Jinsi ya kufanikiwa kinyota | Madini ya Risasi Part 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Mafanikio huja katika njia tofauti tofauti,
    Moja kati ya njia hizo ni kupitia nyota husika ya mtu... Huu ni muendelezo wa mafanikio ya kinyota unaopatikana katika playlist hii
    • Chanzo cha Nguvu yako ...

КОМЕНТАРІ • 39

  • @sezarselemani107
    @sezarselemani107 Рік тому +4

    Ata kama amnip like zeno ila leo nimewai kukoment nimekua w kwanz

  • @Ally-Tv2
    @Ally-Tv2 6 місяців тому

    Wew ni genius wa kiroho,shukulani mungu akujalie

  • @HamisMzava
    @HamisMzava 3 місяці тому

    Ahsante sana kuvaa mwilini jiwe risasi hamna madhara?ninalo kwenye pochi vp inafaa?

  • @ikramsalum5655
    @ikramsalum5655 Рік тому

    Asante sana kaka...

  • @jane.mack_
    @jane.mack_ Рік тому +1

    Hello Doctor.. kwahiyo madini ya risasi ni perfect fit kwa watu wa Aquarius? Jiwe zuri kwa ajili ya Aquarius ni Amethyst.. kwahiyo jiwe la Amethyst likiwekwa kwenye Pete ya risasi inakuwa ni perfect fit? Je kumeditate siku ya jumamos mtu akiwa amevaa madini ya risasi ndani ya muda ulliotawaliwa na Saturday ni best meditation? My mind is blowing with alot of anhaa! And questions

  • @mohamedomary9356
    @mohamedomary9356 Рік тому +1

    Asalaam alykum mwalimu shukran mashaallaah kwa darasa lako

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  Рік тому +1

      Waaleykum salam asante

    • @OmbeniKatsenge
      @OmbeniKatsenge 26 днів тому +1

      ​@@rakimsspiritual Asante Sana Baba Rakims Spiritual Kwa kutufunza Mambo mazuri na Jinsi ya kuishi katika dunia hii. Sasa Baba Rakims Spiritual hayo madini mtu anaweza kuyapata wapi kama sisi wa Kongo mji wa butembo wilaya ya Rughenda karibu na uwanja Wa ndege.

  • @tatianahomekey6211
    @tatianahomekey6211 Рік тому +1

    Assalamualaikum aleikum shukrani maalim Leo nimekuwa wakwanza kusikiliza darasa lako

  • @emmanuelndove-nn1xn
    @emmanuelndove-nn1xn Рік тому +1

    Kaka naomba muongozo wa nyota yangu tafadhali najua nyota yangu ni simba lakini maisha ninayoishi ni shidaaa tupu msaada tafadhali

  • @rahmasalum1317
    @rahmasalum1317 11 місяців тому

    Maongez mingi unaacha mada husika unapoteza muda mtaalamu wetu

  • @josephminja-du7tm
    @josephminja-du7tm Рік тому

    Maalim naipataje hiyo pete ya madini ya risasi

  • @atness
    @atness Рік тому

    Capricorn tunaweza kuvaa risasi pia na garnet kwa pamoja. @ramkis spiritual

    • @atness
      @atness Рік тому

      Nijibu mwalimu

  • @UpendoYMwingamno-lj3hz
    @UpendoYMwingamno-lj3hz 11 місяців тому

    Mm nina nyota ya mbuzi nimezakiwa january 01....Nashukuru nimetambua aina ya madini ninayotakiwa kuvaa ambayo ni risasi....Naomba kujua kito ninachotakiwa kuweka kwenye pete hiyo...

  • @Victor-g8k
    @Victor-g8k Рік тому

    Hey ni jiaya gani raisi yakuita jini atokea saiyo naumiki

  • @KisomaAmani
    @KisomaAmani 3 місяці тому

    Naomba namba yasm yako nataka kuasiliana nawe, naitwa mwema

  • @walkingspringsab-wi9vb
    @walkingspringsab-wi9vb 9 місяців тому

    Jina la madini ya riisasi Kwa kizungu ni lipi

  • @sppsam6341
    @sppsam6341 Рік тому +1

    Maalim nataka kufahamu ni kwanini nikivaa pete ya dhahabu inapotea kwenye mazigira ya kutatatisha nimeshapoteza pete nne za dhahabu yajibu yako yatanisaidia sana kuelewa tatizo

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  Рік тому

      Zaidi hii inategemea na nyota yako... pia kama ni mwanaume basi likuepukalo lina heri na wewe.

    • @sppsam6341
      @sppsam6341 Рік тому

      @@rakimsspiritual nawapataje kwa dua

  • @alvine788
    @alvine788 Рік тому

    Nimependa saana elimu unayoitoa, ningependa kujifunza Zaid, nifanyeje Ili niweze kujifunza elimu hii systematically???

  • @bonychitanda6410
    @bonychitanda6410 6 місяців тому

    Unapatikana wapi shekh

  • @Isakapaulo-sj6ie
    @Isakapaulo-sj6ie Рік тому

    Rakims madini haya naweza pataje kito chake

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  Рік тому

      Inategemea na nyota yako

    • @linajoseph5296
      @linajoseph5296 Рік тому +1

      Kwa hyo mpka ujue nyota yako ndo ujue Pete yako ya bahat?

    • @RoseOdilo
      @RoseOdilo 3 місяці тому

      ​@@linajoseph5296ndiyo

  • @Jay-Ningo
    @Jay-Ningo Рік тому

    Sasa ukitumia pète yoyote inawezekana?

  • @carolinenkatha51
    @carolinenkatha51 11 місяців тому

    Hii pete ntaipata wapi hapa mombasa?

  • @Jay-Ningo
    @Jay-Ningo Рік тому

    Mimi nimiongoni mwaware wanaweza kutumia pète yarisasi nitakupataj?