Kuna busara fulani kubwa sana katika majibu yake.... He proves discipline and respect towards others japo wanamuongelea vibaya. Haya maisha tunapita, si sawa kujikweza, kujisikia, kujiona zaidi...natamani wote mnaosoma hii comment na kuangalia hii interview mjifunze from this, it has to be our wakeup call. Waongelee watu vizuri tu... Wenyewe wakikusema vibaya muachie Mungu. Mungu akulaze pema brother! We are coming that way too....!!!!
RIP bro. Kisukari ni ugonjwa ambao wengi tunauchukulia poa ila ndio unaongoza kwa kusababisha vifo vya ghafla kwa watu wengi haswa vijana. Tupende kuchunguza afya zetu
Dah..... "I need one minute Mungu baba show me which way to go!" Nitakukumbuka daima milele ila ipo siku Mimi nawewe tutaonana kwa maulana... R.I.P Hip Hop legendary #GODZILA
lakini huyu nikimtizama kiafya hakuwa sawa siku nyingi, nikiangalia muonekano wake, yeye mwenyewe na ndugu zake ndo wanajua kilicho muua ni zaidi ya maralia nionavyo
interview zako chache nilizoona umekuwa ukiongea kwa heshima na busara, hasa ukijua kuwa camera inakutazama. yaonyesha wazi ulipata malezi bora. Upumzike kwa amani wajina.
Cha kukisoma na mkikumbuke kuugua sio kifo hata asiyeumwa ana weza kufa cha kuzingatia nikila mara tumtangulize Mungu mbele tunapoulizwa mambo kadhaa tujibu tutafanya tukijaaliwa na Mungu tusijipe garantii kwa sababu mwenye garantii ni Mungu tuuu,sasa wengi wetu tunajisahau tunapo fanya mahojiano tunakua tunajiwekea malengo ya muda mrefu kumbe garantii yetu hata ya dakika mbili mbele hatuna . Tuwe makini ni mazingatio hayo mauti tunatembea nayo
Mi muislam haifai kulia ila tunalia sana tu ila mmm nimelia Allah akusamehe wakosa mareh zila daa naumia utazani mwanangu heee jamani KIFO kusikia kweli tu ila hatar

Success Path kabisa
Success Path
Mungu ailaze mahali pema roho take..Ni kweli ndugu yangu
King Zilla ulifanya nikawa nadhani Salasala ni sehemu yenye fujo sana kutokana na ngoma yako ya Salasala. RIP bro, u have gone too early brother.
King zila alikuwa anajua sana kaacha pengo bongo mungu amlaza mahali pema peponi
From Kenya:Rest in peace 👑
RIP I loved your Freestyles. From Malindi Kenya
Sukari ninhatari sana inatumaliza na Ngumu kugundua bila vipimo .dah R.I.P zilla sleep with peace bro
RIP bro. Kisukari ni ugonjwa ambao wengi tunauchukulia poa ila ndio unaongoza kwa kusababisha vifo vya ghafla kwa watu wengi haswa vijana. Tupende kuchunguza afya zetu
Mungu akulaze pema peponi zilla tuta kukumbuka daima
Daaa,,, REST IN PEACE my brother tangulia nasi tupo njian tunanjoo,,kwa wale wenzangu mloguswa weka like tumuombee kaka etu kipenzi
Dah..... "I need one minute Mungu baba show me which way to go!" Nitakukumbuka daima milele ila ipo siku Mimi nawewe tutaonana kwa maulana... R.I.P Hip Hop legendary #GODZILA
napendaga mahojiano yake hadi kesho
lakini huyu nikimtizama kiafya hakuwa sawa siku nyingi, nikiangalia muonekano wake, yeye mwenyewe na ndugu zake ndo wanajua kilicho muua ni zaidi ya maralia nionavyo
interview zako chache nilizoona umekuwa ukiongea kwa heshima na busara, hasa ukijua kuwa camera inakutazama. yaonyesha wazi ulipata malezi bora. Upumzike kwa amani wajina.
Hakika bwana kavuna ktk shamba lake. Mbele yake, nyuma yetu apumzike kwa amani 🙏🙏🙏
dah r.i.p king zillah...bahati mbaya sana nimemjua zilla halisi baada ya kifo chake..ulikua mtu poa sana
Daaah brother alikua na plan nyingi na zilikua mzur tu... Ila ndio hvyo Tena. RIP
Wow Godzilla Legend hajui kununa hope ur in heaven
Hii interview sio ya muda ila ukimwangalia vizur km alikuwa anaumwa ndani kwa ndan au Mimi macho yangu
Rest in peace Zilla
angelina mhina ni kweli dada angu hata mm nmeona ivyo
angelina mhina ilikuwa fiesta kilele chake juzi tu apo posta
Kweli anaonekana km kavimba au alikua anasumbuliwa na mifupa vile
Kweli
mgonjwa anaweza akacheza kikapu we vipi wewe c ungecoment RIP tu kama ungekuw huna cha kuongea
Wenye Rap Zao Wote Wanaondoka
Rest In Peace King Zilla
forever u gonna be missed .
Mwenyeezi mungu atujalie mwisho mwema yarrab.🙏
Amina hilo dio la kuomba
Cha kukisoma na mkikumbuke kuugua sio kifo hata asiyeumwa ana weza kufa cha kuzingatia nikila mara tumtangulize Mungu mbele tunapoulizwa mambo kadhaa tujibu tutafanya tukijaaliwa na Mungu tusijipe garantii kwa sababu mwenye garantii ni Mungu tuuu,sasa wengi wetu tunajisahau tunapo fanya mahojiano tunakua tunajiwekea malengo ya muda mrefu kumbe garantii yetu hata ya dakika mbili mbele hatuna . Tuwe makini ni mazingatio hayo mauti tunatembea nayo
kiukweli inauma sana kweli Duniani tuna pita tu niki tizama hiclipu na hisi bado upo hayi brodher Zilla R.l.p pumzika kwa amani 🕯🕯🕯🙏🙏🙏
pumzika kwa amani kakaetu! mwenywezi mungu umpunguzie mateso ya kaburi
RIP mungu akupe kauli thabiti upumzike kwa amani
Rest In Paradise Brother.. Mchanga Unatumeza 😰😰😰
😢😢😢😢uyu kaka kasoma kinge km chote R.I.P brooo
Daaah Godzilla amefariki dunia rip Mombasa tutakosa Sana
His legacy will ever live.. Rest easyyy KING!!
daaah the living dead aixee km utani vile,tufanyien mambo tupate iyo documentary
rip inadvance my best rapper ever
Mwenyezi mungu akunusulu na Adhabu
Basketball na hip hop 🥰🥰
Golden alikuwa msomi,pia alikuwa na hekima,busara na nidhamu ya hali ya juu, r.I.p
Oh so sad..My condolences to the family
Mceshi kweli allah akupe kauli tabiti kaka wataifa amin
Dah broo mapema hivi😭😭😭😭😭
R.I.P Golden ,,,wajina wangu da!
Rest in paradise Golden
RIP Zilla, at least ametuachia documentary. Hopefully familia yake itaitoa.
Was a very talented rapper.
Miss Sana golden
Pole sana familia ya godzilla R.I.p godzilla mungu amuweke mahala Pema peponu
R.I.P brother Godzilla 🙏
Rip kingi zilla
Jamaa amefariki kwa maumivu makali sana, R.I.P
r.i.p zila mbele yko nyuma yetu sisi
Jamn nimelia jmn mungu ni mwemam
Rest In Peace brother Godzilla
Mi muislam haifai kulia ila tunalia sana tu ila mmm nimelia Allah akusamehe wakosa mareh zila daa naumia utazani mwanangu heee jamani KIFO kusikia kweli tu ila hatar
Daah zilla bhana km Upo hivi? ulale pema bro
Easy rest King🔱
Rip king zilla
Pumzika kwa Amani kaka 😢 😢 😢
Staaaaaaay king zilla
Lakunchumpa😘 duh.... Sawa langu laja..sitabaki kama nilivyo hakika.
Salehe Innocent
R.I.p broo
RIP brother
Rip zillah
R.I.P My brother
RIP bro
Rest in Peace Zizi!
R I P zillah
rest easy bro
I LOVE YOU
RIP🙏🙏
Rest in peace bro.
Daaah😭😭😭😭
Pumzika kwa amani zilla
R. I. P Zilla
r.i.p King Zillah
anaonekana alikuwa anaumwa tena maradhi mazito ila ilijipa faraja sana maskini ila ukimtulizia vyema kumuangalia utagundua ana tatizo
Ummy Ameir really ummy
Nakubari, #ukitulia kumuangalia vizuri.
Ni sukari tu, sizani kama kuna zaidi. #machoyake.
@@abinarisy1080 umeona enh
@@abinarisy1080 anhaaa kweli
3 yrs still here
Wapi documentary????
huyo jamaa alikuwa anaumwa kabisa maana hii style ya kuongea sio kawaida yake bhana
R. I .P KING ZILLA
afadhali mtangazaji umechekanaye mala ya mwisho
R.I.P brother
duh mcheshi sana ata siamin
R.I.P brother zilla
rest easy king
R. I. P Godzilla
Hata ukiona sura yake kalikuwa mgonjwa ivi
Pumnzika kwa Aman
R.I.P KingZilla
rest in piece godzilla
Rest in peace brother
man ni kma hupo my man rip godzl
Pumzika kwa aman bro
R. I. P zizi..
R. I. P zilla
R I P jamani sikuoni tena kk yangu 😭😭😭😭😭😭
😢😭😭
@@Pomma-gu1qw 🙏🙏
R i p
Kwa macho tu hapo ukimuangalia tayari afya yake haikua nzuri
R.I.P. Godzilla
Istoria ya dada yake unagunduwa alikuwa na malaria ikachelewa tiba ila kifo isibabu lazima innaa lillaahi......
Maskini zillah maradhi yamuanza mapema k2 kama alikua anadata Fulani ivi duh! Rest in peace broo wanasemaga tuliumbwa kwaudongo na 2 taludi kwaudongo kikubwa nimuombee mwanao akuwa awatunze bibi na mama ake.
Kadata kivipi
Mbona yuko kawaida kadata kivipi?
R.I.P zila
Jamaa alkuwa na vibe saaana,, then he was real always! Rip broh
R.I.P
Daah R.i.p ziz tutakumic 😭😭😭
R.I.P kk zizi
Bado video ya mwisho alipo enda kwenye kumuabudu mungu ,da! Wabongo bwana
Nilkuwa napenga ngel zake alikuwa anajua baala
I R p pumzika kwa amani