IFAHAMU NJIRO: SEHEMU WANAPOISHI MATAJIRI WENGI ARUSHA, MBWA ANAWEKEWA 'AC'.....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • IFAHAMU NJIRO: SEHEMU WANAPOISHI MATAJIRI WENGI ARUSHA, MBWA ANAWEKEWA 'AC'.....
    NAJUA haufahamu kwamba Arusha licha ya kuwa ni mji mzuri wa kitalii, lakini kuna eneo linaitwa NJIRO, eneo ambalo wamejaa matajiri wengi, tazama video hii mpaka mwisho utanielewa.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 152

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 роки тому +27

    Naishi Njiro hata huo utajiri mnaosemea siuoni maisha yote nisawa bwana sema tu mazingira ndo yametulia

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 2 роки тому +7

    Mtangazaji Lebabas, Njiro sawa, ila usiseme ni sehemu pekee, zipo sehemu wewe Acha kabisa, ebu nenda aise Burka estate, kiligolf, dolly estate huko kuna watu wanaishi porini ila matajiri sana, wanaishi na swala, pundamilia, flamingo, farasi, wana michezo ya farasi, wana mabwawa ya kuegelea, wana runway za ndege, wakiumwa ndege ya kukodi zinawachukua mpaka Nairobi au Africa ya kusini kwa matibabu, na ndege ni ambulance zina flying doctors, wanapata huduma ya kwanza wakiwa angani kabla ya kufika hospital.

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 2 роки тому +10

    Maisha ya kawaida tu. Watu wamechukua usemi huo kukuza bei ya viwanja.

  • @swalehmustafa3064
    @swalehmustafa3064 2 роки тому +16

    Sio kweli kwamba barabara ya East Africa ni short cut. Ni ndefu zaidi ukilinganisha na ile iliyopita katkat ya mji

  • @twahashearer8302
    @twahashearer8302 2 роки тому +5

    Mji ambao hauna wala hautakuwa na plan yeyote ni Arusha, huu mji urudishwe kwa viongozi wazawa wa Arusha ndio utaendelea

  • @jambo3751
    @jambo3751 2 роки тому +24

    Arusha kusema kweli ni mkoa ambao uko unique.
    Ndio GENEVA yetu ya Tanzania.

  • @user-pe9uo4ec6y
    @user-pe9uo4ec6y 2 роки тому +10

    Matajiri wa Arusha wanakaa Burka coffee estate mtangazaji fanya research

    • @besteverspices1536
      @besteverspices1536 2 роки тому +1

      Kweli kabasi matajir wa arusha ni burka lodge cofee estate

    • @heraldloshi1864
      @heraldloshi1864 2 роки тому +2

      Ni kweli, tena tangia. Alafu tena kuna Dolly estate,ambayo inajumlisha Kiligolf,kule Maji ya Chai,karibia na Usa River.

    • @ChristinaKisarika-ju8rt
      @ChristinaKisarika-ju8rt Місяць тому +1

      Wanakariri njiro
      Waende burka huko watasema vizuri

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому +2

    Shanty town Moshi,,,

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 2 роки тому +2

    Nipo njiro na maisha yangu niya kawaida tuu lo!

  • @patricennko3815
    @patricennko3815 2 роки тому +5

    Mvua ikinyesha bora kwa mrombo

  • @platnumzkawiche1861
    @platnumzkawiche1861 2 роки тому +3

    huko ni kwa matajiri bablide🔥🔥🔥🔥🔥

  • @amanibwire4423
    @amanibwire4423 2 роки тому +2

    Njiro ipi isee? Wewe sema burka ndo kuna matajiri njiro tupo changanyiken

  • @jacksonsaileni1219
    @jacksonsaileni1219 2 роки тому +5

    Acha uongo wewe sehemu mbili tu 🇹🇿

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 2 роки тому +2

    Kasema anatutembeza tuone, mbona kama namuona kasimama tu kisehemu. Njemba ongo hii duuuh😳

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 2 роки тому +3

    Huyo jamaa kaongea vizuri sana njiro imepangika imepangwa kumepimwab miaka zaidi ya ishirin na kitu siyo Kama maeneo mengine Kama kwa morombo.

  • @ladsonmshana9920
    @ladsonmshana9920 2 роки тому +2

    Kweli njiro kumepamgwa kama huna mpunga wa maana ni ngumu sana

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 2 роки тому

    Jaman

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 2 роки тому +3

    Sema kwa Tanganyika sio Tanzania Emu Njoo Zanzibar kuna Mitaa inaitwa Mbweni au Chukwani utizame Matajiri

  • @vijanafurniture1810
    @vijanafurniture1810 2 роки тому +8

    Mi ni mkazi wa Arusha ila kwa njiro ya sasa hivi hata watu wa kawaida kabisa wapo. Angalau mngetuambia mateves tungewaelewa kule ndipo matajiri walipo kwa sasa ila sio njiro.

  • @josephjeremiah168
    @josephjeremiah168 2 роки тому +2

    Kaka hebu tembea njiro usishie Road jaribu kuingia njiro yenyewe from njiro ppf kitovu cha matajiri hata eneo lenyewe linalindwa no local people there. Kama mbele ukiingia tu utajiona hauko tz. Nyumba ziko Well organised, viwanja vya michezo, gym za kisasa ,unalipa kwa dola

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 2 роки тому +6

    Labda kwa arusha. Sababu si mkazi wa huko. Ila kwa dar mbez Beach. Sio ndio sehem ya matajir nenda mbez ukatembee kwa undani zaid muulize zembwela amekutwa nyumba au vibanda watu wanakunywa pombee. Ila mimi nimezaliwa dar nenda masaki nenda oysterbey. Nenda mbweni anza kituo kinaitwa ubungo halafu ndio utafafanua km dar matajir wanakaa wapi?

    • @zeyanaalgheithy6561
      @zeyanaalgheithy6561 2 роки тому

      Kasema arusha sio dar

    • @vickyshayo7880
      @vickyshayo7880 2 роки тому

      Matajiri wapo Vingunguti Dar

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 роки тому

      @@vickyshayo7880 mwehu weeer🤣🤣🤣🤣

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 роки тому

      Kakosea sn mwehu huyo!! Kwa dar Osterbay ndiyo ya kwanza,masaki ya pili na mbez beach ni ya tatu

    • @allykayanda6930
      @allykayanda6930 2 роки тому

      @@wazirmlogi7532 osterbey haiwezi kua ya kwanza kwasasa,osterbey ni yazamani hata majengo yake mengi yakizamani,Masaki baba ndo khabari nyingine,osterbey laba kwa mpangilio tuu wa nyumba,lakin nyumba kali hakuna,mbweni,mbezi Beach laba ndo zinaweza kufata baada ya masaki,hiyo obey laba kwenye nafasi ya nne huko

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 2 роки тому +1

    Unasema Dar matajiri wanaishi Mbezi Beach!? Mtangazaji kuwa serious kidogo.

  • @hamisihassani5605
    @hamisihassani5605 2 роки тому +1

    Huyo jamaa Ana jiproud Sana na wakiti njiro Hadi nyumba za tope zipo dah

    • @mshua337
      @mshua337 2 роки тому

      Mi nikajua labda Kuna Njiro nyingine ila Njiro ninayoijua Mimi hapana aisee ni Kwa kawaida mno😀😀😀

  • @attunelson8828
    @attunelson8828 2 роки тому +5

    Dar es salaam Matajiri wanaishi Masaki na bweni

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 роки тому

      Kwa dar sehemu ya kwanza ni Osterbay ya pili masaki,kwa mbez beach ni ya tatu

  • @highvoltages4169
    @highvoltages4169 2 роки тому +2

    Kwa Moro mtaa wa matajiri ni CHAMWINO-TUPENDANE

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 2 роки тому +2

    Matajiri wakijitenga utajiri ni mapito siku amefilisika anahamishwa? Au

  • @annamaronga5282
    @annamaronga5282 2 роки тому

    Home sweet home

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 Рік тому

    How about Tegeta Masaki kunduchi

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 2 роки тому +7

    Unaongea nini wewe utopolo unahamasisha kubaguana KIUWEZO Itafikia hatua tutabaguana kikabila, kidini pia kielimu. Kama unashaili hivo matajiri wapimiwe viwanja bahalini maeneo kama hayo masikini hana uwezo wa hujenga, kumbuka kuwa WATU TUNAISHI KWA KUTEGEMEANA

  • @ajaykorea6323
    @ajaykorea6323 Рік тому

    Njaa Kali njiro

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 2 роки тому +3

    Kuna watu wanakufuru mbwa anawekewa AC

  • @maxilekanoi8257
    @maxilekanoi8257 2 роки тому +1

    Pa kawaida sana Kama mbagala tu

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 роки тому +3

    Dar matajiri hawapo mbezi beach wako masaki

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Si wote wanaoishi masaki ni matajiri mnajidanganya sana

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 роки тому

      Kakosea sn,Osterbay ya kwanza,ya pili masaki na mbez beach ni ya tatu

  • @princessringo2879
    @princessringo2879 2 роки тому

    Hatr

  • @sammychansa1797
    @sammychansa1797 2 роки тому

    Arusha unique mazee

  • @juliuslabarani8575
    @juliuslabarani8575 2 роки тому +1

    Njiro pa kawaida saaaaaana

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 роки тому +6

    Huyu jamaa hovyo sana yaani yeye kula kula hovyo ndio kipimo cha utajiri, eti wanakula milo mi5 au kila baada ya masaa mawili 😂😂😂 mentality ya kimasikini sana hii

    • @preciousjohn9405
      @preciousjohn9405 2 роки тому +1

      Matanijr wapo weng Arusha na hata hawakai njiro ,achen kudanganya watu sema njiro Ina jina lkn kuwa nyumba Kali ndo zipo huko ni kiasi tu mbona Kuna vyumba vya elf 40

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 2 роки тому

      Kula milo mitano kwa siku sio kuwa tajiri marekani na Ulaya hata ukiwa masikini utakula vizuri na utanenepa kama marekani vyakula vya mafuta mafuta kama chips na burger ndiyo bei nafuu kuliko mboga mboga na matunda

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 2 роки тому

      Uyu jamaa matako sanaa anaongea kimapoz

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 2 роки тому

      @@samwelimoshi5614 mimi mwenyewe naishi Ulaya pia nimepanga kwenye chakula naweza kula chips mayai kila siku bila kuwa tajiri vyakula huku ni bei poa sana kuliko kodi ya nyumba

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Рік тому

      Mwanafunzi wa chuo..Hahaha msosi tu anawaza

  • @deodorantdeodorant6309
    @deodorantdeodorant6309 2 роки тому

    Hata kwetu kule kijijini nako kumepangika mbona tunajenga heka moja kwa hekali moja.sasa hapo mbona karibu karibu

  • @mhandodanny4256
    @mhandodanny4256 2 роки тому +1

    Umesahau Masaki

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 2 роки тому

    Sio kweli It's not

  • @LAZAROBOMANI-ex6bj
    @LAZAROBOMANI-ex6bj 9 місяців тому

    Fanya research kwanza na Reconnaissance, umewahi fika kapropoint mwamza

    • @Mr-GMB
      @Mr-GMB 3 місяці тому

      Capripoint

  • @liliankiondo1130
    @liliankiondo1130 11 місяців тому

    Mbona hata vinyumba vidogo vya usongo vipo 😅😅😅

  • @kabalajunior5441
    @kabalajunior5441 2 роки тому

    Porin eeh

  • @warriorfromthenorth1734
    @warriorfromthenorth1734 2 роки тому

    Acheni kupotosha, njiro ilikua zamani, kwa sasa kila mtu anaishi kina kabuku na kaboka wote.,.

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 2 роки тому

    Noses!

  • @danielkessy
    @danielkessy 21 день тому

    Tope la kutusha njiro

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 2 роки тому

    Nimempenda molel anajua kujieleza vizuri sana

  • @mgenirajabu7601
    @mgenirajabu7601 2 роки тому +1

    KWELI MTU WA MKOANI NI MKOANI 😂😂😂😂 SASA ANAONGEA VININI

  • @robertmangowi4254
    @robertmangowi4254 2 роки тому +3

    Hivi watu wenye hadhi wakiambiwa watoke na nyie wa Njiro mtatoka? Nenda kagera/Bukoba ukutane na mabangalow yaliyoko vijijini? Njiro 😳😳😳

  • @jafetiwilson8092
    @jafetiwilson8092 2 роки тому

    Mbona story nyingi uonyeshi mazingira yenyewe ya mji tukaona kweri kinachosemwa ni sahihi au

  • @ramadhanmsangi4676
    @ramadhanmsangi4676 2 роки тому

    Njiro wapi iyoooo nenda usa river ngarasero ukacheki mijengo 🏛🏤🏚🏠

  • @cinematicrefresh
    @cinematicrefresh Рік тому

    masaki?? Uzunguni??

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 2 роки тому

    Ndio huku wanako malizana sabbu Ya Mali😂😂😂

  • @olarivolariv1313
    @olarivolariv1313 8 місяців тому

    Hakuna kituu burka ndio kiboko bhnaaa

  • @filbert9138
    @filbert9138 Рік тому

    Acha uongo bhnaaa sehemu mbili tena ulizozitaja ni uongo mtupuuu njiro kuna ushua ganii kama tuu bush

  • @swalehkiuga167
    @swalehkiuga167 2 роки тому +2

    Matajiri ni burka kwa sasanjiro hovyotu zilipenda

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 2 роки тому +1

    Kula milo mifano ni style ya maisha ya mtu wala sio utajiri. Mbona mji wenyewe mchafu hivyo, bora mbezi kuzuri. Na kuwa watu maalim huo ni uchaguzi na unyanyapaa utumwa wa fikra zako. Kuna watu bado wana element za utumwa huko njiro. Hakuna lolote wala chochote special ni ishamba uliowazidi nyie mnasema Njiro special

  • @gabrieltemba6916
    @gabrieltemba6916 2 роки тому

    Huyo mkazi wa njiro(boniface) vp ana b ngapi?

  • @simonmbise2060
    @simonmbise2060 2 роки тому

    Siyo sahihi hiyo iko Kule Kenya huo ni ubaguzi

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 роки тому +7

    We jamaa rusha drone maeneo ya njiro mwanzo mwisho, unasema video inahusu njiro, video 95% content ni sura za watu, halafu wewe ndio mwandishi msomi 🚮🚮🚮🚮🚮

    • @amanibwire4423
      @amanibwire4423 2 роки тому

      Hawez Fanya hivo maana hadi nyumba za miti zimejaa,halafu gharama ya nyumba kupanga ni Arusha jiji yote bei ghali

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 2 роки тому

    Huwezi linganisha Njiro na CapriPoint ya Mwanza ambayo ni sawa na German

    • @madirishasimon9692
      @madirishasimon9692 2 роки тому

      Upo sawa capripoint mwanza ni patamu kichizi duuh upo wa ziwa wote huanzia kule

  • @ebenezerlawuo6667
    @ebenezerlawuo6667 Рік тому

    Masaki

  • @kapasimoses98
    @kapasimoses98 2 роки тому

    Hamuna kitu wala lolotr

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 2 роки тому +1

    Huyu jamaa mwenye Laptop yake anaonesha ni mshamba mno

  • @daddybenny
    @daddybenny 2 роки тому

    Waoooh.. Kwel hapo. Ni matajiri saam

  • @lastgospel706
    @lastgospel706 2 роки тому

    HUYU JAMAA DIJACKSON😂😂😂

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому

    Mtaanza kujibagua bure si wote wanaishi hapo ni matajiri ata huko masaki osterbay na mbezi beach wengine sehemu hizo zilipendwa , na baadhi wapo na majumba yao sehemu hizo na wameyapangisha tu na hao ndio wenye huwezo na utawakuta wanaishi sehemu hizo mnazo zifikiria

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 роки тому

      Kwanza kakosea,kwa dar sehemu kuu kwa matajiri ni Osterbay,ya pili masaki na mbez beach ni ya tatu na si ya kwanza

  • @dikodikson559
    @dikodikson559 2 роки тому +1

    Matajiri Tanzania wanaishi Mbezi beach na Njiro tu? Vipi kuhusu Masaki na Capri point?

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 роки тому +1

      Huyu kakosea tena sn tu,kwa dar Osterbay ndiyo ya kwanza,masaki ya pili na mbez beach ni ya tatu

    • @madirishasimon9692
      @madirishasimon9692 2 роки тому

      Capripoint mwanza nilinyoosha mikono pako safi

  • @musason1680
    @musason1680 2 роки тому

    Huyu jamaaa n fala sana watu watengwe kwa sAbab ya vipato

  • @hamissimba6609
    @hamissimba6609 2 роки тому

    Wewe mtangazaj akiri una india ndio wanaishi kwakutengana tanzania kaka kama kazi uwez acha mbwa we

  • @tseamaqamara4083
    @tseamaqamara4083 2 роки тому

    Hahahaha 😆 mbwa AC

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 2 роки тому

    Hiyo barabara haiitwi ya East Africa.. Inaitwa Arusha bypass

  • @pascalmgassa8441
    @pascalmgassa8441 11 місяців тому

    UONGO KABISAA

  • @ommymp9058
    @ommymp9058 2 роки тому +3

    Arusha ni pakawaida sana,na ndo maana likawa jiji la tatu na wakichelewa litakua la 4
    1-DSM
    2-MWANZA
    3-ARUSHA
    4-DODOMA
    5-MBEYA
    6-TANGA(imependelewa tuu) arusha inaweza kupigwa na dodoma,sema watu wa Arusha wanajikubali ila hakun kotu

    • @J4UPro
      @J4UPro 2 роки тому

      Umesema kweli

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 роки тому

    Kwetu pazuri

  • @wilsonmsenga6447
    @wilsonmsenga6447 2 роки тому

    Acha uboya ubwa hawezi fananishwa na mtu.

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 2 роки тому +1

    Hamna kitu km hicho watu watengwe sehem maalim labda km wa naumwa ugonjwa wa kuambukiza huna akili wewe kijana

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Huyo ni limbukeni bado mshamba hiyo sehemu ni kama shamba tu bado hajatembea huyo

  • @solomonnguzo2042
    @solomonnguzo2042 2 роки тому

    Ostabey na masaki je?

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 2 роки тому +1

    Dijackson kazungumza
    mengi ila pumba tupu.

  • @masoudsalim143
    @masoudsalim143 2 роки тому

    Wewe achahizo ukitaka kusifia wewesifia2..lakini mbwa atabaki kuwa mbwa hawezi kuwa MTU kenge we.

  • @ajaykorea6323
    @ajaykorea6323 Рік тому

    U

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 2 роки тому

    Sasa ndio nn? Watu wenye uwezo hata huonyeshi nyumba zao matajiri? Eti unauliza bodaboda.. weee mtangazji ni kamasi kabisa.

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 2 роки тому

    Matajiri wapo moshono burka na mateves na kumepangika vzuri mnoo njiro hapana ni. Viplot vichache ndio vimepangika

  • @shimuldar1355
    @shimuldar1355 2 роки тому

    Masikini mbwa2

  • @husseinmtangwele5990
    @husseinmtangwele5990 2 роки тому +1

    mbezi hakuna matajir

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Hakuna sehemu hanakosa tajiri katika sehemu hizo mpka kinondoni shamba brock 41 na msasani mikocheni mpka na vichochoroni huko bongo wapo matajiri

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 роки тому

      Kwa dar Osterbay ya kwanza na masaki ya pili na mbez beach ni ya tatu hivyo kakosea sn mweuh huyu

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 2 роки тому

    Sidhan Kama nikwel et ikitoka mbez inafata njiro hiyo yakwimu katoa nan?tembeen muone miji ilivyojengeka mikoa mingne

    • @madirishasimon9692
      @madirishasimon9692 2 роки тому

      Hata mie namshangaa aje mwanza capripoint duuuh noma sana

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 2 роки тому

    Muongeaj wa mwisho mjinga to

  • @shimuldar1355
    @shimuldar1355 2 роки тому

    Mbona chafu ivyo

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Nchi bado haijandelea na ndio unaona mambo hayo katika nchi zingine huko wanapo sifia ni sawa na nje ya mji tena huko mashambani

  • @michaeljoseph958
    @michaeljoseph958 2 роки тому

    Mbona kama mna mhoji kijana asiejielewaa ana pride kama anakaaa yeye pekeake njiroo,nani kawaida tu ai ni njiro gani tusio ijua sisi next time mtafute mtu anaejua kuongeaa au sio mbaya pia kuhoji hata kama mtangazaji mwenzenu milard mchomvu b12 and any one anaeweza kuongeaa lakini sio narrow minded kama huyu

  • @jskconceptscreativity1575
    @jskconceptscreativity1575 2 роки тому

    Matajiri wapoo moshono sasa ivii wewe njiro zilipendwaa

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +1

    Kuna jamaa kaongea utopolo tuu 🤮🤮🤮🤮

  • @jantawakitaatv4534
    @jantawakitaatv4534 2 роки тому

    Eti mbezi beach kwa matajiri hahaha mtangazaji umeshawahi kuja MANZESE wewe Hadi bakhresa anakaa huku unatutajia mbezi beach choka mbaya kwa kusibitisha nenda mbuyuni ,mtongani zunguka mpk africana harafua njoo MANZESE anzia Argentina ,mpk shekilango ndo utajua matajiri wako MANZESE sio mbezi beach Wala njiro

  • @yunislemnhe9560
    @yunislemnhe9560 Рік тому

    Wongo mtupu

  • @veronicasamson9526
    @veronicasamson9526 2 роки тому

    Yakaisal mpe kaisali

  • @josephandrew3444
    @josephandrew3444 2 роки тому

    Labda makaburi ya njiro ndio huzika watu wote arusha