SHABANI MPIRA PESA:AWACHOMOLEA BETRI WAJUMBE"NIWANAFIKI" |TAMAA ZA KUCHUMIA TUMBO ZIMETUFIKISHA HAPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 чер 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 48

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Місяць тому +4

    Tajili yuko vizuri moo tuna kukubali sana

  • @IsaacPhilemon-mt7bk
    @IsaacPhilemon-mt7bk 29 днів тому +1

    Umeongea point sana mhe,Mo aheshimiwe kwa kazi nzuri aliyofanya,Kigwangala alikuwa wapi siku zote za nyuma,hivi anafikiri akipewa timu ataifanyia nini zaidi ya anachofanya Mo.
    Watuachie Mo wetu aendelee kuipambania Simba kwenye usajili na ikiwezekana arudi kuwa mwenyekiti wa board.

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf 29 днів тому

    Sijui wanaelewa 🧏bro upo vizuri wakishindwa waiachie timu

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Місяць тому +2

    Mangungu na tiageni waji uzuru pamoja na wajumbe wote Ili tutengeneze timu mpya sisi
    Wana chama na mashabiki tuna mkubali sana moo

  • @user-gz2or2ui9n
    @user-gz2or2ui9n 29 днів тому

    Kaka nimekuelewa sana uko vzr umeongea pwent sana kaka unakili nyingi sana

  • @mohamedguveti5372
    @mohamedguveti5372 Місяць тому +7

    Hawa wajumbe,,ndani yake kuna mamluki wa yanga,, mbona hawataki kuondoka? afadhali shangazi alijiudhulu huyo ni simba damu,,,waondokeeeee,,hawa wajumbe ni sawa unapomwacha mkeo halafu anakunadi eti kikojozi,,,

  • @georgemathew9326
    @georgemathew9326 28 днів тому

    Kweli kabisa

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 29 днів тому

    Huyo Mr K, abaki kwenye kisamvu chake.

  • @khamisshehe9187
    @khamisshehe9187 29 днів тому

    Wee bwana ni mtu pekee moaka muda huu Hadi TATIZO hili lijitokeze umesema kweli na kuwa na msimamo wako huo huo ninakupa maua yako , Mungu awe pamoja nawe. Aamin

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Місяць тому +1

    Huyo kigwangara mjinga wawajinga ndiyo anachochea hu mgogoro

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf 29 днів тому

    Na siyo hawafai tu watoke madalakani!waje wenye mapenzi na timu yao (Simba)

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 29 днів тому

    Boss moo nae anajichanganya ariwai kusema anawekeza kuwapa furaha wanasimba

  • @MoshiShop-tr3qz
    @MoshiShop-tr3qz Місяць тому +2

    Huyu naye ajui anacho kiongea,,anayetakiwa kuitisha vikao ni mwenyekiti mangungu hawa wajumbe mlitaka wakaongelee wapi?katiba ya simba inamtaka mangungu afanye vikao , Mangungu afanyi vikao ,,,timu inaendeshwa na Mo katika kila kitu....mnataka wajumbe waje wafanye vurugu nyie wanachama nini wajibu wenu

    • @heimkon7236
      @heimkon7236 Місяць тому

      Wajibu wa wanachama ni kupewa taarifa sahihi na viongozi wai then wakayafanyia maamuzi pamoja. Kama huitishi vikao na ulikubali umepewa bilioni 20 but baada ya kuvurunda ndio mnadai hakuna pesa!! Hawana cha kujitetea.

  • @OmariMtande
    @OmariMtande 29 днів тому

    Tatizo la simba ni wanachama wenyewe katiba walioiweka inawahukumu tajili alijua anaiendesha timu kwa kuvuli cha ushindi tu sasa ndio tunaona uozo wa timu wafanye wafanyavyo bila kuifumua katiba tabu itabaki palepale

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 Місяць тому +1

    Hamisi katoa kashafa mbaya anasema tumeingia kwenye ndoa na mke moja, yani kamtusi Mohamed kamwita mwanamke kwanini asitumie rugha njema

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 29 днів тому

    Hii timu yamoto kuhamia yanga

  • @davidsanare4985
    @davidsanare4985 29 днів тому

    Unajua nn, hao kina try sijui mangungu cjui kina nani hao mnawaonea tu, shida ni mo, na km tungemwelewa kigwangala na mzee kilomoni tusingalifika hapa tulipo sasa mo ndo chanzo cha migogoro ndani ya simba

  • @davidsanare4985
    @davidsanare4985 29 днів тому

    Jamani km hiyo mikataba mo ktk jessy hamjui na hamuulizii, ndo mtajua 20b iliwekwa au la!
    Acheni kuchosha akili wakati mnajua nani ni tatizo,
    TATIZO NI MO au huyo mnae mwita muwekezaji
    Hamjui tu mnahangaika bure mo ndo angekua wakwanza kuachia ngazi

    • @user-gz2or2ui9n
      @user-gz2or2ui9n 29 днів тому

      Achia wewe kushabikia simba mo wanasimba tunamkubali hata katika mishe zako seti mipango kwanza ndio uzalau kazi uliyo nayo

  • @user-xv2zm5ec9y
    @user-xv2zm5ec9y Місяць тому +1

    Jamani magugulu atoke na safu yake

  • @khamisshehe9187
    @khamisshehe9187 29 днів тому

    Naomba namba yako ya Sim Kaka nikurushie vocha naomba unitumie breather chondechonde, naomba namba yako

  • @user-cp2do9pd5k
    @user-cp2do9pd5k Місяць тому

    Mo ata asitoe mia bado watu katutoa mbali sanaaaaaa

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 25 днів тому

    Kigwangala muhuni tu yule anataka team aunde yakwake au akanunue team chnga zipo kibao

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 29 днів тому

    Wanasiasa wanajua Simba ni kubwa Kila palipo na watu kumi 7 ni Simba ,wanatuvuruga ili wapate wafuasi,tunauwezo wa kumvuruga na yeye.

  • @user-mn3bx7vv7z
    @user-mn3bx7vv7z Місяць тому

    Haya ndiyo madhara ya kuendesha timu ya mpira kisiasa na wahusika wanashangilia.

  • @ahmedabdulla2549
    @ahmedabdulla2549 28 днів тому

    Nawewe unaongea nn au jmeshapewa pesa na Mangungu???

  • @costantinestephen2594
    @costantinestephen2594 29 днів тому

    Jibu hoja

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Місяць тому

    Hawana mema na Simba hao

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 Місяць тому

    Robo fainali tumecheza na Mangungu,au mnatumwa ?

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 26 днів тому

    kama team imefeli kiongozi unafanya nini madarakani????

  • @shaabanramadhan
    @shaabanramadhan Місяць тому

    Kigangwala anachochea vurugu hakubaliki apuuzwe tu

  • @user-xv2zm5ec9y
    @user-xv2zm5ec9y Місяць тому

    Tutashikana ushawi magugu ajiuzulu na safu yake

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p Місяць тому

    Kwa hiyo siye tumeolewa ndoa ya mke mmoja?

  • @davidsanare4985
    @davidsanare4985 29 днів тому

    Nataka kuwauliza mashabiki,
    Nani anayejua mikataba ya hayo matangazo ktk jesy! Mnajua nikiasi gn kiliwekwa?
    Hamjui maskini nini kinachowatafuna, mmewahi kumsikia mangungu akiongea lolote!
    Jiulizeni huyu mo kajificha kwenye kichaka cha uwekezaji lkn hamkumbuki yeye sasahivi anasema anawadai, mbn hamjiulizi hayo madwali kwann anatudai, na kwann leo viongozi wanatoka nakudai 20b haxipo na hazijulikani ziliwekwa wapi, na km ziliwekwa, account yasimba wanadai hakuna pesa, sasa mo aseme na na mangungu ajibu kuwa zipo ama la!
    Mo ni tatizo hpo wala c hao wachini wanao jiuzulu

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Місяць тому

    Yanga msiwahusishe hayo ni kati yenu wenyewe, mna makurdi kibao, wazungumzaji kibao, vita hiyo mnatakiwa nyie wenyewe kueleweshana na hekima itumike,kinyume cha hapo mtawasingizi wengi kuwa ni maadui zenu.Kuna uwezokano hao wanaojiweka mbelembele kuzungumza hata kadi za uanachama hawana, na kama wanazo kadi basi hawalipii kila mwaka.

    • @shyneafya2468
      @shyneafya2468 Місяць тому

      Umeongea ukweli mtani ila Simba ina shida sana kuanzia uongozi na mashabiki wenyewe Kuna shida na uchawa mwingi sana
      Ukizungumzia kuhusu uanachama shida ipo Kwa uongozi hawataki wanachama wapya ukizungumzia hilo tu kuhusu kadi za uanachama n kama bangi mbele ya police sasa watapata wapi kadi au hata nguvu za kulipia zitatoka wap shida kubwa n uongozi Kwa mtazamo wangu ni pande zote mbili Kuna makosa kati ya upande wa muekezaji na Wanachama wa Simba MO hawajawajibika vizur

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 Місяць тому

    Garaxy kachezea 6/0 viongozi Hawa hawa

    • @heimkon7236
      @heimkon7236 Місяць тому

      Na mkasema tunashunda lakini hatuna furaha.

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 Місяць тому

    Kwanza hao wajumbe kamavipi ruwafire kwanza kabla hawajaondoka

  • @BakariBakari-sf4ld
    @BakariBakari-sf4ld 29 днів тому

    Mwandishi unamulizamtwa swali ajibu vingine hulekebishi sisi tunataka kusikiwa ushauri wa hamisi unafaa au haufi habali ya ugovi unatuhusu nin sisi

  • @davidsanare4985
    @davidsanare4985 29 днів тому +1

    Semeni yooote, na ninajua hamta nielewa, ila shida pale simba sc ni mo! Huko kwengine mnazungukazunguka tu, mo ndo chanzo cha shida wanasimba amkeni mzizi ninhuyu anayejiita mwekezaji lkn hakuna ni mnyonyaji tu