SEMAJI AHMED ALLY BAADA YA MCHEZO DHIDI YA COASTAL UNION/"HATUJACHEZA VIZURI/TUSIVUNJIKE MOYO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 193

  • @MwajumaNgaruma
    @MwajumaNgaruma 3 години тому +12

    Tunaimani na timu yetu yache ipite love simbaaaaaa ❤❤❤❤

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 2 години тому +13

    Semaji uko vizuri Wana Simba tusitoke mchezoni Kwa sababu ya droo ni Moja ya mchezo

  • @amanisamsonsengi4943
    @amanisamsonsengi4943 3 години тому +19

    Mmetuangusha wanasimba ila yote kWa yote
    We win together,we lose together and we draw together ❤️🦁

    • @maggiehd1
      @maggiehd1 Годину тому +2

      Bro I'm so proud watu kama ww bado tunao co wale watukana timu wasojua mpira

  • @mathiassay3723
    @mathiassay3723 3 години тому +28

    kutereza sio kuanguka simba nguvu moja . ila tusijiamin kupita kiasi💪

    • @SuleimanAlly-c9p
      @SuleimanAlly-c9p 2 години тому +3

      Yaani hapo umesema kwwl

    • @kefangendwa3336
      @kefangendwa3336 2 години тому +2

      Kweli wachezaj Leo wamejiamin sanaa ila tugange yajayo

    • @winnielawrence6584
      @winnielawrence6584 2 години тому +2

      Ila mpira unauma jamani😢Mungu atusaidie wachezaji wasikate tamaa

    • @SuleimanAlly-c9p
      @SuleimanAlly-c9p 2 години тому

      @@winnielawrence6584 Sana ila dah ndo matokeo

    • @LilianKasuva-j7o
      @LilianKasuva-j7o 2 години тому

      Uwanja uo mhame yanga washa waloga uo

  • @BarkeAliy
    @BarkeAliy 2 години тому +4

    Tuko pamoja Simba ,nawaomba tujipange ili tuendelee na ligi kwa vizuri ,tukubali matokeo ninaimani tutashinda zaidi na zaidi InshaAllah

  • @salummgunda9122
    @salummgunda9122 2 години тому +7

    NGUVU 💪💪💪 moja tunaimani na Simba yetu

  • @ShedrackHenry
    @ShedrackHenry 2 години тому +7

    Mashabiki wa simba tusikate tamaa tugange yajayo. Simba nguvu moja❤❤❤

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 2 години тому +7

    Ni kweli msemaji wetu,ulisema lakini kwamba mchezo utakuwa mgumu. Lakini sio mbaya ndio mchezo. ❤❤❤❤❤❤

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 2 години тому

      Kwan we hujui kuwa semaji lenyewe Lina gundu?

  • @SamwelDanielNyambega
    @SamwelDanielNyambega 2 години тому +5

    Kwa ubora tulionao na namna ambavyo tumeanza mechi na matokeo ya ft itoshe kusema kwamba tumepoteza mchezo lakin pia tusitoke kwenye reli tuendelee kuisapport timu yetu 🦁🦁💪💪

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 2 години тому +2

    Nimehuzunika sana Simba leo kufungwa ila nashukuru Mungu kwa tulicho kipata 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @ChristianNyaulingo-j7u
    @ChristianNyaulingo-j7u 3 години тому +3

    Sijui unasemaje sasa semaji wetuuu

  • @CarlosRule-p6v
    @CarlosRule-p6v 2 години тому +5

    Simba yangu daima ubaya ubwela simba Yetu Tuacheni nyiee hivo hivo

  • @EfremChilemba
    @EfremChilemba 32 хвилини тому +1

    Nitaipenda Simba kwa matokeo yoyote tutakayo pata❤

  • @ISIHAKAYOHANAYohana
    @ISIHAKAYOHANAYohana Годину тому +1

    Simba nguvu mojaa tujipange kwa mchezo ujao tusi laumiane tuipe timu hamasa Simba nguvu mojaa

  • @jobsonmagola8227
    @jobsonmagola8227 2 години тому +1

    Semaji unafanya kazi VZR, wachezaji leo wamechaza chini ya kiwango

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 57 хвилин тому +1

    This is simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 3 години тому +5

    Ndio mpira .lolote hutokea ❤

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u Годину тому

      Ndo mnajuwa Leo na kujipa maneno ya kujifariji ooh yanga anashinda kimoja mwenzenu anashinda kimoja na pwent anachukuwa kumamae zenu

  • @Vanessaayoub-n3p
    @Vanessaayoub-n3p 29 хвилин тому

    Bado nina imani na simba. Simba nguvu mojaaaa❤❤❤

  • @davisbwatwa115
    @davisbwatwa115 2 години тому +4

    timu haikucheza vibaya waendelee na mazoezi,sasa chezesheni na akina chasambi

  • @KuruthumAlly
    @KuruthumAlly 2 години тому +1

    Saii Simba nguvu moja

  • @Jumbe-j8i
    @Jumbe-j8i 3 години тому +4

    Musa kamara leo katuzingua ila ndio mpila

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 2 години тому +1

    simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤

  • @Kimjongun4996
    @Kimjongun4996 2 години тому +2

    Leo simba imecheza chini ya kiwango,ningeomba benchi la ufundi warudie kuitazama mechi au wachezaji watazame hii meche ya leo au wameuza mechi maana sio kawaida na kwa staili hii kwa yanga utapigwa sana.

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 2 години тому +3

    Ila mimi bado nalia na kitengo cha usalama cha timu. Bado mnachukulia mambo poa 😢

  • @samsongechamet5374
    @samsongechamet5374 2 години тому +3

    Tutulie Simba ndo mpira.Ila Kipa ajitathimini Kwa mipira ya mbali.

  • @sadicksalekhe
    @sadicksalekhe 2 години тому +4

    Uchawi kweli nimeamini upo

  • @MwandaziKikuya
    @MwandaziKikuya Годину тому

    Vigagula hao mliocheza nao wamewatia pini wachezaji wetu. Simba nguvu Moja.

  • @allyr.mavura7878
    @allyr.mavura7878 Годину тому

    Nakukubali sana Semaji, huwa ni mkweli na nakuwa mtulivu sana hasa katika nyakati ngumu

  • @YohanaKivuyo-u3w
    @YohanaKivuyo-u3w 57 хвилин тому

    Kiteleza siyo kuanguka mungu atupe nguvu tena❤❤

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 2 години тому +2

    Ubaya ubwelaaaa kila mtuuu hukosea kikubwa hatujapoteza2 mchezo wote bado ligi inaendelea ila wachezaji wanatakiwa kujua kazi yao maana matokeo yanaumiza mashabiki sana ubaya ubwelaaaa

  • @iddydule2287
    @iddydule2287 2 години тому +2

    SAHIHI KABISA AHMED ...WACHEZAJI WAAMBIWE

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u Годину тому

      Ndo tunaanza kuchokonoa hivyo kama p did vile mtatoa mavi kimya,,kimya ,na mkumbuke Ali kamwe alisema ni wiki ya kuwafunga midomo panya road na hawawez kushinda mechi tano mfululizo

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct 2 години тому +1

    Simba nguvu moja hu mchenzo umepita tusongembele

  • @zakaliaturuka
    @zakaliaturuka 18 хвилин тому

    ❤❤❤❤❤❤simbaa nguvu mojaaaaaa

  • @DanieliDgani
    @DanieliDgani 2 години тому +2

    Wachezaji Wanafanyishwa sana mazoezi Kuna wakati wapewe mazoezi mepesi kabla ya mechi au kuwaigiza kwenye mabarafu kuondoa uchovu wa mwili

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 2 години тому

      Hilo nalo neno wanachoka sana jamani

  • @AlbabaSuperhero1
    @AlbabaSuperhero1 2 години тому +2

    Uzembe kwa wachezaje wamecheza chini ya kiwango camara sifa zitawaponza wameshaanza kupata followers kwenye account ZAO mitandaoni wasenge sana hao unapoteza mbele ya coast mbele unamechi na mtani alie Bora taaswira ya ubingwa imeanza kupotea

  • @SufianiHassani-dh4lm
    @SufianiHassani-dh4lm 2 години тому +1

    Simba nguvu moja

  • @jumaahassan4707
    @jumaahassan4707 12 хвилин тому

    Bado topo kwenye mstari mzuri wa mafanikio tunaendelea kuiamini timu yetu
    Simba nguvu moja .

  • @smilemedia9365
    @smilemedia9365 36 хвилин тому

    matokeo yana matokeo matatu ,,kati ya hayo tumeambulia moja sio mbaya na ligi bado mbichi sana ila hatutakiwi kupoteza point hata moja wachezaji wajitahidi ila speret ya upambanaji ipo juu,,leo tumefungwa magoli ya mbali so kipa aache tabia ya kutoka mapema❤

  • @AbduRaheem-k8u
    @AbduRaheem-k8u 2 години тому +4

    Ni kweli mimi niliposikia kipa kaibiwa jezi nikasema mh

  • @AlliyKamenya
    @AlliyKamenya Годину тому

    Viongozi wa simba mnatuangusha❤❤😅😅

  • @AletasMbawala-si5kj
    @AletasMbawala-si5kj 2 години тому

    Safi san tobias kwa maswal mazur👏👏👏

  • @JeniferNgata
    @JeniferNgata 2 години тому +1

    Kweli kabisa semaji, hatujui shida Nini, au mmeloggwa,. Msiluhusu haya yawakute

  • @tobiasmsabila856
    @tobiasmsabila856 2 години тому +1

    Bado Ninaimani na Simba Yangu.

  • @lydiaangeloeric6282
    @lydiaangeloeric6282 58 хвилин тому

    Bado Nina Imani na timu yangu ❤❤❤

  • @kleofacejerome
    @kleofacejerome 2 години тому +3

    Second half sijui nn timu ilua down 😢😢😢 au kujiamn sana

    • @AshaNchira
      @AshaNchira 2 години тому

      Waagosi wamejiandaa Kwa uchawi si Bure kile kilichotolewa golini na refa Nini?

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 2 години тому +1

    Ndiyo mchezo wa mpira wa miguu ulivyo na matokeo ya kikatili. Tusiamimini kuwa tulizidiwa.Siyo kila siku kiwango cha wachezaji kitakuwa juu,kuna siku watacheza chini ya kiwango.Hata huko ulaya inatokea timu kubwa ikacheza chini ya kiwango.Hii ni match iliyotupa funzo

  • @erickkigugange5209
    @erickkigugange5209 2 години тому +2

    Uzembe wa Camala anakaa mbali sana na goli.

  • @muridundhikri
    @muridundhikri 2 години тому +1

    Leo alofungisha wa mwanzo ni kocha kashindwa kuwatoa wachezaji mapema ambao walipoteza hamu akaingiza kina chasambi wachezaji wa kugombania namba, halafu mwengine alofungisha ni kipa na chimalon na wacheza wote hawakucheza mpira wa Kasi na huenda simba ikakosa ubingwa tena

  • @emanuelmyinga907
    @emanuelmyinga907 2 години тому +1

    Hatujamalizaaa

  • @mikiorupamahundi668
    @mikiorupamahundi668 2 години тому +3

    Kipa ajitafakari sana game ya leo kwa nini aende sana huko mbele, mabeki wasiende sana mbele.

  • @AlliyKamenya
    @AlliyKamenya Годину тому

    Viongozi wa simba muemnatoka kuwaangaikia wa chezaji na viwanja wa na vyocheza kuwa makini❤😂🎉😢😮😅😊

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 2 години тому +2

    Semaji upunguze majigambo uwe unabakisha maneno,wew ndio chanzo cha kutia ugumu mechi kwasababu unawafanya wapinzani wafanye kazi ya ziada bila ya kuzingatia unacheza uswahilini " uswazi kunavituko" punguza majigambooo vita nzuri kumvamia adui yako kimya kimya

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u Годину тому

      Hahaaaaaaa cc hatuna wac na msemaji wenu tunajuwa waz ni msemaji mwenye gundu,,huyo huyo ndo tunamtumia

  • @kiuremsangi1886
    @kiuremsangi1886 2 години тому +1

    Kwa akili zangu mbovu viongozi walimshauri kocha kujipanga na dabi sio mpango wa kocha belive me.

  • @obadiaedward1127
    @obadiaedward1127 2 години тому +1

    HAWA WACHEZAJI WAMECHEZA KIZEMBE, SAFU YA MBELE WAMEKUWA KAMA NYUMBU WA SERENGETI. NI UPUUZI WACHEZAJI WAJUE TUNATAKA USHINDI KILA MATCH

  • @karanainabdala-h5l
    @karanainabdala-h5l 2 години тому +1

    Tuskatetamaa wana simbaa ilaa kamara asiwe anatoka nymbani kwake kwenda uwan atatfelishaa

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn 2 години тому +2

    Mabeki na golikipa wasijiamin kutoka golini

  • @halfanabdallah6553
    @halfanabdallah6553 2 години тому +1

    Yanga washafukia madudu kwenye uwanja wetu wamewaamishia yanga queen kmc waje kufanya nn mwanzo walikua wanafanyia wapi mazoezi

  • @HalimaBicholi
    @HalimaBicholi 2 години тому +1

    Usijali mwanang ligi bado mbichi kbs japo inauma

  • @StarKid-t7q
    @StarKid-t7q Годину тому

    Bwana Leo mumetuvunja nguvu sana simba nawaombeni muiludishe furaha ya Wana simba tarehe kumi na tisa tunataka point tatu iwe mvua au jua walai nimeumia sana we acha tu

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 29 хвилин тому

    Mkauze energy tu hamna wachezaji..Tangu ligi imeanza magoli yote ya kolo ni michongo ya refa😂😂😂 ....Unaenidai hela ninayo kesho nakulipa nmefurah thana😂😂😂

  • @suleymandachi782
    @suleymandachi782 Годину тому +1

    Tatizo tumeanza kuchoka kabla hata robo ya ligi,inashangaza mpira wa pasi fupifupi wachezaji wanataka chenga hadi golini,toa selemani matola naona yeye ni muhujumu pia

  • @ashaaliameir2271
    @ashaaliameir2271 2 години тому +1

    Nguvu moja

  • @samsonlusheleja8809
    @samsonlusheleja8809 2 години тому +2

    Wachezaji wasilewe sifa aisee znaponza

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 2 години тому +2

    Wachezaji wetu kama chasambi karabaka Kagoma mashaka mzamiru na wengine wapo wapi

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u Годину тому

      Ndo tushaanza hivyo wenye nongwa tushaanza hivyo mtaulizana sana tu

  • @fatmaOmmy
    @fatmaOmmy 2 години тому +1

    Mhh yaani Kwa magoli ya Leo wachezaji walipaswa wapigwe maan ni ya kizembe sana

  • @danieligledson5697
    @danieligledson5697 2 години тому +2

    Camara aache mazoea aache utoto

  • @fatumasaid558
    @fatumasaid558 2 години тому +1

    Camara Leo hakuwa mchezon anatoka tu qolin yaan mchezo huu tumeupoteza kizembe sana

  • @VemamElly
    @VemamElly 2 години тому +2

    Ubingwa hatuchukui😰😰😰😰😰😰😰😰😰

  • @msuyabinyswalehe6389
    @msuyabinyswalehe6389 2 години тому +1

    Ubaya Ubwela bado Haitutoi kwenye malengo yetu

  • @pilimpilipili
    @pilimpilipili 44 хвилини тому

    Kutoshinda leo ni funzo kwetu ,we learn through mistake.tulikua tunakumbushwa ,naamin next game tutafanya vizur

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 2 години тому +1

    Tujipange kwa Mechi ijayo leo Viungo washambuliaji wamezingua yaani hata shoots on target hazifiki hata tano sure???

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 2 години тому +1

    Kilichotukuta hatujategemea leo wachezaji wawesiliasi

  • @IssackJackson-r7k
    @IssackJackson-r7k 2 години тому +1

    Wachezaji leo wamekuwa wazito sana sijui nini tatizo

  • @EfremChilemba
    @EfremChilemba 34 хвилини тому

    Yote kwa yote mpira una matokeo 3 tuendelee na tusahau yaliyopita Simba nguvu moja

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 2 години тому +3

    Ahmed Ally, kuna makosa makubwa sana unafanya. Unaongea vitu vinavyotengeneza pressure isiyokuwa ya lazima.
    Huwezi kuongea mambo ya malengo ya kushinda mechi tano mfululizo au mambo ya kuendeleza clean sheet. Haya maneno wachezaji wanayasikia, na isivyo bahati yanawatengenezea pressure ya hovyo. Wachezaji wetu wengi ni wapya na wadogo na ingefaa tusiwape pressure ya ubingwa au malengo malengo ya kila mara. Waambieni malengo benchi pekee kisha muwaache vijana wacheze mpira kuenjoy.
    Kifupi nakusihi uchuje mambo ya kuongea.
    Kama hautabadilika utakuwa unaihujumu timu.

  • @oketchmusic4838
    @oketchmusic4838 3 години тому +1

    ❤️❤️💪💔

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 години тому +1

    camara unataka kujisahau sana jirekebishe unakaa mbali na nyavu zako kwa nini??

  • @ElizabethTown-b5n
    @ElizabethTown-b5n 55 хвилин тому

    ❤❤❤❤

  • @SarahKaale
    @SarahKaale 2 години тому +1

    Ila leo wachezaji wetu wote hawakuwa kweny pafmac nzur jaman siju shida nn

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 2 години тому +1

    Leo kipa kazingua ila siyombay tufocas tar19

  • @Abdulmateleka
    @Abdulmateleka Годину тому

    Baada ya simba kupata gali 2 kipindi cha kwanza wachezaji waka zarau mchezo na kupoteza ubora mpaka cost union kupata magoli kuambulia sale.

  • @IrfaniBakari
    @IrfaniBakari Годину тому

    Wachezaji Mmelewa sifa sana mbaka mnajisahau mkiwa uwanjani nyinyi amuwezi kuwa timu Bora bila kumfunga yanga Bado mnadeni kubwa kwa mashabiki kwa mpinzani wenu mkuu

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Годину тому +1

    VP JEZI YA KIPA IMEIBIWA?? WALINDA USALAMA WA WACHEZAJI WALIKUWA WAPI???

  • @JeniferNgata
    @JeniferNgata 2 години тому +1

    Jamani umakini unatakiwa sn

  • @BarakaMhozya-qd8gi
    @BarakaMhozya-qd8gi 2 години тому +1

    Kwa nini ladack chasambi hachez na ana uwezo kabisa wa kuanza nafasi ya mutale

  • @HassaniFakimasudy
    @HassaniFakimasudy 2 години тому +1

    2na Imani na temu y2 ila camala apunguze kutokea langon kwak

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 години тому +1

    Alafu lile taulo lilipowekwa tu golini camara Na yeye Akawa Amesahau kulinda lango lake taulo kwenye lango la costa kuna kitu siyo bure

  • @omushaijaentare9351
    @omushaijaentare9351 24 хвилини тому

    WACHEZAJI KUDHARAU MECHI KUNAANZIA KWA MSEMAJI KUDHARAU OPPONENT "Ile kauli ya Coastal Union tuna ugomvi naye" IMEWAPA ENERGY WAPINZANI.

  • @TheresiaMhagama
    @TheresiaMhagama 2 години тому +1

    Leo wachezaji ni kama waliisharau mechi na kuhisi kushinda,Mimi Nafikiri hatutakiwi kudharau mechibnakwenda na matokeo mfukonib

  • @YusuphAlly-y9o
    @YusuphAlly-y9o 2 години тому +1

    Kamala aache kiherehere atoka golini ancheza mwenyewe mpumbavu

  • @jimmydizonga1335
    @jimmydizonga1335 2 години тому +1

    Tujiandae kisaikojia maana wachambuz machawa leo wamepata cha kuongea na hapa sasa ndo tutajua kama mashabiki tumekomaa au tutaingia kwenye propaganda zao. Viongoz inapaswa mjue mpo kwenye vita kubwa sn, Eris anafanya kila namna simba ishuke ili aonekane ana akili, yani kifupi wachambuz machawa leo adi taree 19 wataakikisha wanatutoa kwenye reli

  • @zuberithabit897
    @zuberithabit897 2 години тому +1

    Over comfedance Imetuponza, wachezaji wanacheza easy sn Kama mazoezi vile.

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 Годину тому +1

    Balua anamzidi vipi chasambi? Nitakuwa wa mwisho kuamini hili hata kama siko mazoezini.

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 2 години тому +1

    Walicheza chini ya kiwango

  • @SalhaSewando
    @SalhaSewando 47 хвилин тому

    Simba nguvu mbili mbeleko fc😅😅😅😅😅😅😊😊😊😊😮😮😮

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 2 години тому +1

    Kipa kaniuz anatok Toka gorin Kila wakat msenge uyo adi manyuma mwiko yatatuzidi kama ataki kukaa gorin aende kwa pididi

  • @jorammhila2379
    @jorammhila2379 3 години тому +1

    Semaji nusu alie😢

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 Годину тому

    Chasaaaaaaaaaambi

  • @humphreyemmanuel781
    @humphreyemmanuel781 2 години тому +1

    Over confidence upuuzi. Mwingi licha ya ubora tuna rizika Sana 🚮

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu Годину тому +1

    Nikawaida tu hata man city yenyewe huwa inafungwa