YESU AWEZA KUMFANYA MWENYE DHAMBI KIUMBE KIPYA! Salamu ndugu msomaji! Leo Mungu ametupa neema ya uzima tena, na nimekuletea ujumbe kutoka kwa Mungu, kuwa huna haja ya kujikatia tamaa, huna haja ya kujikinai na kuona kuwa utaishi vyovyote vile na utafanya vyovyote vile, HAPANA! Bado unathamani kwa Mungu, maisha yako yaliyoharibiwa na dhambi, Yesu anao uwezo wa kuyatengeneza tena, anaweza kukufutia dhambi zako zote na kukufanya mpya kabisa, mwenye thamani kabisa, wa maana kabisa mbele za Mungu wetu aliyekuumba. Unalopaswa kufanya ili uwe mpya, ni hili, kumwambia Yesu karibu maishani mwako ili akupe nafasi ya KUTUBU na akupe MSAMAHA wa dhambi zako na hatimaye afute maisha ya machafu ya zamani na akufanye kiumbe kipya kama maneno ya Mungu yasemavyo, “Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita, tazama! Yamekuwa mapya” 2 Wakorintho 5:17. Kinachokufanya uwe kiumbe kipya ni kule kumkaribisha Yesu akae ndani yako na wewe ndani yake, soma pia hapa “Mtu (YESU) huyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli(wewe) TOBA na MSAMAHA WA DHAMBI” Matendo ya mitume 5:31. Hivyo unaweza kuelewa kuwa hakuna TOBA wala MSAMAHA wa dhambi kwa mwingine isipokuwa ni kwa Yesu peke yake, UNAMHITAJI YESU KATIKA MAISHA YAKO! Mimi kama mjumbe wa Kristo, nakusihi wewe mwenye dhambi, ndiyo wewe mwenye dhambi! Upatanishwe na Kristo uwe kiumbe kipya, ya kale yote yapite, yaani uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, mafarakano, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo na hatimaye yawepo maisha mapya katika YESU KRISTO! Maana bila hivyo, kamwe hutaingia ufalme wa mbingu wa Mungu! YESU ANAOKOA HATA SASA! Kwa msaada zaidi piga: 0756-292-211 au 0676-407-085 Mwalimu kelvin Nathaniel Lwiva
Jaman pastor huko uliko mwanga na Nuru vikuangazie mm BDO naona Kila cku upo mafundisho yananijengaaa sana kwenye ndoa yangu ,nadhan wapo kama mm wanaoelewa
Waaaaaaaaaaaaaaa haki huyu mtu wa Mungu alikua wa baraka hivo...haki namfatilia kama asha tuaga woooiiiii Mungu jaza pengo...kaaiiiiil😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥rip man of God
Ni kweli mwanamke akichoka kudharauliwa,kunyanyaswa,kuto kuthaminiwa,kutokusikilizwa ndani ya ndoa,moyo wake ukifa,akisema sasa basi kuja kumrudisha kwenye msitari huwa ni kazi sana.
Yaani kwa kwelii wako hivyo kabisa, unakuta unamwomba hela Mme anakuambia hana lakini kule akiombwa hata kama hana lazima ataenda kukopa, wako zaidi kufurahisha watu wa nje kuliko mke wake au watu wake wa nyumbani mwake, Mungu atusaidie kwa kwelii.
AMEN , Pasto ntakuja kuja , nakusikiliza wapo radio sana adi na record mafundisho yako nikiwa njiana nasikiliza pia , mafundisho yako yana niinua sana kiroho.
Kweli pastor unaongea kweli kabisa. Njoo maana Gaddafi alitumia wanawake kwa kumulinda siku zake zote. Kwa maana Gaddafi aligundua siki kubwa kwa wanawake. Kweli napenda sana sector hii.
Amen, nimefunguliwa.
Ubarikiwe mtumishi...!!
Ndio leo umenifungua akili baba mchungaji kuanzia leo nitamheshimu mke wangu kwa 100%
Ahsante mchungaji najikuta nabarikiwa japo ninamagumu ninayo yapitia ila abarikiwa mno ubarikiwe baba
Ahsante Boss wangu nimekuelewa Sana'a. Ubarikiwe mnoh
Rest in peace. Tutakukumbuka sanaaaa nawaza kwanini Mungu kakuchukua wakati huku tnakuhitaj. Bc Mungu atabaki kuwa Mungu
Maneno kuntu👋👋👋👋mungu anijalie mme mwema🙏🙏🙏 alafu lala salama baba
Barikiwa sana mtumishi kwa mahubiri mazuri
💯💯💯💯👏👏👏👏hapo mtumishii ushanenaaaa👏👆👆👆👌👌🇹🇿kipao mbele sanaaa walaiii
Pumzika kwa amani mitimingi inabidi tukubali mungu anasababu na uhitaji wa wew kuliko sisi
Asante mtumishi wa mungu nimepata points nitamuezimu mke wangu Amen.
Past una sema kweli ubarikiwe baba yangu
YESU AWEZA KUMFANYA MWENYE DHAMBI KIUMBE
KIPYA!
Salamu ndugu msomaji! Leo Mungu ametupa
neema ya uzima tena, na nimekuletea ujumbe kutoka kwa Mungu, kuwa huna haja ya
kujikatia tamaa, huna haja ya kujikinai na kuona kuwa utaishi vyovyote vile na
utafanya vyovyote vile, HAPANA! Bado unathamani kwa Mungu, maisha yako
yaliyoharibiwa na dhambi, Yesu anao uwezo wa kuyatengeneza tena, anaweza
kukufutia dhambi zako zote na kukufanya mpya kabisa, mwenye thamani kabisa, wa
maana kabisa mbele za Mungu wetu aliyekuumba. Unalopaswa kufanya ili uwe mpya,
ni hili, kumwambia Yesu karibu maishani mwako ili akupe nafasi ya KUTUBU na
akupe MSAMAHA wa dhambi zako na hatimaye afute maisha ya machafu ya zamani na
akufanye kiumbe kipya kama maneno ya Mungu yasemavyo, “Hata imekuwa, mtu akiwa
ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita, tazama! Yamekuwa mapya”
2 Wakorintho 5:17. Kinachokufanya uwe kiumbe kipya ni kule kumkaribisha Yesu
akae ndani yako na wewe ndani yake, soma pia hapa “Mtu (YESU) huyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe
Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli(wewe) TOBA na MSAMAHA WA DHAMBI” Matendo ya
mitume 5:31. Hivyo unaweza kuelewa kuwa hakuna TOBA wala MSAMAHA wa dhambi kwa
mwingine isipokuwa ni kwa Yesu peke yake, UNAMHITAJI YESU KATIKA MAISHA YAKO!
Mimi kama mjumbe wa Kristo,
nakusihi wewe mwenye dhambi, ndiyo wewe mwenye dhambi! Upatanishwe na Kristo
uwe kiumbe kipya, ya kale yote yapite, yaani uasherati, uchafu, ufisadi, ibada
ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, mafarakano, uzushi,
husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo na hatimaye yawepo maisha
mapya katika YESU KRISTO! Maana bila hivyo, kamwe hutaingia ufalme wa mbingu wa
Mungu! YESU ANAOKOA HATA SASA!
Kwa msaada zaidi piga: 0756-292-211
au 0676-407-085 Mwalimu kelvin Nathaniel Lwiva
Kelvin Lwiva Amen
Rip pastor,kazi umeifanya,mwendo umeumaliza na imani umeilinda
Hallo pastor, Nimejifunza vitu vingi sana kuhusu MKE ninayeishi naye.
Jaman pastor huko uliko mwanga na Nuru vikuangazie mm BDO naona Kila cku upo mafundisho yananijengaaa sana kwenye ndoa yangu ,nadhan wapo kama mm wanaoelewa
Ahsante mtumishi kwa kunifundisha vitu vingi, mungu akuzidishie.
Lalasalam Mtumishi Wetu, We really miss You Mchungaji 🙏🏿🙏🏿😭😭😟
2
Amen, Mungu akubariki sana pastor
Asante kwa kutufundisha ila ht wanaume wanatukwaza sana wanawake naomba ujitahidi kuongea ht na wanaume wasiwe kikwazo kwetu
Amen barikiwa pastor umenisaidia sana
Mungu aendelee kukuinua viwango hadi viwango mtishi
Maana c kwa mafundisho hayo
Amina
Amina baba kwa mafundisho mazuri ndio maana babangu mzazi hukuai fanikiwa ata siku moja ameishi kudhumiwa
Asante sana pst kwa mafundishi yako mazuri sana God bless u.
God bless you
Good teaching
Waaaaaaaaaaaaaaa haki huyu mtu wa Mungu alikua wa baraka hivo...haki namfatilia kama asha tuaga woooiiiii Mungu jaza pengo...kaaiiiiil😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥rip man of God
you are still living in my heart pastor
Ah world is so bad
😭😭😭😭😭 Baba mafunzo yako yalikuwa mazuri mno
Daaaa,,,,, ushindi wa maneno.. Asante bb
ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa mafindisho mazuri
Ni kweli mwanamke akichoka kudharauliwa,kunyanyaswa,kuto kuthaminiwa,kutokusikilizwa ndani ya ndoa,moyo wake ukifa,akisema sasa basi kuja kumrudisha kwenye msitari huwa ni kazi sana.
Sahh
Asante
Mimi ni muislam lkn napendaga sana mafundisho ya huyu mwalimu
Somo zuri Sana nimekuelewa mtumishi barikiwa sana
uko vizuri! barikiwa sana
mungu akubaliki mtumish.
Yaani kwa kwelii wako hivyo kabisa, unakuta unamwomba hela Mme anakuambia hana lakini kule akiombwa hata kama hana lazima ataenda kukopa, wako zaidi kufurahisha watu wa nje kuliko mke wake au watu wake wa nyumbani mwake, Mungu atusaidie kwa kwelii.
Asante sana pastor, nimefuraiya mafundisho yako masuri...
Asante sana mcungaji kwa mafundisho.barikiwa sn
Amina! Mungu anijalie mke Mwema!
Mungu aendelee kukuinua viwango hadi viwango mtumishi maana si kwa mafundisho hayo barikiwa Sana mtumishi
Amina Mpendwa, Barikiwa sana. Sifa na utukufu kwa Mungu
Pastor you lesson run through my life. I promise you that I am going to change my lifestyle before I lost.
Stay blessed always for taking an action. Where are you from? Blessings be upon you Jay West
Very true pastor I like it 😃
Swadakta mafunzo mazuri xana thx pastor
Asante kwa mafundisho yako mazuri
Nimeshaelewa Baba...Ahsante!!!
Mwalimu Mungu akubariki sana..
Tumekumisi sana,
Pumzika kwa amani.
Rip ,servant of God, May Almighty God keep your soul in a glorious place 😭😭😭
mungu akusaidie kwa masomo yako mazuri
Kabisa Mcungaji barikiwa saaan baba
Nabarikiwa sana na semina zako, Mwl Peter Mitimingi
Amina Nyanzala, Karibu ututembelee WCC ukipata Neema. Barikiwa sana
AMEN , Pasto ntakuja kuja , nakusikiliza wapo radio sana adi na record mafundisho yako nikiwa njiana nasikiliza pia , mafundisho yako yana niinua sana kiroho.
Amen , Pasto ntakuja.
nyanzala kaporo Amen!
asante mch nafatilia mafundisho yako yananijenga
Dorcas e Amen. Barikiwa sana Dorcas
Asante mtumishi Mungu azd kukuinua umefanyika baraka kubwa kwangu
Bado tutakukumbuka milele kwa mafunzo mazuri
Amen napenda sana kuitwa mwenka 😊😊😉
Ubarikiwe sana
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu
You mentored many may you continue r sting in peqce
Barikiwa sana Mtumishi.
Jamani mbna huzungumzii mavazi kwa wanawake vile wako balaa
Umeongea vizuri sana mchungaji
God bless you!
Rest in peace, your legacy will live and heal many people forever!
Kwani alikufa😮
Amen ubarikiwe na mungu
Very true when mama is happy everybody is happiii✍
Asante baba kwa huduma hii, ubarikiwe
Ubarikiwe sana Kwa mafundisho
ubarikiwe sana mchungaji
You are the best
Mafundisho mazuri mno hali ya kukaa na waume na wake zetu barikiwa zaindi
AMEEN MAFUNZO YAKO YALIKUWA YAKUJENGA MTUMISHI..SHEREKEA NAMALAIKA.
Mungu akuzidishie
Mafundisho yana bless sana mch, lakini inategemea sana na aina ya mke aliyemchagua mtu.bila shaka ukikosea kuchagua mke ndio chanzo cha kuharibikiwa!
Hakika
Pole saana
Dr.Mitimingi safiii xn
Pumuzika kwa amani mtumishi wa mungu nasi twaja
Rest in peace Mitimingi 😭😭😭
My teacher and mentor rip baba.sijaamini ulikufanga mwana wa Mungu
RIP mchungaji maneno yako yatadumu daima
Tutakukumbuka daima
Haya kweli Mungu akubariki ku ujumbe huu
Amina Mpendwa, Barikiwa sana
Wababa wangesikiliza kila siku maana hatuwezi kuthubutu kuwaeleza haya,sisi tumepokea yetu
Ahsante kwa funzo nzuri sana
Just rest in Peace,you we're a teacher to many
Continue resting in peace Ila ur words still lives
Mchungaji hapo ni ukweli ina sema ume ni bariki kwa hekima una yo tumiya ku tu elewesha vizuri may God bless you Abundantly
Noella Ngabo kweli kabisa yani
Kweli mume wangu anathamini mama yke kuliko mimi
Jamani pastor ,mbona umeondoka mapema ,napenda mafundisho yako...
ahsante kwa mafundisho
Pumzika kwa Amani🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ubarikiweee saaana mtumishi
Nimejifunzaaaaa...tnx
mtumishi ubarikiwe sana.
Pumzika kwa Amani peter.
Barikiwa kwa mafunzo mema
mtumishiiii nikweli kabisa naamani weniwamungu hakika
Pumzika kwa amani, mafundisho yako yanaishi.
hakika asante kwa mafundisho mazuri
asante baba barikiwa
Barikiwa Sana
I didn't know this
Ubarikiwe mtumishi
Nimejifunza kitu baba be bless
Amina barikiwa mtumishii
GOD bless you so much
Jehovah bless father Peter mitimingi
Q
Rala Salama baba mahali ulipo tutakukumbuka saana
Nazidi kubarikiwa na mafundisho japo mm sijaingia katika ndoa
dawa! nilichelewa wapi mafundisho nimazuri mno
aise nimejifunza sanaaa shukrani sanaaaaa;;;;~
Amina Barikiwa sana sana.
Bonge ya mwalimu
Amena mtumishi wamungu
Kweli pastor unaongea kweli kabisa. Njoo maana Gaddafi alitumia wanawake kwa kumulinda siku zake zote. Kwa maana Gaddafi aligundua siki kubwa kwa wanawake. Kweli napenda sana sector hii.