#live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лип 2024
  • #trending #live #breakingnews BISHOP MPEMBA NA DKT.SLAA WAWA MBOGO HOJA YA UZANZIBAR NA TANGANYIKA YAZIDI KUPAMBA MOTO
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 57

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 місяці тому +4

    KAMA UMEBEBESHWA PAKACHA LAUJINGA HUWEZI KUMWEELEWA. BISHOP MPEMBA

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 2 місяці тому +3

    Namwelewa Bishop kwa 100%

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 2 місяці тому +1

    Barikiwa sana

  • @user-qv4jb7mt5q
    @user-qv4jb7mt5q 2 місяці тому +2

    Upo sahihi ndugu, umesema kweli tupu.

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 місяці тому

    that is true sayin Mimi ni Mzinjibar I never consider my self like I from Tanzania, I am Zanzibarian also I consider my self I am Zanzibarian,Tanzania is our nearby Country ,as feather I know Tanzania and Tanganyika is same Country. thanks

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 місяці тому

    Kama mambo ndio hayo ya kuwaamsha walolala hapo Tanganyika na Zanzibar basi Mungu akupe maisha marefu…

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 2 місяці тому +3

    Tanzania 🇹🇿 is void,there is no valid and active Union.Zanzibar by her constitution has already withdrawn from the Union.

  • @user-th5pe1mw5r
    @user-th5pe1mw5r 2 місяці тому

    Mimi nauliza hizi wizara za muumgano sisi Zanzibar zinatuhusu mfano wizara afya kilimo madini

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 2 місяці тому +3

    Bishop, nikusaidie jambo moja tu, nalo ni kuhusu mhe. Steave Wasira. Nina orodha ya wapinga mapinduzi duniani, tanzania ikiwa ni kanda. Orodha hiyo ni ya muda mrefu na hoboreshwa mara kwa mara. Huyu mhe. Wasira ndiye anayeongoza (wa kwanza) kwenye orodha hiyo kanda ya tanzania! Vigezo vya kuingia orodha hiyo: kuunga mkono uuzaji raslimali za taifa kwa wageni, kupinga rasimu ya katiba ya Jaji Warioba, kufitinisha katiba (ya sasa) na wananchi kwamba si sheria au/na sio tija maandamano ya umma ya amani. Ongeza, uchawa, maigizo dhidi ya maslahi ya umma, ufisadi, udini na mengine kama hayo. BANGLADESH!

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 2 місяці тому

      Stewart chukua 🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 2 місяці тому +2

    We need our Tanganyika back by any way please please let’s be together as Tanganyikan also we need new constitution no vote without Tanganyika back 2025.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      Nyiye mmelala macho yenu kwenye Zanziba tuu 😂😂😂hamtizami kwenu Tanganyika huyu mjamaa ni hodari sana.

    • @Skomi-0nedayyes
      @Skomi-0nedayyes 2 місяці тому

      @@awatifalghanim1106 kwetu akuna Tanganyika Tumeporwa mazima ata asiri yetu imefutwa kila kilicho chetu mimekua ni Mari ya ushilika wa muungano ambao ni upande mmoja tu, ivyo ni vema kubainisha wazi tunaitaji Tanganyika yetu yenye mamraka yake binafsi kiutawala kijamii na kiuchumi kama walivyo wa Zanzibar kisha ndo tujadiri muungano na sababu za kuwepo muungano kuona utatufaa au laa na muungano huo uwe kwa maswala flani tu ya kiulinzi basi,lakini kwa sasa kila mtu abaki na chake ATUHITAJI MUUNGANO KWA SASA.

  • @user-ii2vm5vv1b
    @user-ii2vm5vv1b 2 місяці тому

    You are very smart Bishop! God bless you.

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 2 місяці тому

    Watanganyika sasa wameyajuai haya baada ya riais kutoka Zanzibar, wazanzibar wenyewe hawautaki

  • @salumnassornassor9733
    @salumnassornassor9733 2 місяці тому +2

    Mwendo huo huo watanganyika wadai tanganyika yao na wazanzibari wadai Zanzibar yao hadi kieleweke sio mua wa malumbano saivi presha iwe kuhusu muungano tu

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 2 місяці тому

    100%❤❤❤❤100%

  • @user-um5xx5ct7q
    @user-um5xx5ct7q 2 місяці тому

    Mi nawashauri ndugu zangu hebu itafuteni Tanganyika kwanza baadae tuongee kuhusu muungano ambao utakua na maslahi kwa pande zote mbili

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 2 місяці тому

    WATANGANYIKA NI MAKATILI KWA KUWATIA RØA WAISLAAM WA ZANZBARI😂😂!

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 місяці тому +1

    WATANGANYIKA TUSIPOAMKA TUKAJITAMBUA KUPITIA HAWA AKINA BISHOP MPEMBA,, TUNDU LISSU,, FREEMAN MBOWE na WILBROAD SLAA TUTAENDELEA KUDANGANYWA NA CCM MPAKA VITUKUU VYETU . MIAKA 63 YA UHURU TUMELISHWA MATANGO PORI MPAKA LEO BADO TUMELALA TUTAAMKA LINI ?!?!?!"

  • @samsonpaschal5044
    @samsonpaschal5044 2 місяці тому +2

    Kutopigiwa Mizinga 21 huko Zanzibar maana yake wamekubali kwamba Zanzibar ni kama mkoa mmoja wa Tanganyika na Raisi akienda huko mikoani Tanganyika huwa hapigiwi mizinga. Sasa, ili kuhalakisha Zanzibar iwe nchi rasmi na waanze kumpigia mizinga huyu raisi wa Muungano. Hapo ndipo mtego ulipo. Wazanzibar hawautaki Muungano na ndoa si ndoana ya nini kuung'ang'aninia?

    • @Skomi-0nedayyes
      @Skomi-0nedayyes 2 місяці тому +1

      Hata sisi watanganyika atuhitaji pia muungano maana aujawai kutunufaisha sio kiuchumi wala maendeleo maana ukitoka na kitu Zanzibar unatozwa kodi kubwa sawa na kutoa kitu china bora muungano ufe tu ila tutabaki kuwa ndgu maana sisi wananchi atuna matatizo kabisa lakini tumechoka namna serikali inavyo tutawala.

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 2 місяці тому +2

    Majibu ya swali la Bishop;-
    Swali - Kwanini Zanzibar walipata katiba yao bila kuomba kibali kutoka kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
    Majibu - Viongozi wa juu wa Zanzibar walikuwa wazalendo kwa nchi yao na kufanya hayo kwa maslahi ya watu wao lakini viongozi wa juu upande wa Tanganyika hawakuwa wazalendo,walikuwa wabinafsi/maslahi binafsi,hadi sasa bado wana ubinafsi hata pale Wazanzibari wanapokana kuwa wao si Watanzania wanawalazimisha kuwa Watanzania.
    Kwa maana nyingine Viongozi wa upande wa Tanganyika hawajitambui.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      Amuombe nani sasa??? Na yeye ni Nchi. Kujenga barabara Zanzibar ikaombe Bara kutia viraka barabara Zanzibar wende wakaombe Bara nakuomba kwenye majibu baada ya miaka mitatu Ukowapi Muungano.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 місяці тому

    Hakuna Mzanzibar anocheka kwa maneno unayo yasema. Very sad. Hapo kweli mmekuwa hamjijuwi ni wa Tanganyika au Tanzania Mhhhhh

  • @simonikulwa9375
    @simonikulwa9375 2 місяці тому

    Hakika ukweli na sahihi kwa msimamo huo.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Kusema kweli kaenda Korea amechukuwa mkopo kwa ajili wa Tanzania lakini mkopo unaenda Zanzibar. Lakini Tanzania italipa yaani Tanganyika itawajibika kulipa. Anauza mali zetu na anasema hatajibu cho chote mnachouliza anajiita yeye sasa ni chura

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 місяці тому

    Vipi 😂😂😂 mbona umekoseya kusema hapo Zanzibar na Pemba Ahhhh hebu waachiliye wenyewe ni Unguja na Pemba (Zanzibar) usiwaharibie new generation history ya Zanzibar.

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 2 місяці тому +3

    Bishop mpemba nakupa maua Yako
    100% nimekuelewa

  • @AbuubakariKanuti
    @AbuubakariKanuti 2 місяці тому

    Kaka kweli unajua anae kubishia nikilaza

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s 2 місяці тому +1

    Nyie mnaoshikilia muungano iliyokosa mashiko wajukuu wenu watakuja kuishi ugaibuni pale muungano utakapofutwa kwani hawatajua chochote juu ya muungano

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 2 місяці тому +3

    Nani mjijnga hakuna wajinga kama wa sukuma na wakurya makabila makubwa wapumbavu.

  • @fatmajafar8275
    @fatmajafar8275 2 місяці тому +1

    Wewe hakuna kabila la wajinga sikiliza hoja yamtu na uipinge kwa hoja siokukimbilie ukabila

  • @mohanassor8170
    @mohanassor8170 18 днів тому

    Inatisha na inasikitisha kwa kweli
    . Sijui kama kweli mpaka hii leo hamjui nini kiini na chanzo chake shida hiyo, au na nyie mnzuga watu ili mupate sababu ya kuwaumiza watu ambawo hawahusiki na hawana hawana kosa lolote. Zanzibar ni kinyonyo kwani kapewa mtoto mchanga alale nae ni Tanganyika na kalala kweli kweli. Ni kosa kubwa zaidi ya miaka 60 nyonyo liko mdomoni mtoto Tanganyi hajaachizwa na wala hajaamka kabaki kulala usingizi na nyonyo mdomoni huku master mind wakikomba kila walicho taka sio Tanganyika tu mpaka huko Zanzibar hakuna kilichobaki ila niwaambie kitu watanganyika siri ya mtungini aijaye ni kata. Ipo kazi bila ya kujua kiini cha tatizo kuliondoa si rahisi na unaweza kuzidisha tatizo. Hicho kinyonyo kinamajina mengi sana, mfano uhuru, amani na nk.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Hatukuwa na muungano ila kumaliza chama kilicho kuwa kinatawala Zanzibar AfroShirazi. Na Wazanzibari wanajifahamu sana ndiyo sababu mzanzibari anawatala watanganyika sasa watanganyika wote wamekuwa machawa wa Samia mzanzibari kuliko wazanzibar. Mimi siwaelewi hawa machawa watanganyika. Wote wanatabia ya kujipendekeza jipendekeza kwa kujifanya fanya. Hapa hatuna muungano tena ila MACCM watawala ni wala pilau tu lakini hakuna muungano ni muungano wa kujifanya tu! Alafu tuna baki na machawa tu.

  • @mohanassor8170
    @mohanassor8170 18 днів тому

    Nimemsikiliza bishop Mpemba kwa kweli anaeleweka vyema lakini msemaji wa pili na mkosoaji wa tatu hawana tafahti sana kimwelekeo. Tatizo analofanya mtu mmoja na ukawachanganya watu wasio husika hilo nalo ni jambo baya sana sana angalau ungegusia kua Samia na kikundi chake inaelekea lakini bila ya kufafanua vipi wazanzibari wanaidhulumu Tanganyik hapo kuna ajenda si nzuri ni sawa na kuruka vumbi ukakanyaga matope Tuchukuwe mfano wa wa Kenya shida zao zinafanana na zakwetu lakini wao wanajua namna ya kusema wazi wazi ni Ruto ndie mwenye dhamana na hawaja toa hoja za ukabila lake au asili yake wala jibo lake na kwa namna walivyoshikamana iko dalili ya kuondoa tatizo lao kubwa la muda mrefu. Mpaka hii leo tokea kuanza mapambano yao sijasikiamgawanyiko wa kikabila au kikanda wote ni kitu kimoja lengo kubwa ni dhulma itokomezwe na haki itawale nchi. Hongera wa Kenya.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 місяці тому

    Raha kweli kusikiliza na kufahamu haya MAMBO loooo pakacha la UJINGA kweli.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 місяці тому +1

    Hamna majibu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Tunatafuta usawa wa muungano ulio na haki. Kwa sababu zisizo julikana alizifahamu Nyerere peke yake katika muungano huu Nyerere alikuwa akitaka kutimiza nini au alikuwa na malengo gani nyuma yake. Sidhani huu ndiyo muungano aliutaka Karume. Ila huu muundo ulikuwa wa Nyerere tu. Unajuwa kuwa raisi hakukufanyi kuwa malaika. Watanganyika walimuona Nyerere kuwa malaika na ndiyo sababu ametufikisha hapa tulipo. Lazima watanganyika tupate Tanganyika yetu na KATIBA nzuri. Nyerere kwa kweli aiingiza Tanganyika katika munada.

  • @sembuakimbosho3319
    @sembuakimbosho3319 2 місяці тому

    Na uwaziri wakapata

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 2 місяці тому

    Jibu la swali la Bishop Mpemba ni: CHADEMA ikishinda uchaguzi 2025, inaweza kuunda Katiba ya Tanganyika bila ya kuunda Katiba mpya ya Muungano. Kwa maana nyingine, Katiba mpya ya Muungano italazimika/italazimishwa kuwepo baada ya Katiba ya Tanganyika kuundwa. Vinginevyo ndio utakuwa mwisho wa Muungano. Kama Katiba ya Z'bar imekuwepo tangu mwaka1984 bila ya kuwepo kwa Katiba ya Muungano kuwepo kwanza. Kuna haramu gani kuwepo kwa Katiba ya Tanganyika kama va Z'bar ilivyo??

  • @user-rg1wy6ft5l
    @user-rg1wy6ft5l 2 місяці тому

    Sasa wakumlaumu ni raisi went nyerere maana walipo ungana na Karume Karume hakutaka kuiua zanzibar ila nyerere alitaka yy kwaio vyombo vya dola gani isiiruhusu Zanzibar kutengeneza katiba yake ss nyinyi watanganyika mumerongwa na nyerere kila kitu huko kwenu Tanganyika nyerere mumemfanya nyerere hakosei

    • @user-rg1wy6ft5l
      @user-rg1wy6ft5l 2 місяці тому

      Ila wacha Muungu aitwe Muungu ubaya weke nyerere kwa Zanzibar umemrejea mwenyewe mujue watanganyika nyerere hakua na nia njema na zanzibar hakujua nia njema zabibu nia mbaya yaharibu kwaio ubaya wake umemrejea mwenyewe japo zanzibar imepoteza mambo mengi ila tunaamini Muungu kasimama nayo Zanzibar na ataendelea kusimama nayo

  • @ramadhanikassimu
    @ramadhanikassimu 2 місяці тому

    Kwazauyusio mpemba muunitu yuko marekani wajuwa watanzania wengi warev

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 місяці тому +3

    Tumechoka na swala la Muungano kila siku mitandaoni kila mtu arudi kwao kwa sababu hamtaki kuasisi Wazee wetu Mwalimu Nyerere na Karume

    • @rashidissa5887
      @rashidissa5887 2 місяці тому

      WAKATI. Umelala wewe. Wao hawapo

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      Hakuna Muungano eti. Umeona Uko Muungano hapo mmeungana kitu gani? Kama Muungano msingepeleka Zanzibar majeshi kutoka Burundi au what ever kwenda kuuwa watu Zanzibar siku za Uchaguzi. Bila ya khofu kwa Mungu na WaTanganyika mnapiga MAKOFI.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 2 місяці тому

      Zanzibar wana katiba yao raisi wao mtanganyika hawezi miliki ardhi Zanzibar, Wana bunge sasa huo muungano uko wapi

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      @@MiriamAbdallah 😂😂😂😂😂

  • @joaneskailembo4485
    @joaneskailembo4485 2 місяці тому

    Wapambanaji mko sawa kitaeleweka tu tukishaondoa wajinga wajinga wachache

  • @abdiyissa4269
    @abdiyissa4269 2 місяці тому

    Wakumlaumu nyerere kuua utanganyika wenu kwania ya kuidhibiti zanzibar