SHABANI MPIRA PESA: ATAPIKA NYONGO"CHAMA ALIKUWA MRIJA WAO NDANI YA SIMBA" | TUMESAFISHA LINAKUJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 82

  • @RashidiAlly-et1sg
    @RashidiAlly-et1sg 3 місяці тому +1

    Nakuelewa brother

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 3 місяці тому +1

    Wanafiki wakubwa wakati wanaenda kulilia chooni hayo maneno ya "sizitaki mbichi hizi"😂😂😂😂😂wameumia sanaaa

  • @selemonsalvatory4414
    @selemonsalvatory4414 3 місяці тому +1

    Angechezaje peke ake uwanjan mmemletea magalasa misimu mitatu iloisha sema ukwel chama bado yuko kwenye ubora wake lkn usingeonekana akiwa na kikos kile semen ukwel

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 3 місяці тому +1

    M nahic wanachama wa tawi la mpira pesa ..wanalipwa pesa na huyu jamaa ili waongozwe nae 🤣🤣🤣 .........

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 3 місяці тому +1

    Generator limewashwaaaaaaaaaaaaaa linapiga keleeeee ......che malone 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, huyu jamaaa daaah ndo mwenyekiti wa tawii kweli m nahisi huyu anawalipa anao waongozaaa

  • @MussaWambura-t9l
    @MussaWambura-t9l 3 місяці тому +1

    Sio kweli we muongo tu sura inaonyesha Hindi gani ulivyoumia

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 3 місяці тому

    Uongozi wa Simba Sc hakika wamechukua uamuzi mzuri na wa maana sana.
    Chama kaanza kula pesa ya mwiko nyuma muda tu , na kwenda huko analipa deni. Yeye na Inonga wameihujumu sana Simba Sc.
    Kaenda pre season siku tano kabla ya kumalizika. Mechi ya kimataifa Chama alimzalilisha kocha wa viungo mbele ya mgeni rasmi wa mpira.

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 місяці тому +1

    Eng.Helisi sasa hivi ananyapia nyapia Mo Dewiji amuhamishiye Yanga hizo za ndani nakupa akae akijuwa hivyo

  • @AdnaneisufomomadeMomade
    @AdnaneisufomomadeMomade 3 місяці тому

    Mimi binafsi. Nasema chama ni mchezaji mzuri. Lakini niseme tu uamuzi waliofanya simba ni wakishujaa.nawapongeza sana simba

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 3 місяці тому

    Mwache aende alikuwa anacheza kwa kujisikia ahaaaaa wala haja tuumizaaaa😂😂😂😂

  • @allyshabani3404
    @allyshabani3404 3 місяці тому

    Chama yupo juu ya Simba Simba bila chama inaitwa paka nyiye mashabiki mpaka saah mlikuwa mnasema chama akiondoka mtashabikiya Azam mlifukuza Robert inho eti afate mfumo wa chama najuwa mashabiki mandazi mnaumiya sana

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 3 місяці тому +1

    Wasaliti woote Simba waondoke,hyo Chama aliuza mechi Tano goli

  • @namtingakassim5529
    @namtingakassim5529 3 місяці тому +1

    Chama bora alivyoondoke chawa tu alikuwa kirusi ndani ya simba

  • @masoudmongomongo244
    @masoudmongomongo244 3 місяці тому

    Maneno ya mkosaji

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 3 місяці тому +1

    Chama nenda huko tunataka vijana wa kazi, umekaa miaka mitatu umefanya nini, umetuhujumu sana viongozi nawapongeza sana kutoa kirusi hicho

  • @JumaVitaris
    @JumaVitaris 3 місяці тому

    Mm hu

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 3 місяці тому +1

    Mchawi wa Simba chama

  • @selemonsalvatory4414
    @selemonsalvatory4414 3 місяці тому

    Ila simba bana leo yanawatoka dah kwel chama noma

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 3 місяці тому

    Mnajifariji tu

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 3 місяці тому

    Chama mwanzilishi wa mgomo kwa wachezaji huyooooo Yanga wamepokea bomu

  • @HalimaBicholi
    @HalimaBicholi 3 місяці тому

    Siyo shabiki maandazi huo ndo ukweli alituumiza sana mashabiki wa simba,....tunampenda ila yeye hakuliona hilo,...mungu atamuona huko aendako malipo ni hapahapa duniani km alikusudia kuiangusha simba

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 3 місяці тому

    Chama si mwaminifi huyo nimtafutaji tu wa mchongo hata Yanga ataealipua tu subiri daby Simba na Yanga akicheza chama kwanza kawa mzito umri ume endaaaa

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 3 місяці тому

    Kumtukana Chama mnatengeneza laana mtajuta.

  • @AshuraChamwana
    @AshuraChamwana 3 місяці тому

    Oyooooooooo nakubalishabani

  • @AdamSimai
    @AdamSimai 3 місяці тому

    Football is intensity. Tme of attacking and time of deffensing together with mentality of playing. This is a modern football. So watch chama in simba when the game is high intensity chama collapse totally. Chama better for nbc league not for champion league

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому +1

      Mbagien nyakiel pakocholooo .... Umeandika ushuzi mtupu nenda huko udundukani ukawasimulieee

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 місяці тому +1

    ASHURA CHEUPE NDIE ALIKUWA KUWADI WA MATOPOLO MSHENZI YULE

  • @tosh7671
    @tosh7671 3 місяці тому

    Simba kama mazuzu 😂😂😂 hasa hili ngese

  • @RashidKaoneka-bj8mm
    @RashidKaoneka-bj8mm 3 місяці тому

    Aisee sumu imemuingi analiwa lohoni

  • @RemidiusBatungi
    @RemidiusBatungi 3 місяці тому

    Bora asepe t mamuluki to huyo chama

  • @MohdAli-fl2ef
    @MohdAli-fl2ef 3 місяці тому +3

    Wacha aende akawahujumu hawamjui anahasira nao yule ni jasusi wa Simba hii itawagharimu San watani wasipokuwa makini

  • @abujumanne7570
    @abujumanne7570 3 місяці тому

    Wasaliti wote wata ondoka tusha wa jua

  • @prince783
    @prince783 3 місяці тому

    Hamna shukran

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      NYIE SHUKURANI MNAYO??? FEI KATOKA KWA MBINDE SAIDOO HATA HAMKUMUAGA MAYELE KAMALIZA MKATABA MNAMRUSHIA VIJINI KUTOKA RUFIJI BM 3 MMEMPA KIBUSHA GHAFLA MATOPOLO MACHOGO FC NYIE MNA ABUDU UCHAWI NA MIZIMU

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому +1

      ​@@salimmalaka256ukiwemo na wewe maana, unaependa kutoa matusi mazito..dunduka Waheed

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 3 місяці тому

    Kweli siku ya Azam kwani numba kumi alikuwa nani

  • @namtingakassim5529
    @namtingakassim5529 3 місяці тому

    2:15

  • @namtingakassim5529
    @namtingakassim5529 3 місяці тому

    ACHENI MASWALI YA KEJELI NA DHARAU NAMBA 1O SIO YEYE TU MWANDISHI WEWE FALA KAMA CHAMA MUHIMU HUKO KWAO KAFANYA NINI

  • @saidimnyani3330
    @saidimnyani3330 3 місяці тому +1

    Mnafiki mkubwa huyu

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 3 місяці тому

    Mduka yote safishaaaa

  • @AllyKimeme
    @AllyKimeme 3 місяці тому +1

    Nina amani kutoka Kwa mlija

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 3 місяці тому +1

    maneno ya mkosaji na mwaka msimu ujao utaongea sana na uyu fondo anawasaidia nini mbona mko shirikisho wee pongo anaumia uyo anajikaza 2

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      VIPOFU MMEONA PUNDA WACHEZAJI WAMEJAA HATUKOSI TOPOLO MACHOGO FC WEWE

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому

      ​@@salimmalaka256🤣🤣🤣 wamejaaaa si ndo ao akina jobe, Fred na onana

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 3 місяці тому

    Aende kwa maveteran wenzakee hukoo

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому

      😂😂😂😂 .... Tabu leeeeeeeeeee

  • @ommymsangi9182
    @ommymsangi9182 3 місяці тому

    Mdomoni anafuraha lkn rohoni mmh!!kwani uso auonyeshi furaha.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      SABABU WEWE NI MKEWE UNAMJULIA ZAIDI HATUKUPINGI.

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому +1

      ​@@salimmalaka256itakua mke mwenzako uyo ..... 😂😂😂

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 3 місяці тому

    Muongo macho' sura yko vyote vyajulisha kuwa waumia sana furaha ya mwanadamu ikiwepo kiungo cha kwanza kujulisha furaha n uso wake ...ww n furha gani jicho lakutoka huna furaha hata kiasi kidogo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      SABABU WEWE NI MKEWE HATUKUPINGI UNAMJULIA ZAIDI

  • @felixmalima3024
    @felixmalima3024 3 місяці тому +1

    Punguza chuki broo

  • @UswegeMwaigomole
    @UswegeMwaigomole 3 місяці тому +1

    Uyuu jamaa anaushaidi wowote ..kuna mashabiki ni madazi kwel ..kuna mashabiki kama hawa inabidi wachapwe fimbo ..ukibwa wa simba umesabibishwa na chama hlf wewe unasema ujinga ujinga tuu

    • @MohdAli-fl2ef
      @MohdAli-fl2ef 3 місяці тому +1

      Wacha aende akawahujumu hawamjui anahasira nao yule ni jasusi wa Simba hii itawagharimu san watani wasipokuwa makini

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      FIMBO UCHAPWE WEWE SHABIKI MACHAPATI SUPU.

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому +1

      ​@@salimmalaka256na wewe uchapwe unaetukana ovyoo dunduka 🤣🤣🤣

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 3 місяці тому

    MANENO YA KUJIFARIJI..KAMA KA UNAFIKI FRAN HIVI...MAFANIKIO MAKUBWA KAWAPA SIMBA ALAFU UNASEMA UMEFURAHISHWA NA KUONDOKA CHAMA SASA AYA SI MANENO YA KIJINGA ?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      UNAONGEA UTUMBO WEWE MSHAHARA TUMPE NA HUKU ATUSALITI WACHEZAJI WAMEJAA DUNIANI.

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому +1

      ​@@salimmalaka256jobe , Fred na onana.... Wapo kibao leteniii tu sio ndo Chimbo la watoroo ilo

  • @UswegeMwaigomole
    @UswegeMwaigomole 3 місяці тому

    Timu ya simba mm nipo pale musimu ujao hawezi hata kushika nafasi 4 za juu ..chama mechi ngapi ametubeba hlf huyuu anaongea utumbo utumbo ...

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 3 місяці тому

      Simba sio chama elewa mpiraa ww chama ana miaka 33 unadhani angendelea kuchezea Simba miaka mingapi kama kweli Uto wamemuona chama ni WA maana kwann wampe mkataba wa mwaka mmoja Uto wamemsign chama kwa lengo la kuuza jezi 2

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      KWANI WATAKAO KUJA VIWETE?? MWANGA WEWE

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому +1

      ​@@salimmalaka256kwani jobe au frediii 😂😂 , tumia akili kijana au unatumia kiungo Cha kupikia mchuzi

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 3 місяці тому

      Mechi za mwisho zote chama hakucheza na Simba walishinda kakojoe ulalee

  • @EvaristJosiah
    @EvaristJosiah 3 місяці тому

    Hapo2 unaongea unataka kulia unasema unafuraha

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      ALIE KWANI WACHEZAJI HAMNA DUNIANI??

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому +1

      ​@@salimmalaka256wapo akina jobe

  • @jumamchewa3246
    @jumamchewa3246 3 місяці тому

    Maneno ya mkosajii mkia wewe

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      KAUKOSA MKUNDU WAKO MACHOGO FC WEWE

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому +1

      ​@@salimmalaka256matusi ndo unayo jua ,,,,,, sijui unaishi chooni ... Maana jambo dogo unatukana , hiv unajielewa ndugu yangu ? Matusi na mpovuu endelea 🤣🤣🤣🤣

  • @AdnaneisufomomadeMomade
    @AdnaneisufomomadeMomade 3 місяці тому

    Mimi binafsi. Nasema chama ni mchezaji mzuri. Lakini niseme tu uamuzi waliofanya simba ni wakishujaa.nawapongeza sana simba

  • @AdnaneisufomomadeMomade
    @AdnaneisufomomadeMomade 3 місяці тому

    Mimi binafsi. Nasema chama ni mchezaji mzuri. Lakini niseme tu uamuzi waliofanya simba ni wakishujaa.nawapongeza sana simba