Hii ndio changamoto kubwa kulikoni zote ukiishi USA, Canada au Ulaya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Changamoto gani ni kubwa kulikoni zote kwa wahamiaji toka Afrika huku ughaibuni?

КОМЕНТАРІ • 64

  • @bensonculture2947
    @bensonculture2947 Рік тому +9

    EBM since 2019 hakuna video ata moja nimekosa kuwatch because ni ya elimu kubwa mno & you have really changed my life 🙏🙏🙏.....MAY GOD BLESS YOU

  • @patrickpaandi6759
    @patrickpaandi6759 Рік тому +1

    EBM this lesson is very prophetic especially to the immigrants , when I get over there you will be my Pastor and my Counselor

  • @AbdulyFaki-hr4ee
    @AbdulyFaki-hr4ee 3 місяці тому

    Moja kati ya video za maana kabisa kuwahi kuangalia , ahsante sana brother, video ya maana na mtu wa maana kabisa.

  • @aggreyluganolugano649
    @aggreyluganolugano649 Рік тому +1

    Very important n educative information, this tells us that Africans should develop their own continent economically, socially etc. So Africa is the best place if only is managed properly. That also tells us Africa is a God fearing continent n we have preserved our religion values

  • @shariffasaid837
    @shariffasaid837 9 місяців тому

    Absolutely 💯 first of all i didn't like to comment in any media but ur words have touched me because i was in process to transfer with my family to live in America, your video have teached me, it broke my heart wallah, Actually its hard when you compare tanzania with America there is a big difference, tanzania have a good value . Thanks brother for opening my eyes.

  • @Denis_prudence
    @Denis_prudence Рік тому +3

    Kaka Ernest, Tunaomba video ukufafanua mchakato mzima pale ambapo channel inakua imekidhi vigezo vya kulipwa na youtube. Ili kuwa monetized kuna process zipi nyuma ya pazia hadi ela inapokelewa kwa mtu husika kwenye account yake ya bank

  • @user-oh1fz9mu6s
    @user-oh1fz9mu6s Рік тому

    KAZI nzuri sana keep up good job

  • @johnmfuko4426
    @johnmfuko4426 9 місяців тому

    Asante sana kwa elimu hii mkuu

  • @missnamwambemomentstv7753
    @missnamwambemomentstv7753 Рік тому +2

    Leo mada nzuri mno...❤

  • @user-cd1zn2pj9w
    @user-cd1zn2pj9w Рік тому

    Good lesson brother.Thanks

  • @irankundarukeratabaroediso4632

    Asante EBM

  • @jeremmymutugi3240
    @jeremmymutugi3240 Рік тому +1

    Mada nzuri kwa sisi wenye Familia ndogo na tuna nia ya kuwaleta watoto wetu uko siku moja.

  • @kamanapomo7029
    @kamanapomo7029 Рік тому

    Mungu wangu, huu ni msiba mzito hongera sana broo kwaunacho kifanya mwenyez mungu atakulipa

  • @mariamissa9405
    @mariamissa9405 Рік тому

    Well said ubarikiewe sana ebm🙏

  • @emanuel28asukile
    @emanuel28asukile Рік тому +1

    Naomba tufafanulie juu ya biashara ya kinyesi @ebm

  • @luckysichone6705
    @luckysichone6705 Рік тому

    Asante sana babamzazi kwaushaur wako

  • @ReginahNgeleja
    @ReginahNgeleja 4 місяці тому

    Kaka hii ni tishio kubwa sana Kwa tunaotaka kuja us,masomo kama haya utuber wengine hawatoi

  • @erickagwe8841
    @erickagwe8841 Рік тому +2

    Mahali sahihi pa kwenda kwa Sasa iwe ni kwa elimu au maisha ya Kazi ni Urusi tu!!

  • @patrickbarasa1705
    @patrickbarasa1705 Рік тому

    I LIKE YOU BRO FROM 254 KENYA,, KEEP UP ROCKING....... 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому

    Upo vizuri mkuu

  • @saviorJesusChrist
    @saviorJesusChrist Рік тому

    Ahasante kwa kuleta ufahamu wa ugaibuni.

  • @FaustineTz
    @FaustineTz Рік тому +1

    Daaa ni kweli Aya unayoyasema?? Ni tabu Sana Mungu atusaidie

  • @dainesdiana583
    @dainesdiana583 8 місяців тому

    Nataman sana jaman lakn sina conaction ila nina passport naomba unisaidie elimu yangu nimasomea mambo ya day care

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 5 місяців тому

    Uwiiiiii Mungu simama,

  • @hamsikrasheedi1796
    @hamsikrasheedi1796 10 місяців тому

    respect brother 🫡

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 Рік тому

    Kazi nzuri sana

  • @canisiusbalayinga
    @canisiusbalayinga Рік тому

    nimefurahia sana ulivyoliadress hili nilikua na ndoto sana kuishi marekani lakini hilo swala ushoga limenipotezea ndoto hiyo maana naona hata usa gvt inasupport hayo mambo 100%

  • @JohnSaully
    @JohnSaully 4 місяці тому

    Ndugu yangu mie nakusikiliza sana mkuu sema ni mi naomba namba yako mkuu ili niweze kuzungumza nawe vizuri kabisa

  • @BboyBusara
    @BboyBusara 3 місяці тому

    Kop

  • @cliff3435
    @cliff3435 Рік тому

    Ebm ulinisaidia kujaza my ds-260 na Hakika I was successful thank you so much

  • @user-bf3mm5wu1s
    @user-bf3mm5wu1s Місяць тому

    Mkuu naomba namba yako mm nipo Tanzania drive wa truck nafanya safar ya congo Nina passport kubwa naitaji kazi uko

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 Рік тому

    Plz utu elezeye njia ya kuomba fiance visa nainachukua mda gan uli mtu wako afike marekan

  • @mwlhalimoja.ekingunza1819
    @mwlhalimoja.ekingunza1819 Рік тому

    Ubarikiwe sana EBM kwa kusema na kutujenga iliyo kweli.

  • @aaronsundaymengyason1895
    @aaronsundaymengyason1895 Рік тому

    Kaka safi sana tunashukuru kwa elimu mkuu,Naomba contact yako pls!its very urgent

  • @isaacmduma5998
    @isaacmduma5998 Рік тому +2

    Huku Africa watu wengi wameaminishwa ughaibuni kila kitu kiko green, jambo ambalo si kweli kabisa. Africa imebarikiwa na Mungu, kuna vitu Vingi vizuri, mapungufu yapo kwy mabara yote

  • @Bagenzi4life
    @Bagenzi4life Рік тому

    Asante sana kaka kwa hii

  • @shariffasaid837
    @shariffasaid837 9 місяців тому

    😢😢😢😢😢😢

  • @blernngaimumedia
    @blernngaimumedia Рік тому

    Ni kweli kabisa,

  • @JohnSaully
    @JohnSaully 4 місяці тому

    Kaka niaje ndugu yangu kwema kaka habali za huko

  • @patrickpaandi6759
    @patrickpaandi6759 Рік тому

    EBM I LOVE YOU

  • @user-bf3mm5wu1s
    @user-bf3mm5wu1s Місяць тому

    Mbona una tukatisha taa

  • @michaelkomwiswa7048
    @michaelkomwiswa7048 Рік тому

    Maneno muhimu mno, asante kaka

  • @piusmurimikangai8401
    @piusmurimikangai8401 Рік тому

    🙏

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 Рік тому

    Elimu ya Dini kwa hiki kizazi cha sasa ni kitu ambacho kimekosekana ktk jamii kubwa Watu hawana hofu ya Mungu kupitia mafundisho ya kiimani

  • @ImeldaIsdory
    @ImeldaIsdory 7 місяців тому

    Nia yao ni nini? Wanataka Dunia iwe kama Jehanamu? Nasikia kule kuna kila uchafu!

  • @emmalsam3920
    @emmalsam3920 Рік тому

    elimu muhimu sana hii

  • @pembastore252
    @pembastore252 Рік тому

    Wamefikia huko 😢😢😢

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 Рік тому

    Point ya msing japo Sina watoto

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 Рік тому

    🤔Halafu watu wajue kuwa mtoto akifikia umri wa miaka 18 uhuru wake ni challenge kwa wazazi. Wanahaki ya kusema, kufanya au kwenda kokote na mzazi huna nguvu sana ya aidha kumuadhibu au kumtusi huenda ukajiingiza matatani. Mtoto hapigwi nchi za Ulaya ni kujitia kwenye orodha ya uhalifu😂. Yaani kama mchezo lakini ni hali halisi ndugu zangu

  • @FakihiNapunda
    @FakihiNapunda Рік тому

    3:07 Kama panafanana na ndanda mtwara

  • @ramamrutu4914
    @ramamrutu4914 Рік тому

    Kaka mimi naomba kujua pia ufanye video ambayo inaweza elezea kwa mtu ambaye yupo africa alf anafamilia ila anaweza kununua nyumba huko akiwa tanzania , alf anaweza amia huko kama kaweza nunua nyumba huko ?

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Рік тому

    Ernest moyo unaniuma sana, 😢😢😢😢😢

  • @user-ne6lu4ui9i
    @user-ne6lu4ui9i Рік тому

    Immigrant ni mhamiaji kwa kiswahili

  • @thebmcblackmiccatcher3949
    @thebmcblackmiccatcher3949 Рік тому

    ni hatareee

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 Рік тому

    Kuna application ya duolingo niko nayo najifunza kijerumani kuna conversation unakuta mwanaume anamtambulisha mumewe yani ni hatari sana asaiv

    • @missnamwambemomentstv7753
      @missnamwambemomentstv7753 Рік тому

      Habari yako kaka...? Imekuwa vzr, mm pia Niko nasomea kigerman kwenye hyo app ya duolingo...! Je? Tunaweza kuwasiliana kwa ajil ya kuwa tunafnya mazoez ya kuzungumza na kuchat chat piah..Kama hutojal

    • @mrcardano1203
      @mrcardano1203 Рік тому

      @@missnamwambemomentstv7753 Inalipiwa?

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 6 місяців тому

    Sodomaize inakuja nyingine

  • @saidseif4753
    @saidseif4753 Рік тому

    Vipo hpo kwa mji uliopo wakaazi wake wamehama,,, kwa video yoote naona uko peke yako mtaaani,, au wameenda vitani Ukraine,,, hahaha,,

  • @Denis_prudence
    @Denis_prudence Рік тому

    Kaka Ernest, Tunaomba video ukufafanua mchakato mzima pale ambapo channel inakua imekidhi vigezo vya kulipwa na youtube. Ili kuwa monetized kuna process zipi nyuma ya pazia hadi ela inapokelewa kwa mtu husika kwenye account yake ya bank

    • @ericmato9
      @ericmato9 Рік тому

      Hatua za awali ili chaneli ya Toutube ianze kuingiza hela ni lazima iwe na wafuatiliaji wapatao elfu 1 na video zimeangaliwa kwa saa zisizopungua elfu 10.