Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Thank you, nimejaribu jinsi ulituonesha and i cooked a nice chapati. بارك الله فيك
Asantee aunty rukia yaan umetumiaa njiaa nyepesi kabisaaa kuelewekaaaa maana vipimo c wotee wenye navyoo 👌👌👌😋😋😋😋
asnte kwa somo madam
MashaaAllah mzuri
Wash. Good nimeipena
Kula maisha madam uko smart sana ktk kuelekeza hakika nimekupata🌹
Hongera mama👏
Ahsante nimezipenda
Asante kwa kuangalia
Chapati zimepikwa zikapikika, Zina kurasa zina rangi nzuri, mashallah zacky unajua kupika chapati
Asante ndugu yangu...
Ahhhhhhh chapati gani izoo looooooooooooooppphhhhhhhhhh
Chapati hizo ndo hizo 🤣🤣🤣🤣🤣
Mashallah 😋👌
Yaani ninejifunza style mpya!😍 Nimependa ilivyovutika kama kamba maana mimi mzee wa kupiga hadi inakatika!🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Waooo nimependa
Zinaonesha nzuri
Jamani nilijaribu hili pishi mambo ni fireeee chapati ilichambuka ikachambuka tena ❤Mungu akubariki sana
Maa Shaa Allaah
Thanks dear
Upo vizuri hongera
Shukrani sana
Somo nzuri sana Asante
yani nimependa ulivyo elekeza taratib mpk mtu anajua kiwepesi mungu akubaliki sana kwa somo
Safi nimeipenda
Maashaallah nimependa jamaan
Asante kipenzi
Nzuri sana
Mzuri sanaa
Mm natk nijuwa chapti lain
Hio mafuta ni ya cowboy?
Sawa dada zakia my love
Asant kipnz❤
Yaani nimekuoenda buree unajua kupika chapati hongera mumy
Nimeipenda
Asante sijui nikupe zawadi gani nimejua kupika chapati leo
Asante sana kwa feedback yako. Nafurahi kuona nimekuguwa msaada kwa namna moja au nyingine.. keep watching vitu vizuri vinakuja
Tamu sana
Unajitahi sana mama yangu lakoni hujui kusukuma we unasukumaje chapati upande mmoja
Ukishazoea kusukuma hakuna ulazima wa kusukuma pande zote
asant dada umenifumza pakubwa.
Wow
Cjui huwa nakwama wapi jmn ata nifanyaj chapati inakua ngum khaaa
Pambana
Wakwanza leo.mashallaaa
Thank you sooo much dear for your support
The ingredients is dope I love you
Thank you kwa somo zuri
Asanteee
Mashaallah
Mbona inakakamaa sio laini
Yaani hij ndio chapati sio chapati inatiwa makolokolo kibao hongera aunt yangu
Aaahahahaha! Nimesikia jovenchi nimecheka kwa nguvu hadi nimepoteza concentration!🤣🤣🤣🤣
Ur good on tht
Kuna unga maalum wa chapat au ni ngano yeyote?
Hakuna unga maalumu wa chapati ila mimi napenda kutumia azam ppf sababu ni mlaini kwahiyo hata ukandaji unakuwa rahisi
Haya maji ni moto ama baridi?
Mimi nimetumia maji ya baridi ila ukipenda unaweza tumia maji ya uvuguvugu
@@simplyzacky thank you my dear
🥰
Sijui nakwama wapi 😂😂😂😂😂
Mdogo mdogo kaka hata mimi mwanzo nilikuwa natoa kaukau unaweza jipepea nayo kwenye joto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Assalam Aleikum tunataka utuandikie vipimo
Asante mama
🥰👌🫶
Asante dada
Asante kwa kuangalia kipenzi
Mpish tunaomba hapa kwenye maj na mafuta utupe kiaas ili iwe rahis kwa mpish
Kiukweli mimi huwa nakadiria tu ila nitajitahidi nikikanda next time niwaambie na vipimo
@@simplyzacky Maji ya moto sana ama vuguvugu
Mimi huwa nakanda na maji ya baridi ila kama utataka kutumia tofauti na hayo basi tumia ya uvuguvugu
Unakaa dakika Kama ngapi iv ilikuzikunja
Huwa sisubiri natumia ule muda ninaosukuma na kuziacha ziendelee kujivuta. Hadi ninapomaliza kusukuma ya mwisho basi ile ya kwanza inakuwa tayari kukunjwa.
😋 Aseee
Jovenchi njoooo huku
Unaanza uchonganishi wako... tuache na kaka yangu 🤣🤣🤣🤣
Haya maji ya kawaida au ya vuguvugu ? Au maji baridi ?
Kawaida dear kama yanavyotika bombani
Ayo maji ybaridi ykweny friji au ymfreji t ?
Ya bombani dear
Asnte nakpnda dear umenjbu kw wakat
Anything kwa ajili yenu....
Asanteee mamy umejua kunielewesha
Sasa Kama unga wakusukumia umeisha unaweza tumia unga wa ugali
Hapana usitumie unga wa ugali hata siku moja
@@simplyzacky sawa ahsante
Mbona nimejaribu hazija lainika nimekosea wap
Usijali dear taratibu utaweza hata mimi siku ya kwanza nilitoa kitu kigumu kama sahani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
No zuri Sana chapati
Natumia maj ya bard au ya uvuguvugu
Apo mwalim wa chapati hakueleza vizuri km maji ya baridi ya kwenye frige au maji ya kawaida tuu na mafuta ya kawaida
Maji mimi huwa napenda kutumia ya baridi lakini pia unaweza kutumia ya uvuguvugu
@@simplyzacky ,baada ya kukata madonge ya kwanza, huupumzishi unga kwanza tafadhali?.
Hapana siupumzishi coz hadi nifike donge la mwisho lile la kwanza linakuwa lishalainika
@@ramlamrishohaji1161 baridi namaanisha ule ubaridi wa maji ambayo hayajachemshwa wala kuwekwa kwenye friji.. ubaridi wake wa kutoka bombani
Mafuta
Mafuta nimetumia ya kawaida ya korie lakini ukitumia samli kama ya kimbo inakuwa nzuri zaidi