Cornerstone Solutions Limited
Cornerstone Solutions Limited
  • 150
  • 22 349
CRDB NA NALA ZAUNGANA KUBORESHA HUDUMA!
𝐒𝐰𝐚𝐡𝐢𝐛𝐚😃 𝐌𝐢𝐚𝐦𝐚𝐥𝐚 𝐭𝐨𝐤𝐚 𝐦𝐚𝐣𝐮𝐮💸 𝐧𝐢 𝐜𝐡𝐚𝐩 𝐤𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐫𝐚𝐤𝐚🫰🏽
Katika muendelezo wa Azma yetu ya kutoa huduma shindani zinazokidhi mahitaji halisi ya wateja
Tunayo furaha kuingia makubaliano na kampuni ya NALA,yanayolenga kuimarisha zaidi huduma za kifedha kwa Watanzania wenzetu waishio nje ya nchi.
Ushirikiano huu na Nala, utakwenda kuongeza kwa kiasi kikubwa kiwango cha uhamishaji fedha (foreign remmittances) kutoka kwa watu waishio nje ya nchi kuja Tanzania na maeneo mengine kupitia kwenye akaunti zao zilizopo kwenye Benki ya CRDB.
Vilevile, katika makubaliano haya, Benki ya CRDB itakuwa ikitoa huduma ya kupokea na kuchakata miamala inayotumwa kutoka nje ya Tanzania kupitia Programu ya Nala kwenda mabenki na taasisi nyingine za fedha pamoja na mitandao ya simu.
#CRDBBank
#Tunakusikiliza
#SwahibaLanguLako
Переглядів: 19

Відео

#FamilyDayEventsTHE CALM BEFORE THE STORM!! #TccFamilyDay2024 #EnjoyTheMoment
Переглядів 53 місяці тому
#FamilyDayEvents THE CALM BEFORE THE STORM!! #TccFamilyDay2024❤️ #EnjoyTheMoment Its Show timeeeee and we are outside!🥳🏖🌞 Let the FUN begin! #TCCFamilyDay24 #EnjoyTheMoment
SPORTPESA YAIKABIDHI YANGA "NUSU BILIONI"!
Переглядів 773 місяці тому
#MediaBriefingEvents SPORTPESA YAIKABIDHI YANGA "NUSU BILIONI"! @tzsportpesa @yangasc Matukio mbalimbali katika picha kwenye hafla fupi ya Kampuni ya @tzsportpesa Kukabidhi mfano wa hundi ya kiasi cha fedha Shilingi "Nusu Bilioni" kwa timu ya @yangasc. Fedha hizi ni sehemu ya Bonus kutoka kwa Mabingwa wa Kubashiri Tanzania, SportPesa, kwenda kwa Timu ya Yanga kutokana na mafanikio makubwa waliy...
UK DEPUTY HIGH COMMISSIONER TO TANZANIA, MR. MEHDI HUSSAIN - OFFICIAL OPENING OF #IWTANZANIA 2024
Переглядів 263 місяці тому
#IWTz2024 OFFICIAL OPENING OF INNOVATION WEEK TANZANIA 2024 Opening remarks by UK DEPUTY HIGH COMMISSIONER TO TANZANIA, MR. MEHDI HUSSAIN #InnovationWeekTanzania #IWTz2024 #Innovation #InnovationTanzania #InnovationForCompetititveEconomy #Undptz | @euintanzania | @ukintanzania | @costech_tz | @uncdf | @uniceftz | @serengetibytes | @digitalawardstz | @enabel_be | @unwomen | @dtbi | @bunihub #Cor...
TWIGA KATIKA MKUTANO MKUU WA YANGA JNICC
Переглядів 173 місяці тому
TWIGA KATIKA MKUTANO MKUU WA YANGA JNICC @nbc_tanzania @yangasc #KadiBingwaYaMwananchi #EventCoverage Huduma mbalimbali za kibenki zikitolewa katika banda la Benki ya Taifa ya Biashara @nbc_tanzania hapa katika ukumbi wa JNICC ambapo Mkutano mkuu wa Wanachama wa Timu ya Yanga unaendelea. "Wananchi" wanakaribishwa sana kujipatia #KadiBingwaYaMwananchi. #CornerstoneSolutions #EventsManagement #Ex...
INNOVATION WEEK TANZANIA 2024 - MEDIA SYMPOSIUM
Переглядів 213 місяці тому
MEDIA SYMPOSIUM #InnovationWeekTanzania2024 @funguo_tz #UndpTanzania Kicking Off the Campaign at @costech_tz, a very fruitful Session with our Media partners. At the Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) in Dar es Salaam for a week-long celebration of Innovation, Entrepreneurship, and Creativity under the theme "Innovation for a Competitive Economy". Also, don't miss workshops,...
#CleanCookingEnergy TCC DONATES GAS CYLINDERS IN TEMEKE! Chang'ombe, Dar Es Salaam.
Переглядів 283 місяці тому
#CleanCookingEnergy TCC DONATES GAS CYLINDERS IN TEMEKE! Wednesday, 29th May, Tcc Club, Chang'ombe, Dar Es Salaam. #EventCoverage A quick Snapshot of the Event we did Mid this week, for @tcc_plc to hand over the Donation of Gas cylinders to Women Entrepreneurs in Temeke District. Temeke Municipal Council Mayor, Abdallah Mtinika was the event Guest of Honour. This donation, is part of TCC’s coun...
EQUITY BANK "IFTAR" EVENT IN ZANZIBAR
Переглядів 104 місяці тому
#|ftarEvents EQUITY BANK "IFTAR" EVENT IN ZANZIBAR @equitybanktz #RamadhanKareem #EventCoverage A quick #Snapshot of the Equity Bank Iftar Event in Zanzibar, late last week. #CornerstoneSolutions #EventsManagement #ExperientialMarketing
Full Tank ⛽ Full Bima 🛡️ Full Shangwe 👏CRDB YAKABIDHI "DUALIS" KWA MSHINDI
Переглядів 515 місяців тому
#BenkiNiSimBanking🔥 CRDB YAKABIDHI "DUALIS" KWA MSHINDI Alhamisi, 18 April CRDB Bank HQ Dar Es Salaam Cc; @crdbbankplc @eliudsamwel @privaldinho @ahmedally_ #CornerstoneSolutions #EventsManagement #ExperientialMarketing #BenkiNiSimBanking🔥 CRDB YAKABIDHI "DUALIS" KWA MSHINDI Alhamisi, 18 April CRDB Bank HQ Dar Es Salaam Cc; @crdbbankplc @eliudsamwel @privaldinho @ahmedally_ - - - - - #REPOST @c...
TCC IWD #EVENTRECAP WOMEN SHOULD ALWAYS BE PART OF THE PICTURE
Переглядів 186 місяців тому
TCC IWD #EVENTRECAP WOMEN SHOULD ALWAYS BE PART OF THE PICTURE
TotalEnergies AT THE KILI MARATHON 2024
Переглядів 327 місяців тому
TotalEnergies AT THE KILI MARATHON 2024
Mshindi amepatikana ... Pruuh 🌪 mpaka Chugger 🏡Benki niSimBanking 📲 Vanguard fulani hivi 😎🚘
Переглядів 178 місяців тому
Mshindi amepatikana ... Pruuh 🌪 mpaka Chugger 🏡Benki niSimBanking 📲 Vanguard fulani hivi 😎🚘
NBC WAITARA TROPHY 2024 🔥 SIKU YA FURAHA KWA WACHEZA GOLFU, KOMBE LIMEPATA MTU WAKE
Переглядів 398 місяців тому
NBC WAITARA TROPHY 2024 🔥 SIKU YA FURAHA KWA WACHEZA GOLFU, KOMBE LIMEPATA MTU WAKE
🎶WEEEE FATU.... UMEPIGAJE HAPO???CRDB YAELEKEA TANGA KUKABIDHI ZAWADI YA "SOFA SET"
Переглядів 468 місяців тому
🎶WEEEE FATU.... UMEPIGAJE HAPO???CRDB YAELEKEA TANGA KUKABIDHI ZAWADI YA "SOFA SET"
Tanga Kunani, kumkabidhi huyu Malkia 👑 wetu wa Tisha na TemboCard💳 mzigo wake. #PrizesHandOver
Переглядів 409 місяців тому
Tanga Kunani, kumkabidhi huyu Malkia 👑 wetu wa Tisha na TemboCard💳 mzigo wake. #PrizesHandOver
WILDLIFE POLICY IMPLEMENTATION STRATEGY" AND "TANZANIA ELEPHANT MANAGEMENT PLAN 2023 TO 2033
Переглядів 179 місяців тому
WILDLIFE POLICY IMPLEMENTATION STRATEGY" AND "TANZANIA ELEPHANT MANAGEMENT PLAN 2023 TO 2033
MHE. KAIRUKI AZINDUA MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA SERA YA WANYAMAPORI NA MPANGO WA USIMAMIZI WA TEMBO
Переглядів 369 місяців тому
MHE. KAIRUKI AZINDUA MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA SERA YA WANYAMAPORI NA MPANGO WA USIMAMIZI WA TEMBO
Asili Yetu - TCC FAMILY DAY 2023!
Переглядів 1699 місяців тому
Asili Yetu - TCC FAMILY DAY 2023!
UNV Tanzania celebrates International Volunteers Day 2023
Переглядів 119 місяців тому
UNV Tanzania celebrates International Volunteers Day 2023
TSBA 5th ANNUAL GENERAL MEETING (AGM)
Переглядів 1710 місяців тому
TSBA 5th ANNUAL GENERAL MEETING (AGM)
JTI LEAF SERVICES YAKABIDHI MSAADA TABORA
Переглядів 2710 місяців тому
JTI LEAF SERVICES YAKABIDHI MSAADA TABORA
CRDB YAKABIDHI MCHUMA FULL BIMA!
Переглядів 1811 місяців тому
CRDB YAKABIDHI MCHUMA FULL BIMA!
NAIBU WAZIRI WA NCHI, UMMY NDERIANANGA AKIPOKEA MSAADA KUTOKA KWA KAMPUNI YA SIGARA TANZANIA.
Переглядів 3811 місяців тому
NAIBU WAZIRI WA NCHI, UMMY NDERIANANGA AKIPOKEA MSAADA KUTOKA KWA KAMPUNI YA SIGARA TANZANIA.
WIZARA YA NISHATI, EU, UNDP YAZINDUA MAABARA YA KISASA. MATUMIZI SAHIHI YA NISHATI.
Переглядів 1411 місяців тому
WIZARA YA NISHATI, EU, UNDP YAZINDUA MAABARA YA KISASA. MATUMIZI SAHIHI YA NISHATI.
EU - UNDP FUNDED ENERGY EFFICIENCY PROGRAM.
Переглядів 2011 місяців тому
EU - UNDP FUNDED ENERGY EFFICIENCY PROGRAM.
UZINDUZI WA DIAGEO ONE ,MBEYA.
Переглядів 7711 місяців тому
UZINDUZI WA DIAGEO ONE ,MBEYA.
Benki ya NBC, Wachezaji Azam FC, Waendesha Kliniki ya Michezo kwa Watoto.
Переглядів 41Рік тому
Benki ya NBC, Wachezaji Azam FC, Waendesha Kliniki ya Michezo kwa Watoto.
WAZIRI WA AFYA, MH. UMMY MWALIMU AKIONGOZA MATEMBEZI YA SARATANI YA MATITI 2023!
Переглядів 21Рік тому
WAZIRI WA AFYA, MH. UMMY MWALIMU AKIONGOZA MATEMBEZI YA SARATANI YA MATITI 2023!
WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO MKAKATI WA AMREF TANZANIA
Переглядів 5Рік тому
WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO MKAKATI WA AMREF TANZANIA