya dania au
Giligilani.
Yes ndio dania
Mtu anajiunga aje na group yako
0783930601
Shukran hii number ni ya Kenya au Tanzania
Asante kwa kurudi tena ni kama ulitutupa kutotoa darasa huku.
Ulitufundisha kuita jini aina ya sita ambae unamuita jin mainuna abanuhu kama nitakuwa nimekosea utanisahihisha nini nataka kuuliza hapa?
Ukisikiliza kwa makini kile ulichokifundisha unasema ni tendo la maramoja na ukitaka kurudia tena kuna namna nyingine ya kumuita, lakini hana sharti lolote na ukiona anakupa sharti basi sio ama unauwezo wa kukutaa.
Katika kujifunza na kupata maarifa zaidi nilimsikiliza shekhe ama mtaalamu mmoja anaitwa Sir binladen 786 alisema huyu kiumbe unamuita ukiwa umevaa nguo nyeusi siku sawa na yakwako ijumaa kuamkia jumamosi ila akasema yeye watu wengi wanamtumia kwakuwa anamasharti mepesi.
Swali ni kweli unatakiwa kuvaaa nguo nyeus wakati wa kumuita, na kweli anamasharti yoyote pindi anapotaka kukutekelezea jambo lako?
Au kuna namna mbalimbali ya kumuita kulingana na maarifa ambayo unayo na kumtumia kwani wewe ulielekeza tutamke ZAJ BISHAHATI, MASHAHATI, SHAHYAT. Mara 100 isipungue wala kuzidi kisha unasema ulichomuitia unaenda kupumzika na atakupa majibu kwa njia ya ndoto.
Kweli anamasharti na utalazimika kuvaa nguo nyeusi wakati wa kumuita ama utakuwa unakiita kiumbe kilekile lakini jamii tofauti?
Haina ulazima wa kuvaa mavazi ya rangi hiyo kwa maana kama Rangi moja hutawala zaidi ya majini elfu sasa haitaleta maana chenye kulazimisha zaidi ni wito husika.
Pia watu wengi mitandaoni huongeza vitu ambavyo havipo mradi tu kuonyesha ujuzi hali ya kuwa hayo ni mambo hayatakiwi katika masomo haya.
@@rakimsspiritual kuhusu masharti
Mwalimu mm nashindwa kuelewa kwa sababu nilipata kila kitu ulichosema ili uweze kumwita salsal na nikatimiza mara 3000 kwa zaid ya siku 4 ila hatokei nn shida inakua hapo
Enenda ukajisafishe kwanza..uondoe nuks...
Angalia kama taratibu zote zilizoelezwa ulizifuata vema. Pia zingatia muda niliosema
Ujampiga mtu mashine kweli
Kuna mtu aliifunza hii namna yakuita jini, lakini aliyongeza na Yassin ndani ya kisomo, mwelim hiyi inaswih
Hapo unatafuta kitu kingine kabisa na pia haijawa proved hivyo
Ww ukimwita huyo jini akaja kisha ukamtuma kwenda kumdhuru mtu, hii unayofundusha sindio huo uchawi? Allah akulaani mwanga mkubwa ww, wacha kufundisha watu wanga, acha kupotoa watu utaenda kuchomwa
Ukiona helimu haikufai toka usicommenti upuuzi bro
Wewe kama huwezani tembeza kiatu... kuna cc tunataka io elimu...
Rejea kwenye video hii utapata faida
ua-cam.com/video/g0BvXj1y8-c/v-deo.html
@@rakimsspiritual Asante Sana mwalimu 🙏🙏Kwa elimu nzuri
Weeeeee jiheshimu bwana mbona wewe mkundu ivi
Rakims unakaaa MUDA mlefu Bila KUWA NA muendelezo WA simuliz nyingine
Tunaomba uwe na back to back ya video. Frequently
Nitajitahidi
Namba zako za WhatsApp ili tupate kujiunga na group
0783930601
Shukran mwalim
afuan