Mama WATANIUA usifanye hivyo MBARIKIWA kutuhumiwa KUUA DADA ZAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 89

  • @HadijaHsalehe-z4k
    @HadijaHsalehe-z4k 22 дні тому +1

    Kwa swala hili ulilopitia katika maisha yako pole sana daa...alikuwa ni shetani kuipinga huduma yako.

  • @DEOMBUBA
    @DEOMBUBA Місяць тому

    Pole baba mungu akutiye nguv

  • @DIGNAJASTIN-dl8yj
    @DIGNAJASTIN-dl8yj Місяць тому +2

    Pamoja na vita unayopitia lakini sio vizuri kuanika siri za familia yenu.

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d Місяць тому

      Hayukp sawa huyu Baba akumbuke ametoka kwenye tumbo la huyo mama

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 Місяць тому +11

    Mwalimu wangu Noman Claus toka chuo cha Goshen University college Marekani; aliwahi kutuambia "Sema,kweli tupu lakini usiseme yote" Hiki unacho kisimlia hapa sidhani kama kinalijenga kanisa

    • @Neemaa098-yf9os
      @Neemaa098-yf9os Місяць тому

      Kwa kweli mutu wa MUNGU ana onaga mengi ana sikia mengi ila sio yote atakayo sema mama ni mama kwa hiyi dunia ni mama amekunyonyesha usimutangaze hazalani kiwango hichi

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o Місяць тому +5

    Akukuwa mtumishi wa mungu mwezako ungeongea mpaka mbigu ingesimaa lakini kwakuwa niwewe unaona uko sawatu mwenyezi mungu tuhurumiye

    • @HalimaRamadhani-w8l
      @HalimaRamadhani-w8l Місяць тому +1

      Umeona heeeeee mwehu huyo

    • @3leggedbird222
      @3leggedbird222 Місяць тому +1

      Anaongea kikawaida sana ila angekua mwenzake angetafuta mpaka clip

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d Місяць тому

      ​@@3leggedbird222kimamlamba

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 Місяць тому +2

    Mtumishi wa Mungu lazima uwe na moyo wa kusamehe, wasamehe ndugu zako, pamoja na mama Yako, Huna Wala hutapata mama mwingine hapa duniani.

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d Місяць тому

      Hakika umeongea la maana mama ni mama tu

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Місяць тому +1

    Pole sana mtumishi umepitia mengi. Dada zako wa Zambia walituuma sana ila ni mipango ya Mungu.

    • @MaishaBabu-m2g
      @MaishaBabu-m2g Місяць тому

      Kuna kaukweli hapa watu wanaua ndugu zao

  • @HelenaKahema
    @HelenaKahema Місяць тому +2

    Mungu akuteteee tena Mtumishi

  • @elizabethmakala
    @elizabethmakala Місяць тому +2

    Mbarikiwa, umenitonesha kidonda kwani hata mm nimeyapitia hayo. Vita ya ndugu ni ngumu na mbaya sana.

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni Місяць тому +1

    Nimewaxa sema.kuna mahali unakwama ndoaama vilaana vinakuandama nilikuwa najiuliza kwa nn unayapitia unayopotia nimepata jibu

  • @charlesseba2000
    @charlesseba2000 Місяць тому +4

    Nakushauri, Mila za mnyakyusa mkeo Kuna vitu anatakiwa avifanye bila wewe kuingilia ikiwemo kushiriki misiba ipasavyo, Kuni mkeo anatakiwa kuweka nyumbani na kutoa kwenye misiba ya majirani. Kubali kuonywa na kuelekezwa na jamii

  • @ElishaAsangalusi
    @ElishaAsangalusi Місяць тому

    Pole baba tutashinda tu najua Mungu yupo upande wetu

  • @Marjeby
    @Marjeby Місяць тому +2

    Kumbe leo nimeisha jua tatizo lako Aiseeee siku laumu kuanzia leo kumbe una laana ya mama yako

    • @mariamswedi1140
      @mariamswedi1140 Місяць тому +1

      😂😂😂

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d Місяць тому

      Achana na laana ya mama jaman tumesahau ni Mungu wa pili

  • @tatumwakitwange8369
    @tatumwakitwange8369 Місяць тому +2

    Mke wako usimtetee kuna vitu lazima avifanye kijijini kwenu kwa wanakijiji na msiba ashiriki ipasavyo

  • @JescarMwakipesile
    @JescarMwakipesile Місяць тому

    Kwenye misiba ya baadhi ya sisi Wanyakyusa huwa kuna matatizo makubwa sana, Mungu aturehemu.

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil Місяць тому

    Pole sana mchungaji ata mimi nimepitia njia kama hiyo njia mpaka baba yangu mzazi akasema wewe suo mwanangu

  • @dorahisinika7576
    @dorahisinika7576 Місяць тому +1

    Mateso ya wenye haki ni mengi...Mungu ndie ajuae ukweli wa mambo.

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu Місяць тому

    Aseee Mungu azidi kukupigania jaman😢😢😢 hata sisi tumepitia iyo vita

  • @Emmanuel-cp1no
    @Emmanuel-cp1no Місяць тому +1

    Lisemwalo lipo, naungana na mama yako maana hata mm mpaka sasa nateswa na watu ambao sjui nimewakosea nn ila tu kwasababu ya kusaka umaarufu ee Mwenyezi Mungu tupiganie ss waja wako

    • @3leggedbird222
      @3leggedbird222 Місяць тому +1

      Acha tu ndugu wazazi wanajuaga ukweli na hua wanaumia sana bota huyu alipata ujasiri wa kumwambia

  • @RitaLameck
    @RitaLameck Місяць тому

    Jipe moyo mkuu mtazame Yesu hayo ndo mapito

  • @jaynationtz2100
    @jaynationtz2100 Місяць тому

    Duuuh aise hii ndio Dunia tunayoipitia

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 Місяць тому

    Vita ya ndugu ni ngum Sana jamani duuu!!!😭

  • @KamugishaSupe
    @KamugishaSupe Місяць тому +1

    Sasa kama mtumishi wa MUNGU umekosana na mama MZAZI umezila nyumbani kwenu JE msamaha umo ndani mwako? Maana wewe ndiye Nuru kwao ulitakiwa usamehe na KUTAFUTA amani na watu wote

  • @habibujamali5746
    @habibujamali5746 Місяць тому +4

    Ndio maana kumbe unalana mama

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 Місяць тому +1

    Nikwasababu uliamua kutoka kwenye miungu yao ndio maana shetani akapata njia kwa sababu unaharibu kazi zao.😢duhh

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Місяць тому

    Eeeh,shida

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Місяць тому

    Pole

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk Місяць тому

    yawezekana walienda kwa waganga na kupokea lamli chonganishi kama ilivo kawaida ya waganga na wachawi lakini Mungu ndiye majibu ya kila jaribu.

  • @MariamMganga-ss9mm
    @MariamMganga-ss9mm Місяць тому

    Napenda sana,, tatu na hidaya mna hekima sana MUNGU awabariki, mmeelewa nini mtumishi anasema,, wengine wanacoment vitu vya ajabu bila kufikiri

  • @EdiltrudesMbonde
    @EdiltrudesMbonde Місяць тому +3

    Mbarikiwa umechanganyikiwa,kumbe umetoa kafara ndugu zako?
    Basi umalaaniwa wewe!!!

    • @prchMichael
      @prchMichael Місяць тому +2

      Laana haimpati mtu pasipo sababu

    • @EdiltrudesMbonde
      @EdiltrudesMbonde Місяць тому

      @@prchMichael Hivi sababu huioni hapo? Wakristo wa makanisa ya mitaani ya kihuni mnatembea na laana.
      Makanisa ni Roma,Anglicans na Lutheran ,Arise and Shine Tu basi, mengine yote ni ubabaishaji Tu.

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 Місяць тому

      Acha kukurupuka Basi .

    • @EdiltrudesMbonde
      @EdiltrudesMbonde Місяць тому

      @@neemamasimba2981Anaye kurupuka ni wewe na mchungaji wako wa lishetani huyo.

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 Місяць тому

      So kweli. No vita iliyopo ili kit huduma

  • @GeofreyMwandanji-ot2lf
    @GeofreyMwandanji-ot2lf Місяць тому

    Usjali mtumishi ndio mapito duniA ningumu sana ivyo usjali nikawaida

  • @FloraKenyunko
    @FloraKenyunko Місяць тому +1

    Pole mtumishi ila amini Mungu amekuamini upitie hayo tupo wengi

  • @FelisNestory
    @FelisNestory Місяць тому

    Pole Sana hatamimi ni meyapitia

  • @HalimaRamadhani-w8l
    @HalimaRamadhani-w8l Місяць тому +1

    Kweli Mimi naungana na mamako mzazi😂😂

    • @AgnessMpanduka-l5g
      @AgnessMpanduka-l5g Місяць тому

      Utakua muabudu mizimu sio bure

    • @HalimaRamadhani-w8l
      @HalimaRamadhani-w8l Місяць тому

      @@AgnessMpanduka-l5g nyooooo kwenu uwa hamuabudu mizimu? Hakuna kabila ambalo linasahau jadi.kama lipo lijitokeze naacha uchungaji mimi

    • @AgnessMpanduka-l5g
      @AgnessMpanduka-l5g Місяць тому

      @@HalimaRamadhani-w8l Waislam ndio wanaokwenda kuomba makaburini na wale wanaofata Mila na desturi za mababu hao ndio kama wewe mwenyewe imani hiyo. Hakuna mfu anaweza kukuombea ukisha lijua hilo utaacha kuabudu mizimu huo ni utumwa. Wapo wakristo wanaofata huo ujinga has Romania katoliki baada ya kujua ukweli makaburini ni pakuzika nakuombea Dua ya mwisho kitakacho fuata hapo ni adhabu ya kaburi au Neema ikuangukie kama uliishi kwa kumtukuza Mungu basi unapumzika ukisubiria siku ya ukumu, mizimu ni watu waloishi kwa kutegemea Shetani na wanaishi kwa mateso mpaka siku ya ukumu, sasa endekeza Mila na akili unazo

    • @NasraNasra-l9q
      @NasraNasra-l9q Місяць тому

      Nikweli haya mambo yamekithiri sana 😢 tena Hawa kaka zetu sio wakucheka nao washenzi na wanaroho ngumu 😮

  • @happyiskaka
    @happyiskaka Місяць тому

    Daaah. Ee Mungu wew ndie unatupigania pekee. Pole kwa yote mtu wa Mungu.

  • @saidkhelef4601
    @saidkhelef4601 Місяць тому +1

    Hakuna mchungaji hapa mchawi huyu

  • @FESTOJAPHET-e4k
    @FESTOJAPHET-e4k Місяць тому +2

    Aise ila mjungaji bwana mungu to amlinde na sikuzote shetani uanzia nyumbani kusumbua watu ili mpalangane ili umuache yesu ili akupoteze kabisa

  • @PiusiVistusindasiki
    @PiusiVistusindasiki Місяць тому

    Unapita lakini MUNGU ANAMAKUSUDI NA WEWE yeremia 1-17 )

  • @saidkhelef4601
    @saidkhelef4601 Місяць тому +1

    Huyu mwanga mchawi

  • @HelenaKahema
    @HelenaKahema Місяць тому

    Napitia haya Mimi😭😭😭😭

  • @Alex_Anania
    @Alex_Anania Місяць тому +3

    Wewe huwezi ua mtu.Ujue shetani akishindwa hutapatapata mnooooo!

  • @MariaNdagile-hx5pr
    @MariaNdagile-hx5pr Місяць тому

    Sisi ndo wanyaki yaani kina mwaisa

  • @JastiniElishawaokoke
    @JastiniElishawaokoke Місяць тому +1

    Usiogope mtumishi hayo mapto2

  • @LilianJoshua-kj8ei
    @LilianJoshua-kj8ei Місяць тому +2

    Pole mtumishi hayo tunapitia wengi

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk Місяць тому +1

    Siyo wewe tu mbarikiwa hata sisi tumeyapitia hayo lamsingi ni kusimama tu kwenye neno kama ilivyo andikwa mateso ya mtu mwenye haki ni mengi lakini Bwana umponya nayo .

  • @tatumwakitwange8369
    @tatumwakitwange8369 Місяць тому +1

    Huyo ni mama inabidi uende

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 Місяць тому

    Mhuuu mhuuu mhuuu

  • @HelenaKahema
    @HelenaKahema Місяць тому

    Huyo Mimi kabisa

  • @JanetNjobvu-xf4vq
    @JanetNjobvu-xf4vq Місяць тому +1

    Lakini lazima hurudi tu kwa mama kaka mama nimama tu

  • @HalimaRamadhani-w8l
    @HalimaRamadhani-w8l Місяць тому

    Kumbe wewe Mzee mchawi daah

  • @PeridaMtweve
    @PeridaMtweve Місяць тому

    Mmmmmh!

  • @AnnaMbossa
    @AnnaMbossa Місяць тому

    Dunia hii utatenda mema lakini wanasahau pole mtumishi,

  • @HidayaMwakilema
    @HidayaMwakilema Місяць тому

    Mama nimama tu samehee mtumishi,

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Місяць тому

    😭😭😭

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 Місяць тому

    Ukiwa mkweliii lazima wakuchukie na visa vingi kutupiwaaa

  • @sarahmaro215
    @sarahmaro215 Місяць тому

    Huo ni uongo mtupu kanisa halizindikwi mimi nadhani mtumishi achana nao

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d Місяць тому

      Aachane na mama yak??😂 mama ni Mungu wa pili hapa Duniani? Kweli huyu Mungu hatumjui vizuri

  • @GraceJulius-qy2qz
    @GraceJulius-qy2qz Місяць тому

    Ww unaechangia kuwa mtumishi huyu nimchawi jiangalie na ww wenda ww ndomchawi unajuwa vita za uduma ww unajuwa mapito wanayopitia watumishi wa mungu jifunzeni kukaakimya siokukoment ujinga

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d Місяць тому

      Hata wewe ungenyamaza tu wala hukua na sababu ya kuongea. Kayaleta wacha watu watoe opinion zao ulitaka wote wakubaliane nae yeye ni nani? Yesu mwenyewe alikataliwa kwao na wasiojitambua sembuse yeye? Tulieni

  • @MariamMganga-ss9mm
    @MariamMganga-ss9mm Місяць тому

    Napenda sana,, tatu na hidaya mna hekima sana MUNGU awabariki, mmeelewa nini mtumishi anasema,, wengine wanacoment vitu vya ajabu bila kufikiri

  • @HelenaKahema
    @HelenaKahema Місяць тому

    Napitia haya Mimi😭😭😭😭

    • @paulinaobiria9649
      @paulinaobiria9649 Місяць тому

      Pole sana endelea kumwomba Mungu bila kukata tamaa

    • @themaestro-24
      @themaestro-24 Місяць тому

      FAMILIA IKISHAKUA NA MFUMO JIKE NI SHIDA KUBWA.WANAWAKE WAKIWA NA SAUTI KULIKO WANAUME HILO FAMILIA BOVU.SAMEHE BUREEER

  • @HelenaKahema
    @HelenaKahema Місяць тому +1

    Napitia haya Mimi😭😭😭😭