Nimesikiliza sana nyimbo za Zillah leo, daaah nimeumia sana sana sana jamaa alikuwa anajua na ana swaggs na hekima vibaya mno daaah 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼 R.I.P bro... I LOVE U
Ukimuangalia vizuri huyu kijana anaonesha kua na akili nyingi sana ila alikua na tatizo la kisaikolojia au tatizo somewhere but all in all alikua vizuri sana kwenye kazi zake.
Mungu akupumzishe tuu jaman hata kama ulikuwa na stress zilikuwa zako bt hujawahi mtukana mtu jaman walikuwa wanakutukana bt unawabariki natumai Mungu amekuita kwa sababu ulishajua aina ya watu then ukaamua kubadilika sasa akaona mwanae usupotee tena baada ya kurudi kundini Pumzika pema peponi tutaonana siku hiyo inakuja
Daah...Nilikuwa natafutaga kila siku Reples ya Albert Mangweir sikuwahi kuipata ila baada ya Kusikiliza hii Mahojiano nimeelewA kitu na Ndio Ushasepa mbele ya Haki .... Go go go Zilla Tears in my face!!!
Kuweni kitu kimoja maisha ni mapito hakuna ajuae kesho yake haya nikii mbishi mafunzo yetu ndio hayo leo mnaongea na mwenzio kesho kapotea R. I .P ZILLA
Nikki mshenzi Sana alikua anamkwangia zilla hakumuweza kwenye game alikua anampiga vita ya live alafu kajifanya Ana majonzi Ile cku ya msiba mbwa huyu Nikki ni snich
Niki Mbishi I didn't know if u went on RIp Zilla... In my opinion, this needs to stop never do this to anybody. HIP HOP is LoVE and Culture , do not put a hit .
Kwakuskiza kingzilla anavyo ongea na Nikki.....huyu jamaa anaongea kwa hekima san...Na kwa wale tuliozaliwa kitambo kidog tunamuelewa huyu jamaa kwenye upande Wa free style ni konk R.I.p king !
Nimesikiliza sana nyimbo za Zillah leo, daaah nimeumia sana sana sana jamaa alikuwa anajua na ana swaggs na hekima vibaya mno daaah 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼 R.I.P bro... I LOVE U
dah mwishoni King alikuwa anaongea points tupu, kama alijua vile, so polite with alots of wisdom, Rip Godzilla
Zilla; Kwanini usipige simu??
Nikki; i really miss u bro🤔
Ukimuangalia vizuri huyu kijana anaonesha kua na akili nyingi sana ila alikua na tatizo la kisaikolojia au tatizo somewhere but all in all alikua vizuri sana kwenye kazi zake.
@Mary Mathew
Ili ulikuwa unajibu kihekima..... Safisana.
R.I.P pumzika kwa Amani.
king zilla me ni mtu wakwanza ambae napenda kazi zako wewe na patcho mpaka nife ndio mtatoka kichani
frm🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇧🇮
Well spoken 🙏R.I.P king 👑😭
Uyasemayo yamefik kk mbele yak nyuma yet Allah akupoke kwa Amani Ameen 🙏
Ameen
He was genious and real sema maisha tu ndo yalimchanganya....free stylers never die #kingzilla
4 real
Dah anajieleza vizuri anagonga ngeli vizuri kah jaman kizur hakidumu apumzike kwa amani godzilla
Ww kaka unajua mpaka unakufa,,,,,,wanafki wanaongea na hawatoacha kuongeaaa.....rest in peace bro
Oyooooooo Likes kwa King Zilla we love u Rest Easy handsome
Nilikua Nampenda Sana Nikki Mbishi Kuliko Godzilla Lakini Hii Video Imenibadilisha Sanaa Now Godzilla nimempenda zaidi
sorry for the loss😔
Naomb ku trade FX
R. I. P Zilla yako mbele yetu nyuma pumzika kwa Amni baba
jamaa alikuwa anakumbuka Sana umauti mashaallah
Jamaa alikua humble aisee!
Mungu huwaonyesha kitu watu wake pale anapowahitaji. R.I.P Zilla
if you think you can do it better than me.. then do it #zillah
Daaaaaaah! Kaongelea kufa na yeye hatupo nae rest in peace brother.
Dah! ZILLA WAPI UNAENDA WAPI BRO, WE MKALI SAN SEMA UJIJUI TU..
GODZILLA aliwahi kutoa mchango kwa siku kama hii ya VALENTINES DAY kwenye nyimbo ya ( CLIFF MITINDO Tatooo💜💖💗❤️
My favourite king ziz noma hakuna free stlye master baada ya ngwea dah nitakumiss sana bro unatisha sana
Masikini, daaaa hatuko nawe tena😭😭😭😭 mbele yako nyuma yetu pumzika kwa amani🙏🙏🙏
Daah huy jamaa kun kit alikuwa navh moyon s kwa manen hayo mungu akupunguzie adhabu ya kabur
Nikki mbishi Rafiki wa kweli sababu Hakupenda kuona Rafiki anapotea alimwambia ukweli ,RiP Zilla
L
Mungu akupumzishe tuu jaman hata kama ulikuwa na stress zilikuwa zako bt hujawahi mtukana mtu jaman walikuwa wanakutukana bt unawabariki natumai Mungu amekuita kwa sababu ulishajua aina ya watu then ukaamua kubadilika sasa akaona mwanae usupotee tena baada ya kurudi kundini Pumzika pema peponi tutaonana siku hiyo inakuja
Nilitamani kuwaona katika level ya Kalligraf... mziki wa Bongo figisu nyigi strees
Dah! King Zilla pumzika kwa amani
Daah...Nilikuwa natafutaga kila siku Reples ya Albert Mangweir sikuwahi kuipata ila baada ya Kusikiliza hii Mahojiano nimeelewA kitu na Ndio Ushasepa mbele ya Haki .... Go go go Zilla Tears in my face!!!
R.I.p. Godzilla
Japo umelala ila Bado napenda freestyles zako ZiZ
This guy was damn humble....rest easy zilla...mad love from Kenya 254
Jamaa alikuwa na busara sana yan
Umeongea ki2 kimoja kizuriii sana, na ni bora mda wwt uleee. Blesd
Godzilla upoo saw sawa wew One love to u
Alikua mcheshi jamn..pumzika kwa aman zilla😢😢
*king zillah* kaongea kiakili sana afuu hata bila kupaniki japo kaongelewa *Shit* #Zillah bro yo ar ma best mc ever......
Was genius 😍😍
Ziz mi nakuelewa sana🙌
Go KingZillah 😢
R.I.P king Wasala sala.
Tumempoteza Mtu makin
Pumzika kwa Aman kingzila.
Acha pombe zilla utakua kama Chidi Benz ,,,kama unampenda zilla gonga "like"
Hahahaha nani anampenda mlewa gongo ww😁
Never comment something bad for people who don’t them look at he gonna RIP
tutakumbuka daima
RIIP
Msenge ww unamponda mtu halaf fala kwel w jamaaaa
Pumzika kwa aman bro
nikki majungu yanini mtoto wa kiume king zill atakuoa we aya freestyle ik fresh zill don't care coz nikki he's crazy!
Kuweni kitu kimoja maisha ni mapito hakuna ajuae kesho yake haya nikii mbishi mafunzo yetu ndio hayo leo mnaongea na mwenzio kesho kapotea R. I .P ZILLA
daaah jamaa ulikuwa na falsafa tofauti sana na rapper wengine wote no matter wot rip inadvance bro
Mungu mkali nyiee Rest in peace #zillah
Zilla Zamani sana I can believe umeanza kuzengua au Waswahili washakuweza mwanangu
God bless them !!umetisha hom boy
Brian Nyiti n
Zilla alikua bonge la mnyamwezi kama 50cent na ndiyo alikua anampatia
Haha! Godbless them, kizazi sana!!!!
Hekima Ya Mtu Ipo Kwenye Maneno Yake
kantuni
Rest easy Homie
Continue to Rest the king Zizi🙏
Rest easy King zilla🙏
Rip Godzilla jamn dahhhh inauma ety
Zilla may be cant do it !!!....if you think am nat gd do it...🙆🙏🙏R. I. P King Zilla
zilla hip hop ni yako hapa tz!! maana ulivyo genius unakuwa kama prof wa maswala ya hip hop, ona ulivyojibu kwa akili sana
akili gani uyo boya tuuuu anajikuta mmarekan skuiz hahaha
ua-cam.com/video/EOBgelQr6DQ/v-deo.html
mungu akuleemu
17/02/2019 R.I.P king zilla
daaaa noma sana
Zila moto mzee mfalme wa fistyree
Nicki nae anaongelea wa2 hata hatoi ngoma za kusema basi anafanya poa zaidi majungu c km anafanya hip-hop awachane kwa ngoma
Sam magoli album
Ukiona ivo ujamfatilia
Kibise Kibise utamfatilia Kama hafuatiliki
zilla ni mwana wa wana pamoja sana
KAMANAMUONA. nando hauto muonatena umuombe msamaha kwamaneno mabaya uliyo ongea juu yake nick tubuuuu.
King zilla🙌🙌
KIng zila kwa freestyle ni motoo
Hawa walikuwa washkaji sana na pia wapinzani sana 😂
Godzilla anaweza Nikki Mbishi anajifanya kuwa anajua kila kitu kumbe mi bangi tu
Sure
Usha wai kuvuta bangi
KAMA UNAHITIKADI ZA KISHOGA UWEZI UKAMKUBALI NIKKI MBISHI
ua-cam.com/video/EOBgelQr6DQ/v-deo.html
Keypha edison Edison Zila yuko pw sana Nick bangi kwer
RIP
Nakukubali sana zzz tisha sana hataleeeeeee
Ukwel Nina muelewa Sana Nikki mbishi bt zilla umejibu poa Sana ninja 👊
Daah haya bhna ww huna Dhambi kaka najua uliko uko pahala salama sasa PUMZIKA KWA AMANI BRO.
Nikki mshenzi Sana alikua anamkwangia zilla hakumuweza kwenye game alikua anampiga vita ya live alafu kajifanya Ana majonzi Ile cku ya msiba mbwa huyu Nikki ni snich
R.I.P Zilla
R.I.P KING ZILLA 2024
zilla mbona IPO hivyo yaaan umebadilika sana maisha magumu au ushaanza kutumia sembe rud kwenye mstar bro
Leo haupo broo
#Godzilla appreciate bro
R i P Niggah...Let God bless them as you said. ..
Chek alivyokua akiongea kama alijua vile R I P
ZILLA YO TIME GOT YOU HOMMIE
Hujaharibu #zila pombe haimuharibii mtu piga mambo na mziki utaenda😎🔄
kassim Nemsh ivyo yaniii
Umeona matokeo yake sasa
Zilla namisi punch na muziki wako, fanya urudi mzee
Mziki kwanza we all love hip-hop
Niki Mbishi I didn't know if u went on RIp Zilla... In my opinion, this needs to stop never do this to anybody. HIP HOP is LoVE and Culture , do not put a hit .
Mungu akulaze mahal pema
Appreciate broo Rest In Peace man
Daa mchizi ALIKUA anapiga yai lenyewe haswaa
RIP king zilaa tutakukumbuka sna daaa 😢😢
RIP
Kwa majibu hayo mungu yuko
clouds wamemaliza tallent ya huyu chalii anadata kweli
Nice talk zilla
Nice enter view
Nimeumia Sana R I. P
Rest in Peace zizz 😢
Kwakuskiza kingzilla anavyo ongea na Nikki.....huyu jamaa anaongea kwa hekima san...Na kwa wale tuliozaliwa kitambo kidog tunamuelewa huyu jamaa kwenye upande Wa free style ni konk R.I.p king !
Nakubari sana Godzilla
...daaaaaaah ach2
Rest in Paradise King Zilla
UH...second chid benz
dah ulikua wamtaja San Mungu rest in peace brother
Nmependaa Godzilla, umekua mtu mzimaaa
WEEE HUMFAHAM ZILLA ASE UYU CHALII UBONGO UMEYUMBA TEAR
R l P broo zila tutakukumbuka daima