S01E13 | FAHAMU NGAZI ( SCALE ) KATIKA KUPIGA KINANDA, KUIMBA NA KUSOMA MUZIKI
Вставка
- Опубліковано 1 гру 2024
- Ili kuifikisha huduma ya neno la Mungu mbali zaidi Tafadhari Subscribe kisha Like, Comment na Share
Tufuate Kwenye Mitandao ya Kijamii:-
Facebook: / theservantmedia
Mawasiliano:-
THE SERVANT MEDIA,
Parokia ya Chuo kikuu,
P. O. BOX 35027,
Dar es Salaam.
For Bookings
Phone Number +255758949904
+255788865025
Mwalimu uko vizuri. Kazi nzuri. Nitawaleta wanangu kujifunza zaidi hasa practice ya piano
I'm falling in love with music ..mengi nayapata vizuri mwalimu...waaaoo
Nakushukuru Mwalimu kwa somo zuri Sana, naomba unieleweshe hapo kwenye ngazi ya G ya juu yenye nusu tone,sijaielewa
Huyu mwalimu Yuko sawa kufunza walai..👍👍👍
Msaaada wa darasa la kwanza kabisa jaman nitaanzia wapi nimekuta shule imeenda sana sana
Mwalimu hapa nimeanza kuamka sasa..im following you slowly
Jambo zuri nafuatilia Sana hizo flats Sana ..kweli zinanipea stress kibao lakini nitacatchup Tu .asante
Upo vizuri sana mwl
GRAZIE MILLE Maestro from Italy pamoja sana.
Unapatikana wap na ada ya shule shi ngapi kaka mm nataka shule ya music 🎶
wewe ni mwalimu mzuri Sana barikiwa sana
nimekupata kuntu kabisa MWL
Asante kwa somo zuri na kufundisha vizuri
Hongera sana mwalimu
Hongera,mwalim
Hongera sana,
am happy with your lessons
Unaeleweka vzr
Hapo ndio nipo mwalimu..nakufuatilia
Safi sana
Ni ngumu kiasi mwalimu
Barikiwa
Upo maeneo gn tz
Natamani mm kwanza kucheza keyboard
Hbr mkuu,samahn apo tetrecord ya G kwenye f # Bado kdg
Kinanda pia tusaidie mwalimu
Arusha mnapatikana wap
mwalimu saluti kwako
Mwalimu unajua
nilikuwa cjui mziki kabsa lakn had now mesogsa kwa nafac kbwa in short m n mwanafanz wako
Mwalimu yaani unanifanya nipende hili somo😅
How can one play piano using letters plz explain why CDE,GAB
Understood
Mafunzo mema kaka
🙏🙏
Hapo kwenye D# haipandi IPO apoapo kwenye baa nyeupe mbele ya D# ni Eb
samahani mwl. hiyo F shap 6 unazipataje, mbona hapo inaonekana moja??
Endelea kutuelimisha hivyo hivyo hakuna haja ya kutafuta mwalimu mwingine
Kumsapoti ni muhimu, ili aweze kuendeleza harakati hizi
Hongera mwl
Asssanteeeeeeee