Benki ya NBC, Wachezaji Azam FC, Waendesha Kliniki ya Michezo kwa Watoto.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2023
  • Benki ya NBC, Wachezaji Azam FC, Waendesha Kliniki ya Michezo kwa Watoto.
    Benki ya NBC imeendesha program yake ya michezo kwa watoto inayofahamika kama NBC Chanua Account Football Clinic inayolenga kuibua vipaji vya watoto wadogo. Hatua hiyo ni muendelezo wa mkakati wa benki ya NBC katika kukuza mchezo wa soka hapa nchini
    Katika kufanikisha program hiyo iliyofanyika viwanja vya Agha Khan, eneo la Mawasiliano jijini Dares Salaam Jana, tulihusisha wadau mbalimbali wakiwemo baadhi ya wazazi na watoto wao walioungana na baadhi ya wachezaji vinara kutoka klabu ya soka ya Azam FC wakiwero Prince Dube, Abdul Suleiman
    "Sopu', Lusajo Mwaikenda na Iddi Selemani Nado.
    Pia walikuwepo baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars, Stumai Abdallah na Fatuma Issa.
    #NBCDaimaKaribuNawe
    #CornerstoneSolutions
    #EventsManagement
    #ExperientialMarketing

КОМЕНТАРІ •