Roma Feat Maua Sama - Celebrate (Official Lyrics Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 жов 2024
  • Lyrics video by Roma performing Celebrate (Official Audio) Feat Maua Sama. (C) 2024 Roma Mkatoliki under exclusive licence to Vydia.com
    DOWNLOAD - vyd.co/Nasikia...

КОМЕНТАРІ • 410

  • @BekaHmz
    @BekaHmz 6 місяців тому +3

    Team Zimbabwe najua watagonga like hapa

  • @richardonesmo8152
    @richardonesmo8152 9 місяців тому +12

    Watatu jomn lk🎉

  • @abdallahkitwana8471
    @abdallahkitwana8471 8 місяців тому +3

    Wimbo mzuri❤

  • @Theafricansuperhero
    @Theafricansuperhero 9 місяців тому +1

    Anaitwa Roma na HANAGA KAZI MBOVU

  • @jembelakijiji
    @jembelakijiji 9 місяців тому +5

    huuu mwaka kwa roma wakenya wangapi tumefika hapa sasa tusonge wote

  • @jembelakijiji
    @jembelakijiji 9 місяців тому +23

    kama unaaamini mungu atakuinua huu mwaka sema amen tukisonga na mziki mzuru from roma na maua sama

  • @Respicius
    @Respicius 9 місяців тому

    Sema nyimbo nzuri tu sio mbaya

  • @ElishaMLenatus
    @ElishaMLenatus 9 місяців тому +1

    viva Roma kiukwel unatoa vigongo vikali nyimbo zinait kaka usikate tamaa piga kazi

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 9 місяців тому +1

    Naon Viva Kapaniya Kihukwel Unazid Kutupa Vitu Tunapenda , Sama Her So Talented 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 9 місяців тому +1

    Viva Roma ngoma kali sana Maua kama kawaida yake nae hanaga kaz mbovu safi sana

  • @Mo-Melody
    @Mo-Melody 9 місяців тому +1

    🔥🔥🔥🔥hichi ndiyo washabiki wako ndiyo tunahitaji siyo kutoa Ngoma ya aina moja tuu! Hapa sas ndiyo furusa ya kupata watu wengi

  • @kamuchidyblez2136
    @kamuchidyblez2136 9 місяців тому +1

    Wamelamba joker wamemalza na mavii😂😂😂 #fundii roma gonga like hapa kama umekubal hii ngomaa

  • @KennyBway-cf3dr
    @KennyBway-cf3dr 9 місяців тому +1

    Habari unaye Soma comment Kenny Bway kaachia ngoma kali kamusikie

  • @iddyngaiwa
    @iddyngaiwa 9 місяців тому +2

    Mauwa nakupa mauwa yako🐲🌵🎄🍀☘🍃🪴🥀💐🌷🌹🌹🔥🔥🔥

  • @kadito-kenya
    @kadito-kenya 9 місяців тому +2

    Kwani Roma na huyu ni mtu na mkewe maana kila jambo lao linaenda ❤

  • @emanuelmushi7257
    @emanuelmushi7257 9 місяців тому +1

    Hii inaitwa kitu juu ya kitu

  • @MetaMc-iv5bi
    @MetaMc-iv5bi 9 місяців тому +1

    Kaka umetisha sana❤

  • @MulababazOG
    @MulababazOG 9 місяців тому

    Huu mwaka ni wa mzimbabwe Respect 🙏 hili goma kali sana 👊

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 9 місяців тому +1

    Yaani Maua Sama nyie😍

  • @homkwetukikwe2kwe265
    @homkwetukikwe2kwe265 9 місяців тому

    Mwana Likwe likwe Umeua sana 🥇

  • @FelixMandia
    @FelixMandia 9 місяців тому

    Waumeeee nzenzeeee mgoc kashika kipaza huku disko linapasuka tuvineee waumee

  • @kidumulemsigwa4074
    @kidumulemsigwa4074 9 місяців тому +1

    Anhaa nkajua darassa kumbe roma

  • @anesiusromward5959
    @anesiusromward5959 9 місяців тому +1

    Oyaaa awa watu wanajua sio utoto ulotoka jana usiku

  • @maguetomfalme5815
    @maguetomfalme5815 9 місяців тому +2

    Ginius umetisha sana mzee baba

  • @clintonarnold6291
    @clintonarnold6291 9 місяців тому +2

    Hyo staili anaweza Darasa2

  • @mugishayves8536
    @mugishayves8536 9 місяців тому +2

    Huu Jama mwamba kbx hujawahi niangusha, Viva Papa benedict✌️✌️✌️

  • @AmaniNdinga-sr5kg
    @AmaniNdinga-sr5kg 9 місяців тому +1

    Tunakuja wana andaen mazingira

  • @dommyeliasy
    @dommyeliasy 9 місяців тому

    Dah nakukubali kakaang

  • @husseinbakary1969
    @husseinbakary1969 9 місяців тому +2

    Huyu maua sama jamani daaah my God bless you

  • @StevenNdenda
    @StevenNdenda 9 місяців тому +2

    Mbona kama darasa sasa

  • @keydeeentertainment9587
    @keydeeentertainment9587 9 місяців тому +1

    Yaani hii ngoma ingekuwa imetoka December,,, ingekuwa tamu maana kweli watu walikuwa wanacelebrate.
    Saivi unaweza celebrate wakati BILLS kibao.
    Ada,,,,,, kodi,,, Madeni etc 😀😀😀...
    Anyway ngoma kali,,😎😎🎉🎉🎉

  • @Mr_Highlights360
    @Mr_Highlights360 9 місяців тому +1

    Mbona roma kapita flow za DARASSA.... au naskia mwenyewe

  • @Loismo
    @Loismo 9 місяців тому +1

    Kaka Ibra mbona zinakuja mfululu hivi,tupe time bado harufu inasikika sana.

  • @RaynoldMassy
    @RaynoldMassy 9 місяців тому

    Hatujakozoea ukiimba hizi ngoma kk wala haziendani na ww,Ww force na hip hop tuu😮😮😮

  • @RoselineKiza
    @RoselineKiza 9 місяців тому +1

    Big up brother umwaka ni wako

  • @mustaphakhamis3740
    @mustaphakhamis3740 9 місяців тому +1

    Duuhuu!!! Mbna Kali sana

  • @meshackjohn5005
    @meshackjohn5005 9 місяців тому +1

    sema mwamba fanya urudiii mzee

  • @mansoursabri4398
    @mansoursabri4398 9 місяців тому +1

    💐💐💐💐💐💐 maua Yako hayo maua sama

  • @abubakarbaya5616
    @abubakarbaya5616 9 місяців тому +1

    Nimetayarisha bustani,naomba mbegu ya MAUA SAMA. Baba wa imani ikikupendeza chukua na huyu ndani ya ROSTAM

  • @laurent993
    @laurent993 9 місяців тому +1

    Yan ukikuta collabo ni roma X sama, juwa hilo jiwe ni zito balaa
    What a banger from Queen billionaire sama and magic Roma😓

  • @timothysalehe402
    @timothysalehe402 9 місяців тому +1

    Ngoma kali sana

  • @kaizasousa
    @kaizasousa 9 місяців тому +1

    Ngoma kubwa rhymes of magic attractions

  • @mpundempunde1722
    @mpundempunde1722 9 місяців тому

    Roma nyoko zako hii kitu ni balaaa

  • @malingazeboss9351
    @malingazeboss9351 4 місяці тому

    ROMA sikuzote yupo flexible 😂😂😂😂😂 nakupa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako mkuuu

  • @KaskileKimeumana
    @KaskileKimeumana 9 місяців тому +1

    Mimi nipo hapa yooo Nani mwingine

  • @mrlonely2008
    @mrlonely2008 9 місяців тому +4

    Roma always remains to be Roma. Hii ngoma inaweza kukufanya udance huku unatembea
    Big up for this collabo

  • @obeidboaz2637
    @obeidboaz2637 9 місяців тому

    Wameramba jokeri nimemaliza na mavi...huu mstari unatosha kutengeneza nyimbo ngingine

  • @bedastusmichael7811
    @bedastusmichael7811 9 місяців тому +1

    M.A.U.A yako mengi R.O.M.A🎉

  • @rabbik5668
    @rabbik5668 9 місяців тому +2

    Huyu roma hatuachi salama harufu bado

  • @BillyNasser-m6w
    @BillyNasser-m6w 9 місяців тому +1

    Ya ukali brother

  • @nyunyaboy9523
    @nyunyaboy9523 9 місяців тому +5

    Wakwanza leo😅.. npeni likes zangu🎉

  • @fatmaOmmy
    @fatmaOmmy 9 місяців тому +1

    Tukichukua kikombe zanzibar wakat tunarudi tuenjoy na Hilo goma🔥

  • @marwajacobo6368
    @marwajacobo6368 9 місяців тому +1

    Team Roma mpo wap

  • @professor_munir
    @professor_munir 9 місяців тому +1

    Bonge moja la ngoma

  • @slummers254
    @slummers254 9 місяців тому +1

    My man mkatoliki daima Asante kwa kupokea maua ya sama

  • @sumayejumbe4112
    @sumayejumbe4112 9 місяців тому +1

    Hajawahi kukosea mwamba rudi nyumbani

  • @lulapangilokumbuka9647
    @lulapangilokumbuka9647 9 місяців тому

    Bongo kuna wasanii wawili t wa muzuki ni maua na roma

  • @jamesjanuary2126
    @jamesjanuary2126 9 місяців тому +1

    Hakika hamjawai kuwa na combination na kizembe ❤mme uwaaa

  • @jamespilimo8986
    @jamespilimo8986 9 місяців тому

    Mwaka umeuanza kwa nguvu Kaka!

  • @mtaftajtzrsd7466
    @mtaftajtzrsd7466 9 місяців тому +2

    Nakubaliii mzeee wa naskia haruufuuu

  • @IsackMbogolo
    @IsackMbogolo 9 місяців тому +1

    ❤❤❤ mtu mzima kaaaamua VIVAROMA 2024

  • @JamesCampton
    @JamesCampton 9 місяців тому +2

    Roma ft Mr blue ikowapi? Mbona umeyikawiza sanaa

  • @ngusiupdates4363
    @ngusiupdates4363 9 місяців тому +1

    Ifike wakat wasanii kama hawa wapew maua yao serikal ikiwaleta kwa pamoja hawa wasanii nch ingekua na mshikamano na umoja wa hal ya ukilinganisha na nyakat za nyuam

  • @zacqtv9855
    @zacqtv9855 9 місяців тому +2

    Viva roma unajua bro sema njoo kwenye taifa lako

  • @idrisamapesa2732
    @idrisamapesa2732 9 місяців тому +1

    hapo ndo naamin kua unafanya muzik ❤❤❤

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 9 місяців тому +1

    ❤❤unyama sana

  • @almisfahcs8255
    @almisfahcs8255 9 місяців тому +1

    Hili dude ni moto 🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇🥇

  • @Skingmwamba
    @Skingmwamba 9 місяців тому +1

    Tokoos viva roma✌☝❤

  • @strangerskenya254
    @strangerskenya254 9 місяців тому +1

    From Kenya bro hii noma sana

  • @mohamedkhamis6381
    @mohamedkhamis6381 9 місяців тому +1

    roma piga ngoma moja na prof j

  • @ArahanJames-gc8qv
    @ArahanJames-gc8qv 6 місяців тому

    Mzee unajua kuimba kazi tanzania die msani na mkubali unajiamini

  • @Hullubwaxtv
    @Hullubwaxtv 9 місяців тому +1

    Ngoma kariii sana🇹🇿🇹🇿

  • @zeddy16
    @zeddy16 9 місяців тому +1

    🎉🎉uko moto brother #vivaroma🔥🔥

  • @KaskileKimeumana
    @KaskileKimeumana 9 місяців тому +1

    Yooo mm ndo nime malinza kusikilinza kitu

  • @feisalshahar9212
    @feisalshahar9212 9 місяців тому +4

    Ngomaa kalii mbonaa 😅😅😅😅roma x sama never disappoint

  • @rhommerkapinga6797
    @rhommerkapinga6797 9 місяців тому +1

    Ngoma nzr bwana roma keep good work bredah watching cape Town

  • @andrewvoiceofficial8721
    @andrewvoiceofficial8721 9 місяців тому

    Hii ni ya moto kabisa 2024 viva roma viva

  • @tatasmuller
    @tatasmuller 9 місяців тому +1

    Maua sama katisha sana

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 9 місяців тому +11

    Huu mwaka #VivaRoma umeuaanza vizuri chuma kingine ichi ni🔥🔥

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 9 місяців тому +1

    Mnaona hii ngoma imefanan na enjoy

  • @PrinceAlex-ik3mx
    @PrinceAlex-ik3mx 9 місяців тому +1

    Sana mwamba wetu❤❤❤❤❤

  • @aishanyembo1098
    @aishanyembo1098 9 місяців тому +1

    Nyimbo tamu

  • @HamnazoFlavour.
    @HamnazoFlavour. 9 місяців тому +5

    Kaka saivi naona 👀ni mwendo wa ngoma juu ya ngoma💥🔥 let us celebrate .Sema hayo maua ni mazuri ushajichukulia wakati hatuja kupa😂😂😂😂❤❤❤🙌🙌🙌💯

  • @Kingyamu746
    @Kingyamu746 9 місяців тому +2

    Kama una mkubali roma like apa🎉🎉🎉

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 9 місяців тому +1

    big up Sana 💪

  • @henry1933
    @henry1933 9 місяців тому

    wimbo mzuri ila kama darasa style, nimeipenda ngoma poa sana

  • @JohnBenjamin-d7h
    @JohnBenjamin-d7h 9 місяців тому +2

    Bonge la wembo bro congratulations kwako❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 9 місяців тому +1

    Roma huyo anakuja kuchafua Away ya Marioo

  • @beniardajuna2580
    @beniardajuna2580 9 місяців тому +1

    Mungu anatublesss baaaaaas

  • @Mnyakyuboy
    @Mnyakyuboy 9 місяців тому +2

    Roma 💪💪💪🙌🙌🙌

  • @ankochoka
    @ankochoka 9 місяців тому +2

    TUTAELEWANA TU HUU MWAKA 2024 😂😂 NA HII WATASEMA MAUA SAMA KAKUFUNIKA 🏃🏃

  • @timelessdaddy.2542
    @timelessdaddy.2542 9 місяців тому +1

    Wimbo mkubwa

  • @Suleiman99
    @Suleiman99 9 місяців тому

    Roma nakukubali ila hapa hamna kitu

  • @_Ocha07
    @_Ocha07 9 місяців тому +1

    Kama umeamua iwe back2back iwe kwel, Isiwe ges ya soda sasa🙃

  • @josephsanga7820
    @josephsanga7820 9 місяців тому +1

    Weka shida kando tucelebrate💥💥

  • @thomasmanga9155
    @thomasmanga9155 9 місяців тому +2

    The great Roma thanks for nice song

  • @Dessuny
    @Dessuny 9 місяців тому +1

    Best rapper in Tanzania ,msani wa hip hop mbunifu unakila kitu wengi wazuri ila ww una class yako roma zimbambe respect unanivutia kupenda zaid hip hop nakuamin na weza na ni rahis kwajinsi unavofanya

  • @hermentthomas6945
    @hermentthomas6945 9 місяців тому +1

    Viva roma🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hkwood6601
    @hkwood6601 9 місяців тому +1

    Sa ndo Nini😆

  • @kbdasmart3448
    @kbdasmart3448 9 місяців тому +1

    Good music bro n' my sister sama