Rasmi CHADEMA Wapuliza Kipenga Uchaguzi Ngazi ya Taifa, Mnyika Awataja Baadhi ya Watia Nia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 51

  • @johnstambuli5275
    @johnstambuli5275 2 години тому +3

    John mnyika uko vzur kaka

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 4 години тому +5

    Tunamuombea mh. Lisu aweze kushinda ili tuweze kuwazima midomo waliokuwa wanasema chaðema hakuna democracy, naamini haki itatendeka kwenye uchaguzi.

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 4 години тому +3

      Na akishindwa pia mkubali msianze kulialia

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 2 години тому +3

    Kura yangu nampatia tundu lissu

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 4 години тому +3

    Tuache Tabia Hii ya kutojiamini demokrasia I apotendewa Kazi na viongozi kwa kuwa neno demokrasia yaiwezi kujiongoza yenye ila ni watu wNa

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 2 години тому +2

    Kuwepo na ukomo wa uongozi kwa kira ngazi tuonyeshe ukomavu wetu wa democracies ndani ya chama chetu cdm tusiubiri democracies bird kua mfano ndani ya chama tusiwaangariee kina msigwa piter wapo wengi wasipewe nafasi watu wa aina ya piter msigwa mungu ibariki cdm wabariki viongozi wake

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 2 години тому +1

    Mbona hiyo ada ya fomu ukishaidaka nafasi tu mwezi zinarudi mara moja.

  • @billylema6540
    @billylema6540 4 години тому +2

    Sawa kabisa demokrasia ichukue mkondo wake

  • @AbubakariSuleiman
    @AbubakariSuleiman 49 хвилин тому

    Mnyika uko vzr sn majb yako yko vzr

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 4 години тому +3

    Lisu fanya mapinduzuzi tu kwenye kura mboe ataiba kura

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 2 години тому

      Inaelekea wewe hukumsikiliza Lisu alisema mapinduzi hayana nafasi CDM

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 3 години тому +2

    Kwa za lissu kavunja katiba kukitambulisha kabla ya utarTibu wa kuchukua form, ameobaka demokrasia wataalam Mnasemahe,siasa tia chimvi tia chimvi hivi Mwenyekiti anaerza kukaa miaka 20 leo anapondwa tu kirahisi kwa .ila desturi ya siasa gani labda siasa ya Mapinduzi

    • @khalfannahayimbekwa1440
      @khalfannahayimbekwa1440 3 години тому

      Hivi tunataka nasisi chadema tuwe na uo gozi km wa CCM tunakarishwa kuwa ni chama cha Mapindizi,ukiwauliza hiki ni cha Mapindizi ilimpindua Nani kwani Mapindizi yanaruhusiwa Leo hii duniani,inabidi uchaguzi 2025 inisalimishe tu kwa wapiga kurra wamechaka na Mapindulizi,

    • @khalfannahayimbekwa1440
      @khalfannahayimbekwa1440 3 години тому

      Inisalimishe

    • @khalfannahayimbekwa1440
      @khalfannahayimbekwa1440 3 години тому

      Inisalimishe kwa wapiga kurra

    • @khalfannahayimbekwa1440
      @khalfannahayimbekwa1440 3 години тому

      Wazee wa CCM mbona hamwafafanulii wapiga kurra Ina Maana tulichikua Mapindizi ya Zanzibar kujiongoza Tanganyika kwa Maana nyingine timemezea na Mapindizi ya Zanzibar,

    • @khalfannahayimbekwa1440
      @khalfannahayimbekwa1440 3 години тому

      Inisalimishe

  • @PhillyAmbilikile
    @PhillyAmbilikile 4 хвилини тому

    Lisu viva

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 2 години тому +3

    Uchaguzi huu mbowe asigombee tena labda cheo kingine akigombea na kushinda nahamia wazalendo itakua democracies cdm akuna kabisa

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 Годину тому +1

      Ungeondoka mapema kabisaa maana mbowe anashinda Bila wasi wasi wowote

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Годину тому

      Karibu

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 Годину тому

      Mwenyewe naunga mkono, mboe astep down hana jipya

    • @ceciliamagalabajimmy4391
      @ceciliamagalabajimmy4391 32 хвилини тому

      Wewe ndiye utakayetuharibia , inafaa uhame mapema, utarudi baada ya uchaguzi ili tujie tuna popo wangapi na ndege wangapi. Msigwa kahama kwa kufuata ushabiki sasa anajuta. Huko alikohamia kila wakiteuwa yeye hayumo hata utendaji wa kata tu hakuna.

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 Годину тому

    Kumbe ni haki Wala siyo kosa kumchafua mgombea mwenzio pale unapo tia nia yakugombea. Ruksa hiyo nayo safi sana lakini kumbukeni kuwa huyu anaye chafuliwa anawapambe wake, kuruhusu kufanya hivyo ni kuruhusu mvurugano wa amani Katika Chama siku ya uteuzi wa wagombea na pia huko ni kurusuhu mpasuko na mvurugano wa kisiasa kikanda ambao utapelekea machafuko ya kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama. Nawashauri fanyeni marekebisho haraka Kwenye Kanuni za watia nia maana hilo ni bomu linalo Subiri kulipuka. (Wekeni katazo kwa mtu yeyote anapo tanagaza nia ya kugombea nafasi yoyote asitokee mtu kumsema vibaya au kumchafua mtu au mgombea mwenzie maana kufanya hivyo ni kufanya kampeni kabla ya mda ambalo ni kosa.

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 3 години тому +1

    Nfio maana leo hii karibu mkuu Natangaza njisi ya kuwapta viongozi hii ni demokrasia sasa mtu aleta Mawazo yake tu ambaye atandwa na mapenzi kw mgombea alafu anasema demokrSia ikifuatwa eti tundu lissu atashinda asiposhinda kuwa jana demokrasia,

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 4 години тому +1

    Tuwaamini wana miongozo Sahihi ya kwenda hatua kw hatua ndiom

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola 2 години тому +1

    Lisu apewe chama nchi ichangamke

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 26 хвилин тому

      Siyo nchi ichangamke, tuone utawala wake Kwa CHADEMA.

  • @johansonmonyo3898
    @johansonmonyo3898 2 години тому

    ✌️💪

  • @EvanceDamdam
    @EvanceDamdam 2 години тому

    Hv uchaguz wenu unafanyika Kila baada ya miaka mingap

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 2 години тому

    TUMESKIA KAULI HAMTABUI VIONGOZI KUTOKA ZANZIBAR VIPI LEO MNAWAPA FOMU?

  • @PhillyAmbilikile
    @PhillyAmbilikile 52 секунди тому

    Kupitia udhaifu wa chadema nimekubali ccm hakuna wa kumtoa madarakani chadema hakuna demokrasia hata mkipewa nchi Bado mtataka kutawala milele

  • @wilfredmoshi6507
    @wilfredmoshi6507 3 години тому

    Chadema onyesheni democrasia ya hali ya juu na dunia iamini mnachopigania. Kuwe na uwazi huo uchaguzi. Sio mlalamike serikali haina uwazi alafu nyie mfanye tofauti

  • @MohamedKaburu
    @MohamedKaburu 3 години тому

    Pameanza kuchangamka

  • @thangalethangale
    @thangalethangale 3 години тому

    Mwenye Sera nzuri ndiye atakayeshinda

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 години тому

      Mwl Nyerere kwa la sura alitwambia tukanywe naye chai. Sura si sifa.

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 30 хвилин тому

      AWE NA PHD YA MATUSI NA UWONGO 😢😢😢😢😢😢APEWE BILA KIPINGAMIZI

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 4 години тому +1

    Na Mimi nakuliza swali mikoani tunavhukulia form wapi?

  • @franklenard3186
    @franklenard3186 3 години тому

    Mmekwisha

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 4 години тому +1

    DEMOKRASIA IKIFATWA LISSU TAALI MWENYEKITI