MBARIKIWA AIBUKA na KIFO CHA MARCO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 252

  • @EdwardMwasyamula
    @EdwardMwasyamula 16 днів тому +7

    Elimu ya Tanzania ni KUFANYA kazi kwa halaka nikuesabu sana ya mshahala tu bila kufikili chochote Asante mungu kwa lbada hizo zinazo ENDELEA

    • @mchungajiZachariatv
      @mchungajiZachariatv 11 днів тому

      ua-cam.com/video/4QZ1UuNkcQI/v-deo.htmlsi=EdQkPnn7TI_GEKzA
      Roho ya mauti imeteketea
      Fuatilia video hii uone maajabu
      Haya

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 17 днів тому +9

    Mmbalikiwa Asante sana Kwa somo. Fundisha watu tuelewe vifo vingi ni uzembe , na madkt weng TZ hawana mafunzo yakutosha

    • @mchungajiZachariatv
      @mchungajiZachariatv 11 днів тому

      ua-cam.com/video/4QZ1UuNkcQI/v-deo.htmlsi=EdQkPnn7TI_GEKzA
      Roho ya mauti imeteketea
      Fuatilia video hii uone maajabu
      Haya

  • @Leokadiangailo
    @Leokadiangailo 19 днів тому +15

    Mbarikiwa mungu akupe cku za kuishi

  • @beatricechepkorir9138
    @beatricechepkorir9138 12 днів тому +2

    Very true man of God very very true mimi nakupenda kwa sababu wewe husema ukweli mungu Akupe hekima zaidi

  • @donathajasson6401
    @donathajasson6401 17 днів тому +8

    Dah wewe jamani Mimi naamini kama Mungu hajaamua ufe haufi Mungu ndivo alivopanga Baba yangu waache Madaktari

    • @constancewakio604
      @constancewakio604 13 днів тому +1

      Kabisa Mungu hashindwi angetaka Marco aishi wala asingekufa

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 13 днів тому

      🤣🤣🤣
      NDO MAANA NAWACHUKIA SN VIONGOZI WA DINI..😡😡 wameua uwezo wa watu KUFIKIRI NA KUGEUZA MUNGU NDO MUAJI,, Yaan me nikose MAARIFA, niangalie mimi afu MUUAJI awe MUNGU 🤔🤔🤔 Hii ni Sawa na MZINZI kusema Aah. Alikuwa SHETANI TUU

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 18 днів тому +8

    Mungu,tusaidie.na matokeo ya mtihani kutolewa na mwl wa chuo ni mbaya kuliko.Bora Necta itoe matokeo.Wanaostahili hawapati wanapata wasiostahili

  • @user-sf4hf1my3m
    @user-sf4hf1my3m 18 днів тому +13

    Mtoto wangu aliwahi kuvunjika mkono akiwa anacheza na watoto wengine nyumbani............ tukampele hospital yawanajeshi HOSPITAL MILITARY nilikua naishi nchini BURUNDI kipindi hicho Tukaonana na dactari mbingwa wahiyo hospital anayeamika kuwa anahusika na watu waliyovunjika mifupa..... akatwambia kuwa tunatakiwa tutafute kiasi fulani cha fedha ili apasuliwe maana mkono ulikuwa umepinda kidogo akasema pia itabidi awekewe chuma... mimi nilipo sikia habari za kupasuriwa mkono wa mtoto wangu nakuwekwa chuma niliogopa..... Sikuamini tatizo nikubwa kiasi hiko...... nikamwambia sawa acha twende leo nyumbani tutafuta hizo pesa kwanza tutamurudisha kesho kiukweli sio kwamba nilikua sina pesa mdahuo nilikua nazo......... ila nilisita kubaki kwahiyo Hospital kesho ilipofika asubihi nikahamia hospital nyingine iko BUYENZI wanaita kwa SIMBA..... tulipofika tukaingia kuonana na dactari akahangali mkono wa mtoto ulivo akatuandikia BILL ya elfu albaini 40mill tu Wakachukua mtoto wakamunyosha ule mkono ili mfupa ukae sawa sawa wakamwekea vile vitu wanavyo weka kwa mtu aliyevunjika kawaida wakamuandikia na dawa za kumeza za maumivu tukazinunua siku hiyo tukarudi Nyumbani .... bila kupasuliwa, Mtoto wangu amepona Vizri huwezijua kama alishawahi kuvunjika mkono bila kuambiwa na mtu... .. Mkono wake uko sawa sawa kabisa ...... kwahiyo Mchungaji uko sahihi unachokiongeea ni kweli kabisa..... Jamani ndugu zangu elewa Vingine madagitari wanafanya ili waendeleze ujuzi wao kwenye mili yetu....... hivi TANZANIA kunawatu wangapi walishawahi kupasuliwa upasuwaji mkubwa kama huo wa ndugu yetu Marehemu MARCO ambao wapo wamepona? ili tuamini kwamba Marco yeye ilikuwa ni mapenzi ya Mungu alitowa na akatwa jina lake lihimidiwe........... inauma sana😭😭😭😭😭 Sitaki kuongea mengi ila Mungu awahurumie madagitari wetu. Maana kwa kweli niwatu wazuri na wabaya pia.

    • @gracemarcus1146
      @gracemarcus1146 18 днів тому +1

      Nimejifunza kitu kupitia wewe Na Mungu aturehemu

    • @AliceAlistidia
      @AliceAlistidia 15 днів тому

      Ndo hivo madactali wote wanajifunza upasuaji kwenye miwili yetu na wengi wao ni kubebwa tu Awana uwezo wowote mi mama angu nilikataa akikatwe miguu mpk saiv yupo tz akuna madactali bingwa ni move tu pole sana kwa wafiwa wote kijana kaondoka Bado mapema😭😭😭😭😭

  • @amoskizigha4781
    @amoskizigha4781 12 днів тому +3

    Mwisho wa siku bongo kila mtu anajifanya daktari..

  • @EsauKalanje
    @EsauKalanje 17 днів тому +7

    Mbona maneno ni mengi sanaaa, tumwachie Mungu, sasa mwisho mnakufuruu

    • @EdwardMwasyamula
      @EdwardMwasyamula 16 днів тому

      Mambo yote YANAYO kusumbua mwachie mungu ila sisi hii ni Elimu muhimu sana na anatuelimisha ambalo tunauwitaji WA kujua

    • @ASHOCKSEYAGARA
      @ASHOCKSEYAGARA 15 днів тому

      Jaman unachosema nikwer family 💞 hata ambao huwez Amin wanasema maneno mpaka jamaniiiii

  • @jmihenga9079
    @jmihenga9079 16 днів тому +5

    Watumishi acheni kuwa na mihemko,madaktari wetu wako vizuri tu na wanafanya kazi nzuri tu,mapenzi yetu kwa mpendwa wetu yasitufunge macho na kusahau maelfu wanaoponywa kila siku na madaktari wetu hawahawa tunaowabeza leo.

    • @nembibenard8440
      @nembibenard8440 15 днів тому

      Acha ujuaji ww mtu afe kwa uzembe watu wasiongee?

    • @MiragorethLaswai
      @MiragorethLaswai 15 днів тому

      Samahan unajua Hy Hali iliyompata au unaongea tuu fungua you tube andika aortic aneurysm halafu uone huo mshipa uliopasuka halafu uniambie umeelewa Nini achen kupotosha​@@nembibenard8440

    • @MiragorethLaswai
      @MiragorethLaswai 15 днів тому

      Kabisa wanaingilia taaluma ambazo hawajazisomeaa acha mbarikiwa kupotosha

    • @MiragorethLaswai
      @MiragorethLaswai 15 днів тому

      ​@@nembibenard8440na wewe ulikuwa nenda india ukapate matibabu

    • @mchungajiZachariatv
      @mchungajiZachariatv 11 днів тому

      ua-cam.com/video/4QZ1UuNkcQI/v-deo.htmlsi=EdQkPnn7TI_GEKzA
      Roho ya mauti imeteketea
      Fuatilia video hii uone maajabu
      Haya

  • @medardkalinjuma5503
    @medardkalinjuma5503 18 днів тому +6

    Asee hii ni hatari, na kweli Munishi nmemsikia nawewe pia ,nikama kuna kitu napata had sielewi tutawezaje kupona ikiwa ndivyo ilivyo,lkn Bwana Yesu atatupigania hakika

    • @mchungajiZachariatv
      @mchungajiZachariatv 11 днів тому

      ua-cam.com/video/4QZ1UuNkcQI/v-deo.htmlsi=EdQkPnn7TI_GEKzA
      Roho ya mauti imeteketea
      Fuatilia video hii uone maajabu
      Haya

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 18 днів тому +3

    Mtumishi ukweli Mimi piaa nilienda hospital nilienda nikiwa na umwa mkono na mguuu chaajambu nika ambiwa Nina uvimbee kwenye ubongoo wakanambia ina takiwa wanani fanyiee upasuaji nikaenda kupima sehemu nyingine Hawa kuona kituu ukweli usipoo kuwa nawatu wenye kufikili kwakinaa una weza jikuta unakufaa kabla ya wakatii

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 18 днів тому +15

    Rafiki yangu na classmate wangu Emanuel Marishai alipasuliwa kichwa badala ya got
    Wanaomkumbuka ☝️

    • @Fx_expertmoneymaker001
      @Fx_expertmoneymaker001 17 днів тому

      Daah kwahyo alikufa?? 😢😢

    • @jonathankessy9615
      @jonathankessy9615 17 днів тому

      @@Fx_expertmoneymaker001 hapana ila aliparalyse yule aliyepasuliwa kichwa

    • @jonathankessy9615
      @jonathankessy9615 17 днів тому

      @@Fx_expertmoneymaker001 aliyepasuliwa goti badala ya kichwa ndiye alikufa

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 19 днів тому +8

    Mbarikiwa amuwezi kuimba nyimbo zote zinafanana hapana kanisa aliimbi nyimbo za harakati. Kanisa litaimba nyimbo za kumtukuza Yesu tu! Lakini siyo wote madactari wabaya wengingine wako wacha Mungu. Na kama tutakataa madactari wetu swali je ni wangapi wanakipato cha kwenda nje? Muhubiri kristo tu ayo mengine achia wanaharakati. Paulo anasema kufa ni faida kwa anaye mwamini kristo. Iwe wamepanga ama Mungu kapanga. Cha msingi tutakufa, na kuishi ni kristo. Tukiacha kumuhubiri kristo tutaingia kwenye mtego wa wanaharakati. Kumbuka Mungu alitabiri kufa kwa Yesu. Swali je nani atatimiliza unabii uo? Lazima watu wapange mabaya juu ya BWANA Yesu

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 19 днів тому +1

      😂😂😂😂kwani Kristo tunayetakiwa kumhubiri anataka tuishije? Je, anataka tutangaze jina la Kristo au tutangaze mafundisho ya Kristo?

    • @UAMSHOTV
      @UAMSHOTV 19 днів тому +1

      Ni Kwa sababu hata Maana ya Kristo huijui, waefeso 2:12 inasema zamani tulipokuwa hatutendi mema ndio tulikuwa hatuna Kristo, Kristo hasa ni MATENDO MEMA YAKUZUNGUKE WEWE NA JAMII YAKO.. wewe unaabudu Mungu ASIEJULIKANA MATENDO 17:23

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079 18 днів тому +2

      Rahisi kuwa na maelezo mengi kwa kuwa hayajakukuta

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 18 днів тому

      Hivi akiimba nyimbo na ma Dr ikawaingia wakajitambua tuwaokoe vipi wanadamu huko sio ndio kumtukuza yesu au Mungu kifupi Mungu kwa vyovyote vile anahaja na sisi wanadamu sio wanyama sijui harakat nini unavyojua

    • @cylviapatric7343
      @cylviapatric7343 18 днів тому

      Hata kwenda muhunbur tu syo kaz ndgo wapendwa kwa sa wa hal ya chin

  • @elizabethchiwamba8372
    @elizabethchiwamba8372 3 дні тому +2

    Mimi ni Muuguzi Mkunga, ni kweli kazi yetu ina lawama sana, sana, na siyo kweli mnavyosema ,laiti na ninyi mngewashauri ndugu zenu wa karibu wasomee hii tasnia ili waone ugumu wa kazi tuliyonayo, msingetukashfu namna hiyo! Ila kwa vile mhukumu wa haki na kweli yupo, ameketi mkono wa kuume wa MUNGU BABA AMBAYE NI YESU KRISTO! NDIYE ATAKAYETUHUKUMU KATIKA HAKI NA KWELI.

    • @evflorasoledad1437
      @evflorasoledad1437 3 дні тому

      Ameen

    • @doricebilauri5081
      @doricebilauri5081 День тому

      Elizabeth endeleeni kufanya kazi njema...lawama hazikwepeki..ukifanya utalaumiwa hata usipofanya pia utalaumiwa..

  • @righitkileo
    @righitkileo 18 днів тому +7

    ❤❤paulo anasema Kufa ni Faida na kuishi ni Kristo.Kama Yesu Kristo alikufa sisi ni Nani???? Nyie mnaojiita Watumishi mnafundisha nn??Acheni kuumiza wafiwa.kama huna cha kusema kaa kimya .Shinwa kabisa ktkt Jina la Yesu,

    • @nembibenard8440
      @nembibenard8440 15 днів тому +1

      Kwa sababu aliekufa sio ndugu yako ndio mana unaongea ujinga Tanzania hatuna ma doctor wakufanya operation kubwa kama hizi hatuna watu wengi sana wanakufa hatuwajui huyu maarufu ndio mana tumesikia lakini waliowengi wanakufa watu wanaenda kupimwa wanaambiwa wanamagonjwa yasiotibika wakienda nje wanapona alafu ww unaongea nn acha watu waseme kama ww unaogopa kaa kimiya wenye ujasiri wa kusema acha waseme

    • @chisugimunvanesa2352
      @chisugimunvanesa2352 11 днів тому

      Marehemu alishaenda zake,musiongeye kuhusu marehemu!Heri muendeleye kuombea watoto wake na kuwasaidia pia,hizo ma dactari ndiyo walifanya afariki haraka,operation wa moyo siyo kila ma dactari!Mungu asamehe hizo ma dactari

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 6 днів тому

      ​@@nembibenard8440
      Wewe kuna vifo vingine ni makosa ya kibinadamu ndugu yangu, Mf ,ndiyo ukipewa dawa hospitalini unapewa utaratibu wa jinsi ya kuzitumia, Ukikosea matumizi ya dawa zinakudhuru na unaweza ukapoteza uhai

  • @daliaangelo3242
    @daliaangelo3242 13 днів тому +2

    Muachie Mungu kwa maana ukiongea hivyo maumivu yanaongezeka ,hacha Mungu hajawahi shindwa na ndo anayejua

  • @ShukranMustapha
    @ShukranMustapha 18 днів тому +11

    Endelea kuimba Tenzi Mtumishi haya mengine unatuchosha wakati wa harusi waimbe nyimbo za msiba?

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 18 днів тому

      😂😂😂

    • @SeljusiMalambo
      @SeljusiMalambo 18 днів тому

      Kasema kweli watalamu hatuna niujinga mwingi wamakalatasi

    • @myself4128
      @myself4128 18 днів тому +1

      Mawazo ya Vijana wa Tanzania ni kama Mawazo ya Misukule,yaani wewe Unatia huruma

    • @mchungajiZachariatv
      @mchungajiZachariatv 11 днів тому

      ua-cam.com/video/4QZ1UuNkcQI/v-deo.htmlsi=EdQkPnn7TI_GEKzA
      Roho ya mauti imeteketea
      Fuatilia video hii uone maajabu
      Haya

  • @ibrahimmasanja9097
    @ibrahimmasanja9097 18 днів тому +12

    Ila huyu mchungaji Mungu amsaidie tu leo kwa mara ya kwanza naandika waziwazi

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 18 днів тому

      Nacheka
      Kwann unasema hivi?

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 18 днів тому +1

      Anashida ya kisaikolojia anahitaji msaada.

    • @mchungajiZachariatv
      @mchungajiZachariatv 11 днів тому

      ua-cam.com/video/4QZ1UuNkcQI/v-deo.htmlsi=EdQkPnn7TI_GEKzA
      Roho ya mauti imeteketea
      Fuatilia video hii uone maajabu
      Haya

  • @janewambui6608
    @janewambui6608 18 днів тому +2

    I support Munishi. Marco did not have a heart attack but a blocked artery. Unlocking the artery was the solution. Mot slaughtering someone like a goat. 😮😮

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 18 днів тому +1

      Munishi nmwibaji na cjasikia amewai kuwa doctor,uyu naye nmtumishi Wala sio doctor,,nkurobokwa kumewajaa tu

    • @doricebilauri5081
      @doricebilauri5081 День тому

      ​@@JacksonMutinda-jw5qw😢

  • @RobertEmmanuel-pl9jj
    @RobertEmmanuel-pl9jj 17 днів тому +1

    Ubarikiwe sana baba. Nilipomsikia munisi mimi nilimuelewa sana kumbe nawew umeona....Mungu akutunze sana mwe

  • @alphabartazary9692
    @alphabartazary9692 18 днів тому +3

    😭 Kasome na wewe wakupe huo udaktari Ili tuwe tunatibiwa kwako

  • @Asidonia
    @Asidonia 17 днів тому

    Tushkru mungu kwan marko amepigana vita ameumaliza mwendo mungu na atamvika taji ya uzima wa milele,kifo ni njia na kila mmoja atapita kwa namna yake.Tusikufuru ni safar yetu sote.Polen sana.

  • @RoseKinunda
    @RoseKinunda 19 днів тому +7

    Duu yaan ww mchungaji bakukubali sana❤❤❤❤❤

  • @NyemoJairos
    @NyemoJairos 18 днів тому +3

    Mtu akisema ukweli mwamtukana,,,,akiwapanga mwashangilia mh 😢😢😢

  • @Kahindi-k2o
    @Kahindi-k2o 19 днів тому +3

    Muwepole mungu awapefaraja

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 19 днів тому +6

    Jaman shukuruni kwa kila jambo maneno mengi mwisho mtakufuru

    • @modestapeter2997
      @modestapeter2997  19 днів тому +4

      Akifa kifo ka hiki mwanao uje utufundishe kushukuru

    • @lucasmollel4919
      @lucasmollel4919 18 днів тому

      Punguzeni ujuaji ​@@modestapeter2997

    • @bitumwatemu2731
      @bitumwatemu2731 18 днів тому +1

      We nan kakwambia wanae ataishi milele? Au unajua kila mtu kaandikiwa kifo gani? Haya tuambie ww .. labda unajua marco alikuwa ameandikiwa afe kifo gan? Maana hiki unakikataa unaamn hakikuwa chenyewe hk kimesababishwa na uzembe wa watu. Acheni kkufuru kila nafsi itaonja umauti .. sali kabla hujasaliwa.

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 18 днів тому +1

      Tatizo mbarikiwa Wewe unaongea sana unajifanya dictionary Kila kitu unajua wewe acha hizo huo siyo uhubiri unaongea mpaka uanaboa

    • @lwakainaza
      @lwakainaza 18 днів тому

      Analeta siasa katika tiba.​@@alexvenas2699

  • @StelaEliabi
    @StelaEliabi 17 днів тому +1

    Mtashangaa sana pale mtakapo ona kindi la zabroni likiendelea kumtukuza mungu kwa uzuri kabisa shindwa kabisa

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 18 днів тому +2

    Kufa haiji bila wakatiwake 😢

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 19 днів тому +5

    Kweri kabisa mm niliambiwa nikwanguliwe jicho bahaty nzuri nikakutana na dakitali tunae juana akanizuia na kunipa ushauri na kunituma kwenye huduma na mpaka reo sijaona shida chicho

    • @Frank255-e5g
      @Frank255-e5g 18 днів тому

      Habari boss

    • @saimongilala8938
      @saimongilala8938 18 днів тому

      @@Frank255-e5g sarama sana

    • @Frank255-e5g
      @Frank255-e5g 18 днів тому

      @@saimongilala8938 Nina tatizo la macho kinyama kinaota kwenda kwenye kiini Cha jicho naomba namba yako ili unisaidie ndugu yangu

    • @Fx_expertmoneymaker001
      @Fx_expertmoneymaker001 17 днів тому

      Ni wapi huko na mm nna shida ya macho.. 😢😢

  • @catherinewanjiru1055
    @catherinewanjiru1055 11 днів тому

    Lakini jamani ,tuwe na habari kamili ya the Diagnosis of the patient kabla ya kutamka lolote kwa wauguzi wetu.Hamna hata mmoja wetu ambae ameugua na kutibiwa akapona Nchini Tz?

  • @josephmarwa1295
    @josephmarwa1295 18 днів тому +6

    😅kamahakusitahili kufa ulitakanani afee? Wakati Mungu anawahitaji watukama hawa watendaomema ifahamkweli kwanza ya Mungu baas hautasemahivyotena

  • @NelONYANGO-y9d
    @NelONYANGO-y9d 16 днів тому

    Dah kweli mjomba angu alifanyiwa uparesheni ya mgongo pesa nyingi ilitumika ila akupona alikufa mungu awalaani walitoa uwai wa mjomba angu wao na vizazi vyao

  • @StevenMsome-xc5zw
    @StevenMsome-xc5zw 18 днів тому +1

    Ninyi ndio watu wasiyo na roho watu wa dunia hii tu waletao mafarakano

  • @Zuwenamchuzi
    @Zuwenamchuzi 11 днів тому

    Mungu aipokee loho yako kaka imetuachia majonzi

    • @desolz3809
      @desolz3809 11 днів тому

      Siyo loho...😂😂😂 ni roho

  • @sifahamuli6902
    @sifahamuli6902 12 днів тому

    Kwa nini walimufanya operation ?
    Hafanani mwenye anaenda kufa😮😮

  • @janejoel2465
    @janejoel2465 19 днів тому +4

    Yaan kweli kabisa madaktali wakati mwingine sijui wanakuwa napombe kidogo kichwan!! Mama yangu kidogo afanyiwe upasuaji wa macho tusinge tuma vipimo nje, bado kuna mtoto walisema ana saratan ya jicho anatakiwa afanyiwe upasuaji, bahat nzur kuna daktali alisema aone vipimo na kama vip apimwe tena mtoto , baada akagunfua kuwa jicho halina shida hiyo!!! jaman Kwakweli ni changa moto

    • @DivinePromise-sv3qq
      @DivinePromise-sv3qq 19 днів тому

      Madaktari wetu ni changamoto Mimi ni muhanga nimeshuhudia hayo makosa kwa macho yangu niliambiwa na uvimbe wa kufanya upasuaji lkn nilienda hospital nyingine nilipewa dawa na nikapona ilikua 2021 saa hizi ningeshazikwa muda mrefu sana

    • @thelivingwordchannel9027
      @thelivingwordchannel9027 18 днів тому

      Madaktari hasa vijana siwaamini kabisa

  • @bahatinyandula6425
    @bahatinyandula6425 18 днів тому +1

    Jitaidi nduguyangu mbarikiwa kuongea machache ,angalia usije ukaumwa na kupelekwa hospital, wakati madaktari unawasema hawana uwezo wakutosha na mambomengiiiiii

  • @officialgiventz5829
    @officialgiventz5829 18 днів тому +2

    Figo inaangaliwa kwenye ultrasound scan sio x ray, usiwe mjuaji too much vitu vingine ni vya kitaalamu

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 18 днів тому +2

    Jamani hebu tuwaachie madaktar,mbona wachungaji kila idara mnataka muwe nyie,siasa nyie,Leo mmeingia tena kwa madaktar,tumekwisha,ongea huu upuuzi kwa wazungu,utaishia jera,acheni wenye fani jamani,hiyo sio fani yako

    • @odamssanga6871
      @odamssanga6871 18 днів тому

      Mcha Mungu ni Nuru ya ulimwengu, ya kumulika uovu kila mahali, haijalishi unatendwa na nani, yaani bila kujali cheo chake

    • @odamssanga6871
      @odamssanga6871 18 днів тому

      Ezekieli 3:16
      Hata ikawa, mwisho wa siku saba, neno la BWANA likanijia, kusema,
      Ezekieli 3:17
      Mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi wa nyumba ya Israeli; basi, sikia neno hili litokalo katika kinywa changu, ukawape maonyo haya yatokayo kwangu.
      Ezekieli 3:18
      Nimwambiapo mtu mbaya, Hakika utakufa; wewe usimpe maonyo, wala husemi na huyo mtu mbaya ili kumwonya, kusudi aache njia yake mbaya na kujiokoa roho yake; mtu yule mbaya atakufa katika uovu wake; lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.
      Ezekieli 3:19
      Lakini ukimwonya mtu mbaya, wala yeye hauachi ubaya wake, wala njia yake mbaya, atakufa katika uovu wake; bali wewe umejiokoa roho yako.
      Ezekieli 3:20
      Tena mtu mwenye haki aiachapo haki yake, na kutenda uovu, nami nikiweka kikwazo mbele yake, atakufa; kwa sababu hukumwonya, atakufa katika uovu wake, wala matendo yake ya haki aliyoyatenda hayatakumbukwa; lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.
      Ezekieli 3:21
      Bali ukimwonya mwenye haki, kwamba yule mwenye haki asitende dhambi, tena ikiwa yeye hatendi dhambi, hakika ataishi, kwa sababu alikubali kuonywa; nawe umejiokoa roho yako.

    • @odamssanga6871
      @odamssanga6871 18 днів тому

      Ezekieli 33:7
      Basi wewe, mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi kwa nyumba ya Israeli; basi ulisikie neno hili kinywani mwangu, ukawape maonyo yangu.
      Ezekieli 33:8
      Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.
      Ezekieli 33:9
      Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye asiiache; atakufa huyo katika uovu wake, lakini wewe umejiokoa roho yako.

    • @odamssanga6871
      @odamssanga6871 18 днів тому

      Isaya 58:1
      Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.

    • @Frank255-e5g
      @Frank255-e5g 18 днів тому

      Watumishi ndiyo wenye kweli ya mungu nakwakua Kila mamlaka inatoka kwa mungu basi wao ndiyo viranja kuchunguza mamlaka hizi kama ni zanamna gani kwahiyo tuna Imani na watumishi wa mungu japo wanapitia magumu mengi

  • @GodlistenMariki
    @GodlistenMariki 5 днів тому

    Kwel kabisa baba

  • @KizaNyoni
    @KizaNyoni 18 днів тому +2

    Nakukubali kabisa sifa

  • @DavidJunior-s4n
    @DavidJunior-s4n 18 днів тому +2

    Mhungaji unakuwa mchochezi madactari waonekane hawaijui taaluma yaoooo jamaniiiiiii

  • @gabrieljuma1459
    @gabrieljuma1459 18 днів тому +3

    Kweni ww ni Mungu yaani ww kila kitu mjuaji

    • @modestapeter2997
      @modestapeter2997  18 днів тому +1

      @gabrieljuma Kama vile ilivyo wewe kila kitu hujui kwani wewe ni shetani?

    • @bitumwatemu2731
      @bitumwatemu2731 18 днів тому

      Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Jichunguze​@@modestapeter2997

  • @mariayegela239
    @mariayegela239 13 днів тому

    Mchungaji yupo gerezani au naonaje🤦

  • @user-mi5ur8re7p
    @user-mi5ur8re7p 18 днів тому +2

    💔😭😭😭😭 Inaniuma sanaa,

  • @florahlaanyuni8553
    @florahlaanyuni8553 17 днів тому +1

    Mimi pia ni muhanga, yaani nakumbuka kabisa kuna siku nilikuwa naumwa tu maumivu nikiwa mjamzito wa wiki 6 na kila ujauzito wangu uliopita mara kwa mara napata maumivu makali sana huwa napewa tu drip ya maji basi, sasa siku hiyo nikapelekwa hospitali fulani cha ajabu nilichomwa sindano mbili hata sijamaliza masaa mimba ikatoka. Sometimes uzembe ni mwingi sana kikubwa Tuombe sana tunapoumwa Mungu atupe madaktari sahihi

    • @modestapeter2997
      @modestapeter2997  16 днів тому

      😢 duh!

    • @maryaugustor6983
      @maryaugustor6983 14 днів тому

      Hao ndio walikosea kwa nn hawakumpeleka Nairobi hospital I mean KUNA doctor's hapa KENYA Kwanza professional sasa hivyo pesa ya ndege mpaka DAR SALAM huoni ingemtibu TU vizuri tena yy walimwimbia president wetu kama walikuwa hawana pesa wangemwita tu angewasaidia anyway ishafanyika SIKU nyingine ikifanyika kitu jua Kenya wamesoma na malengo na wanafanya kazi KWA roho Moja poleni wafiwa.

  • @Kadiam726
    @Kadiam726 17 днів тому

    Asante kwa kuenekeza ukweli dhidi ya swala hili

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 18 днів тому

    Ameongea point huyu baba msikilizeni kwa makini sana anaongea ukweli mtupu kuna rafiki yangu alifanyiwa operation ya fibroids aka anza ku bleed ma dr na manesi wakakimbia mbio wakamuacha amekufa kifo kibaya sana juu ya operation table kuna tatizo la ma dr Tanzania huo ni ukweli

  • @PetrolBhulugu
    @PetrolBhulugu 18 днів тому +3

    Hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe iwe kusudi iwe bahati mbaya iwe ni uwezo mdogo wa madakitari, tuseme mungu karuhusu kifo cha huyu ndugu na mimi kipindi hiki tuwape faraja wafiwa

  • @DidierAKILIMupimbidjumaDidier
    @DidierAKILIMupimbidjumaDidier 17 днів тому

    Oooh lalala poleni sana ndugu zangu wa Zabroni

  • @PhinaEdmund
    @PhinaEdmund 18 днів тому +2

    Bwana ametoa na Bwana atwaa jina la Bwana libarikiwe.. Pokeeni sana wafiwa.. Tumshukuru Mungu kwa yote

    • @odamssanga6871
      @odamssanga6871 18 днів тому

      Ndo ujinga waliowaingizia wazungu kuwa kila kifo ni bwana katwaa, waafrika tufike mahala tuamke na kupaza sauti kwa pamoja kuleta haki Duniani, tusibaki na unyumbu nyumbu tu, wa kwa kuwa halija kukuta wewe, nawe litakukuta tu.

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 18 днів тому

      MUNGU atabaki kuwa MUNGU angetaka angezuia hata huo ugonjwa usingempata punguzeni kelele

  • @user-dy8ss4ly8z
    @user-dy8ss4ly8z 16 днів тому +1

    Kuishi kwetu ni kristo na kufa ni faida

  • @godliverokwero5233
    @godliverokwero5233 19 днів тому +2

    Yes true

  • @GloryChristopher-mq4ci
    @GloryChristopher-mq4ci 7 днів тому

    Ujuaji ukizidi unaleta hasara mchungaji leo kawa doctor dah. Kila kazi ina ugumu wake kama ulifungwa ni ugumu wa kazi yako. Yesu alifufua wafu kwanini ahukwenda kumuombea afufuke. Utasema sio gharama yako sawa.
    Na doctor nikutibu tu na sikurudisha uwai wa mtu
    Unajua kutengeneza hela hii sio injili tena
    Siasa , kiki, dah vimeamia kanisani

  • @Gospelactorstv
    @Gospelactorstv 18 днів тому +1

    Mwachieni Mungu mwenyewe

  • @constancewakio604
    @constancewakio604 13 днів тому

    Death is spiritual just leave doctors alone they only treat, God heals if it was not the will of God for him to die he cud be leaving right now so lets just stop blame games guys..the will of God was done on earth as it is in heaven though it hurts so much😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @KidsKornerTV-ul6hs
      @KidsKornerTV-ul6hs 11 днів тому +1

      Kwanza from Kenya, if it was the will of God wangekaa Kenya kutibiwa. He should have been treated hapa Kenya.😢

    • @constancewakio604
      @constancewakio604 11 днів тому

      @@KidsKornerTV-ul6hs exactly

  • @crispakyando8854
    @crispakyando8854 7 днів тому

    Tutasikia mengi

  • @ManaseLazaro
    @ManaseLazaro 13 днів тому

    Operation kubwa kama hizi,Nchi yetu haijashindwa kuajiri wataalam kutoka nje ya Nchi,ni tatizo sana kama Taifa lisipokua makini na watu wake.

  • @Spark8Technoo
    @Spark8Technoo 17 днів тому

    Jmn Mungu nisaidie nihepushe na hizo balaa

  • @andriessegotsane
    @andriessegotsane 18 днів тому +1

    Ko hapo anahubiri kanisani au ?

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha 18 днів тому

    Familia ilifanya kosa kumleta Dar walipo juwa tatizo ni Moyo wange kaa chini wawe namaamuzi sahii wangapi walisha pita operesheni Dar wakapona hapo wangepata majibu sahii uwezo wanao tena sana wange mpeleka Indian angepona safari ya Kenya tu Dar angefika Indian

  • @NyanyamaNkombe
    @NyanyamaNkombe 18 днів тому

    Naupenda sana utumishi wako Baba

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 18 днів тому

    Mume wangu pia alifariki kwa kuziba mishipa ya damu, damu ikawa haifiki kwenye moyo ilikuwa ni kipindi cha corona basi hakupata matibabu wakang'ang'ania kuwa ameshikwa na corona basi tukamuangalia mpaka akafa😢 na walisema kabisa damu haifiki kwenye moyo kakini walivyokufa wakasema ni corona! Basi nashukuru Mungu kwa yote😢😢

  • @VeredianaKalembi-gs4vs
    @VeredianaKalembi-gs4vs 12 днів тому

    Jamani TUACHE maneno mengi juu ya Kifo Cha wengine kwani India hawafi? Ikifika utakufa tu

  • @user-pw5lb6or4z
    @user-pw5lb6or4z 18 днів тому +1

    Kama mungu kauwa kumchukwa mtuu wanke una weza kumponya mungu kashamwa

  • @user-vh2qd6zu4o
    @user-vh2qd6zu4o 18 днів тому

    Ndio Yan bongo ni kazi sana bado tunatamaha ya pesa 17m zirudishwe

  • @MasumbukaNhagara
    @MasumbukaNhagara 13 днів тому

    IV kweli mtu uugue ghafla ufe kusafr kwend nje ishndkane ndan y wik mojtyuu

  • @NelsonDavid-f6u
    @NelsonDavid-f6u 12 днів тому

    Acha maneno yako we Mzee

  • @AlexWilliam-r2p
    @AlexWilliam-r2p 18 днів тому

    Jmn uxongee maneno ayo family na watanzania tupo kwenye wakat mgumu wa kumuombolez kjna ,rafk,ndugu yetu jmn

  • @vascoaidan8648
    @vascoaidan8648 12 днів тому

    Kwani huyo mgonjwa ndo alikuwa wakwanza kufanyiwa hiyo operation? Au wote waliofanyiwa hiyo operation wamefariki kwa jinsi hiyo?

  • @leonaherman1249
    @leonaherman1249 18 днів тому

    Au usomee udaktari mana unaujua udaktar zaidi..... Unayoongea hayana maana zaidi ya uchonganishi mana wakwenda ameenda acha familia iomboleze kwa amani

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l 18 днів тому

    Wewee nawe mbarikiwa kuna muda sjui hujielewiiiii unasemaj hakustaili kufa kwani wwe ni munguuu hbr y vifo ni kazi ya munguuu hakuna wa kuweza kuzuiaaaaa

  • @CostansiaMtwigu-xh8li
    @CostansiaMtwigu-xh8li 17 днів тому

    Acheni uongo jamn muwe na woga kila mtu ataonja mauti

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 18 днів тому

    Ni kweli kaka tumekuwa tukifanyiwa majaribio ktk miili yetu.

  • @GeorginaMkumbwa
    @GeorginaMkumbwa 15 днів тому

    Yaani ni wachache sana wanaofanyiwa upasuaji wa moyo wanapona hata akipona anakaa tu siku chache utasikia kafa.

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 16 днів тому

    Mbinguni tutaendaje bila kufa????

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 18 днів тому

    Nimeona comments za wanaoish kwa connection,kuanzia kufaulu kimchongo na kupata ajira kimchongo wanang'aka balaa na huo ndo ukweli.Ndo mana huduma nzuri zipo hospital private maana hakuna hakuna kubebana

  • @user-vc4xr1mf5q
    @user-vc4xr1mf5q 18 днів тому +2

    Wewe acha kimdomo icho ivi ukikaaga kimya huwa mdomo unavimba sio

    • @modestapeter2997
      @modestapeter2997  18 днів тому +1

      Ama wewe usipo koment mavidole yako Yanavimba? Au nyani haoni kundule

    • @bitumwatemu2731
      @bitumwatemu2731 18 днів тому

      ​@@modestapeter2997 nawasiwasi na hekima zako mtumishi?

    • @odamssanga6871
      @odamssanga6871 18 днів тому +1

      ​@@bitumwatemu2731Mithali 26:5
      Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 18 днів тому

    Kuna madaktari wengi sana na wengine tumesoma nao shule ya msingi na sekondari,uwezo wao ulikuwa si wa kuridhisha lakini sasa ni madaktari

  • @eliudsinkala419
    @eliudsinkala419 17 днів тому

    Hivi wewe mbarikiwa umebarikiwa na nani? Maana aliye barikiwa na Mungu hayuko hivyo,labda wa shetani

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 16 днів тому

    Mkristo ukiugua usiende jk hiyo hospital wakiristo wakienda wanakufa MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA NCHI atusaidie mnielewe ninacho wambia wakiristo

  • @caronafula-bd5co
    @caronafula-bd5co 18 днів тому +1

    ni ukweli kabisa pst, hata Marco asingekufa hawakumpa mda wa kupumzika alisafiri masaa marefu, kutoka Kenya, wangempa mda apumzike kwanza,, alafu ilikuwa ni mshiba wa damu ndo ulikuwa na shida hao wakapazua moyo ,

  • @GraceMhoja-bu3ce
    @GraceMhoja-bu3ce 17 днів тому

    mzazi mwenzangu ni tanesco shinyanga aliombwa 200,000 ili apate kazi

  • @Okay2Martin
    @Okay2Martin 14 днів тому

    Bado kitambo kidogo,tu kazi itasonga

  • @BarakaWicklifu
    @BarakaWicklifu 18 днів тому +1

    Mnakosaga cha kuhubiri au

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 12 днів тому

    😭😭😭Mungu atusaidie.

  • @josestudio4534
    @josestudio4534 18 днів тому

    Daaah hii ni kweli maana Tanzania Madactari ni wauwaji tu

  • @winfridarebecca6246
    @winfridarebecca6246 18 днів тому

    Jaman polen sana

  • @MwitaKihugi
    @MwitaKihugi 18 днів тому +1

    Kabisa kabisa

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 18 днів тому

    Una jicho la Mungu brother

  • @NovatusSweetbert
    @NovatusSweetbert 18 днів тому

    Hivi wewe pastor unayaongea haya ,ukiumwa wewe ,utaenda hospitali ipi wakati uko unawaaibisha mbele kuwa hawana utaalam

  • @andrewmaseta4635
    @andrewmaseta4635 13 днів тому

    nikweli kabisa hospital atuna matabibu

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 18 днів тому

    Aisee,Mungu akubariki mbarikiwa,

  • @NERYJONAS-fw2jc
    @NERYJONAS-fw2jc 18 днів тому +2

    Lalasalama

  • @tonytyson1019
    @tonytyson1019 17 днів тому

    mbn Yuko tofauti na maelezo ya daktari

  • @AnnaAnna-sz3vo
    @AnnaAnna-sz3vo 18 днів тому

    Hata hivyo sio kifo cha kawaida, ati ghafla kashtuka moyo ,mara mshipa sijui vyenye alikuwa kenya alikosa mtu wa kumpa wasia wakwenda kwa Ezekiel maombi ingekuwa bora zaidi. Ila ndugu zanguni huku ticktok nako vifo vimezidi

  • @fortuneakankizya5336
    @fortuneakankizya5336 18 днів тому

    Zaharia aisha. Kweli nyimbo zake .

  • @festondamenya6445
    @festondamenya6445 16 днів тому

    Madaktari wanatibu, ila Mungu anaponya

  • @samtanzania8165
    @samtanzania8165 18 днів тому

    Yawezakua hata mzee magufuli angepona