Uchawi Marekani 🤣🤣🤣🤣

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • Ukija USA 🇺🇸 usije na uchawi wako usije aibika 🤣🤣

КОМЕНТАРІ • 26

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 Рік тому +1

    😳Halafu uchawi haufanyi kazi Ulaya wala Marekani. Ni itikadi ya kimaskini na fantasy mbaya kimaisha. Huku kazi tu ukiwajibika ipasavyo hata huo uchawi ukifanyiwa hurogeki 😂😂🤝

  • @ArrivalTv
    @ArrivalTv Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aise nimecheka sana

  • @tatually1366
    @tatually1366 7 місяців тому

    Nikweli😂😂😂

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 Рік тому +1

    Duuh kwel leo nimecheka sana

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Рік тому

    Muacha Mila ni mtumwa Kwan ulidhani atawacha uchaw afrika had aende kutesa wazungu kidogo 😂😂😂

  • @azamakulwa4604
    @azamakulwa4604 Рік тому

    Katika siku nimecheka leo.big up brother

  • @barutiboniphace4335
    @barutiboniphace4335 Рік тому

    Hahhaahhaah noma sana

  • @OllykekeSwahili
    @OllykekeSwahili Рік тому

    Ila nimecheka leo😂😂😂😂😂

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 Рік тому

    Vibuyu aliviacha Marekani au walikumbuka kumpakiza na kumsafirisha navyo

  • @maribasimon6993
    @maribasimon6993 Рік тому

    Like serious!!!😂

  • @khadijaismail8427
    @khadijaismail8427 Рік тому

    Nakuelewa sana kaka

  • @odethadeodatus258
    @odethadeodatus258 Рік тому

    Nilikuwa zauliza pale ofisi karibu na mlimani inakuwa wazi au

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 Рік тому

    bwana kaka EBM

  • @pauljohn3154
    @pauljohn3154 Рік тому +1

    First one to watch this video plz drop ur like

  • @nurulwimo6947
    @nurulwimo6947 Рік тому

    Ni wakike kumbe

  • @fathiasaed9718
    @fathiasaed9718 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @puregamers4215
    @puregamers4215 Рік тому

    Lol😅😅😅

  • @AminaMustafa-uw7jc
    @AminaMustafa-uw7jc Рік тому

    😁😁😁😁

  • @bahatiegino3261
    @bahatiegino3261 Рік тому

    😂😂😂

  • @libetztanzania-kiswahilina2845

    H ha ha ha

  • @adamndembo2983
    @adamndembo2983 Рік тому

    😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @douglasmamboya255
    @douglasmamboya255 Рік тому

    Halloween si mwez wa Kumi?

  • @emmanuelkamenya4004
    @emmanuelkamenya4004 Рік тому

    Usichanganye mwizi na mchawi halafu hiyo story uongo mtupu. Hakuna mchawi wa kushika kitasa kuingia ndani wala hakuna camera ya kumwona mchawi. Unaelezea uchawi utadhani hujazaliwa kigoma.

  • @tanzuaprint
    @tanzuaprint Рік тому

    Huyu hana story tena za kuongea, amekuwa muomgo alafu mjuaji, hivi unaujua uchawi?. Hivi kuna serikali gani inaamini katika uchawi? . ebu toa ushaidi hiyo taarifa umeona wap na sisi tukashuhudie

    • @emmanuelkamenya4004
      @emmanuelkamenya4004 Рік тому

      Huyu mwongo. Aseme mwizi sio mchawi, amezaliwa kigoma halafu anazungumzia uchawi kwa nadhalia ya kufikirika.

  • @azamakulwa4604
    @azamakulwa4604 Рік тому

    😂😂😂😂