Ipo wapi tena old school ndugu zangu watanzania na East Africa kwa ujumla ? Nalia mwenzenu hapa nyimbo nzuri yenye ujumbe mzuri sana kwa maisha halisi ya watanzania . Old school is gold, 25 dec 2023 in Tanga.
Ila naamini umeelewa alichomaanisha. Unaeza kuta alichoimba na alichoandika ni tofauti sababu kitambo ukikosea neno kwenye kurekodi ni nadra kurudia kwhyo unaeza kuta aliona haina haja ya kurudia mstari maana utaeleweka
Huuum,shemeji siku hizi.......🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 jama kaachwa akiwa bafuni....full -naked😂😂....yaani mke kadanganya eti kasahau kutia maji kwenye mboga kumbe....mpango kukamilika......a great lesson mno🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nani mwingine yupo nami 3/o4/2019🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
22/10/24 nikiwa pande za chuga naichek hii ngoma ya bizman. Nyimbo za kitambo zilikuwa zinatoa elimu ya kutosha, kuburudsha. Sio za sasa hiv ni ujinga mtupu. Pididy
Haya jamaniii ambao bado tuko hapa 2023 mziki mzuri wakati wote...old is gold 🌟🔥🔥
Nipo hapa💪
@@pendombise5792 Safi kabsa ndugu yangu enjoy
Exactly old is gold ❤
Tupo hapa wahenga vijana
2025 dear❤
2025 still on top🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🔥
❤ one love 🇹🇿
aliyeunda hii beat kaifanyia haki roho yangu. Shairi nzuri, sauti nzuri
Mwenyewe ni producer kajitengenezea hit kama 3 ,4 hv
Kama bado unaskiza nyimbo hii 2024 wewe nmzazi mkongwe❤
daah one of the best producers aisee.Nyimbo ya 2001 kama ckosei but still rocks hitherto.Viva to good music 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Unakumbukumbu nzuri! 2001 hili dude tena nakumbuka nilikuwa standard 2
Anko wangu alikuwa anaipenda hii ngoma akatufanya nasisi kuipenda
Nilikua std1
Hii nyimbo nimeitafuta kwa takriban miaka kumi..... Finally nmeipata😢
Leo tareh 09/05/2019 tumemzika bilioneaaa mengi kweny nyumba yake ya milele kule machame kilimanjaro,,tuliokuja kuskilizaaa hii nyimbo tujuanee✊✊✊✊✊
Mengi ndo yupi huyo?
Pomoja
2024 jmn njoo hp
Ipo wapi tena old school ndugu zangu watanzania na East Africa kwa ujumla ? Nalia mwenzenu hapa nyimbo nzuri yenye ujumbe mzuri sana kwa maisha halisi ya watanzania . Old school is gold, 25 dec 2023 in Tanga.
hii ngoma inanikumbusha zamani kidogo
yani natamani nilie namkumbuka mamdogo alikua akiupenda sana huu wimbo sasa ayupo mamdogo wangu duuu...!!!
Daah hii ngoma inakumbusha kitambo sanaaa saa🙌🙌🙌🙌now 2019
Huu wimbo ndo kwanza leo kuula nafasi maskioni mwangu...ila sijaamini kama utanibamba ivi...saf sana kaka bizman🔥🔥
This song hits differently. Listening in 2023 🇰🇪
"Nikawakuta wameondoka" gonga like hapa kama ni 2019.
Kawakuta alafu wameondoka haaaah kweli hyo kal
Nouma xana.
Ila naamini umeelewa alichomaanisha. Unaeza kuta alichoimba na alichoandika ni tofauti sababu kitambo ukikosea neno kwenye kurekodi ni nadra kurudia kwhyo unaeza kuta aliona haina haja ya kurudia mstari maana utaeleweka
@@mgiyeshebe5422 umeelewa nilichokiandika?.
2019
Daaah hii Ngoma inanikumbasha mbaliiiiii mnooo kweli vya kale ni dhahabu
Bizzman safisana braza ngoma Kali mbaka2020 inahit
Enzi izo niko drs la 3 now nipo chuo bado naipenda ii video
Vaileth Siyame hongera mama kwa mafanikio
Kama mimi
dah vaileth hata
m nakumbuka mbal sana
Dah nyimbo inamaadili kweli kweli, tumewamis sana Hawa wasanii wa enzi hizo. Mpaka Leo 20-5-2019 bado naikubali hii nyimbo
Good song brother appreciated sana keep Head up
enzi ambazo wanajua kuimba kwa kunung"unika.... safi sana bizzman
Daah wallah hii ngoma inahisia Kali sana aisee
Nmeimiss hii nyimbo leo... 7/7/2023
Bravo ❤
Leo nimeukumbuka
Nimeimiss tarehe20/8/2023💪
@@pendombise5792 ina nn 20-8?
2023 mpaka 2050 gongeni likes hapa.
Oya kama hii songs ya biz Mani kama bado unaikubali huu mwaka 2024 gonga like kama zote
Nimekutana nangoma hii nahic machozi kutokwa marehemu kaka angu alikuwa wakikosana namkewe anaanzaimba wimbo huu wa bzziman R. I. P kwakakaangu maiko
Pole naye alipangiwa ivo kua jarbu lake
Bizman fanya mazoezi kidogo tumbo hilo lipungue kidogo yalokupata si haki, lakini wapo wanaume washunzi zaidi!
Lucy Mashua 😆😆😆
Sio ya leo hiyooo bana kitambooo sana
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Wewe bado upo hai kweli
Old is gold kweli...love from Rwanda
daaaaah m nakumbuk mbali sana jjmn
Yan hapa nilikua bungoma malakisi Kenya duuh inanikumbusha mbali niliipenda mno
Tz love song big up all the way from Kenya. Still watching 20230 September ❤❤❤
Kama upo hai mpka Leo tujuane hapa ni Jambo la kumshukuru mungu sema AMEEN 2022 ✓✓✓✓✓✓
Amen Asante Mwenyezi Mungu kwa uhai❤
Ameeeeen
Huuum,shemeji siku hizi.......🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 jama kaachwa akiwa bafuni....full -naked😂😂....yaani mke kadanganya eti kasahau kutia maji kwenye mboga kumbe....mpango kukamilika......a great lesson mno🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nani mwingine yupo nami 3/o4/2019🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mimi mwenzenu na like hebu gonga like hapa
dah old skul tamu banaaaa... kama unakubaliana nami gonga likees za kutosha
Kipnd inatoka niko darasa la3 ad leo ninafamilia yangu daah bd ngoma kali nakumbuka mbali sana😢
Daah izii enzi bana, mziki ndio ulikua bana
bonge moja la ngoma kwel zaman wasanii ndy walikuwa wanaimba
This is 2-4-2019 am listening to this music
hii ndo aina ya ngoma zinazoishi ~2024
Hawa jamaa nawakubali sana , hakuna wakuwaweza Hawa jamaa wa enzi hizo
Nafrah sana kuckilhz nyimbo za miaka io daaah jamaa walijua san
🎉🎉🎉🎉🎉 nyimbo Kali sana
Sweet melody! Great artist
You must be a legend yourself
A
22/10/24 nikiwa pande za chuga naichek hii ngoma ya bizman. Nyimbo za kitambo zilikuwa zinatoa elimu ya kutosha, kuburudsha. Sio za sasa hiv ni ujinga mtupu. Pididy
kwa sasa hivi tunasema hainaga ushemeji ...tunakulaaaaa
Harmo
2019 bado naikubali
Imenikumbusha mbal sana bizzman ulitisha sana mzee
Duu naipenda sana 2019 kama tuko pamoj gonga ning
When am heartbroken i listen to this💔💔💔💔
Big Song hii ngoma inanikumbusha mbali sana
Wale tuliokuwa olevel gongeni like zakutosha.
Huyu jamaa ni kama mtoto wa kikwete .aisee ni Miraji kikwete
Wapo fresh wasanii wa zaman hadi raha
Hii ngoma ilkuw inapigwa sana radio one enzi hzo nlkuw naikubal sn
Mzee wa jambo kwenye kipindi laza kumi za bongo na abdara mupawa
@@hossamhasan6602 agiza soda mzee
Naiskiliza 2024. Nimekuw sikumbuki jina lake ndoman nimeikosa kwa mda
this video is so descriptive and so freaking funny...kweli umenena ndugu..haha
Wah
2024 mpo jamani🔥🔥🔥
Hili song noma sana, km na ww unalikubali gonga hapa
Dah kweli kitambo Sana Yan paka tsht ya G.unit ndani.
laah jamani hiyi song nili ikubali sana hadi sasa naiyona 25 January 2018
yani we acha tu nouma Sana zuhura
Hahahaaa
Zuhura Hassan ulikutwa na kitu gani
kama unaielewa hi ngoma nipe laik
Nan anaikubali kama Mimi hadi Leo 2019 .
Gonga like tujuane
Nan kasikia Nawaomba tuwe na mapenzi ya kweli gonga like za kushatoo
At moment still hit, with a strong message
Daah enzi hizo raha sana wadau
mimi mwenzenu
sina hata la kufanya
naangaika sana
bigg boss bizzman
duuuu tambo sanaaaa from kigoma tz
02 July 2019 nasikiliza hii ngoma gonga like kama bado unatamani Bizman arudi kwenye game!
due jamani kazi Kali san
Nyimbo ya mapenz lakin video na maneno vyote vina maadili hata kifamillia unauangalia. Wasaniii wa zamani walikuwa na upeo mkubwa wa maadili
Tena na sauti zenye mvuto
Ni kweli kbsa
gooooooodd
Kakangu pôle Sana ila sitambui Vip unaweza ukamuowa mwanamke bila huhui Kaka zake zote?wee mulikutania balabalani😅😅kwa hio pole
naiona dodoma kwa mbaali enzi hzio hata cjui km nitkujaga kuish kwny huu mji😅😅😅
Za zamani zinaishi ,hiz ndo nyimbo zenyewe👌👌👌👌🔥🔥🔥🔥2020
Kabisa
ni unyama sana hizi ngoma
Niko hapa Leo
Daaaah aisee real life
Ngoma zenye ujumbe sana zaman hyoo
Kali sana hii
Memories of East Africa fm brought me here
daah yani bonge la ngoma
12/5/2022 still watching daaah baada ya miaka 21 ila bado iko 🔥🔥🔥🔥🔥
Massage mbele.. Safi Sana.. bck in dayz
2023 niko naskiliza hii ngoma🔥🔥 kmaunaikubali hii ngoma gonga like
Jmni huu wimbo unanikumbusha rafiki yangu kipenz mohd juma tunarud shule darasa LA tatu
Duuuh..!! true song never die👍
Nani mwingine bado anaangalia wimbo huu mkali December 2022.
👇
mimi hapa
@@bukavusongs6012 👏
Leo talee 27 mwezi 2 Mwaka 2023 kama Tupo pamoja Gonga Leki yako hapa
Nzur sana jaman unajiw3za mw3nyew japo bonge😆
Dah nakumbuka nilikuwa darasa la pili huu wimbo nilikuwa nacheka pale alipokuwa chooni ananing'inia anaita mishi mishi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leo tarehe 30/05/2019 gonga like kama unamkubali bzman
Daaaaaah wakati haurudi nyuma
2023...Anyone listening from +254 press that like!..this is gold
Pore sana kaka
2024/5/5 hawa wasanii wa miaka hiyo walibamba sana ingawa tumewaangusha kwakua hawaimbi matusi kama wa sasa. Ila chakale ni zahabu.
Nyimbo inauzunisha sana ayo mambo yanatokea sana kwa wanawake gonga like kwa sanaaaa
Song hili linanikumbusha wakati nipo na na wini jamani wanawake nyie mungu anawaona
Beats km hz nowadays sizipati kwel old is gold
Nice song mpaka Leo hii tar 8/10/2018 bado hii ngoma inatoa funzo kwa jamii
Nani kaja hapa baada ya kutizama origino comedy mpoki
Wahenga wenzangu mpoo😁
Unforgettable hit.. si semi kitu
Old school 2022 like hapa ili twende sawa
Tarehe 4 mwez wa 10 mwaka 2019 naichek video hii weka like twende sawa
Ukija 2025 like hii comment nirudi hapa kuangalia tena thanks
Fanya mazoez ndo maana kakutoroka jaman hiii nyimbo naipende enz hizo