Lisu uyo aliyeenda kuivuruga Tls ata mimi nishangaa kua chama cha kupana mabavu na serekali .ndie et anataka tumpe uwenyekiti chadama akabeligijiwe uko
Katiba mpya nilazima kwaajili ya kutatua mambo ya msingi kama uchaguzi uwe huru na haki wananchi wawe wanachagua viongozi wanao wataka haikubaliki mambo yakuengua wizi wakura viongozi wanaumizwa mauwaji tumefika pabaya sana
Waziri angetoa different cases and examples ambayo TLS iliact as activists imebase upande ule. His explanations are too general. So speech yake ni kama story tu.
Hapo anamaanisha ni busara za pande mbili zikisigina kukaa chini na kuzungumza.. pasipo mihemuko isiyo ya lazima.. kwa ustawi wa jamii na nchi kwa ujumla...

💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
mwakabusi anajiona anajua sheria kuliko wanasheria wote tanzania!!
He spoke very wisely... hongera sana mh Waziri
mwakabusi anataka kukifanya chama cha kisiasa!!
TLS wamekua wanaharakati wa upinzani
Kinyume Cha wanaharakati ni wafu. Basi mnapenda wawe wafu. Law society zote duniani ziko active.
Umeongea kwa hekima ya juuu sana wenye akili tumeelewa lakini alikalia kiti Cha TLS anataka umaarufu wa kisiasa akatie nia ya ubunge mbeya
Tls imekuwa kama chama cha siasa
Yeah nimeona hilo pia.
Na rais wake pia ameona hilo.
kuna siku ilibidi aseme anasimama kama mwanaharakati sio TLS.
Nadhan mh umeongea vizuri ila kuna baadhi ya wana sheria vichwa vyao hakuna tafaiti na matngo pori
Mwabukusi piga kazi gari Lenui hongo
Lisu uyo aliyeenda kuivuruga Tls ata mimi nishangaa kua chama cha kupana mabavu na serekali .ndie et anataka tumpe uwenyekiti chadama akabeligijiwe uko
Afadhali umewaambia ukweli.Wanafanya kazi za vyama vya upinzani
Kumbe mh Ndumbaro yuko very wise asee
Tumechoka na uchawa wenu, mbna bunge limearbika mmekaa kmya ila tls mnafungua midomo .
Huyo mwambukusi ana mihemuko sana anahisi hicho ni chama cha siasa Hana busara kabisa katika matamshi yake
Uwepo wa watu kama wewe ndio unaleta ulazima wa kuwa na watu kama Mwabukuzu
Wewe ni mpumbavu sana
Katiba mpya nilazima kwaajili ya kutatua mambo ya msingi kama uchaguzi uwe huru na haki wananchi wawe wanachagua viongozi wanao wataka haikubaliki mambo yakuengua wizi wakura viongozi wanaumizwa mauwaji tumefika pabaya sana
Miminimekuelewa waziri kuwanyinyi hamtaki mwabukusi asemeukweri kuhusu serekari basi kuweni waukweri simamieni hakizote zawatanzania Sheria za kazi mbona mmezificha hamtaki hatakuzitaja. Watuwanafanyakazi biramafaoyoyote wanafukunzwakazi kamawatumwa nahakuna serekari wara mwanasheria wakumtetea huyu mtanzania anaezurumiwa hakizake acheni mwabukusi afanyekazi iposiku atatusemea nasisi watumwa wamatajiri
Section 4 that is all ndumbaro
What is wrong with activism
Waziri angetoa different cases and examples ambayo TLS iliact as activists imebase upande ule. His explanations are too general. So speech yake ni kama story tu.
Nchi haiendeshwi kw sheria tu ila kwa mambo mengi" hayo mengi ni yepi?????
Kama nchi haiongozwi kwa Sheria Sheria zimewekwa zanini mbona sijakuelewa
Haziongozwi na sheria peke yake muelewe wazuri.. au wewe ndio wale wale.. d mbili😂😂
Hapo anamaanisha ni busara za pande mbili zikisigina kukaa chini na kuzungumza.. pasipo mihemuko isiyo ya lazima.. kwa ustawi wa jamii na nchi kwa ujumla...
Sio kila kila kitu.. unaenda Kwa media.. kuongea utumbo... Ambao pengine ungesoviwa kwa table discussion... Tuuuu
Mkutane wakati watu wanakufa
Kwa hio unawatisha tls