Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

ROMA - Derby (Paka & Panya) Feat Latifah

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 983

  • @IddiMbwambo
    @IddiMbwambo 2 місяці тому +58

    Makonda aliivamia mawingu,(Claus media) na panya wa kigoma zitto kabwe,na mtoto wa kambo ni makonda ,kama umemuelewa kama nilivo elewa Mimi gonga like

    • @user-um8fo2cz5s
      @user-um8fo2cz5s Місяць тому

      Kama tungesema SU New york ingehamia Chato dah Roma nomaaaaa

  • @ErickMwendwa-md2cz
    @ErickMwendwa-md2cz Місяць тому +17

    Rest in peace JPM tulio wengi tunakuombea 😭😭😭😭😭

  • @geofreyhilmary9450
    @geofreyhilmary9450 2 місяці тому +67

    "Mtoto wa kambo akapewa Toyi la Dar alichezee" Huu mstari bana

  • @mohoniajoseph9067
    @mohoniajoseph9067 2 місяці тому +59

    Huyo Dada kwenye korasi amevua vibaya mno!
    Roma umetoa majibu ya maswali mengi sana tuliyokuwa nayo tangu ulipotekwa

    • @atenionesmo_A10
      @atenionesmo_A10 2 місяці тому +1

      Ndomaana katika mabojiano alikwepa kujibu kila alipofanya interviw

    • @subirafelix7413
      @subirafelix7413 Місяць тому

      Uyo Dada 🎉🎉🎉🎉🎉ametenda haki🎉🎉

  • @user-sc3ds8qd3m
    @user-sc3ds8qd3m 2 місяці тому +29

    Kama umekubali Latifah kapiga kolasi kali gonga like twende Sawa

  • @TazamaelLuka
    @TazamaelLuka 2 місяці тому +56

    "Bado vita havina Suluhu na Kupona ni Majaliwa " Kama Umeikubali hii gonga like twende pamoja

    • @frankkotte117
      @frankkotte117 2 місяці тому +2

      Sikuweza kuisema pombe nilijua ningepaliwa...

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 Місяць тому +2

      ​@@frankkotte117😂😂😂😂Majaliwa labda Mwenyezi Mungu anawezajalia.

  • @melomusictz1079
    @melomusictz1079 2 місяці тому +31

    Huyu Latifa kaka nampa maua yake mapema 🌹🌹🌹🌹🌹

    • @BOB_SHEBY_NINJA
      @BOB_SHEBY_NINJA Місяць тому

      Kweli huyu latifa ni mtu na nusu yan kiitikio ni kikali san

  • @hakeemlionafrica6870
    @hakeemlionafrica6870 2 місяці тому +17

    Ngoma kali sana brother wachane hao mwanangu wewe kweli ndio mwanahalakati kama 2pac unachokisema kwa Wale waelewa huyu mtu ni kichwa sana sio hadi Afe ndio muone umuhimu wa roma salute you my homie fight for us bro👊👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ouweydalton7732
    @ouweydalton7732 2 місяці тому +54

    WALIO JIONA WAZALENDO WALISOMA NAMBA YA KIRUMI UKIKOSEA MIUNDO MBINU TU UMEHUJUMu UCHUMI 🔥 🔥

  • @kingmawese
    @kingmawese 2 місяці тому +82

    Dahhh mr president tutaanzisha chama cha wanaharakat tukupe uraisi amini utashinda uchaguzi❤❤❤

  • @MongooFabre-yg6xp
    @MongooFabre-yg6xp 2 місяці тому +15

    Tayar nshaambiwa nihame uku maana tangu asubh n derby inapigwa tu volume 80. Sina tatizo na Ngoma zako maana zinataka utulivu kusikiliza.❤❤ 🌺 🌹 🌹

  • @tmagoti
    @tmagoti 2 місяці тому +13

    Mwanangu Ibra umeunguruma sana humu ndani. SOLIDARITY!!

  • @user-xx1je7sy4h
    @user-xx1je7sy4h Місяць тому +22

    Hii nchi ngoja ninyamaze tu lakini niseme magufurification of Africa haitasahaurika na hakuna atakayejitokeza tena nchi hii kuwapigania wanyonge kama alivyokuwa magufuri never rip mzee baba

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 2 місяці тому +7

    Rest in peace Magufuli ulitenda vema na wema wako tuta ukumbuka zaidi, washenzi washenzi ndo hawajui wema wako

  • @philipedward6090
    @philipedward6090 2 місяці тому +9

    Hii Ngoma hatari sanaaaa keep it up broo Roma ww ni kama lenzi Kwa wasioona

  • @MICHAELEDWIN-fh5nq
    @MICHAELEDWIN-fh5nq 2 місяці тому +220

    kama una mkubali roma gonga like hapa

  • @MwanduMagida-gv9od
    @MwanduMagida-gv9od 2 місяці тому +8

    Walio jifanya wazalendo wakukosoa Maendeleo
    Walipewa kesi ya uhujumu uchumi🎵🎶🎶🔊🔥🔥

  • @samwelmeela8384
    @samwelmeela8384 2 місяці тому +7

    Oyaaaaa Mwanangu Roma Mkatoliki umeua umemaliza kila kitu bablaii Huyo Panya wa kigomaaa 😂

  • @MapatoJovenary16
    @MapatoJovenary16 2 місяці тому +93

    Mtu mmoja alike comment yang ili badae nirud

  • @hhurbert
    @hhurbert 2 місяці тому +8

    Paka paka tu mapaka Afe ndo Panya waongee. Ndo umejitokeza kumfunga Marehemu paka kengele. IZZO B ALimwambia Ridhiwan aongee na Mshua. Sasa ongea na mtekaji aongee na mama

  • @byamungurashidi85
    @byamungurashidi85 2 місяці тому +9

    Congratulations to you my brother Roma tu nataka urudi tena Afrique. This is king byam's from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮 i'lk you so much my brother

  • @sefoo8084
    @sefoo8084 2 місяці тому +12

    Paka aliyemteka Roma sii ndiye aliyevamia MAWINGU (clouds fm)🔥🔥

  • @stylishgenius9886
    @stylishgenius9886 2 місяці тому +10

    Tukaskia kidoti ndio 🤱. Baby 😮😮😮 ,kama nawewe uliskia weka like

  • @dismashaule1631
    @dismashaule1631 2 місяці тому +8

    Huyu ndo msanii Bora wa Hip hop na mwana harakati kma Nay wa mitego.
    Ngoma kali na ujumbe mzuri lakini bdo saa paka shume kaondoka ssa ivi tuna paka jike

  • @lubokatimotheo
    @lubokatimotheo 2 місяці тому +26

    Ukikosoa tyuu miundo mbinu umehujumu uchumi

  • @alexlucas1571
    @alexlucas1571 2 місяці тому +32

    Wimbo Bora wa mwaka huu 2024
    Ila aliemteka Roma au baaaaas😂😂😂

    • @onesmongenzi3471
      @onesmongenzi3471 2 місяці тому +6

      Aliyevamia mawingu (maana yake aliyevamia clouds FM)

    • @user-pb3ub3gl4q
      @user-pb3ub3gl4q 2 місяці тому +1

      Hhh kasema aliyeenda kuvamia mawingu(clouds media) ndiye aliyemteka inamaana Makonda

    • @innocentchristopher7571
      @innocentchristopher7571 2 місяці тому +1

      Ndo alieteka mawingu hahaha

    • @athanaskimaro9664
      @athanaskimaro9664 2 місяці тому +1

      😂😂😂😢😢 alie vamia malindi Bana 😅😅

  • @mbarukally507
    @mbarukally507 2 місяці тому +5

    Baada ya kusikiza huu wimbo nilisema kumanina Wallah
    Ngoma kali wazee

  • @davidnyaonge2035
    @davidnyaonge2035 2 місяці тому +20

    Vita haina Suruhu kupona ni Majaliwa....Kwakifupi nchi hii inamuhitaji MAJALIWA roma kama nimemuelewa hapa

  • @ricchjamez
    @ricchjamez 2 місяці тому +7

    Napenda the way Roma anaendelea kuwapa shavu Fresh Artist naamini mimi pia one day #NIPENIMAUAYANGUTHEALBUM❤🙌

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 2 місяці тому +29

    Huu wimbo mpaka uwe umepata A ya mathmati. Ndio utaelewa

  • @NestymwampambaMwampamba
    @NestymwampambaMwampamba 2 місяці тому +39

    Niyeye ROMA alie toa Album kali sana tumusapoti 💪💪💪💪🤝🤝

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 2 місяці тому +6

    Ishi Sana Bro ALLAH akufanyie wepesi katika Dunia na kesho Akhera Amiin 🤲

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 2 місяці тому +54

    Goma la kwenda hili Roma ila Magufuli atabaki kuwa Rais bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania ❤❤
    Chorus ya huyo sister niiii fireeeee

    • @chumizola1847
      @chumizola1847 2 місяці тому +5

      Ni kweli kabisa, RIP JPM

    • @adamjumaah2679
      @adamjumaah2679 2 місяці тому +4

      R.i.p my president JPM😢

    • @gazzomaster9462
      @gazzomaster9462 2 місяці тому +3

      Nimeitafuta hii comment Kwa mda mrefu

    • @SalminRahis-kd9sv
      @SalminRahis-kd9sv Місяць тому

      Acha unafiki

    • @YunusYahya-gr6ks
      @YunusYahya-gr6ks 17 днів тому

      Unataka kuongea nn ww Nan kama magufuli nyie ndioo wanafki wenyewee Sasa Aya Sasa SEMA raisi wakoo boraa paka ww​@@SalminRahis-kd9sv

  • @HadijaallyAlly-vb2ui
    @HadijaallyAlly-vb2ui 2 місяці тому +19

    Nyimbo 1 albam tatu za mr korosho kama unakubaliana namim gonga like twende

  • @JoshuaGodifreyJoshua
    @JoshuaGodifreyJoshua 2 місяці тому +22

    Haya wale mashabiki wa Ile Album ya kumsifia Chifu Hagaya njoon hapa mtoe povo 💪💪💪 Roma

  • @japhethmwimba4849
    @japhethmwimba4849 2 місяці тому +8

    Kwaiy paka ndo mwenda zake panya anatawala 😢😢😢mmd duuuh

  • @user-ih6hk5nh7v
    @user-ih6hk5nh7v 2 місяці тому +17

    Huu wimbo umefanya nimefuta nyimbo zote za harmonize

  • @exclusvetztv9011
    @exclusvetztv9011 2 місяці тому +8

    the number one song in 2 days mrejee hapaa 1 in treding....

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 2 місяці тому +10

    Ipo siku nyimbo za Roma zitatumika kufundisha historia ya Tanzania.

  • @moodyramadhan336
    @moodyramadhan336 2 місяці тому +10

    Ukiacha mashairi mzee flow's n hatar

  • @kashiririrkaasongwisye9487
    @kashiririrkaasongwisye9487 2 місяці тому +25

    Roma kwa huu wimbo Mbingu zinafunguka Mungu akubariki sana

  • @hesaujames8004
    @hesaujames8004 2 місяці тому +7

    Daaaaah bro nyimbo imebeba hisia sana 😢 big up sana

  • @shijangosha7509
    @shijangosha7509 22 дні тому

    Kumwelewa huyu mwamba kunaitaji kichwa mwamba mm nakupa 🌹🌹🌹🥀🌺🌸yako kaka mungu akusimamie ktk safari yako

  • @user-ci1dk6zy3v
    @user-ci1dk6zy3v 2 місяці тому +4

    Sema huyu dada Latifah ameua sana kwenye hii ngoma
    🙌🙌🙌🙌❤

  • @Dannny690
    @Dannny690 2 місяці тому +130

    Tuliomjua Paka aliyevamia mawingu, tugonge likes hapa.

    • @laurent993
      @laurent993 2 місяці тому +4

      Huyo paka alivamiwa clouds fm😅

    • @TmKt-kx7pq
      @TmKt-kx7pq 2 місяці тому +2

      Wanaharakati walimsaka Ben hadi saa nane

    • @danielluvunzu553
      @danielluvunzu553 2 місяці тому +3

      Ni wale wahasibu wa Daladala Asa hivi yuko na Wadudu wa A City😂😂😂😂😂

    • @kingsanya6860
      @kingsanya6860 2 місяці тому

      ila roma ni moto wa utunzi

    • @EmanuelMrisho-gb5tt
      @EmanuelMrisho-gb5tt 2 місяці тому

      ua-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/v-deo.htmlsi=7eCqqIH_rV_cTze3❤

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 2 місяці тому +4

    Roma asipewe tu Maua yake. Ajengewe sanamu kabisa.

  • @swafaayunus2916
    @swafaayunus2916 Місяць тому +3

    Kenya 🇰🇪 tunasema East Africa Roma Top 💯🔥

  • @user-gy2nh7sq9w
    @user-gy2nh7sq9w Місяць тому +4

    Umetukosea kaka
    Kumbe kunamda hata saa mzima husema uongo😮

  • @Manjalino
    @Manjalino 2 місяці тому +43

    Kali sana like nyingi team roma

  • @GiftLuhanga-sl6vk
    @GiftLuhanga-sl6vk 2 місяці тому +16

    Latifah kaua sana 🎉🎉🎉.Roma huyu mdada ulikutana nae wapiiiii maaana ndo kwanza anasikika na ametembea sana....kama mkongwe wa game.

    • @BOB_SHEBY_NINJA
      @BOB_SHEBY_NINJA Місяць тому

      Kweli kabisa huyu dada apewe pongezi zake tu

  • @ibrahimmkala4336
    @ibrahimmkala4336 Місяць тому +6

    Kenya njooni hapa,this is now hiphop,si kuimba mapenzi na drugs saa zote,Hii ngoma unafaa kuiskiza kama mara 10 ndo ushike anasema nini,big up Roma,this is why i love Hiphop

    • @Tesha2000
      @Tesha2000 Місяць тому

      Tz wazee wa hip-hop ni roma, nay, dizasta,nacha wengne sijawaelewa ila nay na roma wajengewe sanam paleeeeeee makumbusho😊

    • @user-er3ss1gw8l
      @user-er3ss1gw8l Місяць тому

      Ata lugha inawashinda wapuuzi wanarudi kuimba kilugha

  • @geofreyanania1108
    @geofreyanania1108 2 місяці тому +5

    Ebana eeeeeeeeeeeeee bonge Moja la Ngoma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PizzoBeatz
    @PizzoBeatz 2 місяці тому +68

    Hapa huyu paka ni nani mniambie tafadhali Watanzania 🇰🇪🇰🇪..
    Kama unaamini hii albam ni kali zaidi ya yule muuza korosho like hapa

    • @johnsilima1629
      @johnsilima1629 2 місяці тому +2

      Ruto😢

    • @user-pb3ub3gl4q
      @user-pb3ub3gl4q 2 місяці тому +5

      Kamuongelea marehemu Magufuli kwa 90%, na Makonda kamuongelea kwa 10%(kuhusu kutekwa)

    • @user-kh8zm6cv8s
      @user-kh8zm6cv8s 2 місяці тому +1

      Li magufuli kudadaek

    • @triphonechami1037
      @triphonechami1037 2 місяці тому +2

      Paka Hayati Magufuli na panya ni Msaidizi wake

    • @frankkotte117
      @frankkotte117 2 місяці тому +1

      Anadiss maiti huyu😂😂😂

  • @naimunaimu2312
    @naimunaimu2312 2 місяці тому +7

    Vita vinasuhu kupona nimajaliwa. Kama umeelewa gonga like👍

  • @sulemohammed7820
    @sulemohammed7820 2 місяці тому +7

    Roma mwanaharakati wa kweli tz

  • @user-tb2yf5pr2d
    @user-tb2yf5pr2d 2 місяці тому +5

    one love bruh, msemaji wetu katika harakatii za hip hop

  • @chrispinally2420
    @chrispinally2420 2 місяці тому +50

    wale tunao mkubali Roma gonga like 👍🏾 tukisonga mbele 🤲🏾🤲🏾😅🔥🔥🔥

  • @josephtungu8936
    @josephtungu8936 2 місяці тому +5

    Roma kaka miaka yote hujawahi kosea nakubali sana

  • @othinielmnango4888
    @othinielmnango4888 2 місяці тому +4

    Roma apewe maua yake, kama unampa huyu mwamba maua comment hapa au like

  • @kuyengathomas876
    @kuyengathomas876 2 місяці тому +3

    Yaa ndo nyimbo tunataka sisi 🔥🔥🔥

  • @rashidally6642
    @rashidally6642 2 місяці тому +6

    Ok nyau nyau nyau atamfunga nani paka kengere😢

  • @naimunaimu2312
    @naimunaimu2312 2 місяці тому +3

    Roma siku moja ufanye colabo na tundu lissu. Mtaua Sana kwenye hiyo ngoma

  • @streetpoint8340
    @streetpoint8340 2 місяці тому +2

    Bado vita haina suluhu nakupona ni majaliwa sikuweza kusema pombe nilijua ningepaliwa!!!🔥🔥🔥🎵🎵

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 2 місяці тому +22

    Ngoja niwaambie ukweli watanzania iko hivi unaweza ukawa unamchukia mtu juu ya matendo aliyo kufanyia lakini ukawa unampenda kwa kazi alizo wafanyia walimwengu niseme tu Mungu akunariki Roma, Rest in peace Mzee wetu Magufuli ❤❤❤❤

  • @theclassicone7470
    @theclassicone7470 2 місяці тому +40

    Kwani aliyemteka Roma si ndo aliyevamia mawingu.... Hapo sasa

  • @jordanjonas8009
    @jordanjonas8009 2 місяці тому +6

    Hiiiih ndo baba lao 🔥🔥🔥🔥🔥 umeuwa sana kaka

  • @CHEKAPLUSSTV
    @CHEKAPLUSSTV 2 місяці тому +5

    Mze wa kujilipua🎉🎉❤

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 Місяць тому +3

    Mmmmmmh kaka we ni mtu na nusu bro👍

  • @Chimgege
    @Chimgege 2 місяці тому +5

    “Bado vita vina suluhu na kupona ni majaliwa nisingeweza kuisema pombe ningejua ningepaliwa”

    • @joshuasakwa1548
      @joshuasakwa1548 2 місяці тому

      Majaliwa ni nani huko 256 juu sielewi Mimi please

  • @user-dx8bk9oj4g
    @user-dx8bk9oj4g 2 місяці тому +62

    Panya wa kigoma waliyemjua wa like twende sawa😂😂😂😂

  • @richardelias3952
    @richardelias3952 Місяць тому

    Latifa ni next level, mziki una fitina wanaojua hatuwajui wasiojua ndio wanasumbua frequency za redio

  • @Dotto-m3b
    @Dotto-m3b 5 днів тому

    Oaaaah kaka mekubali aseee,,,, Sema just pull up pengine ukashikilia hip hop kama afande sele

  • @mugocomedy
    @mugocomedy 2 місяці тому +27

    NAOGOPA HADI KUICHEZA HII NGOMA MAGETONI🙌

    • @atenionesmo_A10
      @atenionesmo_A10 2 місяці тому

      😅😅😅😅😅kwann tena😅😅

    • @Kinqbenson
      @Kinqbenson 2 місяці тому

      Inaelewekaa vizuri 😁😁🔥🔥🙌

    • @GivenMgani
      @GivenMgani 2 місяці тому

      Icheze tu kaka mbona frshi tu

    • @yusufuyunusu7145
      @yusufuyunusu7145 2 місяці тому

      Uwe na mwanasheria🎉

    • @ziddyziddy2524
      @ziddyziddy2524 2 місяці тому

      Kwa kweli 😅😅😅😅​@@yusufuyunusu7145

  • @chogondizi7758
    @chogondizi7758 2 місяці тому +4

    Bado vita vina SULUHU na kupona MAJALIWA....kama una D 2 huwezi kuelewa huu mstari

  • @WasafiWasafi-up6du
    @WasafiWasafi-up6du 2 місяці тому +2

    Doooohhhh jameni hii ni moto tenaaaaaa ❤❤

  • @waridypeter5256
    @waridypeter5256 2 місяці тому +4

    Oyaaa we roma ni roma wew kama unamkubali roma piga like apa

  • @OmaryMastary
    @OmaryMastary 2 місяці тому +4

    Ya moto sana Ujumbe umefikaa penyewe😀😀😀😀

  • @BOB_SHEBY_NINJA
    @BOB_SHEBY_NINJA Місяць тому +16

    Big up sana bro
    Kwanza ujumbe mzuri
    Pili umetumia lugha ya kisanii
    Tatu umetoa kwa mda sahihi
    Nne umemshilikisha mtu sahii
    Basi gonga like kama na wewe umeyaona haya🥰🥰👍👍👍

    • @BOB_SHEBY_NINJA
      @BOB_SHEBY_NINJA Місяць тому +1

      Hivi huyu latifa ni nani yan kajua kuuwa tumpe mauwa yake tu🥰🥰🥰🥰😅👍❤❤❤

  • @dancemachinecrew6480
    @dancemachinecrew6480 2 місяці тому +2

    Hii albam sio poa song zote roma ntakuja kucoment tena nkielewa nyimbo maana nmeamua kubadilisha playlist kwanza niweze kuelewa maneno yako

  • @kennix6457
    @kennix6457 Місяць тому

    Roma tunakupa urai Kenya .bless up

  • @mofaya4807
    @mofaya4807 2 місяці тому +11

    Roma we mwanangu ila kwa magufuri mzee hapan 🙌

  • @simonshengena-nt9ws
    @simonshengena-nt9ws 2 місяці тому +3

    Daaah umeuwa Sana Kaka humu ndani ❤❤❤

  • @allychiranga9998
    @allychiranga9998 15 днів тому

    Oy uyukamaa inafikiria ni mwambaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @zebdayleonard8599
    @zebdayleonard8599 2 місяці тому +3

    Bado vita ina suluhu kupona ni majaliwa skuweza kuisema pombe ningejua ningepaliwa 😊 da

  • @stevenmarwa632
    @stevenmarwa632 2 місяці тому +3

    Roma wewe ni mkali sanaaa huna mpinzani hapa bongo

  • @Zanijasy-hy7vm
    @Zanijasy-hy7vm 2 місяці тому +3

    ”Panya wa Kigoma haeleweki, hatabiriki. Kuna muda Wenzie wanagoma, ila yeye anasaliti..” Dalali Zitto na ACT mkuje Kuna ujumbe wenu huku😂🙌🏾

  • @MfarijiNyange
    @MfarijiNyange Місяць тому

    Wow💪💪💪 nakukubali Big
    From 🇨🇩 Congo

  • @fredkyeyo
    @fredkyeyo 2 місяці тому +2

    Daah usanii kazii, IQ kubwa Roma, nmeanza kuchambua verse moja moja na bado hollaaaaa😂
    Naombeni summary

  • @worldrapamako3960
    @worldrapamako3960 2 місяці тому +243

    😂😂❤Demu wangu ashazoea hip-hop sababu Kila akija geto playlist yangu ningoma za Roma round Moja naanza na mathematic, viva Roma, 2030 alafu nakojoa kwa Zimbabwe dk kama 20 Sasa naongeza albam my jmoc tare 8/6/2024 njoo ujipakulie pumbu na albam kama kifungashio😂😂😂

    • @dheGamingking1
      @dheGamingking1 2 місяці тому +4

      😂😂😂😂😂😂

    • @MeshackKajela
      @MeshackKajela 2 місяці тому +11

      Mathematics mwisho kaka😂

    • @user-lx7fs5bf8u
      @user-lx7fs5bf8u 2 місяці тому +8

      Mbn akija Kwang anapenda afroest🎧🤣

    • @3malis
      @3malis 2 місяці тому +4

      😂😂😂😂

    • @KishoraKishoralimbu
      @KishoraKishoralimbu 2 місяці тому +6

      Tisha saana mtaalam ikibidi funga na booster kbsaa yaan mpka asemeeee🎉🎉🎉🎉

  • @athanaskimaro9664
    @athanaskimaro9664 2 місяці тому +3

    Panya wa kigoma msaliti sana mbwa huyu😢😢

  • @user-uv7op3id3s
    @user-uv7op3id3s 2 місяці тому +2

    Huyu jamaa kweli ni mwanahabari na sio rapa
    Karibu nyumbani mwamba paka kashiba ili tudai katiba yetu

  • @fredrickokoth1700
    @fredrickokoth1700 Місяць тому +1

    I love this song so much huyu mwamba mkali,na dada pia sauti iko on top

  • @user-yd2pu8ig8h
    @user-yd2pu8ig8h 2 місяці тому +7

    Daaah ulikuwa kimia sana kk

  • @peteressau-ul1rt
    @peteressau-ul1rt Місяць тому +4

    Da❤ huyu mwamba hatari sana mno ,

  • @dennisisrael2187
    @dennisisrael2187 2 місяці тому +1

    NGoma za mdau Yan nikisema nichungulie najikuta nmeckiliza ad mwsho one Love Viva Roma Viva

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 Місяць тому +1

    Bigup Roma, hujawahi kuukosea heshima mziki wa jamii, uko vzr kaka

  • @EmmanuelMbaga-mv2rm
    @EmmanuelMbaga-mv2rm 2 місяці тому +3

    Hujawah kuzingua kwangu nakubal sana kazi yako

  • @JamesKonga-tn4lm
    @JamesKonga-tn4lm 2 місяці тому +3

    😂katoliki for life wachape fimbo s wanashiba waooo paka hawakalibishi wacha watuachie shombo si wanalitafuta Arround the World

  • @AllyMAlly-cr6uw
    @AllyMAlly-cr6uw 2 місяці тому +2

    ROMA ROMA ROMA, Namuona Mkoloni ndani yako

  • @theemayor1960
    @theemayor1960 Місяць тому

    from kenya; Roma kiukweli we ni🔥🔥 siku moja paka atatoweka na panya atatawala