Umeelekeza vizuri jinsi ya kupiga 🎹 🎹 kwa mkono wa kulia 🖐 Kasoro iliyopo ni kwamba hujaelekeza namna ya kupiga hizo Dolemifasolatido kwa mkino wa kushoto 🖐
Mara nyingi watu wakishaelewa wanashindwa wanasahau yale mambo madogo madogo ambayo ni magumu kwa wanaoanza ila naona wewe unafundisha kwa namna ambayo hata sisi tunaoanza tunaweza kukuelewa. Barikiwa
Nimeishakukubali sana mwalimu wangu!
@@imaniassumanikabengano6231 pamoja sana
Niko hapa Kaka
Hahah pamoja kaka
Asante tuko pamoja
shukrani sana
Umeelekeza vizuri jinsi ya kupiga 🎹 🎹 kwa mkono wa kulia 🖐
Kasoro iliyopo ni kwamba hujaelekeza namna ya kupiga hizo Dolemifasolatido kwa mkino wa kushoto 🖐
Shukrani kwa maoni mkuu
Arusha mnapatikan wapii
Tunapatikana huku huku youtube kaka
habar
nimependa unavyofunisha upigaji wa kinanda naomba namba tuwasiliane
0769672995
Natamani unifundishe ila nipo moshi
0717310447 nitext
Mara nyingi watu wakishaelewa wanashindwa wanasahau yale mambo madogo madogo ambayo ni magumu kwa wanaoanza ila naona wewe unafundisha kwa namna ambayo hata sisi tunaoanza tunaweza kukuelewa. Barikiwa
Oh Ameeeen kaka karibu sana