WAZIRI KABUDI AAGIZA SIMBA SC KULIPA VITI 256 WALIVYOHARIBU MASHABIKI WAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 212

  • @emmanuellisso4346
    @emmanuellisso4346 15 годин тому +31

    Uongozi wetu watuambie ni sh ngapi tutachanga bile shida,this is simba

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t 14 годин тому

      Wew ujielew

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n 14 годин тому +1

      😂😂😂😂😂Kwa dharau

    • @fakihassan9021
      @fakihassan9021 14 годин тому

      Ww utalipa au unasematu maisha yanyee ma gumu

    • @abdallahdullah8642
      @abdallahdullah8642 12 годин тому +2

      Kuchanga zikalipwa haifuti doa lililotiwa km taifa ni sawa na mhalifu kutumikia adhabu haifuti rekodi ya uhalifu wake kwa kutumikia adhabu yke.

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t 11 годин тому

      @@emmanuellisso4346 Mjinga kwel wew we mwenyew unakula kwa kengeree kama jera afu unashabia ite waseme shingpa tutalip Acha unjinga unaijua serikali wew mnaweza mkafungiwa kuchez apo Simba kwa mdaa acha ujinga wew

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 14 годин тому +11

    Kwani walioharibu Ni Wana Simba??? ,watupe no YA kulipa tutachangia .

    • @sentalalikupija4819
      @sentalalikupija4819 7 годин тому

      Washabiki tujaribu kujizuia kuingia kwenye vitendo kama hivyo kwani tunarudisha nyuma juhudi za serikali katika kurudisha miundo mbinu ya uwanja wa Taifa,hata kama tunauwezo wa kulipia gharama

    • @benimlisa6056
      @benimlisa6056 5 годин тому

      Kwani kwenye video huoni??

  • @hamisiselemani4639
    @hamisiselemani4639 10 годин тому +3

    Washaanz kuleta usimba na uyanga refa mwenyew kaleta uzalendo kwa Tanzania🇹🇿🇹🇿 alafu italuwa ww ambae hujuwi lolote kuhusu mpira?????

  • @emmanueljohn7
    @emmanueljohn7 15 годин тому +6

    Ukiangalia kwa makini Police walizidiwa Nguvu na fujo za Waarabu so kuna ubaya Gani mashabiki wa Simba wakawa Police jamii maana Waarabu live tuliona wakiwazidi Nguvu Walinzi na kuvuka mpaka na kuanza kurusha viti kwa Mashabiki wa Simba Simba waliona Sio sawa kuletewa Dharahu nyumbani

    • @admirabisikiduduye1516
      @admirabisikiduduye1516 13 годин тому

      Sio police , Ni security guard, uwezo wao mdogo, Bora hata Suma JKT

  • @HellenFrank-v1s
    @HellenFrank-v1s 14 годин тому +6

    Shilingi ngapi jumla tupewe LIPA Number

  • @YourMoor-px1rd
    @YourMoor-px1rd 4 години тому

    MH.KABUDI USIIHUKUMU TU SIMBA KUWALIPISHA DENI LA KUVUNJA VITI HIYO SIYO HAKI KUNA WENGINE WALIOFANYA HIVYO WALA SIYO WASHABIDI WA SIMBA NI KUTAKA KUIPAKAZIA TU TIMU YA SIMBA

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 15 годин тому +19

    Kazi ya kwanza ya waziri mpya ni kudili na timu ya matahira😂😂

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 6 годин тому +1

    Ni Shilingi ngapi tuanze kuchangia. Just "common sense ' ni yupi aliyekuwa na hasira na chuki, aliyeshinda mchezo au aliyefungwa na kupoteza mchezo??? " hi itakusaidia mbele ya safari "

  • @SaluMaige-m1v
    @SaluMaige-m1v 10 годин тому +3

    Kwani mgomvi ni simba au waarabu wizara ingepeleka malalamiko CAF, harafu CAF ingeiadhibu hiyo timu kwa kulipa gharama ya uhalibifu huo mnawaonea simba bure

    • @abdallahdullah8642
      @abdallahdullah8642 8 годин тому

      @@SaluMaige-m1v hawaonewi c wamelipiza kwani wangetulia wangepungua nn mbona yanga walipopigwa makofi Congo hawakulipiza wkt wengne wamerud bila viatu miguuni.

    • @EmmanuelLundindi
      @EmmanuelLundindi 7 годин тому

      Lazima walipe jambo la hovyo kabsa

  • @EliasDaniel-mi4xs
    @EliasDaniel-mi4xs 14 годин тому +7

    Daah asa hapa unakutana na adhabu ya kulipa viti na fine ndogo ndogo na jee siku mkienda kwao make team yenyewee imejichokea itawaanzishia fujo huko kwao

  • @johnsunje
    @johnsunje 12 годин тому +3

    Yaani, Kushinda ashinde simba, halafu VURUGU NA KUNG'OA VITI SIMBA!!!!! HIYO KWELI INAINGIA AKILINI AU NI KUJITOA UFAHAMU KWA JAMBO AMBALO LIKO WAZI?

    • @hamisiselemani4639
      @hamisiselemani4639 10 годин тому

      Naona sasa wanatafuta kiki kupitia Simba na kuleta ushabiki kwa swala ambalo liko wazi kabisa Simba ndo Kashinda kwann wavunje viti? ..kweli ndo maana muarabu alitutawala maana naona wa bongo washaanz kujipendekeza kwa waarabu basi nendeni mupeleke vijambio vyenu... wao ndo ilitakiwa washitakiwe kwa kuleta fujo baada ya kufungwa

  • @saidmikota4138
    @saidmikota4138 5 годин тому

    MHESHIMIWA KABUDI,,,MI HASA SIKUPENDA UJE KWA WIZARA HII....HUKU KUNA WASEMA CHICHOTE...WATAKUVUNJIA HESHIMA BURE....UNGEBAKI HUKO KWA SHEIA. AU ARDHI....

  • @LucasRuben-x1t
    @LucasRuben-x1t 14 годин тому +3

    Kwan viti wameharibu simba au kwakuwa walikuwa nyumban kuna wagen lakin pia kulikuwa ma mashabiki waina nyingi kama walishindwa kutoa viti siku ya maumivu ya kayoko waje watoe walipo shinda mechi wao tena akili itumike mihemko iwe pemben

  • @maselestephano
    @maselestephano 14 годин тому +4

    Adhabu ya mpira anatoa waziri

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 15 годин тому +5

    Mimi naomba hivyo viti vilivyotolewa nifungue banda la mpira.

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 10 годин тому +1

    Taarifa ya polisi na Barua ya Waziri vinakinzana. Taarifa ya polisi ilikaa vizuri lkn waraka wa waziri jinsi ulivyoandikwa umeihukumu Simba SC na kuichongea CAF. Ni waraka unaoonesha kugubikwa na jazba kuliko busara! Aidha waraka hauoneshi kutoa uzito unaostahili kwa matukio yote yasiyo ya kimichezo yaliyojitokeza ktk mechi husika, ambapo wageni ndio chanzo chake. Inashangaza kuona waraka ukizungumzia kung'olewa viti tu bila kuzungumzia na kukemea vitendo vilivyofanywa na mashabiki wa timu ya wageni na kuvamiwa kwa waamuzi kwa nia ovu na wachezaji na viongozi wa timu ya wageni. Waraka wa waziri hauja 'balance story' hivyo kutoitendea haki Simba SC na TFF. Utulivu unahitajika sana yanapotokea mambo mazito! Mungu ibariki Tanzania!

    • @Stevepro-yx7xu
      @Stevepro-yx7xu 8 годин тому

      Ndugu hapo nadhan huwenda wewe ni shabiki wa simba. Ila sina hakika. Lakini ukiangalia barua ya polisi. Ilikuwa imeegenea upande mmoja na wakati hakukuwa na uchunguzi wowote kuhakikisha kwamba simba hawajafanya tukio haiwezekan tukio limetokea muda mchache wanatoa taarifa kamili je uchunguzi umefanyika sangap. ? Na swala la wizala kutoa hiyo taarifa na kutoa hayo maelekezo kwasababu moja tu ukiangalia video zinazo sambaa zinaonyesha simba wameshiriki kwa namna moja ama NYINGINE kwasababu walionekana wamebeba viti. Sasa unafikili wameonewa? Nikweli vulugu walianzisha walabu tatz lilikuja mashabiki wa simba nao wakajibu hata kama hawakung,oa walikuwa wanaludisha mashambuliz kwa viti vilevile lakin walishiliki. Hicho hasa ndicho wizala inaangalia na ikumbukwe mashabiki wa timu pinzan walikuwa wachache sana inawez isilingane na idan ya ualibifu kwahyo mi nadhan tungoje tff watakuja na taarifa gani. Lakin ukiangalia video nyingi inaonekana simba wameshilik kutoa viti

  • @sentalalikupija4819
    @sentalalikupija4819 7 годин тому

    Mashabiki wote tujitajidi kudhibiti hisia zetu tuwapo kwenye hali kama hiyo ili kuisaidia timu yetu kutoingila kwenye gharama zisizo za lazima

  • @icclcharters3389
    @icclcharters3389 12 годин тому +1

    Tatizo hapa hamjalijua,Hapa bwana mikeka imechanika kabla jua kuzama na hiyo ndiyo shida..Haya sawa,Tutalipa japo hii ni ishara ya kubagua wazawa na kuthamini wageni maana aliefungwa na kusababisha vurugu ni mgeni na si mzawa.

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 11 годин тому

      Nikweli kabisa wagen ndio waribif. Na wagomvi

    • @CarolinePeter-jn1ld
      @CarolinePeter-jn1ld 9 годин тому

      Waseme tu ni kiasi gani kisha watuanbie waone kama tutashindwa

    • @CarolinePeter-jn1ld
      @CarolinePeter-jn1ld 9 годин тому

      Najiuliza ivi wangefunga wao wangezungumzia muda kwenda au ndiyo kunya anye kunya akinya kunya kanya!

  • @Dibawanjama
    @Dibawanjama 12 годин тому +1

    Tutalipa watuchangishe sisi ndio simba popo anaunguruma

  • @AbubakarPatrick-q1z
    @AbubakarPatrick-q1z 7 годин тому

    Sisi tutalipa viti vivyo lkn hatutaendelea kuwa wanyonge kwa waarabu walichotaka kutufanyia

  • @CarolinePeter-jn1ld
    @CarolinePeter-jn1ld 9 годин тому +1

    Mimi naona wangemng'oa jino au jicho mmoja wapo ili sikunyingine wakicheza kwetu wawe na ADABU

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 12 годин тому +1

    Safiiiiiiiii safi sanaaaaa wahuni hao makolo mnang'oa viti kodi zetu ingekua ni uwanja wa Mudy mngefanya hayo

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 8 годин тому

    UTOPOLO NDO WANAFURAHI SIMBA YENYE POINT 6 KULIPA FAINI WAKATI WAO WANAPOINT 1 MZUNGUKO MZIMA

  • @kadegeasilitv-zt9bv
    @kadegeasilitv-zt9bv 7 годин тому

    Tutachanga mashambiki Teni teni

  • @HussenErick-k4k
    @HussenErick-k4k 11 годин тому

    Watavilipa lakini fujo itakayotokea tena ni kutembeza mkono na nilazima wauwe

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld 3 години тому

    Wakitaka hata vyote watoe tutanunua vipya tuweke hatushindwi kulipa yani waarabu watutambie kwetu? Sio kweli

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 13 годин тому +1

    Hat mashabik wa simb tyu tunauwez wakulip hat zaidi ila iwe fundish kwa hiz tim gen kuj kwet na kuaz fujo wao walia sis twamalizia

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 8 годин тому

    Msomali yupo kimyaa lakini ingekuwa yanga

  • @jumampili7187
    @jumampili7187 8 годин тому

    Siamini kama selekali imeshindwa kukamata watu Hao c kweli ikiwa simba inamajukum mengi mno wapo watu awataki kuiona simba kabisa bila simba akuna ubora kwy lingi hii na wachezaji wa nje upenda kucheza ni ubora wa vilab simba inawakilisha nchi ya 7 barani Africa amjui

  • @MrmanKaskas-q1t
    @MrmanKaskas-q1t 6 годин тому

    Walipe tu

  • @SAUDAMOHAMMED-l9v
    @SAUDAMOHAMMED-l9v 8 годин тому

    Aah watanzania kwwli mmenunuliwa
    Yaan badala yakuangaria walofanya fujo mnawashtum wengine

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 12 годин тому

    Safi mno Na waanze kushughulikiwa wote wanaosimama juu ya viti Na sheria hizi zichukuliwe kwenye sehemu zote kulipokuwa Na miundo mbinu ya umma ! Safi sana Prof Kabudi

  • @patymoon8044
    @patymoon8044 7 годин тому

    Simba kucheza bila mashabiki 😢

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 13 годин тому +1

    Atuogop fujo hat uko kwao simb wanakutanag na makashikash san kweny nchi za watu mpk mabom ya machoz walishawah kupigiw itakuw fuj hiz kwend wataend mung atawalind na kufung watafung mtoamin

  • @sera.8bomani502
    @sera.8bomani502 9 годин тому

    Haingii akilîini .. timu imeshinda mashabiki wanakasirika na kuvunja viti.. wapi na wapi??… wachunguze!

  • @jumampili7187
    @jumampili7187 9 годин тому

    Tawi la yanga na tv yake wamevishwa Jez za simba hukum bila upelelezi sio kweli kudumaza michezo nchini

  • @kassimhussain5034
    @kassimhussain5034 10 годин тому

    Safi sana kwahatua waliochukuliwa hawa madunduka maana akili hawana pamoja naviongozi wao iwe fundisho

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban 8 годин тому

    Ni washabili wa utopolo walivaa jezi za simba

  • @BerthaMichealPhiri
    @BerthaMichealPhiri 5 годин тому

    Nitanunua zote peke yangu

  • @taitatimotheo3075
    @taitatimotheo3075 8 годин тому

    Tutalipa tu hamna shida

  • @EdwinYavan
    @EdwinYavan 15 годин тому +2

    Mpumbavu nan alianzisha vurugu mbona sie tunakoswa uzalendo

    • @SAUDAMOHAMMED-l9v
      @SAUDAMOHAMMED-l9v 8 годин тому

      Uko sahihi kaka watanzania hatutoendelea wanawapa vichwa walofanya fujo

  • @kidumehassan1536
    @kidumehassan1536 11 годин тому

    So waziri anahalalisha wageni kufanya fujo? Then wenyeji wabebe msalaba hii sio sahihi hata kidogo, uwezi kushinda mechi kisha ung'oe viti, hasira za nini hii inafikilisha sana.

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 12 годин тому

    Hongera mh waziri kwa hatua iyo iwe fundisho kwa mashabiki wa timu yyte itakayoiga au kujarib kuharibu miundombinu ya taifa. Tusioneane haya wala pacwe na aibu ktk kulinda Mali za Uma.

  • @ThobiasMasabire
    @ThobiasMasabire 10 годин тому

    Kabudi msiogope kusema ukweri walio anzisha vurungu ni wageni, sio washabiki wasimba mbona mnawaogipa wageni

  • @HussenErick-k4k
    @HussenErick-k4k 11 годин тому

    Vit tutalipa na wakitaka waseme tuchange io hela sawa tu

  • @jaynationtz2100
    @jaynationtz2100 10 годин тому

    Huyu wazili anavuta bangii sio buree hatulipiiiiiiiiiiiiii nyoko zake nipo hapa

  • @hapaupdates9277
    @hapaupdates9277 9 годин тому

    ACHENI UJINGA SIMBA

  • @Oten_jr
    @Oten_jr 13 годин тому +1

    Sisi siyo wa kuonewa kwetu walianza tumemaliza kosa liko wapi

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 12 годин тому

      Kosa kung'oa viti

    • @DennisFandi
      @DennisFandi 12 годин тому +1

      Shida hakukuwa na mawe😂 wangefurahi waarabu shenzi type

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 12 годин тому

    Mpira ni mchezo wa wahuni sijawahi kuona mpira wa wastaarabu usinibishie ukibisha unatafuta bwana kwa nguvu

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 15 годин тому +2

    Wakwanza mie jmn naomben mauwa yangu🎉 pia nataka nitoe ushaur wa mashabik wenzangu tuachen ushamba 😢 hii niaibu walah

  • @khalifamaliki4179
    @khalifamaliki4179 9 годин тому

    wazili ajitambuwi kwani mwenye mamlaka ya kuwambiya simba kulipa ni caf siyo selekali wa tff

  • @MussaAlly-p8i
    @MussaAlly-p8i 14 годин тому +1

    Walio vunja viti sio simba niwaarabu

  • @VincentyohanaYohana
    @VincentyohanaYohana 7 годин тому

    Kaka uje mkoa wa LINDI pia 🙏

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 12 годин тому

    Serikali hacheni ujinga viti waalibu wahalabu mualipishe watu wengne kamateni na washabiki wa kihalabu viti waalibu wao kulipa turipe sisi aita wenzekana mnawaogopa

  • @abdulhakeem959
    @abdulhakeem959 13 годин тому

    Kwa hiyo simba ndo ilikwenda hadi kwa mashabiki pinzani kung'oa viti.mbona imetumika busara vinyu

  • @JustinKachewa
    @JustinKachewa 9 годин тому

    Ccm bwana wapeni vyeo ivyo vijana uyumzee kaesha jichokea tu ajafanya uchungu watukio anawaukumu simba vip uyu mzee yanga nini

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 14 годин тому +1

    Fujo kafanya mwingine kulipa alipe mwingine haya twende kaz.

  • @HussenErick-k4k
    @HussenErick-k4k 11 годин тому

    Walabu wanatuzoea saana mpaka nawengine watatuon sisi wapole ila hata hivyo tuliwasamehe kwa kua bado mechi ya huko kwao na ninaomba tukienda kwao tuende na ma bodgard 60 wanatosha

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 12 годин тому +2

    Bora simba wajinga wapo wengi sana washazoea kung'oa viti zamani walifanya kama hivi

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 11 годин тому

    Ni pesa ya chai tu hiyo tutalipa

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 10 годин тому

    Hy wazir atakuwa shabiki wa ..👀😳

  • @sabrysharara2343
    @sabrysharara2343 13 годин тому +1

    Timu haina Nidhamu na washabiki Hawaijui sports inakuwakuwaje unaharibu na Fujo zisizo na mpango na wakati huu ndio uwanja unaouutumia na kuitwA uwanja wa nyumbani inawezekenaje mtu kuharibu nyumba yake? Hatua na mistari ya kisheria kali dhidi ya hii timu ya utovu.

  • @davidedson6560
    @davidedson6560 6 годин тому

    Kabudi swala hila so maamlaka yako ila shilikisho na Shelia zao ndio zina husika

  • @KassimMbarak-y4t
    @KassimMbarak-y4t 11 годин тому

    Alie haribu viti haumsemi,unawaadhibu waliorushiwa viti

  • @AdatusMashalla
    @AdatusMashalla 13 годин тому +1

    Laana ya umbumbumbu haijawahi kumuacha salama mtu hata siku moja

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk 11 годин тому

    Kwani tuliingia bure uwanjani hapo

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 15 годин тому +2

    Waziri hajui hata changamoto yeye anatoa maagizo2

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 14 годин тому

      Kuna chanagamoto gani kungo'a viti vya uwanja 😂😂@@allymaimuna8688

    • @EssauRudibuka-t6q
      @EssauRudibuka-t6q 14 годин тому

      ngoja tuone panapovuja

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 12 годин тому

    NAWE MILAD AYO KUMBE NI MSENGE

  • @hidayajuma7946
    @hidayajuma7946 8 годин тому

    Uwanja mbovu haunamlekebisho yoyote ukovilevle

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 11 годин тому

    Hao waarabu nao walipe jmn ,wao ndo sababu

  • @bonifacekomba7060
    @bonifacekomba7060 6 годин тому

    Macho sasa

  • @HusnaWaziri-z1h
    @HusnaWaziri-z1h 10 годин тому

    Tutalipa

  • @SaidiSwaleh-ex9nn
    @SaidiSwaleh-ex9nn 11 годин тому

    Simba hawakuwa na fujo fujo imeazia kwa wageni wacha maneno yasio faa ww waziri

  • @elinathanbanka5485
    @elinathanbanka5485 11 годин тому

    Asikurupuke kufanya maamzi tu ya kuongea Kwan hakuona warabu wakiwa wanang'oa????

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 8 годин тому

    Ila watanzania tuanaakili gani lkn??

  • @hunterstartz6239
    @hunterstartz6239 14 годин тому +1

    Sasa serikali inaingia hasara gani wakati SIMBA ndo wanalipa

  • @Rahima-kv6mn
    @Rahima-kv6mn 8 годин тому +1

    Kwani shingapi niwalipe mie nitakopa ata Oya , au kausha Dam nitakuwa nadaiwa Isa tu 😏 my Tim 💪🥰

  • @selemanisaid8248
    @selemanisaid8248 6 годин тому

    kama vip watupeee lipa number tuchagie chap

  • @angelazizi4831
    @angelazizi4831 15 годин тому +1

    msituchanganye...tang lini alieshinda akavunja viti???? alieshindwa ndio mwny hasira...mnatuonea bhanaaa...lkn furesh

    • @T_Darius
      @T_Darius 14 годин тому

      Hayo macho yanaona?

  • @sirpaza8513
    @sirpaza8513 14 годин тому

    WavunjaViti FC

  • @FaidaTimanywa
    @FaidaTimanywa 12 годин тому

    Uyo waziri ni mwana yanga kabisaa

  • @ZakariaFabian
    @ZakariaFabian 13 годин тому

    waanzisha vurugu kati ya simba na warabu ni nani mbona serikali inaionea simba

  • @Neematitus-hs1cb
    @Neematitus-hs1cb 13 годин тому

    Walipe kwa kwel ni aibu tupo waliyoifanya

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 13 годин тому

    Amna kit ambach tanzania mda mwingin awana hak waliaz kurush vit waarabu hiv mfano mdog tyu umekutan na mbwa anatak kukuzur mbel yak kun mchang utaacha kumwagia kweny mach maan ukikimbia mbwa yul atazid kukukimbiz ndiy jan sasa wao waliaz fujo sis tukamalizia pia waarab ni watu ambao wanapend fujo san

  • @jumampili7187
    @jumampili7187 8 годин тому

    Simba wameshinda vurugu za nini sasa ni yanga ndio walio chukia

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 11 годин тому

    KWANI HUYU NI WAZIRI WA NINI KWA SASA

  • @JustinKachewa
    @JustinKachewa 9 годин тому

    Kabudi unayajua majukumu yako aunakulupuka tu vulugu lilianzishwa nawageni alafu tambua mpila auingiliani nasiasa wemze waachie tff au caf

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 14 годин тому

    Haya mambo kuisha kwake ni kukamata shabiki hata wawili au 4 walipe vitu vyote ndio itakuwa fundisho lakini hii kuwapiga faini klabu itakuwa aishi

    • @EssauRudibuka-t6q
      @EssauRudibuka-t6q 14 годин тому

      sasa shabiki si simba yenyewe klabu inalipa point tatu zinakusanywa

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 12 годин тому

    Wakenya ni wapumbavu

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 12 годин тому

    Haturipi pia nendeni mkawakamate wahalabu kwanza

  • @EstherTito-z8l
    @EstherTito-z8l 15 годин тому

    SIMBA SISI NI WATU WENYE AKILI KAZI KWENU MATAHIRA YANGA MLIE KUNG'UNG'UTWA CONGO

    • @T_Darius
      @T_Darius 14 годин тому

      Akiri za kung'oa viti?? umewahi skia wapi? Wingereza? na hii sio mara yenu ya kwanza

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 12 годин тому

      Eti akili huo umbumbumbu unajisifia ujinga

  • @MohamediNassoro-j2k
    @MohamediNassoro-j2k 11 годин тому

    Siku zote aliye anza kurusha ngumi ndio mkorofi sasa aliye rushiwa ngumi anamakosa gani ya kuhukumiwa wazir angaria video acha uonevu wa kimadaraka

  • @maase2023
    @maase2023 14 годин тому

    Tena simba wafungiwe kabisa kwa kuwa na mashabiki wahuni

    • @EssauRudibuka-t6q
      @EssauRudibuka-t6q 14 годин тому

      chura ya injinia inajamba et inaongea sasa

    • @maase2023
      @maase2023 14 годин тому

      @EssauRudibuka-t6q fungia simba kabisa kwanza wanarubuni marefa wapewe ushindi wa lazima tu ! Wageni wanaonewa na kudhulumiwa kwenye ardhi ya tanzania tusikubali simba ifungiwe na wapenzi wake

  • @MuddySaidy-q3j
    @MuddySaidy-q3j 15 годин тому

    Wafungiwe mashabikinwa Simba kuzingua taifa Kama walabu walivyo fungiwa

  • @RahmaOmmy-l2y
    @RahmaOmmy-l2y 14 годин тому

    Kutojielewa tyu kama mizuzu sasa kung'oa viti ndio nn sasa kama....mi amnazo ushabiki gani huo mnaambiwa mlipe viti mnakimbilia kuisema yanga mbovu viti vinahusian nn na yanga lipeniiiii acheniii blaaaa blaaaaa

  • @exaudbrown3055
    @exaudbrown3055 12 годин тому

    Duh

  • @michaelpetershoo1885
    @michaelpetershoo1885 15 годин тому

    Haya ni makolo madunduka kwelikweli.haya madhara ya bahasha 😮. Refa anatilia shaka kupokea bahasha na kuwa mchezaji namba 12 wa makolo na kupelekea yaliyotokea!makolo walipe haraka sana 😂😂😂 hakuna huruma kwa mali ya uma.

    • @AishshibnShibani
      @AishshibnShibani 14 годин тому

      Mpaka mseme 😂😂😂 nabado

    • @EssauRudibuka-t6q
      @EssauRudibuka-t6q 14 годин тому

      cheki chura ya hers inavojamba jamba et inaongea sasa😅😅😅😅

  • @bukaone7507
    @bukaone7507 15 годин тому +1

    Sasa Simba ndio alie pata matokeo chanya, sasa inakuwaje wavunje viti!?

    • @T_Darius
      @T_Darius 14 годин тому

      Ndiyo ujiulize akiri za makolo😅

    • @MagrethEmmanuell
      @MagrethEmmanuell 14 годин тому

      Mkome Simba hakuanzisha fujo​@@T_Darius

    • @EssauRudibuka-t6q
      @EssauRudibuka-t6q 14 годин тому

      chizi wewe ukiambiwa utaje ata uliemuona anang'oa kiti huwez taja,, mbona waliomshambulia refa hamusemei au matokeo ya mechi????2-1​@@T_Darius

  • @haggthankjah
    @haggthankjah 4 години тому

    weka lipa namba au account number ya uwanja ndo hauta amini kitakacho tokea hii TZ.

  • @chrissbigo5555
    @chrissbigo5555 14 годин тому

    Kwa hiyo bili ipelekwe kwa waarabu au??? Gharama zilipwe na nani?? Maana ametaka zilipwe (na simba au tff,, au waarabu?)